Тёмный

USIKU WA VITASA | Twaha Kiduku (TKO) Vs Harpreet Singh - 11/04/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 200 тыс.
50% 1

Bondia Harpreet Singh kutoka India ameshindwa kuendelea na pambano baada ya kupokea ngumi nzito kutoka kwa Twaha Kiduku raundi ya tano ya pambano hili, tazama hapa ilivyokuwa....

Спорт

Опубликовано:

 

10 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 306   
@MtessaAlly-rd4hf
@MtessaAlly-rd4hf 3 месяца назад
Mashabiki wa HASSAN MWAKINYO gonga like tuishi pamoja
@omaryshabani9214
@omaryshabani9214 3 месяца назад
Y
@user-ht5ch1ht3f
@user-ht5ch1ht3f 3 месяца назад
Hasani mtu mwingine
@dstaroficial
@dstaroficial 3 месяца назад
Hapo mwakiny ni yupi nyie baikoko
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 3 месяца назад
Tatizo Bondia wenu muoga
@ochuMay05
@ochuMay05 3 месяца назад
Champeezz
@user-po4pe6wu7k
@user-po4pe6wu7k 3 месяца назад
Twaha Jifunze kupiga target Piiiiah Zingatiiiia sana Guard....
@jurmainezaidi739
@jurmainezaidi739 3 месяца назад
Uyu kiduku msimdanganye kwa mwakinyo Atamuua, Hana skills ni bondia wa kawaida sana
@AllyRamadhan-ks9sd
@AllyRamadhan-ks9sd 3 месяца назад
tuache utimu,bigup brother.ni ushindi wetu watanzania
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 3 месяца назад
Ngumi ndo izi sasa!🤗 kiduku👏👏🎉
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 3 месяца назад
Hii nchi ngumu , akipigwa mnasema , akishinda mnasema , wabongo nyokoooo
@aminahussain3058
@aminahussain3058 3 месяца назад
😂😂😂awatabiliki wa tz
@AeshiKassim-nn9ot
@AeshiKassim-nn9ot 3 месяца назад
bendela chuma mlingoti chuma xhow xhow 💪💪🤜🤜
@jumaenglish8693
@jumaenglish8693 3 месяца назад
Uyu twaha abadilike akipataga bondia mkali napigwa kifala sana uwaga
@EldaCharles-bx5ub
@EldaCharles-bx5ub 3 месяца назад
Twaha unarudi kwenye fomu yako kk big up broo
@user-pq3ct5zv7r
@user-pq3ct5zv7r 3 месяца назад
Mwakinyo nilimuelewa sawa kumwambia anapaka piko kama alivyo wapaka mama yake mwakinyo bodia ni mmoja tu hapa tz hasannnnnnnn👆🏿
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 месяца назад
Tz mabondia wanaojitahidi kidogo kwa skills ni Kidunda, Class, na, Mwakinyo. Hawa akina Twaha, Dulla, hamna kitu hawa.
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 3 месяца назад
Kiduku bado Sana kwa mwakinyo upinzani tuondoe raund 2 hupati
@user-en9rw4ec8t
@user-en9rw4ec8t 3 месяца назад
Mashabiki wa mwakinyo wanatoa povu tu😂😂😂😂😂
@musaamos2431
@musaamos2431 3 месяца назад
Hii nchi ngumu sana huyu akishinda twaha mnasema bondia mbovu
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 3 месяца назад
Azam tunaomba muweke na record za kila bondia kabla ya mechi kwani nyie hamjifunzi hata kwny channels km HBO lazima uweke records za mabondia bwanaaa
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 3 месяца назад
Kaka hongera sana kwa ushindi lkn mabadiliko yako hayajaonekan bado kama ndio kiwango chenyew umeongeza ni hiki basi usimuite wellems bado sana kaka ila kwa mabondia wa aina ya huyu kachori tuendelee kushinda tuuuh
@sidekibakilubi9695
@sidekibakilubi9695 3 месяца назад
unatak abadikike vp bondia anacheza kulingan na mpinzan wake sio mpira huo utakuja na mbinu zako na huofii mbinu za mpinzan wako
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 3 месяца назад
@@sidekibakilubi9695 Nikwel wajina lkn twaha kwa kauri yake nikwamba bondoa wellems aliembonda apo awali alidai ku re match naye saxa muhindi huyu nikipimo kwamba anamabadiliko gani kwa sasa toka apigwe lkn ukitazama pambano la jana mabaliko na alivyocheza mapambano mengine ata hakuna man twaha wetu niyuleyule kaka technical bado ni zile zile still anashinda mapambano aliyo nayo lkn kwa msauz na stail yake apana amwache kwanza azeeke kidogo 😂
@danielmuro5707
@danielmuro5707 3 месяца назад
Good job kiduku.umepeperusha vyema bendera yetu
@azizachoyo6958
@azizachoyo6958 3 месяца назад
Labda ya morogoro
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 3 месяца назад
Bondia mzuri ni mmoja tu tanzania hii ni mwakinyo kiduku usije uka zubutu kupigana na mwakinyo utapigwa huta sahau maisha yako yote
@mrben227
@mrben227 3 месяца назад
Nlichogundua kuwa hawa shabiki wa mwakinyo ni kama wantumwa kumkashifu twaha ,huu si mchezo wa kukashifiana ,hii ni kazi na hakuna budi kuheshimu kazi ya mtu na si kuponda,,kama mnahisi mwakinyo ni bora zaidi kwanini akiambiwa waweke Saini wapigane anajizungusha tu !!? Wacheni umama basi punguzeni ngenga watoto wakiume.
@mussamalick1045
@mussamalick1045 3 месяца назад
Kuna watu wanamponda huyu mhindi.kwa anayejua ngumi atamkubali huyu jamaa. Yuko vizur.kama kuna bondia anabisha aombe game na mhindi .mtakuja kuona
@selemaujanja1323
@selemaujanja1323 3 месяца назад
😅😅
@user-ky6hh2te7u
@user-ky6hh2te7u 3 месяца назад
Twaha hongera kwaushindi upo vzr Naona muimba tarabu ameshuhudia motowako hauwezi songa mbele mwanangu Allah ndie mjuzi wamambo
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj 3 месяца назад
kaletewa bondia. hata. mazoezi. hana. tumbo kifua lege lege halafu munajisifu badosana bondia. wenu. dadaetu. wamolo golo mpakapiko
@bakarimashi848
@bakarimashi848 3 месяца назад
Mnaleteana kachori hizi eti bondia.. 😅
@kiya0910
@kiya0910 3 месяца назад
Wooooh ❤twaha Leo amecheza vizur 🎉🎉
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 3 месяца назад
Mimi si shabiki wa Mwakinyo. Wala kiduku. Ila kiduku usipigane na mwakinyo. Atakudhalilisha. Uwezo wako hautoshi
@Bmc4tography
@Bmc4tography 3 месяца назад
Umecheza vizuri sana
@GodfreyKatura-lk3pl
@GodfreyKatura-lk3pl 3 месяца назад
Mwakinyo namuona anapiga wote hawa kwa pamoja 😂😂😂😂
@mandboy489
@mandboy489 3 месяца назад
Twaha n nouma jaman ngumi zinatoka ushabiki wakikuda kisa chukintuache ...hongera sana braza twaha
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 3 месяца назад
Huyu demu muongo muongo 😂😂😂
@user-ot9zo5ww6v
@user-ot9zo5ww6v Месяц назад
Wale wa champez mwakinyo tujuane hapa ✌️✌️
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 3 месяца назад
Twaha umefeli Sana huyo sio bondia mnatupotezea Hela zetu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 месяца назад
Bondia mla pilipil 😊😊
@user-qc5kq2zm2b
@user-qc5kq2zm2b 3 месяца назад
Yaani huyu twaha kiduku anavyoenda enda kama nguruwe kwa mwakinyo mapema tu raundi ya tatu au ya nne TKO Champz anatangazwa kuwa mshindi😂😂😂
@mussajaphet-dl4st
@mussajaphet-dl4st 3 месяца назад
Ngumi cyo rede jaribisha kuomba pambano naye ndo utajua enaenda enda au anapigan
@abdallahmwanyende2208
@abdallahmwanyende2208 2 месяца назад
Jamani hizi gloves sijui nvipi,,,hazitoi utamu wa blowzzz
@AziziShabani-mk3dg
@AziziShabani-mk3dg 3 месяца назад
Mchezo mzuri sana twaa amejitaid
@jabrous2057
@jabrous2057 3 месяца назад
like sio lazima
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 2 месяца назад
Mijitu mibishi sana lkn twaha hana uwezo wa kumpiga Mwakinyo labda itokezee bahati mbaya. Twaha nguvu anazo sibishi lkn ki umakini wa kupigana na uzoefu hana.
@SaidKhareed
@SaidKhareed 3 месяца назад
Twaha anazingua santaim bondia bongo mwakinyo na juma choki 2
@zawadimichael
@zawadimichael 3 месяца назад
Nakukubali twaha kiduku
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 3 месяца назад
Hapo kiduku wamekuleteaa boya bondia ndizi
@JIWEOFFICE
@JIWEOFFICE 3 месяца назад
Ongera zako Twaha kiduku ila nakuambia ukweli kwa kiwango chako unachotuonyesha kwa mwakinyo atakufanya uchukie mchezo wa ngumi ongeza ubunifu kaka
@user-qh3lb6lp2w
@user-qh3lb6lp2w 3 месяца назад
Kwani uyo mwakinyo ana uwezo gan? Wa kawaida tu yule ila Maneno mengi hana lolote
@HamisiMohamed-je8fj
@HamisiMohamed-je8fj 3 месяца назад
Atakufaa😂
@kharoubomar3828
@kharoubomar3828 3 месяца назад
​@@user-qh3lb6lp2wtwaha bdo kwa champez
@AliMabrouk-zr5om
@AliMabrouk-zr5om 3 месяца назад
Kaka Umeongea Ukweli MTUPU MWAKINYO ni LEVEL NYENGINE ila MDOMO Wake Unamponza
@saddamommie5075
@saddamommie5075 3 месяца назад
Mwakinyo nae hakuna anachokicheza acha uongo hapa
@josephkibiki8138
@josephkibiki8138 3 месяца назад
Mwakinyo VP ndugu Lin unapanda ulingon
@mosiuledi4598
@mosiuledi4598 3 месяца назад
Hongera twaha
@musaamos2431
@musaamos2431 3 месяца назад
Hongera sana
@SeiphSalehe
@SeiphSalehe Месяц назад
Good light
@user-pi6ru7bg5w
@user-pi6ru7bg5w 3 месяца назад
Twaha ni mwoga sana
@husseinmchomolo5271
@husseinmchomolo5271 3 месяца назад
Huyu Mcheza Mapiano Hollywood 😅
@idiidi-rq5gk
@idiidi-rq5gk 3 месяца назад
Twh hongela
@HassanSaid-pw8us
@HassanSaid-pw8us 3 месяца назад
Nimemckia mtangazaj anasema bondia wa moro na anapepelusha benders ya moro vyema 2😅😅😅😅
@tgwan
@tgwan 3 месяца назад
TWAHA MTU HATARI SANA 🙌
@mirryineyo9920
@mirryineyo9920 3 месяца назад
Yeam Hapret Singh here.. ..Goo Harpreet
@user-ih4kw5eb3d
@user-ih4kw5eb3d 3 месяца назад
Waona huyu muindi akosawa kabisa sema amezidiwa lkn ako sawa kabisa
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 3 месяца назад
Twaha jaribu kumaliza pamabno mapema
@leonardkinanda3284
@leonardkinanda3284 3 месяца назад
Kiduku anajua sana!
@bokomapesa9550
@bokomapesa9550 3 месяца назад
Mna reta bagia za dengu arafu mna sema bondia 😅😅😅ii ndo Tanzania mtuu 😢😢
@user-dw4ve4xp3x
@user-dw4ve4xp3x 3 месяца назад
Simba wa turiani ❤
@Isihaka-rb7fo
@Isihaka-rb7fo 3 месяца назад
Honger kiduku kw kushinda pambano
@user-to6sq4bz5c
@user-to6sq4bz5c 3 месяца назад
Mwakinyo vs hamonize
@johnmuyanga9588
@johnmuyanga9588 3 месяца назад
Morogoro home of champions
@montanatv395
@montanatv395 3 месяца назад
Amna bondia apo uyo kiduku mpaka piko2😂
@AdrianRichard-mu9jh
@AdrianRichard-mu9jh 3 месяца назад
Hongereeni Sana Twaha
@japharymagesa735
@japharymagesa735 3 месяца назад
mbona kwenye movie zao ni wakali
@NasraKhalid-od8wq
@NasraKhalid-od8wq 3 месяца назад
Umetisha mwakinyo vipi apo😢😢😢
@meedyshow8807
@meedyshow8807 3 месяца назад
Mashbiki wa mvaa vikuku bi husna mwakinyo fungeni mdomo kama vipi tuleteeni uyo shoga yenu sasa mcheza baikoko make nanyie sasa mmekua wainba taarabu kama yeye mipunga nyie 😅😅😅😅😅😅
@SleepyAlpineSkiing-de3yz
@SleepyAlpineSkiing-de3yz 3 месяца назад
Da bongo ngumi bado Sana Yani tukipigwa tunajisafisha na mabondi wabovu tunaitwa
@matolasalumu2625
@matolasalumu2625 3 месяца назад
Twa wa sasa Yuko powa apa yure msauzi atoboi
@EdsonMagreth
@EdsonMagreth 3 месяца назад
Kwangumigani amnakitu mavimatupu
@IsayaMakolo
@IsayaMakolo 3 месяца назад
Kiukwer bondia wet ni Hasan Lila huyu ni mbabaisxhaj tu
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 3 месяца назад
Ngumi jabali 😂
@AzizSultan-fc7rn
@AzizSultan-fc7rn 3 месяца назад
Nicr
@fabianbenardngatunga2713
@fabianbenardngatunga2713 3 месяца назад
Analusha ngumi akiwa kafumba macho kiduku
@AllyRamadhan-ks9sd
@AllyRamadhan-ks9sd 3 месяца назад
Huyo mcheza kibao kata asimchukulie poa Kiduku
@EvelinaMsemwa
@EvelinaMsemwa 3 месяца назад
Hongera sana kaka
@sozigwa
@sozigwa 3 месяца назад
Wanampa mabondia wakawaida
@SaidiAzizi
@SaidiAzizi 3 месяца назад
Kiduku aminia sana
@dicksonkabanza9347
@dicksonkabanza9347 3 месяца назад
Kwa wanaosema huyo sio bondia waingie wao
@FadhiliLaurent
@FadhiliLaurent 3 месяца назад
Hongera san kak
@user-bc5kt8hh6n
@user-bc5kt8hh6n 3 месяца назад
Twaha hakuna alichokifanya hapa bondia mbovu uyo 😂😂😂
@user-fz1nk9cz6h
@user-fz1nk9cz6h 3 месяца назад
Tupe sifa zako zakuwa bondia mzur
@sarahurassa6724
@sarahurassa6724 3 месяца назад
Congratulations twaha❤
@stevensoso7506
@stevensoso7506 3 месяца назад
Twaha Bado sana
@Realpeerpressure
@Realpeerpressure 3 месяца назад
Nimependa fair aliotoa twaha kati kati ya mchezo. Anakua bondia safi na professional 😅
@user-ey3ru8if4v
@user-ey3ru8if4v 3 месяца назад
Tanzania kwanza mambo mengine badae
@abubakarimussa1955
@abubakarimussa1955 3 месяца назад
Ninyi mashabiki wa baykoko acheni tabia za mfukunyuko wa mishono yenu tulieni muone ponjolo akichapila acheni shobo watu wa mipasho
@CatherineSimon-jq6kk
@CatherineSimon-jq6kk 3 месяца назад
Ndy mana twaa akikutana namabondia wakwelikweli anafumuliwa 😂 Sasa huyo Bondia wa kihindi hata mm c nampiga jamn
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 3 месяца назад
Utaingia bleed siku hiyo hiyo kabla hata ya tarehe😂😂😂 boxing sio mchezo wa kukata vi**nguu
@rodrickibrahim
@rodrickibrahim 3 месяца назад
uyu ndo tz namba uno 🔥
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 3 месяца назад
Twaha hamna bondia wa kutegemewa hapa wallah
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 3 месяца назад
MUNGU ANAKUONA WEWE ULIE ANDAA PAMBANO SIJUI MNAUTWAJE POROGOTA MUHINDI WA WATU KAACHA KUUZA KACHORI MNATAKA AFE. BORA PAMBANO LA MANDONGA NA MADA KWA TWAHA UJANJA WAKO KWA MSOUTH AFRIKA UKIMPIGA NITAKUBALI
@JIWEOFFICE
@JIWEOFFICE 3 месяца назад
Tanga apawezi atakufa
@omarymtandi
@omarymtandi 3 месяца назад
kweli tanga pagum sana mwakinyo mashine ingine
@Sadati-mj2ub
@Sadati-mj2ub 3 месяца назад
Amewah kumuua nan
@Abdoulyousouf
@Abdoulyousouf 3 месяца назад
Huyo ndo bondia mjanja mambo ya kusubiri fuvu libonyee hapana😂😂😂
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 3 месяца назад
Huyu sio level ya kiduku
@JandoItacha
@JandoItacha 3 месяца назад
ShowShow KIDUKU siKupingi
@MwalimuChui-qq5mc
@MwalimuChui-qq5mc 3 месяца назад
May Allah help Muslims
@user-mm4qf6xk5p
@user-mm4qf6xk5p 3 месяца назад
Kaka Bora upigane na dula mbabe tuu kuliko mwakinyo anaweza kukurudisha darasani tena sio levo zako zile kama huamini jichanganye
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 3 месяца назад
Sasa huyo mwakinyo wenu mbona anakataa Pambano
@JoanMagagula
@JoanMagagula 3 месяца назад
Hapo sasa😂😂
@user-bq1nf2jg2n
@user-bq1nf2jg2n 3 месяца назад
Twaha mrembo 2 mwamba champz so mrembo wa Moro 😅😅😅😅😅
@user-ty1vl9pr5g
@user-ty1vl9pr5g 3 месяца назад
Kiduku Hanna kitu
@user-ze5mb7yx3d
@user-ze5mb7yx3d 3 месяца назад
🎉
@laurentraphael2697
@laurentraphael2697 3 месяца назад
Akuna bondia huyo anayejua ngumi atanielewa
@ochuMay05
@ochuMay05 3 месяца назад
Atoke na yeye akapambane Ulaya tujuwe uwezo wake sio kila siku anapigana kwao tu..
@BahatiMwita-ey5ey
@BahatiMwita-ey5ey 3 месяца назад
Huyo nimwamba acha Moto uwak mimi peter mara tz
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 3 месяца назад
Hamna kitu apo bondia halina maarifa
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 3 месяца назад
Huyu si mcheza KABADII huyuu 😂
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 месяца назад
Kabadi kabadi kabadi kabadi.
@user-sm8tz6xb1c
@user-sm8tz6xb1c 2 месяца назад
Unge ludiana namsauzitu in😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Далее
Nachoka Akiwa Kwenye Mazoezi Ya Pad
16:14
Просмотров 387
Twaha Kiduku_Marhaba_Official video
3:42
Просмотров 296 тыс.
Hassan Mwakinyo VS Antonio Mayala | Laisha kwa TKO
6:51
Ishowspeed vs Ronaldo vs Messi Disguise Challenge
0:29