Тёмный

🔴LIVE: CHOME-SAME MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA, 

Chadema Media TV
Подписаться 193 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 11 дней назад
Ongea ukweli kaka, ukwel unaishi, David mathayo na viongozi wezake, wanaiba thahabu, vijana wanafukuzwa kila wakati, umasikini kila kona, mbaya sna
@salummohamed2689
@salummohamed2689 11 дней назад
Leo miti inahamasishwa kidigital. Camera man mhuni na hovyo.
@ndalahwakulwa4517
@ndalahwakulwa4517 11 дней назад
Hongera sana Lema na Mbowe😂
@godfreyfrancis1013
@godfreyfrancis1013 10 дней назад
@alexmollel292
@alexmollel292 11 дней назад
Huyu mtu wa camera anahujumu chama anatuonyesha miti badala ya watu
@tumainikibona5252
@tumainikibona5252 11 дней назад
Kadogo uko vizuri sana kupanga point
@PaskaliBaha
@PaskaliBaha 11 дней назад
✌️✌️✌️
@DeogratiasNsabhi
@DeogratiasNsabhi 11 дней назад
Mwamba
@user-em7bm2tw9b
@user-em7bm2tw9b 10 дней назад
Na hapo shengena ni kwa waarabu sasa ivi
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 11 дней назад
Hatuna mbuge mathayo ni mwizi tu, tuna mlima shengena anavuna zahabu mwenyewe, anasema nimekuja kuminya ndizi zangu, anatoa galoni za mafuta vtenge, kofia, anapga mi,5 tena saiv kapiga, 25 same nikubwa mno, mbuga tnayo mkomazi national park 🏞️ ziwa ndungu,kihurio mto,ruvu shengena, zahabu tupu bado tunaitwa, maskini hapana sio sahihi tufke hatua, tukatae
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 11 дней назад
Mpiga picha anafanya kazi gani hapo ?
@DeogratiasNsabhi
@DeogratiasNsabhi 11 дней назад
Uyo mpiga kamera boya
@solomonmwangosi1325
@solomonmwangosi1325 11 дней назад
Wa camera anapiga miti badala ya watu mpuuzi kabisa huyu hapo hapo mfukuzeni ni adui jamani
@EmanuelIsaya-sg8bk
@EmanuelIsaya-sg8bk 11 дней назад
Mpiga picha. Picha zako siku hizi hazionekani kwa ubora
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 11 дней назад
Watoeni watu moshi wa mwenge kichwani ili waweze kufikiri vizuri. Yani nikampigie mtu kura alafu eti ccm!!!!!!! Kama kuna siku nitafanya hivyo. Nisiende peponi kabisaaaa.
@solomonmwangosi1325
@solomonmwangosi1325 11 дней назад
Jamani huyu bado anapiga miti. Mliopo hapo mfukuzen au angalieni kwenye mitandao yenu!
@niwacosmetics1657
@niwacosmetics1657 11 дней назад
Camera man kunashida gani? Tunaona milima na miti tuu, watu wakowapi?
@niwacosmetics1657
@niwacosmetics1657 11 дней назад
Muheshimiwa kadogo, memories names of the place you are at for better connection. Hotuba nzuri sana nimeipenda, short and clear. Matayo analipwa shingapi umesema?
Далее
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
Просмотров 132 млн
Пожилая пара и квадроберы
0:43