Тёмный

WAZIRI AWESO AMTUMBUA BOSI RUWASA - "HUFAI, CHUKUA MABEGI YAKO ONDOKA, MHANDISI AKAMATWE" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

WAZIRI AWESO AMTUMBUA BOSI RUWASA - "HUFAI, CHUKUA MABEGI YAKO ONDOKA, MHANDISI AKAMATWE"
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@mawazomichael4769
@mawazomichael4769 3 года назад
Huyu Mh. anajituma Sana namuomba Mungu one day aje awe Rais wa JMT.
@issaidrisamusa8437
@issaidrisamusa8437 3 года назад
Aweso ,, Uko vizuri No Discipline No Work . No obligation Out of work ,
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 года назад
"Ukishiba chezea kidevu chako sio kazi" hahahaaaààaaaaaaaaaaa halooooooo 😁😁😁 na ukizingua nakuzingua. 👍
@jumaaman6260
@jumaaman6260 3 года назад
Duh huruma Sana wazee wanataabika. Pole Sana mzee wangu.
@Damiannello
@Damiannello 3 года назад
mhanidisi alieko ileje wilaya ya songwe,, hafai kabisa nimeenda kule na ndonyumbani yaaaani matenk ya maji yamejengwa chini ya kiwango na yametelekezea hamna kitu kabisaaaa Waziri kazi yako inaonekana...safi
@africayetutv329
@africayetutv329 3 года назад
Safi sana unatupa matumaini kaka roho ya Jpm Mungu akutangulie
@EmmanuelJoackim
@EmmanuelJoackim 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana baba
@user-cg9yd9dw5n
@user-cg9yd9dw5n 7 месяцев назад
Mungu aendeleekukupa ujasiri
@EmmanuelJoackim
@EmmanuelJoackim 6 месяцев назад
Mheshimiwa upo vizuri sana mungu akubariki sana
@aloycesamba998
@aloycesamba998 3 года назад
Hongera sana mheshimiwa kwa kazi nzuri unayofanya,tena rombo kero ya maji ipo tangia miaka mingi sana
@deodatangereza960
@deodatangereza960 3 года назад
Unataka ajitetee nini na kwa nani endapo mtendewa ni mwananchi.hakuna kulea ujinga,kipimo cha kazi vigezo vinavyokidhi mahitaji ya mwananchi. Aweso kazi iendelee.
@melejilendakwi3698
@melejilendakwi3698 3 года назад
Mh waziri wa maji unajituma sna na mungu akusaidie katika kazi yako tunaomba uje Tena ngorongoro Hasa kata ya kakesio kwani tunashida kubwa ya maji
@nestoemanuel2821
@nestoemanuel2821 3 года назад
Bro ! Uko vzr hongera sana👍
@furahamwajeka7463
@furahamwajeka7463 Год назад
Hongera aweso
@magrethmeela154
@magrethmeela154 Год назад
Safi Sana waziri bado marangu rauya hatuna maji miaka yote baba
@miritonbikura5487
@miritonbikura5487 3 года назад
Nakubar kaka
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 года назад
Kijana unabusara na uendelee hivyo wabane sana vijijin ndiko tatizo kubwa kwakua hao wazee wa vijijin wanaonewa sana
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 3 года назад
good work
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 года назад
Huyu ndiye aliyebaki na Kalemani. Matendo mengi maneno kidogo...
@manasejohn9106
@manasejohn9106 3 года назад
Hongera waziri Aweso nahitaji san namba yako waziri wetu upo vzr kiukweli
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 года назад
Wananchi saivi hamuwawezi wameamua kujipambania hahahaha tumbua tu kijana wetu aweso!!
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 года назад
Mzee anaongea vizuri dah utadhani anasoma kweli wananchi sasahiv hawana uwoga
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Год назад
Owesoo kamtumbua mhandisi then anamtaka aseme oyeeee
@user-bt7ki5pz9t
@user-bt7ki5pz9t 6 месяцев назад
Anastairi kuwaa ata waziri
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 3 года назад
Safi sana njoo songwe
@businessclassidmc970
@businessclassidmc970 3 года назад
Mbotwa wa Wapi ndugu yangu, yamkini wewe ni ndugu yangu maana mimi ni mzaliwa wa Sumbalwela.
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 3 года назад
@@businessclassidmc970 Mjukuu wa chilalika je ww ninani na unaishi wapi
@businessclassidmc970
@businessclassidmc970 3 года назад
Kwa sasa nipo Dodoma, ila wiki iliyopita nilikuwepo kwenye Msiba wa Babu yetu Marko Mbotwa.
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 3 года назад
@@businessclassidmc970 poleni nilipata talifa nikiwa sipo yule ni babu yangu baba mdogo tukonaye Tunduma poleni nijilani na akina kitaa toka Shuleni kwa mbele akinamsomba (marehemu Mngasalagha)
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Mh. Uje na kibondo kifura tunateseka babamaji hakuna wakutusaidia
@eliyahrobert9340
@eliyahrobert9340 3 года назад
Huyo nzee mnaa kinyama duuu
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Год назад
Hahaha Owesoooooooo shikamooo mdogo Wangu chapa kazi.
@salumukatumbi9460
@salumukatumbi9460 Год назад
kwa sekta ya maji uko powa
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 6 месяцев назад
Sio ikibidi wafungwe
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 года назад
Tanzania hiiiii mpaka UKWELIII uje usimamee masikini tutapata taaabu sanaaa. Na kupata viongozi kama hawa. Mmmmmmh. Mungu ASIMAMEEE KWA KWELIII
@bbmediafirm
@bbmediafirm 3 года назад
baba mzazi
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 3 года назад
Dogo uko sawa
@errydeo8865
@errydeo8865 3 года назад
JPM PRODUCTS WALOBAKI
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Njoo Matemanga Tundutu maji ni shida maji tunakunywa Mchororo ni hatari sana.Kwa mwezi maji ya bomba tunapata mara chache Mhe.
@malikidaudi2517
@malikidaudi2517 Месяц назад
Waziri tunaomba uje huku krk mikoa mingine
@jamesmpeter8710
@jamesmpeter8710 3 года назад
Huyu mzee balaa
@captenndunga6745
@captenndunga6745 2 года назад
Nakupongeza muheshimwa ila hapo kwenye pesa ya mama samia umekosea pesa ni za wananchi sio za kwake za kwake anafanyia mambo yake.
@abdullahrashid6297
@abdullahrashid6297 3 года назад
Huyu mzee inaelekea alivyokuwa kijana alikuwa Mkuda Mbaya
@stephanogallet3461
@stephanogallet3461 3 года назад
Waziri wa maji tunaomba ufike hapa Arusha kwani maji bado ni changamoto
@madeestar5228
@madeestar5228 3 года назад
Waziri Zanzibar kunakuhusu
@jasminseleman-uw5oh
@jasminseleman-uw5oh Год назад
Waziri tunaomba ufike moshi vijijini maji hakuna kabisa
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 3 года назад
Maisha yanaendelea
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 года назад
Kqcjukuwe soda kaka nakuja kulipa
@wilsonlusasu8069
@wilsonlusasu8069 3 года назад
Waziri njoo na kwetu shinyanga vijijini kata ya mwantini kijiji Cha mishepo
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 года назад
Nae bina damu kwani hachoki
@benderarulenge8898
@benderarulenge8898 3 года назад
Sjaelewa mradi wa wafadhiri au serikali,
@afamefunaokeke6966
@afamefunaokeke6966 3 года назад
kadanganya waziri haogopi kufinywa...😋
@ernestlocken4500
@ernestlocken4500 Год назад
Waziri awesso wewe tunakuamini uswahilini arushA no water tafadhali
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 6 месяцев назад
Hawa watu kuanzi juu mpaka chini mikoani ni majizi wafukuzwe kazi na wafungwe majizi saana msiwaache wakamatwe wahojiwe ni wezi saana wamekula pesa zoote
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 года назад
Tunaomba na pesa zetu waludishe
@user-ns3ee9xp9d
@user-ns3ee9xp9d 3 года назад
muheshimiwa aweso nenda na mtwara kidogo kwenye wilaya ya Tandahimba hasa kwenye kata ya Nanyanga ukaangalie mavirigiza kama hayo usipofanya subra wewe mwenyewe waziri utalia.
@georgevalilanga7412
@georgevalilanga7412 3 года назад
Duu cjawai sifi ila kwako aweso fanya kazi ivyoivyo utakuja kua kiongozi mkubwa sana uko mbere
@antonjohn8865
@antonjohn8865 3 года назад
Pumbavu sana nyie
@ndulujilala9643
@ndulujilala9643 3 года назад
Mzee punguza kuongea dah
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 года назад
Apunguze kuongea kuna pumba umeona ameongea hapo jielewe
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 года назад
BADO MNAFUATA SIASA ZA DIKTETA MWENDAZAKE.
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 3 года назад
Ulitakaje??
@texastexas2545
@texastexas2545 3 года назад
Achakutombwa mbwa wewe🖕🖕
@shadrackzablon5983
@shadrackzablon5983 3 года назад
We ndimi wanakufira
@athumanijuma3085
@athumanijuma3085 3 года назад
Huna akili hata moja ww
@ramadhanchiiza9215
@ramadhanchiiza9215 3 года назад
Hakuna kubembelezana kuna watu wengi wamesoma na waadilifu hawana kazi anaezingua timua weka mwingine hata huyo mhandisi wa mkoa na yeye alitakiwa kutimuliwa mh. Na huku temeke waires maji ni shida yanatoka kwa siku mara moja tena kwa masaa yakitoka saa 11 alfajir mpk tena alfajiri inayofuata njoo na huku utumbue hasa mtaa kitomomdo maji ni shida
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 3 года назад
jembe la maguful
@allysaidallysaid4530
@allysaidallysaid4530 Год назад
Majembe ya magufuli hayo
@user-cg9yd9dw5n
@user-cg9yd9dw5n 7 месяцев назад
Mungu aendeleekukupa ujasiri
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 3 года назад
Good job
Далее
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 532 тыс.