Тёмный

WANAODHANIWA WAMEMSHITAKI MAKONDA TUME ya HAKI UTAWALA BORA NI WANAKIJIJI - WALISHAANDAMANA TAKUKURU 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@DismasMaturine
@DismasMaturine 3 месяца назад
Mungu awanariki Sana
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 3 месяца назад
All in all God Bless Makonda
@memehhhahshshdhdhd
@memehhhahshshdhdhd 3 месяца назад
bwawani ndiyo wapi?
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 3 месяца назад
Mmechoka sana aisee, spana siyo mchezo 😂😂😂
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 3 месяца назад
Mtakuweza last born wa mama😂😂😂😂
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 3 месяца назад
Sasa shida iko wapi,kama hana hatia si atakuwa inje
@nasibuathumani7705
@nasibuathumani7705 3 месяца назад
Chezea kuziba milija ya pesa ww.
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 3 месяца назад
Wamwachir tu
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 3 месяца назад
Hiyo ndio serikali kwa sasa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Mimi nawambia CCM leo hawanaga jema kwa wanainchi. Watawala wanataka viongozi wa CCM wanataka viongozi wanaokula nao. Usipokuwa nao utazushiwa tu. Sasa mtendaji aliyezuia kula kwa watu anakuwa adui wa Diwani, mkuu wa Mkoa jiulize kwa nini?
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 3 месяца назад
Mbivu na mbichi itajulikana
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 3 месяца назад
INAVYOONEKANA HAO WALIOANDAMANA WANA MASLAHI NA HUYO MTENDAJI😅
@Ba63828
@Ba63828 3 месяца назад
Sasa huu uonevu wa hali ya ĵuu kwamba hata dhamana ananyimwa. The Makonda brutality. Nnachoogopa viongozi wa sempule hii wanaweza kumkosesha Mama kura wakt wa uchaguzi.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Ni kweli kabisa
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 3 месяца назад
Kwani mtyu akijenga kituo au mirad ndiyo akosei
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 3 месяца назад
Makonda anatabia ya kukurupuka sana kwenye maamuzi ya kutatua kero za wananchi
@Ba63828
@Ba63828 3 месяца назад
@@SaidiMkome-qq7hy sasa Makonda sio kazi yake kusweka watumishi wa umma ndani bila dhamana. Huo ni ubabe na uvunjaji wa sheria.
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 месяца назад
Kabla hamjajua ukweli Acheni kuropoka
Далее