Тёмный
No video :(

URUSI yailaumu MAREKANI kwa SHAMBULIO la UKRAINE lililoua na kujeruhi huko CRIMEA 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 175   
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Месяц назад
Vita vinaenda kuwa vikubwa sana.. Naona kabisa NATO Wameingia Rasmi ukraine yaani sasa hivi itakuwa piga ni kupige....
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 Месяц назад
Poutine atajuta kwa mzaa ambao anaendelea kuufanya .saizi inafaa afanye maamzi kama nikupiga apige amalize vita au aasitishe pperation
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Hata ndo nashangaa! Sasa ataamka, apige ikuru ya Ukraine huyo kichwa ngumu atashika adabu atajua kama hii vita anaye adhilika ni yeye sio Marekani.
@davidsika5292
@davidsika5292 Месяц назад
Mnadhani ni rahisiiii kama story za vijiwenii eee
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Месяц назад
Putin mstaarabu sana
@Maduakanyamanza
@Maduakanyamanza Месяц назад
Ukraine hawapigani kimkakati sasa mwenzake anapiga miundombinu muhimu na ya kijeshi yeye anapiga makanisa na sehemu za starehe hawana akili
@ThisboyisgreatThisboyisg-in4gx
@ThisboyisgreatThisboyisg-in4gx Месяц назад
Yani nashangaa
@Maduakanyamanza
@Maduakanyamanza Месяц назад
Mrusi sio dhaifu kama anaweza kupigana na nchi 40 afu unakuja unasema mrusi dhaifu USA NA NATO wanapigana na Russia Indirect ilakitu hawajui Nato wapo vitani dhidi ya russia
@ShaibuMkullu-ck6sl
@ShaibuMkullu-ck6sl Месяц назад
Kushaanza kuchangamka.
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Месяц назад
Taifa la kushindana na marekani katika Dunia hii Bado halijazaliwa
@KIBAHATIPS
@KIBAHATIPS Месяц назад
😂😂😂 movie zinakudanganya wewe
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Месяц назад
Marekani ni kubwa na inanguvu na Ina uchumi
@AnnaMingwe
@AnnaMingwe 9 дней назад
Kwa Uchumi gqni wewe kichwa ngumu
@victorngulwa2311
@victorngulwa2311 Месяц назад
Nakubaliana na masubi hakuna defense system iliyo na ufanis WA 100% Sio dj smaa kutwa kukosa na kuiona dhaifu irondome ya isirael
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 Месяц назад
Huo ndo ukweli sema ushabiki mwingi kuliko ukweli yetu macho tutaona mengi
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Месяц назад
Kweli kapisa❤❤❤
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
Shida hamsomi mnataka kuja kuchambuliwa afu kulaumu watu hizi chambuzi zote watoazo ziko mitandaoni labda tu ziko kwa lugha nyingine, sa we chukua muda fatilia mwenyewe sio unakua kavivu afu unakuja laumu laumu watu
@samkitwima7933
@samkitwima7933 Месяц назад
Mbona SMA ndo alikuwa wa kwanza kutoa hiyo kauli. Acha kukosa kama huna cha kukosoa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari Месяц назад
@@samkitwima7933 Hawa watu wajinga mnoo wanakuja huku na misimamo kama ya simba na yanga maarifa madogo kazi kuleta ligi wakati huu uchambuzi uko kwingi tu na wa mitazamo tofauti vijingavijinga vingi sana
@jacksonmollely7133
@jacksonmollely7133 Месяц назад
Kweli urusi ameishiwa siraha ndio maana anatafuta wapumbavu wenzake kama Korea ya kaskazini China na Irani
@allyslim7774
@allyslim7774 Месяц назад
Mpumbavu urusi au wewe usiejielewa
@davidsika5292
@davidsika5292 Месяц назад
Kweli bhaana emeenda korea kujikombaa😂
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or Месяц назад
Wakoloni wa wameacha vibaraka wao hapa Afika ndomana hatuendelei
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Месяц назад
Upo sawa maana wanayofanya viongozi wetu. Ni zaidi ya utaahira
@janetlamb9018
@janetlamb9018 Месяц назад
Wanavyowaua wa Ukraine wanaona sawa? Ngoja waonje na wao ili wajue uchungu 🇺🇦🇺🇦🙏🏿❤️
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Месяц назад
Na wao waone uchungu
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 Месяц назад
Kumeanza kuchangamka😢
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Месяц назад
Ww tu unaunga mkono ukreine.wenge watanzania tupo na mrusi,china,irani,korea.
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 Месяц назад
@@jumamussantuichemrusi ni chizi marekani anamvutia taswira acha na marekani broo yule m2 hatari sana mmarekani
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Месяц назад
​@@jumamussantuichewe ni mpumbav kabisa, nan kakwambia watanzania wote wana akili za utumwa kama zako, jisemee wewe punga wewe
@user-pk6rc1tn3q
@user-pk6rc1tn3q Месяц назад
@@tekashisixtynin9threewithd727Team Marekani😅
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
@@ladislausngoyinde4384 team russiaaaaaa
@rogersanga3235
@rogersanga3235 Месяц назад
mbona akipigwa yeye anakasirika hivyoo.? Kwan yeye nakiipiga Ukraine hauuwi watoto.?
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Месяц назад
Vita hii mrusi apigani na ukraine wewe acha ujinga
@JoelFortunatus-du8ww
@JoelFortunatus-du8ww Месяц назад
Urusi 🇷🇺 ana lemba lemba sana na kulemba lemba huko ndo kunamgalimu mdogo mdogo kwa nini asi nyanyue ndege zake hatari zisizo onekana kwenye rada kama su-57,su-34 mg-31,tu-160,tu-95 na tu-22 hizi ni ndege za kimkakati azibebeshe mabonu ya kutosha kutakatakatisha kyv yote ishe isiwe kikwazo tena kwake
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 ulishiriki kuzitengeneza hizo ndege?
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Месяц назад
Amesha anza kuni bowa kwakweli
@JoelFortunatus-du8ww
@JoelFortunatus-du8ww Месяц назад
@@deogratiusyudatadei5658 anatakiwa aichabange kyvu yote maana wamagaribi wanamchokoza ili aipige nyukilia Ukraine 🇺🇦 sas urusi nae hawezi kufanya hvyo maana atakuwa ameua watu wake
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Sio analemba lemba ,putin anaogopa,anajua kitakachoenda kumpata endapo atathubutu kutumia nyuklia.Marekani kashampa onyo kali tena kwa barua kuwa anamjua uwezo wake na kwamba akithubutu tu ,urusi itapata maangamizi makubwa ambayo hayajawhi kutokea tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
@highskills5883
@highskills5883 Месяц назад
😂 wangeshafanya hivyo nikuwa ningumu zitaangushwa
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Alizanianiyeye Kila situation zam yke SAS nakanisan wamelipua
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Месяц назад
Urusi ni mjinga mno,maneno too much.uwezo hana miaka 3 sasa anahangaika na Ukraine
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 Месяц назад
Umeongea point sana mkuu rusia ni speek too much and action zero😂😂😂😂
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d Месяц назад
US kwanini aliikimbia Afghanistan na kwanini Iraq hakujatulia hadi leo na maguvu yake? au hujiulizi wale taifa teule waliosema wiki moja watakuwa wameiteka gaza wamekwama wapi mpaka nao wanaua watoto na wanawake?
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Месяц назад
Anapigana na mataifa 30,mwaka wa 2 sasa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
​@@user-zn4jl5wy3dusifananishe irag na Afghastan.kote huko marekani alishinda na aliwakabidhi nchi wenyeji ila wenyeji ndio wameshindwa kulinda nchi zao
@djmaxbeatztz
@djmaxbeatztz Месяц назад
Marekani ni nchi hatari ya kishetan
@jacksonmollely7133
@jacksonmollely7133 Месяц назад
Hakuna majibu urusi wameingia kwenye mtego Mimi nimeishi urusi wanaiyogopa sana marekani
@davidsika5292
@davidsika5292 Месяц назад
Urusi anaielewa Marekani ilivyo kuliko hata mashabiki zake...marekani inatawala hadi mataif ya kiarabu hayana sauti
@jacksonmollely7133
@jacksonmollely7133 Месяц назад
Nato babalao marekani babalao ulaya babalao
@jacksonmollely7133
@jacksonmollely7133 Месяц назад
Tatizo nyinyi wachangiaji hamuipendi marekani mnasahau bajeti ya Tanzania marekani anachangia zaidi ya asilimia 79
@meckcassius3983
@meckcassius3983 Месяц назад
Marekani kaeni mkao wa kula
@mwlpierre
@mwlpierre Месяц назад
Yaani Wewe Ndio unaongea pumba hivi Unafikiria Mmarekani anamuogopa Kirusi
@mwlpierre
@mwlpierre Месяц назад
Urusi ni kama mtu ambaye zamani wakati wautoto alikuwa anapigwa sasa Amekuwa bado anataka kupitia uwezo ukubwani badala ya kufanya mambo mengine
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Месяц назад
Ndo kwanza unaanza kupata faham ukubwan
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx Месяц назад
Fredrick bundala wana SNS tunaomba na SPORTS muwe munaongelea wengine ni wapenzi wa michezo pia na tunapenda habari zote za michezo ya dunia na ligi zote kubwa zote duniani GPS ya SNS iwe Ina zungumzia tunaomba Kama hili Lina umuhimu inshallah..
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef Месяц назад
Watangazaji wa michezo na burudani wapo Hawa ni wachambuzi wa Sasa usituchanganye hapa
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx Месяц назад
@@JafariHamisi-gu4ef hujui unacho zungumza ila Nina Imani sports ina mashabiki wengi zaidi duniani that's why Nina pendekeza GPS SPORTS sky walker atuletee hapa SNS..Ina maana Vita ikiisha urusi ndio uchambuzi basiii..fikiria vizuri kbla hujaongea jmbo..
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
Hii ni new Chanel Chanel zote asilimia 90 huzungumzia michezo umekosa hata 1 unaanza kutufata huku majasusi sisi wapenda siasa emu toka humu tafadhari 😢😡😏
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Месяц назад
Mbona kama mchambuzi kafurahi sana
@theempire4058
@theempire4058 Месяц назад
Amechoka kila siku kusikia ukraine inachapwa
@user-pn7xm6wd8v
@user-pn7xm6wd8v Месяц назад
Slava Ukraine tz tupo nyuma yenu
@AdamNgokas
@AdamNgokas Месяц назад
Hapo marekan wamekosea sana kuwapa hawa Ukraine siraha kubwakubwa tusubri jibu Toka urusi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Kwa sasa hamna jibu lolote kali ambalo Ukraine haijawahi kuliona kutoka kwa Urusi. Ni jibu gani kali ambalo Urusi watatuma Ukraine kushinda yale ya mwanzo wa vita ambapo Urusi ilikuwa ikirusha makombora au drones inaua zaidi ya watu mia mbili kwa wakati mmoja?
@mangofish9079
@mangofish9079 Месяц назад
​@@rumdeesonsoa1811hamna jibu lolote? Kwani hivyo vita wee unadhani vinapiganwa tu bila ya hesabu. Urusi inapigan hivi vita kwa hatua kama murlewa utakua ushanielewa
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
@@mangofish9079 Halitakuwa ni jibu ambalo ni jipya kwa Ukraine. Na wala halitakuwa ni jibu litakalofanya Ukraine ikate tamaa kupigana.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
​@@mangofish9079kipindi kile urusi iliachiwa anga na ikawa inaipiga ukraine kwa ndege zake ,meli zake baharini na vifaru vyake nchi kavu na ikawa inaua wakraine wengi.sasa kwa sasa ukraine ina angalau mifumo ya ulinzi si rahisi kukata tamaa na hata urusi ikijibu kwa ukraine hawaoni kama kuna jipya ila mpya ni urusi kushambuliwa hadi nchini kwake.
@jacksonmollely7133
@jacksonmollely7133 Месяц назад
Mtapata haibu urusi ameanza kutapata
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 Месяц назад
Majibu yatakayofanywa na mrusi kwa marekani hataamini, lazima atapigwa kwenye mshono. Elewa maana ya kumlaumu mtu
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 Месяц назад
Yani achana na marekani alishajipanga na kujua yote haya kabla ya hata urusi ajaanza kujiweka kwenye teknology
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
​@@tekashisixtynin9threewithd727mwisho WA siku kuna mmarekani anayekufa au ni hao wenyewe WA Ukraine? Sijui Kwa nini viongozi wakishapewa akili na shetani hawajali hata wananchi wao.
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 Месяц назад
ndio kimanga pro kebby hapa
@DjskillsTboiyprincess
@DjskillsTboiyprincess Месяц назад
Achana Na Marecani ni level nyingine ila tatizo la wa Africa wanajifanya kumjua Mrusi kuliko Marecani nazani Marecani ina ijuwa Urusi zaidi ya nyinyi munavyozani
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Месяц назад
​@@DjskillsTboiyprincess watanzania wengi ndo kwanza wanapata ufaham wa ulimwengu ukubwan
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Nilwaambia Ukraine mbabe
@yusufismail3116
@yusufismail3116 Месяц назад
Hauelewi kabussaaaaa.
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Месяц назад
Utaona jibu lake..
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Месяц назад
Marekani anapenda vita anaishi kwakua watu ila apate pesa shetani mkubwa
@janetlamb9018
@janetlamb9018 Месяц назад
CRIMEA IS UKRAINE PERIODT 🇺🇦🇺🇦🙏🏿❤️
@ahmedshariffu2108
@ahmedshariffu2108 Месяц назад
Poleni warusi ila tutalipa ipasavo nadhani jibu litapakana soon
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 Месяц назад
Wangelipa puttin alivyosema ataimaliza ukraine wiki moja saivi mwaka wa 2 huu ujue rusia hana chochote ni mbwa ananayembwekea simba😂😂😂😂
@nsolachalo
@nsolachalo Месяц назад
Wameshambulia bichi sehemu ambapo watu wamepumzika
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef Месяц назад
Ukiskia magaidi ndo hao sasa
@user-go3xe4mk4w
@user-go3xe4mk4w Месяц назад
Mdogo mdogo2 watauelewa mchezo
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Месяц назад
Sasa dj smaa inaonesha elimu yake Duni sana kuusu vifaa vya kietronic 😂😂😂 utasikia difens ya izilaer ni mbovu maana kombora lime penya🤔 ally enderea kuwaapa darasa hawa walisha kalilishwa na smaa kuwa difens imara kushinda zote anayo mrusi🤣🤣🤣🤣🤣
@jonasnoel331
@jonasnoel331 Месяц назад
Sasa Ukraine si anapiga maeneo yake mwenyewe
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Месяц назад
@@jonasnoel331 Mzee utakuwa unashida sehem💀 hilo eneo watu wanao ishi huwa hawafungamani na serikali ya nchi Yao coz wanatakaga kujitawala wenyewe 🤔Kwa kuhisi wanatengwa maana wengi wao ki asiri ni wa Russian ,hivyo hata baada ya Moscow kuinyakua hiyo sehemu walifulah 🧐 kiufupi wanach wasehem hiyo ni wasariti🙏🙏 NB acha wapigwe2 maana urusi ilisha ahidi Kuwa Linda😭😭
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
​@@BenjaminMetanyausio wasaliti, rafiki yangu anatoka maeneo hayo anasema hao Ukraine wanawabagua na kuwatesa Sana, hawapewi huduma muhimu kama shule na hospital pia hawawasamini hata, na wengi wao ni warusi. Kama unavyojua hawa wote walikuwa nchi moja ni Ile vita baridi ambayo western waliitengeneza kumdhoofisha soviet union ilofanya wagawane na mrusi amewekeza Sana Ukraine ndo maana kwenye mkataba wao nchi za Soviet Union kujiunga Nato mrusi aliwaomba Sana Ukraine isijiunge na NATO ibaki neutral lakini miaka ya juzi juzi wakaanza choko choko na kudharau mkataba wao Waziri mkuu WA uingereza ( Boris Johnson) ndo alikuwa kumbele mbele kuvunja makubaliano hayo na imeandikwa magazetini Uingereza. Juzi kiongozi WA upinzani WA Uingereza kasema ukweli NATO ulivyokuwa na uroho WA kujipanua imefanya hii vita itokee na walijua sababu wame m provoke Putin.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Ukraine ndo kalipua
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht Месяц назад
sasa ukraine itaanza kufa hasa
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Месяц назад
Mifumo imedungua sema moja ndo limeenda kuangukia pwani likajeruhi ina manisha lengo halijafikiwa bali limesababisha madhara pasi na faida ya lengo
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo Месяц назад
Nan amekuuliza
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Месяц назад
@@Mtaki_Zakayo zakayo must go
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl Месяц назад
Nabado , watakiona.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Ukraine babalao
@belitomanuel6240
@belitomanuel6240 Месяц назад
We umbwa tu
@YasiniYueufu
@YasiniYueufu Месяц назад
kinachotazamwa ni adhari ya hayo mashambulizi kwa upande wa nato na urusi si suala la ushabiki
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 Месяц назад
Watu tumezugwa ati Ukraine anapigana na urusi hio ni Nato na uwanja wa vita ni ndani ya Ukraine
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Месяц назад
Wako sawa tu acha wafetu wao wakiua ni sawa eti
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Месяц назад
Ukreni pigaa ndani kabisaaa mbona wao wanajua wenzie acha mrusi apigweee💪💪
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Месяц назад
Mimi nirisema hii vita aishi reo wara kesho
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 Месяц назад
ukrain anaua wa ukrain wenzake poor mind
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Ndo NASHINDWA? Anapata nini? Ndivyo America wamavyomwambia eti Kwa sababu imeporwa na mrusi Kwa nini asiwaue wanajeshi WA Urusi?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Wasaliti hao awaue tu
@lombardocrich6177
@lombardocrich6177 Месяц назад
Haya tusubirie kazi ya Putin wamechochea moto
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Месяц назад
Mwanafmily orignal wa sns kutoka westland nairobi
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi Месяц назад
Wapigwe wao ndo wamefata watu kwao
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Walim provoke, yeye sio chizi, habari imeenea dunia nzima inajua kasoro wewe tu!
@user-pd3hs4ze7i
@user-pd3hs4ze7i Месяц назад
Mue mnampa Djsma achambue urus akishambuliwa ataongea nn 😂
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje Месяц назад
Marekani wanawaponza wenzao namuona kiduku wiki hii akifanya kitu . Na Russia akurupuki kupiga ila watajuta tu . Yani katika maraisi majinga basi uyo wa Ukraine ni Mjinga sana Anauponza .
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 Месяц назад
Kuongelea mpira tutachelewa kufika sababu kuna midia nyingi zinaongelea mpira naipongeza sana SNS kwa habari na uchambuzi wa kina MUNGU MWENYEZI awafanyie wepesi wa majukum yenu
@kipkoecherick1127
@kipkoecherick1127 Месяц назад
Naona vita vya 3 ya dunia ikinukia na dunia itangamia
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Kweli kabisa, mapank akiingia aungane na Urusi na mchina juu ndo basi tena ww3 hiyoooooo, au tusubiri nani ataanza kumrushia mwenzie bomu la nuclear 😭😭😭😭😭
@frankbanda6602
@frankbanda6602 Месяц назад
​@@MsAggie5 Hivi unadhani kwa akili yako huyo mchina ataingia vitani kumsaidia urusi? Hiyo sahau mzee, mchina yupo kulinda na kukuza uchumi wake ili awe super power economy country na kumpiku AMERICA. Na pia anafahamu kabisa akiingia mazima kumsaidia Russia kivita basi makampuni yake yote yaliyopo west na America yatafungiwa na ana mikataba mingi sana yakibiashara baina ya hizo nchi na ndizo zinazomfanya awe vizuri kiuchumi na siyo Africa ndiyo inampa hela hapana, sisi Africa ni third choice kwa uwekezaji wa mchina na anatuletea a third moderation items ambazo very cheap, lakini bidhaa zinazotumiwa na Western pamoja na America ambazo kutoka China ni high quality na inamlipa vzr sana. Ndo maana wana mkataba mkubwa sana na wakiamua kuuvunja muathirika wa uchumi ni yye mchina, kwa maana hyo kwa mchina kumsaidia mrusi ni ndoto ila atakuwa naye karibu tu kinafki
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Месяц назад
Kimeumana 😅😅
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Месяц назад
Tatizo watu weng hatufaham URUSI nazani endeleeni Ku GOOGLE matajuwa tu taifa lenye POWER
@jamesmarumbo6820
@jamesmarumbo6820 Месяц назад
Wafanyabiashara wamegoma sisi tupo busy na mabeberu wakati kwetu yapo mengi ya kujadili lakini tumeacha na kudeal na mabeberu
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 Месяц назад
Wa kwanza
@georgemasumbigana7434
@georgemasumbigana7434 Месяц назад
mrusi anaona yeye n haki yake kuishambulia ukrein ila sio ukrein😂😂
@user-uy3uk2ul5b
@user-uy3uk2ul5b Месяц назад
Akili una umeiona urusi anauwa watu, anatoa tarifa kabisa Kisha watu wasepe.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Месяц назад
😂😂😂😂
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Месяц назад
Marekani hna haki israel pia ana haki ila sio mrusi
@dominic4727
@dominic4727 Месяц назад
Asubuhi yaku amkia j4 ukreine watalajie kupokea kifurushi cha moto 🔥
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Vita ndo itachangamka sasa Urusi itajua kama hii ni vita sio mchezo WA kuigiza.
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Месяц назад
Ivi apo unakuta zelenski kapewa jengo la kifahari na bilioni 100 labda ili atumike kuteketeza watu wa nnchi yake kisa viela siamini kama kajamaa hakakujua kwamba hakapaswi kuingia NATO ila unaenda kupigana vita kufa kwaajili ya zelensk mi kubabake nsingeenda wacha niuwawe … muim sana kuchagua kiongozi mwenye akili Timam aseh dah
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 Месяц назад
Urusi watapigwa vibaya sana vita nivita hakuna vita ndogo wala kubwa usimuzarau adui yako
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Angepiga ikulu ya Ukraine vita ingeisha siku nyingi, kuua raia wasio na hatia ni upuuzi sana. Kama kweli anataka vita iishe akaibom ikulu yule raisi halali humo lakini atapata somo mwenyewe ataona bora yaishe
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Месяц назад
Ili tuendelee afrika inabidi tupate viongozi ambao hawajasoma hawa wasomi wanatuuza
@dominic4727
@dominic4727 Месяц назад
Ukreine wasubiri kifurushi cha moto
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Wafeee
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Месяц назад
🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🇷🇺🌹👏
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Месяц назад
Hahaha, chuk mbaya niga
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Месяц назад
God bless russia 🇷🇺
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney Месяц назад
Kaka Sma uko wap
@user-gh4mg2wn8y
@user-gh4mg2wn8y Месяц назад
Hao mashoga wasubiri majibu sasa
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Kwa sasa hamna jibu la kuitisha Ukraine tena. Labda itumike nuclear
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Месяц назад
Shoga wew na baba ako
@AliAbdallah-yo8dx
@AliAbdallah-yo8dx Месяц назад
Ukraine haina uwezo wa kutumia makobora hayo ila ni Mmerikani mwenyewe ndio amefanya hayo mashambulio, sababu anajuwa bila ya hivyo dola ina kufa, sasa ameshaamuwa kuingia vitani na Urusi... Sasa ndio vimeanza Rasmi vita va duni vya 111
@raydanfrenk
@raydanfrenk Месяц назад
😂😂😂😂 urusi labd apige Ukraine ila America ata jiwe awez lusha kama unabisha tusubili matokeo 😅😅
@stephengervas8762
@stephengervas8762 Месяц назад
Nani mbabe duani sasa sooon
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
Marekani haji peke yake hiyo ndo shida kama isingekuwa NATO aje yeye na mrusi ndo tungesema nani hodari
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Marekani , ni , wajinga tyu hawana lolote wanavizia vita kamili hawawezi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Wameviziaje? Kwani Urusi ilikuwa haijui kuwa iko vitani? Tungesema wamevizia endapo wangekuwa hawapigani vita.
@MsAggie5
@MsAggie5 Месяц назад
​@@rumdeesonsoa1811tatizo si mmarekani tu yuko Ukraine NATO karibu yote iko pale. Wao wame m provoke Putin walitegemea nin? Wao ndo walitaka hii vita, lakini mwisho WA siku wanakufa si mrusi wala muamerika ni mukraine sasa zalensk anapata nini kama sio wazimu
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Месяц назад
Kesho vilio ukreni vitaanza
@obestone1188
@obestone1188 Месяц назад
Kulia kw zam ndug. Ao ukrain si washalia san. Sas hiv n zam ya urus
@anordmathias3721
@anordmathias3721 Месяц назад
Hahahaha z lensk😂
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef Месяц назад
Wazee wa kuuwa watoto na watu wasiokuwa na hatia wameanza kazi yao ukisikia magaidi ndo hao sasa😅😅
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Kwani urusi haui watu wasio na hatia?
@malickabbas8271
@malickabbas8271 Месяц назад
Putin ua hao
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 Месяц назад
Badala ya kumwabia Putin akufire wewe unamkejeli tena
@wirangamochemba7063
@wirangamochemba7063 Месяц назад
Hiyo ni piga nikupige urusi itajuta kuidharau ukren
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb Месяц назад
Unapopigana vita ndugu usimchukulie ile inchi ni ndogo ukafikiri utaipiga kwa siku 7au 14 never Vita haitabiriki hata ukiwa taifa lako kubwa kiasi gani
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Месяц назад
jinga lingine hili hapa😂😂😂
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Месяц назад
Another smart phone in wrong hands 😢
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Месяц назад
Haujui crimea ni waukrane!! Sasa anauwa watu wake😊
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Месяц назад
​@@YustoMlay-cv4zbkwamba Putin anamshindwa Ukraine
@hanspop6961
@hanspop6961 Месяц назад
Sasa Hali itakua mbaya sana kama Mrusi na yeye Atagawa Makombora kwa Maadui wa Biden na Makundi ya Kigaidi
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Месяц назад
Putin anaremba cku zte izo hajajua pakupiga ukrein moja nzuri anatuboa apige Nyuklia wamagharibi wanamnyemelea
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Hawezi kupiga nuclear maana anajua na yeye kitakachompata
@user-si7kv4vl2b
@user-si7kv4vl2b Месяц назад
Masoud umechangamka sn leo tofaut na mabomu mengne makubwa saut huwa unabana sn brother ila wasubir majibu next.
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Месяц назад
😂😂😂 uneona eeh jamaa kachangamka 😂
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
Putin wacha wamshughulikie. Si alianzisha vita mwenyewe.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Ukraine babalao
Далее
Classic Italian Pasta Dog
00:20
Просмотров 754 тыс.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 6 млн
Mehdi Hasan at the Muslim Leadership Dinner
12:23
Просмотров 95 тыс.