Тёмный

Watoto waliopoteana na MAMA yao zaidi ya miaka 40.. Wakutana clouds..! 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 143 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 454   
@susanlazaro8323
@susanlazaro8323 3 года назад
Kama na Wewe umelia Kama Mimi 😢😢😢😢😢😢😢 weka like yako hapa na Tuseme Mungu Ni Mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@happyjohn7630
@happyjohn7630 3 года назад
Yani km ujalia hapa
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 года назад
Nimelia sana
@rebecaelias7423
@rebecaelias7423 3 года назад
Mungu ni mwema
@stellahmsigwa8146
@stellahmsigwa8146 3 года назад
Aisee nimelia Sana kwa kweli
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 3 года назад
inasikitisha sana
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 3 года назад
Kwa kweli tumelia sote Mungu aendelee kumtunza mama, hakuna kama mama
@frozinamtasiwa7749
@frozinamtasiwa7749 3 года назад
Hongereni kwa kumpata mama jamani, nimetoa machozi. Mungu ni mwaminifu
@mohentv4666
@mohentv4666 3 года назад
Clouds radio ya watu nawapenda sana sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@محمدسالم-ظ2ف
@محمدسالم-ظ2ف 3 года назад
subhana Allah 😥damu mzito kuliko maji, milima ikutani binadam tunakutana, inaumiza moyo kwakweli; Allah awajaalie upendo zaidi
@jumanatv417
@jumanatv417 3 года назад
I hate crying, but I'm too emotional for this 'can't hold my tears... 😭😭 God is great... May my mom live longer... 🙏🙏
@noelamtesigwa6819
@noelamtesigwa6819 3 года назад
Ila wazaz kufarakana huwa inaumiza sana watoto hawajui tu😢😢😭😭hii kitu ickie kwa jiran ilowah kututokea inaumiza sana
@janewashe7276
@janewashe7276 3 года назад
😭😭😭😭
@hamisidale2704
@hamisidale2704 3 года назад
Nimelia sana poleni kwa yote mlioyapitia makuzi bila mama,halafu wengine wana wazazi wao hawawajali hata kidogo, Nia njema ya mama yenu, na kilio chenu mbele ya mungu wenu amejibu maombi yenu, Mama huyo mkamtunze mkampende, ili mkapate baraka za mwenyezi mungu"Hamisi Dale Boston USA
@nassraal-riyyami8387
@nassraal-riyyami8387 3 года назад
Ndomana wengine tunaganda kwa waume sababu ya watoto....kwa kweli nimelia😭😭
@lovenessndege4851
@lovenessndege4851 3 года назад
Kweli
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 3 года назад
Mungu awabariki sana, huyu wa kike anakumbuka tukio la baba yake kumsukuma mama yake, hilo ni somo kwa wazazi
@verombwambo3703
@verombwambo3703 3 года назад
Yani mama alikimbia kwa kipigo jmn machozi yamenitoka haki
@pendokissatu937
@pendokissatu937 3 года назад
Somoo Kubwaaa Na Mungu ambariki Ba Mdogo TJ
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 3 года назад
Ni kweli inasikitisha
@aishaomari944
@aishaomari944 3 года назад
Wanaume wengi wanakuwa chanzo
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 3 года назад
Saana jaman kugombana mbele zawatoto tuache nimbaya sana sana
@angelngomaitara4481
@angelngomaitara4481 3 года назад
Hongeren sana jaman me nataman nimfahamu baba yangu nimejtahid nimeshndw naamin ipo siky
@milkamathias2864
@milkamathias2864 3 года назад
Mimi pia my inatesasana natamani sana
@noelamtesigwa6819
@noelamtesigwa6819 3 года назад
Mpk mwingine ashafariki..inauma jaman😭😭
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 3 года назад
😭😭😭😭😭 why me jamani nimtu wakuliaa tu napenda kuonaga ivi vitu ila machozi nakosa kuyazuia 😫😫🙏🙏🙏😍😍😍❤ Am feeling HAPPY for u guys
@KibamashaMasha
@KibamashaMasha 3 года назад
Jina lako renyewe kitone utaacha kuria kweli
@madaamesthery7355
@madaamesthery7355 3 года назад
Had mm nmelia
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 3 года назад
@@KibamashaMasha jamn ww ila jina lako ni lakishujaa mmh tukupongeze kwa ushujaa wa jina
@nyotawauniquem7462
@nyotawauniquem7462 3 года назад
Same here nimejikuta machozi
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 3 года назад
Because your an amazing human being
@vj8313
@vj8313 3 года назад
Dah mpaka machozi yamenidondoka pia, tujitahidi kutunza familia zetu Jamani magomvi ya wazazi siyo mazuri
@prfphotographe4292
@prfphotographe4292 2 года назад
Niko burundi hata mimi nimeriya saaana nimekumbuka vituvingi
@veronicmpepo3435
@veronicmpepo3435 2 года назад
Mungu ni mwema nami mungu anione
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 3 года назад
Hongereni sana naamini ni furaha tupu kiasi cha kulia, MUNGU azidi kuwapa amani na furaha zaidi
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 года назад
Dunia ina wachawi mpaka wanashindwa kujizuia, sasa mtu ana dislike ina maana hajapenda. Inasikitisha kwa kweli
@enterenter1921
@enterenter1921 3 года назад
Hawajui tuu unajua kutumia Sim nikaz
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 года назад
@@enterenter1921 hata mm nimehisi hivyo
@benislubunga7931
@benislubunga7931 3 года назад
This is too emotional, I lived that life for 23 years, may God continue working on those who still looking for their parents
@emmamombo7149
@emmamombo7149 3 года назад
And how you find you parents or relative from +49
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 3 года назад
Pole sana
@enterenter1921
@enterenter1921 3 года назад
Lord is on control
@jayblessings2492
@jayblessings2492 3 года назад
Mungu atabaki kuitwa Mungu, sifa na utukufu wote ni wake yeye hakika tumshukuru sana Kwa kueakutanisha familia hii tena na tuwaombe wale wenye mitihani kama hii akajidhihirishe kwao. Thanks clouds fm. Uncle Taj Mungu akupe maisha marefu yenye heri njema na baraka🙏🏾
@mariamsingo9910
@mariamsingo9910 3 года назад
Daaaah! Nimelia, inahuzunisha ila Mungu ni mwema amewakutanisha tena mama na watoto wake. Sifa na utukufu virudi kwake
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 2 года назад
Mashallah ...mama anafanana na Hassan ....
@tanzaniatourismboard8395
@tanzaniatourismboard8395 3 года назад
Wamtumainio Bwana MUNGU ni Kama Mlima Sayuni. Ahsante Sana CLOUDS FM. Ahsante Sana Media.... Tujitahidi Tunapokuwa na Mahusiano ya Kimapenzi Tuwajue Ndugu wa Wapenzi Wetu..Na Tujue ASILI (alipotokea).
@najma3268
@najma3268 3 года назад
😭😭😭mungu awaweke muendelee kuwlewana , kwakweli baba mdogo mungu akupe umri mrefu
@laghtnesphilipo489
@laghtnesphilipo489 3 года назад
Machozi yamenitoka 😭😭😭 nimeumia roho yangu mama umewaona wanao mshkuru mungu huo ndo uzao wako sahau yaliyopita miaka 40 bila kuwa ona wanao Leo umewaona mwambie mungu Asante
@alextanzania
@alextanzania 3 года назад
Hiyo soundtrack aisee imechangia watoa comments walie pia, lkn fresh tu. Wazazi muache kugombana serious. Mgombane kiutani utani tu , madhara ndio kama hayo. Aksanteni clouds media kwa hili.
@lilliankathure9812
@lilliankathure9812 3 года назад
Aki nimelia sana nani kama mama mama yangu alifaliki nikiwa na12yrs na sasa I have 45yrs but Nina uchungu moyoni kukosa mama pls love your mother over ever
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 3 года назад
Pole sana dear mimi miaka 18 sasa sina mama namwombea apumzike kwa aman t😭😭😭
@consalvakileo8205
@consalvakileo8205 3 года назад
Pole sana
@rosehillary8742
@rosehillary8742 3 года назад
pole sana .
@FatumaSalimu-pn4vo
@FatumaSalimu-pn4vo Год назад
Jamani wegne wanabahati sana mm mwenyewe namtafata mam yangu Wala simjui tulipotezana nchini Kenya Soweto nipo baba tuuu
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 2 года назад
Hii style au kipindi hiki tunaomba kiwepo daima ina hamasisha sana watu kujuwana kukutana na wapendwa wao
@salmalopezsalmalopez524
@salmalopezsalmalopez524 3 года назад
Nimelia sanaa nawaza lini na mimi lini nitakutana na kaka yng tulio changia baba bahati mbaya mzee ameshafariki na yeye mama yake amefariki miaka 21 sasa sijamuona inshallah ipo siku nitaonana nae
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Maskin pole sana mtafte jmn
@alexlugembe4816
@alexlugembe4816 3 года назад
ni mimi hapa
@mtumweusy4652
@mtumweusy4652 3 года назад
Ni mimi umepata pesa
@marthageorge9528
@marthageorge9528 3 года назад
Mungu atawakutanisha
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 3 года назад
Tumia jina lako halisi sio lopez kuongeza chance ya mtu kukutambua sasa lopez hilo la huko colombia na mexico
@enterenter1921
@enterenter1921 3 года назад
Ashukuriwe Mungu muweza wayote
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 3 года назад
Nimelia mm sana jamani . Hongeren sana sana kwa kujumuika na mama yenu.
@dayfridassey3799
@dayfridassey3799 Месяц назад
mzee taji! big up....
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 3 года назад
Daaaaah! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Haya Mambo hapo Jamani. MUNGU mshike mkono mdogo wangu nae ,aonana na watoto wake.ni miaka 17 sasa. Tengeneza njia iliyofungwa ifunguke...Kama ulivyowafungulia hawa.hua najaribu kuvaa viatu vyake havinitoshi.nabaki baumia Mno. Ni hapo Kenya tu ..Ila inashindikana!.. MUNGU kumbuka sadaka za Mdogo wangu.umjibu.😭😭😭😭😭
@neemachemtairealtestimonyk9710
@neemachemtairealtestimonyk9710 2 года назад
Kenya upande gani naeza tress
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 3 года назад
or indeed cloud fm is the best channel congratulations to all presenters of the show you are eligible for the award of the year or century
@lightnessmungaya3280
@lightnessmungaya3280 3 года назад
Kwanini baba kumsukuma mama , lakini hiii sehem imeniumiza sanaaaaa imenikumbusha mbali sanaaaaaaa
@lizzy2423
@lizzy2423 3 года назад
Yaani nimelia kwa uchungu mwingi. Wanawake tunapitia magumu mengi na watoto wetu. Lkn mungu alijua iko siku furaha ya watoto hawa na mama yao itarejea. Na pongezi kwa Baba Mdogo kwa kuwalea watoto
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 года назад
Ningepotezaa fahamu kabisaa nikizinduka nipoteze tenaa faham jamani sijui ingekuwajee lakinii tuaminii kuwa mungu yupoo jmn mungu yupooo live kbsaaa 🙏🙏😭😭😭😭😭
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 года назад
Usiombe kukua /kulelewa bila mama ktk umri mdogo weeee .wenye mama wanaitwa pembeni kupewa vya zaidi
@jamesathanas8702
@jamesathanas8702 3 года назад
Daa hongera sana Jirani kwa kumpata mama.mungu awabariki
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 3 года назад
Hakika nimeuona ukuu wa Mungu🙏🙏😭
@jofreymligo457
@jofreymligo457 2 года назад
Daah inaumiza Sana
@evancelyimo6764
@evancelyimo6764 3 года назад
Ni mungu tuu .acha tuu sifa na utukufu ziwe zinayeye. Mungu ana mipango yake.
@babaamanda1809
@babaamanda1809 3 года назад
Kheri yenu nyie ambao mna mama ....sisi wengine mama zetu walishatangulia mbele za haki.....hatutawaona tena ....
@dangoteemmy2081
@dangoteemmy2081 3 года назад
😭😭😭😭😭 aiwish ningekuwa ni Mimi ndyo nakutana na mama angu sema mungu kampenda 😭rip mummy
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 года назад
@@dangoteemmy2081 pole my tukaye sawa hata mm wangu amefariki
@melissa_garden
@melissa_garden 3 года назад
Acha tu miaka 24 sàsa life without mama😭
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 3 года назад
Walllahi huwa natamani iwe ndoto mama yangu yuko sehemu 1day nikutane nae😢😢😢😢😢
@zabibumussa5398
@zabibumussa5398 3 года назад
Pole Dada hata mm kashatangulia
@surusuru1994
@surusuru1994 2 года назад
Pole saaan dungu bila mom miaaka 40 😢😢😢Hakika memepitia mangum
@gracesaimoni7927
@gracesaimoni7927 3 года назад
Jamani wanawake tukiacha watoto tuwe tunakumbuka kuwafatilia ata kama mwanaume ataki sio kukaa kimya
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 года назад
Aliwafatilia baba ndio mbaya alikuwa anawahamisa kila akugungua wapi Sehemu anaenda anakuta wamehamiswa
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Kumbee masikini alikuwa anatafuta jamani
@blessedi8138
@blessedi8138 3 года назад
She tried na hakna siku alichoka hadi hii siku aliwapata..Mungu na aitwe Mungu
@hajarasaidi1086
@hajarasaidi1086 Год назад
daaaah naomben na mm mnisaidie kutangaza ninakaka yangu aliondoka mwaka 2014 had leo hajulikan alipo anaitwa YAHYA SAIDI YUSUFU
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 3 года назад
Subhanallah Jamani..... polen sana sana.
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 года назад
Daa! Yaan huyu baba Mungu ambariki kiukwel
@magdalenaezekiel2176
@magdalenaezekiel2176 3 года назад
Ma jarbu kuvaa viatu vya huyu mama ten a nahc vnanibana kea kwel😥bt mi pia ni mzazi pia in a im a sana machungu , machoz ya furaha baa da ya kukutana mungu you mwemaa 🙏
@salamalumelezi3438
@salamalumelezi3438 3 года назад
😭😭😭😭aisee mbona nmelia hivi? Ila hyo baba jamani kisa nini mpk kuwaseparetisha watoto na mama yao daah!!
@hellennkirote777
@hellennkirote777 3 года назад
So emotional as a mother to be separated from your children. So men though.... Watching from Kenya
@marymrsnbb752
@marymrsnbb752 3 года назад
Watching from dubai
@lilliankathure9812
@lilliankathure9812 3 года назад
God is good all the time, iwish my mum was alive
@lilliankathure9812
@lilliankathure9812 3 года назад
Watching from Taveta Aki ni mungu
@nooor1120
@nooor1120 2 года назад
@@lilliankathure9812 what about your mom dear?
@mapambanowilliam2849
@mapambanowilliam2849 3 года назад
Hongereni sana kwa kumpata mama Mungu Ni mwema
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 года назад
Msameheaneni tyuuu na uzeeni huku ili mfe kifo chema,wazazi ugomvi wenu msisababishe uwaathiri na watoto.jamani Mama ananafasi kubwa Sana kwa malezi ya watoto wetu
@rosehillary8742
@rosehillary8742 3 года назад
nimelia jamani ....hapana baba aliwakosea saana watoto . mungu ahimidiwe
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 года назад
Kumbe inawezekana.in shaAllah ipo siku na Mimi ntamuona kakaangu
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 года назад
ana muaka mingapi kaka ako me kaka angu aliondoka sijazaliwa leo nna miaka 23 hajawahi onekana
@sheirasaid3623
@sheirasaid3623 3 года назад
Mwanahamic amafanana na mama ake maskin, dah dunia hii
@nkugi
@nkugi 3 года назад
Kweli
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 года назад
Yaani nimelia Sana Sana . Mungu nitunzie watoto wangu.
@sikujuajonas3361
@sikujuajonas3361 3 года назад
Hata Mimi naamini ipo siku furaha yangu itatimilizwa😭
@salehalbasam41
@salehalbasam41 3 года назад
Inshallh
@diddyalhad3202
@diddyalhad3202 3 года назад
Ucjal mpenzi mungu nawe atakusaidia
@khadijahilal3016
@khadijahilal3016 3 года назад
Pole sana
@seouliteawon8903
@seouliteawon8903 3 года назад
Mtafute Dada Gea ndoto yako inaweza kutimia mpendwa
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 3 года назад
Mimi pia nipo katika shida Io ila wababa natamani baba emy wangu uione hii
@EmmyNas
@EmmyNas 3 года назад
Amina jaman may her soul rest in piece🙏😭
@lovenessgodson1075
@lovenessgodson1075 3 года назад
Ila damu nzito sana mama ameuliza mara tatu Amina Amina Amina yani alikuwa na hofu kabisa kuwa mwanae hayupo kaishia kuguna tu😭😭😭
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 3 года назад
kabisaa jaman hadi huruma😭😭😭
@marieconnect6389
@marieconnect6389 3 года назад
Jamani somo hilo. Jiulize hivi siku ukiondoka utaacha kumbukumbu gani hapa duniani? Watoto unazaa wa nini kama huwezi kuwajali na kuwatunza? Unazaa unamtelekezea nani majukumu? Unaleta watoto duniani kuwatesa hivi kweli? Unaona mke ili umtese namna hio kweli? Kupiga na kumnyang'anya watoto!!! Hukumu yake ni kubwa jamani tumwogope hata Mungu. Nimegusika sana aisee
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 3 года назад
Wallah tumelia sote MUNGU ni mwema sn twaomba ututunzie wazazi wetu na waliotangulia mbele za haki awarehem
@nanceaidan6622
@nanceaidan6622 3 года назад
Maisha haya kina mama tunapitiaga magumu sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😱😱
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 3 года назад
Na Hassan amefanana na babake mdogo ma shaa Allah ukiambiwa ndio bbake mzazi utaamini tu
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Kabisa
@asinahkidenya7945
@asinahkidenya7945 3 года назад
Kweli hii redio balaaa
@shamsakihobya4811
@shamsakihobya4811 3 года назад
Mama alipomuulizia Amina mara tatu nililia sana roho iliniuma.
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Hii kitambo sana
@browrinah9357
@browrinah9357 3 года назад
Duuuuh jaman poleni na hongeleni kwa hili jambo, pia vyombo vya habari tunashukuru sana...🙏🙏🙏
@humphreynyiti516
@humphreynyiti516 3 года назад
Kweli nimelipa sana
@wasohaya
@wasohaya 3 года назад
Mola awape upendo zaidi mushikamane na kuishi maisha ya furaha!
@wasohaya
@wasohaya 3 года назад
Hii ni ishara tosha kutoka kwa Mola hakuna lisilowezekana kwake Allah na kwake akitaka jambo ni " Kun Faya Kun " yaani nikutaka liwe na linakua tu kwa njia na sababu zake.
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 года назад
Mama nimama jmn bamdogo kajitaid mama asijue Amina alifariki kwa muda huu mpk akitulia kamjibu Amina yupo Dodoma kajitaid kumuangalia Asha asiseme lkn Asha hakuelewa, mama amekazan Asha Amina yuko unazan utasemaje 😭😭😭😭
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 4 месяца назад
Aisee hadi nimelia kabisa
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 3 года назад
Mungu ni mwema,alipigwa kipayupayu na mke mwenzake,Asante Yesu kwa wema wako.Maishaa
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 года назад
Jamani imeniliza, kwa kweli mara nyingi wanaopata changa moto, ndio wanakuja kufanikiwa mungu awalinde
@winnieseme5492
@winnieseme5492 3 года назад
Kabisaaaaa.
@bibisima1581
@bibisima1581 3 года назад
Naangalia huku chozi lanitoka jamani furaha ilioje....Nina binamu yangu nae alinyanganywa watoto na akaja onana nao after 40yrs
@olaissaitoti3550
@olaissaitoti3550 3 года назад
Hii ndio mana halis ya redio ya watu sio mchezooooo
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 года назад
Mama kashusha mzigo mzito maskini mungu awabariki sana
@marieconnect6389
@marieconnect6389 3 года назад
Nalia na wazazi sababu watahusika kufanya maamuzi. Waangalie madhara ya mbeleni kabla ya kutenda jambo. Luachana si ajabu lakini mnaachana kivipi ndiyo muhimu. Si lazima muwe maadai jamani, elewaneni kwa ajili ya watoto wenu
@lightmoshi3131
@lightmoshi3131 3 года назад
Hongereni sana clouds, mimi babaangu aliwah kumwambia kaka yetu kuwa anawatoto wawili wapo dodoma alimwabia tu kama story na akafariki sasa natamani sana kukutana nahao ndungu zangu nasijui nitawapataje
@AzainTv
@AzainTv 3 года назад
MwenyeziMungu Atakufanyia wepesi dada angu usikate tamaa!
@godfreyjames8582
@godfreyjames8582 3 года назад
Kama Mungu alivyofanya kwenu mmshukuru binafsi nami natamani kumuona baba yangu mzazi kwani Leo ni miaka 29 bila kumuona je yu hai?? Eeeh Mungu ww wajua
@wilsonthomas9176
@wilsonthomas9176 3 года назад
Pole sana ndugu wewe ni Kama mm tu tufaut ni miaka mm 25 cjawah kumjua kabisa ila wacha nitafute pesa ntampata tu
@azizaathuman7607
@azizaathuman7607 3 года назад
typo wengi mpenz nam nilimuona baba nikiwa na miaka mitatu mpaka leo ninamiaka 24
@lilianhairbraids616
@lilianhairbraids616 3 года назад
Pole sana dear utampata siku moja
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 3 года назад
Pole sn my 😢😢😢
@godfreyjames8582
@godfreyjames8582 3 года назад
Poleni sana wezangu katika haya
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 3 года назад
Wakiume anafanana na mama ake baraaa
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 3 года назад
Hongera sana mama ni mama msameeni mpokee vizuri ni changamoto ya maishs
@kadokemarco9966
@kadokemarco9966 3 года назад
Miaka 40 ni mingi sana jamani! acha kaisa lazima ulie
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 года назад
Ni miaka 43....kasema mama toka mwaka 1978
@ziadaissa7550
@ziadaissa7550 3 года назад
@@shifaaal-baity4503 jaman nimelia sana
@rahelgika3870
@rahelgika3870 3 года назад
M/MUNGU tulinde na ututee wamama wote tunaopita kwenye mapito magumu kwenye ndoa ili tu watoto wetu wasitange tange 🙏🙏.
@happybonphasy6464
@happybonphasy6464 3 года назад
Furaha huku majonzi na Mimi namtafuta babangu Stefano boniphace tulipotezana mwaka tisini na tano
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 года назад
Hakika Mungu atusaidie Nimelia kwa uchungu mkali Mno,mama kwa wanae, Mungu kamkutanisha na damu yake.acha mungu aitwe Mungu.
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Poleni jamon na hongereni sana kumpata Mama 🙏🙏🙏
@venahsithole6463
@venahsithole6463 3 года назад
Nimesikia uchungu sana mpaka machozi yamenitoka
@hafsaantoni1956
@hafsaantoni1956 2 года назад
Jamani Mimi naitwa Antoni nuguti namtafuta Dada yangu anaitwa sophia ...mama yetu anaitwa Regina maganga ni MTU wa shinyanga
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 2 года назад
Nakumbuka miaka y nyuma watu walikua wanasaulinaka kwasababu kutotembeleana kwa mda mrefu miaka kumi na zaidi hata ikitokea misiba ni watu wazima wanakwenda mawasiliano mpaka barua au ndugu aje nyumbani kwenu ndiyo utawatambua Sasa hivi mawasiliano Kila mahali tuna shukuru mungu
@agaowajouniar6614
@agaowajouniar6614 3 года назад
Mimi nimelia saaan na hivi sina mama ndo kuzidi mtu akiniliza kidog tyu machoz hayo duuh kuondokewa kubaya
@husseindemwa7802
@husseindemwa7802 3 года назад
Very Emotional mnasababisha tunatokwa na machozi kwenye daladala.
@jujuwaida5443
@jujuwaida5443 3 года назад
🤣🤣🤣umenifanya nicheke huku nalia
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 года назад
Jamoon
@simplyfay5308
@simplyfay5308 3 года назад
Hahaha jmn kwenye daladala tena😂😂😂😂😂
@prettyh7509
@prettyh7509 3 года назад
Subhana llah nimelia
@pracxedismathias5555
@pracxedismathias5555 3 года назад
dar nimejikuta nalia na wanaoliaa😭😭😭😭😭😭
@fatemabrundi1308
@fatemabrundi1308 3 года назад
Mashallah
@glorymziray4153
@glorymziray4153 3 года назад
😭😭EMungu nisaidie na Mimi nimpate dada yangu nimiaka 25sasa jamani tangu aondoke kwenda Kenya alichukuliwa na ndugu wa mamkubwa baada ya msiba wa mamkubwa ndohakurudi Tena ndugu wakiulizwa wanasema nao hawajui aliko EMungu fanya Jambo 😭😭😭😭😭Anze wetu Arudi
@maryaidan7745
@maryaidan7745 3 года назад
Nimelia machozi mengi San polen wapendwa
@ummymsangi1204
@ummymsangi1204 3 года назад
Dah polen Sana nahongereni kwakukutana namama yenu
@SalmaSalma-sd5we
@SalmaSalma-sd5we 3 года назад
Kwa kweli mungu ni mwaminifu na anajibu maombi
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Nimelia pia jmn mungu ni mwema
@zulfamkawa3834
@zulfamkawa3834 3 года назад
😭😭😭😭😭dah nimelia aisee kwakweli hakuna kama mama
Далее
kwa Mavazi yako utatambulika Bishop Gwajima
1:48
Просмотров 6 тыс.