Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

🔴#Live: MAKONDA AKASIRIKA VIBAYA - AWATUMBUA WATUMISHI JUA LIKIWAKA - WANANCHI WASHANGILIA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

29 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@bekabakari7394
@bekabakari7394 2 месяца назад
Mfano uwe kwa Makonda Wakuu wote wa mikoa Tanzania Waige kutenda kazi kama hivi Mungu akubariki sana Makonda Love from London
@dorahy1579
@dorahy1579 2 месяца назад
Yaani Makonda amewaxima Wakuu wote wa Mikoa utafikili wamefariki. Angalao kuna mtu anachemsha Tanzania tena. Fanya kazi kijana. Mwenyezi Mungu akulinde.
@zomasamweli
@zomasamweli 2 месяца назад
Makonda Mungu akujalie uwe Raisi wa 🇹🇿
@fatmamussa2927
@fatmamussa2927 2 месяца назад
Waziri Mkuu
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt Месяц назад
Raisi Makonda hongera.
@user-zr8lq9lo8y
@user-zr8lq9lo8y 2 месяца назад
MUNGU akuongoze mheshimiwa Paul makonda 🙏🙏🙏🙏
@dottomatola5905
@dottomatola5905 2 месяца назад
Pole mkuu
@user-ld6ly9wb6l
@user-ld6ly9wb6l 2 месяца назад
Mh Makonda Mungu akubariki sana
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 2 месяца назад
Makonda ni Mwanaume mwenye kudhubutu na kutoa maamuzi magumu , pale panpostahili.
@Elias-gy8qu
@Elias-gy8qu 2 месяца назад
E mungu tunaomba utichagulie makonda awe rais wetu kwani yupo vizuri kweli kulingana na matendo anayo yafenya yanatuonyesha kwamba ni kiongozi alie bora
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Amiin
@iammedik3924
@iammedik3924 2 месяца назад
Keep it up
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 2 месяца назад
Hapo hata Mkurugenzi ni Mzembe maana anapaswa kufuatilia utekelezaji wa kila robo nusu mwaka nk
@user-iw4vc3yj1y
@user-iw4vc3yj1y 2 месяца назад
Watumishi wa umma walio wengi ni majitaka hawafai hata wa samadi, ni matapeli kuzidi haina haja ya kuwasamehe piga risasi tu
@henrychacha5592
@henrychacha5592 2 месяца назад
Mimi natamani Ally Happy pia awe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
@Zubaiba
@Zubaiba 21 день назад
Sawa kabisa
@bakarikasimu-gn8xj
@bakarikasimu-gn8xj 2 месяца назад
Nuru popote itakapokuwa itanga'aaa tuuu, hata kana itawekwa gizani tupo pamoja Makonda fanya kazi
@NeemaNey-mp2fi
@NeemaNey-mp2fi 2 месяца назад
Makonda bila ushabiki wa vyama mm naona tu Bora ugombanie urais unafaaa na mungu akujalie
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b Месяц назад
Inshallah
@kepherbwonya1729
@kepherbwonya1729 Месяц назад
Huku kwetu Kenya tutapata lini Makonda utunyoshee mafisadi wenye ubadharifu wa mali ya uma.
@MeshackNsyengura
@MeshackNsyengura Месяц назад
Talifa ya lais yauteuzi wa wakuu wa mikoa
@slimmtani8236
@slimmtani8236 2 месяца назад
Mungu tunaomba utulindie huyu kiongozi Paul makonda
@aronmtui597
@aronmtui597 2 месяца назад
Achana na mambo ya chama kwa sasa
@aminashayo9263
@aminashayo9263 2 месяца назад
Yani ukiwa mbele ya RC Makonda kujibu swali ni kama vile uko mbele ya Pontio Pilato jibu unalo ila unajibu kinyume nyume kwa sababu ya ule utiisho wa Mungu ulio ndani ya Mheshimiwa Makonda😃😃Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa unajikuta umetamka Mkweshimiwa kwuukwa Mkoa, wavivu, wazembe, wapigaji tunawasalimia🙋‍♂🙋‍♂
@HamisiIzina
@HamisiIzina Месяц назад
Vurungu kenya
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k Месяц назад
😅😅😅😅 gambo kamchana live DC
@HamisiIzina
@HamisiIzina Месяц назад
Vurungu jenya
Далее
I Built a EXTREME School Bus!
21:37
Просмотров 8 млн