Тёмный

ALLY KAMWE" SIMBA WAMEMPIGIA SANA MAGOTI CHAMA/HAWEZI KUCHEZA SHIRIKISHO/UBINGWA WA AFRIKA NI WETU 

Mpenja TV
Подписаться 502 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Mashabiki wa Yanga Sc Leo July 1,2024 wamefanya hamasa ya kuzunguka na kuimba mara baada ya siku ya Leo Timu hiyo kumtambulisha aliekuwa mchezaji wa Simba Sc clatous chota chama.

Спорт

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 3 дня назад
Kijana natoa ushauri ngao yà Jamii iwe CHAMA's DAY.
@robertnyangasa3758
@robertnyangasa3758 3 дня назад
Hii imeenda msemaji wetu weka signature kabisa hapa
@jafaribenta73
@jafaribenta73 День назад
غفر الله له وأسكنه الفردوس الأعلى
@rubenemanuel2240
@rubenemanuel2240 3 дня назад
Nzur sana hii chuma hiki.. Simba nguvu moja
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m 3 дня назад
Mwenyezimungu twakuomba mlaze mahala pema amii😢😢😢
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m 3 дня назад
Mwenyezimungu twakuomba mlaze maala pema yussuph manji amii😢😢😢
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 3 дня назад
Ally Kamwe ,, Prince Dube tunamtaka mnoooo
@user-ug1nv3xl4d
@user-ug1nv3xl4d 3 дня назад
Rip manji mw mng akupumzishe mahali pema peponi wakati yupo madarakan alifanya wananchi tuwe na furaha muda wote yanga ilikua ya makombe kama ya GSM tutakukumbuka daima shujaa wetu mbele yako nyuma yetu akika wote ni wamwenz mngu na kwake tutarejea.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 дня назад
Hakika Yanga tumempoteza kiongozi jasiri aliyeipenda Yanga kwa moyo wake wote!
@RauwrencMbwana
@RauwrencMbwana 14 часов назад
Simba sisi yanga tutawachapa Yani kichapo kipo palepale
@JohnMagofi
@JohnMagofi 3 дня назад
Ayaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
@leonidaskyarubota8145
@leonidaskyarubota8145 3 дня назад
Mbona mnachukua walio maliza mikataba si mvunje mkataba
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n 3 дня назад
Tuliza mtori nyama zipo chini.
@makamahenge1347
@makamahenge1347 3 дня назад
Yanisimba mchanganyikiwa Simba bado mlikuwa mnapenda sema alishagoma kusaini na hataangekuwa na mkataba msingetuuzia ndio tabia zenu vumilieni tu acheni majungu
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 3 дня назад
Kuondoka kwa chama sio mwisho wa simba mzee
@MartineChristopher
@MartineChristopher 3 дня назад
Kolo kumi zinakuhuxu
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l 3 дня назад
sawa sis tulimsimanga hata nyie mtamsimanga2 then atakumbka nyumbani usilale namke wamtu ipo siku atamkumbka mmewe
@bbanyikwa
@bbanyikwa 3 дня назад
Hicho kikosi ulichokitaja kuna timu zitaogopa kuingiza timu uwanjani😅😅😅😅😅
@fadhirhemed5740
@fadhirhemed5740 3 дня назад
Tukumbuke kumrehemu Yusuph Manji kwa hitma pale klabuni
@HappymassaoMassao
@HappymassaoMassao 3 дня назад
Kwan chama nani wachezaji wangapi wamepita. Simba utopolo furahini kwa sababu mmechukua mchezaji. Kutoka. Club. Kubwa. Ndio maana mna furahi
@BarakaMlowe
@BarakaMlowe 2 дня назад
Mwachen chama aende huko
@Andrew_Kibasa
@Andrew_Kibasa 3 дня назад
Aaah 😂😂
@ZarafiAlly
@ZarafiAlly 3 дня назад
Mamake maji wataita mma
@jovinmashauri7883
@jovinmashauri7883 3 дня назад
ila ali kamwe ni chizi kabsa😂😂😂
@FredyCharles-sz4gr
@FredyCharles-sz4gr 3 дня назад
Kuongea2 kuoga aaaah
@kombosiwa423
@kombosiwa423 3 дня назад
Siku zinahesabika
@tonymmbando4015
@tonymmbando4015 2 дня назад
Anawagawa wachezaji sasa
@MagrethMoleli-py3zu
@MagrethMoleli-py3zu 3 дня назад
Uko anaenda kuuwa kipaji chake sio kwa ushirikina uliokuweppoooo pale nyuma mwiko atajuta kwenda uko
@MagrethMoleli-py3zu
@MagrethMoleli-py3zu 3 дня назад
Ali kamwe akili hana
@yusuphenock673
@yusuphenock673 3 дня назад
Na bado
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 3 дня назад
Alikamwe siomzima
@rukiamtego
@rukiamtego 3 дня назад
😂😂😂 Ayaaaaaah
@OMARYJUMANNEMWINYIHERI
@OMARYJUMANNEMWINYIHERI 3 дня назад
Gazeti tusha lisoma miaka7 leo mnataka kweli hamjielewi,,,,,
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 3 дня назад
wee ndo hujielewi hahahahaha
@OMARYJUMANNEMWINYIHERI
@OMARYJUMANNEMWINYIHERI 2 дня назад
@@user-iz3hs8jl5p kazi yenu kungoja tuwachoshe wakishuka bei muwaokote halafu mnatulingia uo ni ushamba
@ZainabShomary
@ZainabShomary 3 дня назад
Alikamwe ungea kwa staa
@christophermpogole4944
@christophermpogole4944 3 дня назад
Huu ni ushamba
@chikualiy8705
@chikualiy8705 3 дня назад
Hatununi nahatutanuna tunajuwa yupo kazini 2
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n 3 дня назад
Kuwakera tuuuu
@JumaNdalla-wk4rh
@JumaNdalla-wk4rh 3 дня назад
Usajili wa kifala kuwahi kutokea
@user-qq5ze4lp7m
@user-qq5ze4lp7m 3 дня назад
kulen mjane, ss tunatafuta mwali
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n 3 дня назад
Wajane watamuuuuuu
@meshackmwalongo9798
@meshackmwalongo9798 3 дня назад
Kungekuwa naugumugani kumpata Mzee bwana Acha ubwege wewe
@binbadru8408
@binbadru8408 3 дня назад
Free agent!!? Zogo? He!! Nchi Ina wapenzi wajinga kweli hii
@SebaProcess
@SebaProcess 3 дня назад
Nikiwepo na Mimi 😂😂😂😂 ila ujinga Raha sana
@mchox1679
@mchox1679 3 дня назад
Mbappe anaend madrid as free agent na madrid wana shangwe balaaa itakua sisi
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n 3 дня назад
Bado hamjasema na mtasemaa
@user-bk4ug8tj3n
@user-bk4ug8tj3n 3 дня назад
Koloooooooo
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr 3 дня назад
Kwani ngoma na babaake saar muliwanunua?
Далее