Hapo kama kunakaukweli illah sasa mnadili na hao wala rushwa ? Au ndio nahuki natupaka mafuta na mgongo w chupa>?chalamira ww n kiongoz w dar tena n mkuu w mkoa je swali langu upo upande gani hapo kw sababu umesha jua kila kitu pumba na mahindi yapi twambie pumba hapo ni machina au viongozi hao? Ucmungunye maneno please....
Hii point ya machinga kununua kwa wenye maduka sio kweli mkuu kuna machinga wanaingiza contena kkooo na wao wanauza kuliko wenye maduka ila kkooo macho kwa wenye maduka majalala yote yamejaaa mauchafu ya mdafu na matikikiti ila pesa za taka taka wanabanwa wenye maduka tu .