Тёмный

ALIYEKAA JELA MIAKA 43 AKAKATWA MGUU, ASIMULIA MAZITO ALIPOKUWA GEREZANI na MAISHA YAKE SASA 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 45 тыс.
50% 1

ALIYEKAA JELA MIAKA 43 AKAKATWA MGUU, ASIMULIA MAZITO ALIPOKUWA GEREZANI
Ni SIMULIZI za wazee wafungwa wa maisha jela walioachiwa huru na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli Desemba 09, 2017, baada ya kukaa jela kwa miaka 43 wakitumikia kifungo cha maisha kutoka kifungo cha kuhukumiwa KUNYONGWA.
Baada ya Mzee Aloyce Mwalongo na Mzee Raphael Mlyuka kusimulia ya kwao, leo ni zamu ya Mzee Yohana Chengula kusimulia yaliyomkuta gerezani hata akakatwa mguu.....
#Kunyongwa #MzeeAloyceMzeeRaphael#MzeeYohana
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:www.youtube.co...

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 4 года назад
Magufuli umetumwa na Mungu kutetea wanyonge. umefuta machozi ya huyu mzee Chengula. nimefarijika sana na kisa hiki. hawa watu wapo wengi humo magereza. Nyerere na Magufuli mmefanya vzr sana.
@gabrielishmael5956
@gabrielishmael5956 4 года назад
How come Nyerere awe kafanya vizur while yeye ndie aliyemuhukumu kunyongwa??
@kulansventure2531
@kulansventure2531 4 года назад
Imenisikitisha sana na nimetoa machozi ila duniani hapa tunapita tu hukumu ipo kwa mungu tu
@venancegaspatv1961
@venancegaspatv1961 6 месяцев назад
Kila mwaka misamaha ya Wafungwa hutolewa ni takwa la kisheria si utashi wa Mtu.
@SAMISAI.
@SAMISAI. 4 года назад
God bless magufuli he is savior of innocent people.mtetea sauti za wanyonge wishing you long life i know you doing it and you will more en more.
@dorndet6179
@dorndet6179 4 года назад
Pole Sana.
@SAMISAI.
@SAMISAI. 4 года назад
Nisafari ndefu tangu enzi za nyerere but finally God sent a savior to finalize wasiojiweza THANKS GOD FOR MAGUFULI TANZANIA am a tanzanian by blood but living outside Tanzania.
@user-wv5fq1bm5x
@user-wv5fq1bm5x 4 года назад
Subhanallah malipo yako yupo utayakuta mbele ya Allah kwan kila mtu ataenda kuulizwa kwa yale alikua akiyafanya
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
كلثوم يوسف naam Allah muweza. naamini Allah analipa
@cindymacho5282
@cindymacho5282 4 года назад
Dunia hii kuna mapolice watachomwa moto uku wanatembea duniani na watatoa hesabu mbele ya mungu na Mungu atawapaka mavi mavi kwa neno lengine ni aibu. Hakuna chozi la mnyonge au haki ya mtu kupotea yatalipwa back
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 4 года назад
Pole sana baba yngu inauma...Khakika mungu hutenda miujiza kwa mja wake namna ajuye yeye
@renfridaflorence4380
@renfridaflorence4380 4 года назад
Pole sana Baba.. Jamani selikari muwe mnaliangalia hili huyu baba kazulumiwa haki zake za msingi jamani
@lightnessmmbando4229
@lightnessmmbando4229 4 года назад
Thank my Lod for my life ee Mungu wakumbuke walio fungwa bila hatia
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
lightness mmbando amiiiin mungu anajua
@selemanikisalo5060
@selemanikisalo5060 2 года назад
Pole mzee wangu
@mustyquesofistyque4527
@mustyquesofistyque4527 4 года назад
Pole sana baba yangu
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 4 года назад
Pole Sana babaangu.
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
o ALLAH. mungu anajua mungu muweza. shukran Allah hakika Allah muweza pole baba
@selemanikisalo5060
@selemanikisalo5060 2 года назад
Mzee pole sana imeniuma sana pole sana
@alijuma6502
@alijuma6502 4 года назад
Pole sana mze wangu. Mungu wetu sote ndo tunamtegemea. Namagufuli kaletwa namungu
@reginardtibishubwamu1522
@reginardtibishubwamu1522 4 года назад
May God keep presder magufuri well ever
@deboramrema2861
@deboramrema2861 4 года назад
Pole baba Mungu ameshakuokoa
@ramadhaniamri3465
@ramadhaniamri3465 2 года назад
Mungu Baba Mwingi wa rekhema tunusuru na yale maisha,Maisha ambayo kula ni kwa muda maji kunywa ni kwa muda kulala ni kwa muda kuoga ni kwa muda Alafu unakaa Jela kwa kosa ambalo hauja fanya ,Mungu baba muondolee adhabu ya kaburi Hayati Raisi wetu John Pombe Magufuli...Aamiin
@Io-xz8bi
@Io-xz8bi 4 года назад
Mungu ndiye muhukumu Dunia tunapita pole mjomba 😭😭😭
@madunaukovizuribabukazabut6763
@madunaukovizuribabukazabut6763 4 года назад
Pole sana babu
@lacheekah1849
@lacheekah1849 4 года назад
Pole sana baba kwa matatizo 🙏🏻
@rachelmikey8363
@rachelmikey8363 4 года назад
Pole sana baba yangu... I dunia iko na kila aina ya mitihani.
@lovenessdiva7132
@lovenessdiva7132 4 года назад
Pole babang
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 4 года назад
Mungu amtanguliye raisi wetu hembu angaliya watu kama hawa walikuwa wanateseka bure kabisa mungu nimkubwa kamleta magufuli amewackiliza watu wanyonge vilio vyao kwaniaba yamungu
@gladsonbaltazary7449
@gladsonbaltazary7449 3 года назад
Kweli mungu sisi hatunachochote bila ya wewe.....mungu wetu utusamehe makosa yetu hakika
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 года назад
Daaaah jamani
@oscarbenjaminkaaya4103
@oscarbenjaminkaaya4103 4 года назад
Sawa,ila kuna jambo linasahauliwa /linaachwa kwenye maelezo ya hawa watu,wanasingiziwa tu Polisi,ila Material fact ya case,ya kwa nini walihusishwa na hayo mauaji hawaiulezi!
@dinnatamson3150
@dinnatamson3150 4 года назад
Magu mungu akubaliki sana
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
dinna tamson amiiin
@eddydben
@eddydben 4 года назад
Aisee noma sana
@heriethjoram3298
@heriethjoram3298 4 года назад
Police police Omben toba kabla Mungu hajafungua kinywa chake
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 года назад
Nakwambia Polisi ni kama manyumbu
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 года назад
Nilikua nawazo baada yakufanya ahojiano na wasamehewa au waliotoka jela pia watafutwe askali nao wahojiwe kiundani nao tuwasikilize kwann wanawaonea rahia bila makosa?
@sumamdachi8144
@sumamdachi8144 3 года назад
Mtangazaji sasa duh
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 года назад
Bado Tuko Utumwani Mtandao Unasuasua Eti Unalipa Kodi MB Za Mkataba Hii Kweli Watumia MB Ndo Walipa Kodi Watu Wanakura Bata Unaingia RU-vid Mtandao Unaeka Tobo Tu
@christophermakunzo4232
@christophermakunzo4232 4 года назад
Kumbe mtu unaweza kufungwa au kunyongwa bila kufanya makosa daaah!!!
@eddydben
@eddydben 4 года назад
Sasa una wahoji kama waliokutwa na makosa,waliosingiziwa au waliosamehewa makosa??
@babucheenyahega2778
@babucheenyahega2778 4 года назад
Sasa utasema n ww story za abunuas
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 года назад
Ningekua mmi raisi ningeamuru wafungwa wazee wato watolewe hera
@sakinatanzanian5000
@sakinatanzanian5000 4 года назад
Masikin pole babu 1974yaan amri wa mama yangu pole sana bab mungu ndy atakulipia yote hay
@mohamed.hassani9917
@mohamed.hassani9917 4 года назад
Mimi nnaweza kuwa Babako maana mie born 1975
@sakinatanzanian5000
@sakinatanzanian5000 4 года назад
@@mohamed.hassani9917 ni vzr tu kwa maan mama yang kazaliwa mwak 74
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 4 года назад
Eti yule wa mtwara duh pole sana babu
@magrethmgaya8350
@magrethmgaya8350 4 года назад
Jmn bab mwee nmeumia sana pole san
@amribudi7870
@amribudi7870 4 года назад
Wabunge wetu hapa bado wamelala, hawapeleki suala hili kama hoja binafsi bungeni ili kuokoa watu ambao wanadhurumiwa nafsi zao
@sabraham5308
@sabraham5308 4 года назад
Haki ipo kwa Muumba/Mungu,sio kwa binaadamu.
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
S Abraham naam
@isamony58
@isamony58 4 года назад
Ataufee leo ww nimtu wapeponii babuyangu kwaazabuu ulizotipiya
@mkalimussa1846
@mkalimussa1846 4 года назад
Rais magufuli hata ukitok madarakan tutakukumbuka maisha yet na vizazi vyetu kwa wema wak
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 года назад
Picha Vip
@babarihana5896
@babarihana5896 4 года назад
Pore baba
@ashangalawa9492
@ashangalawa9492 2 года назад
Msikini amefariki huyu mzee
@happyalicko8571
@happyalicko8571 2 года назад
Daah😭😭
@praisesteven7774
@praisesteven7774 4 года назад
Kila MTU akitoka jela anasema kasingziwa SSA nan mwwny makosa jamn😂😂
@rumaiya2706
@rumaiya2706 4 года назад
Praise Steven 😂😂
@priscadavid5917
@priscadavid5917 4 года назад
Huyu baba nilienda Ukonga nikamkuta nikaongea nae kwa kirefu. Inasikitisha sana na Mungu ambariki Rais kwa kuona umuhimu wa kuwasamehe.
@ashangalawa9492
@ashangalawa9492 2 года назад
Amefariki
@priscadavid5917
@priscadavid5917 2 года назад
@@ashangalawa9492 This is sad...may he Rest In Peace.
@ashangalawa9492
@ashangalawa9492 2 года назад
@@priscadavid5917 yaani toka amefariki ni wiki sasa
@priscadavid5917
@priscadavid5917 2 года назад
@@ashangalawa9492 sad nakumbuka siku nimeongea nae.
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 4 года назад
Pole sana baba angu
Далее