Тёмный
No video :(

MUENDELEZO MTOTO ANAYEDAIWA KUUZWA NA MAMA MKUBWA/MAMA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA AFUNGUKA 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

#geahhabibu
#GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 626   
@barikisenga8257
@barikisenga8257 4 года назад
Tatizo sio kusoma tatizo mleteni mtoto kwa mzazi wake hata huku Tanzania pia anauwezo wa kusoma mtoto hafananishwi na bidhaa sokoni ww mama wa kituo haraka tunamtaka mtoto wetu japo sijamzaa mimi ila mtoto wa mwenzangu nikama wangu
@alicejohn4745
@alicejohn4745 4 года назад
Kweli yaumiza
@azizajuma2674
@azizajuma2674 4 года назад
Nakuunga mkono
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 4 года назад
Kabisaaaa
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 4 года назад
Mama wa kituo anaonekana ni muhongo
@africandarling6925
@africandarling6925 4 года назад
Swadakta mtoto mali weee asikuambie mtu mtoto mali kubwa hapa duniani weee jina shan leo Lisa Hata hayafanani kabsa doooo
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
Tatizo sio mtoto kulelewa sehem nzr tatizo kwann mama mzazi hakushirikishwa kumgawa huyo mtoto
@janealfa1979
@janealfa1979 4 года назад
Umeongea vizuri saana
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 4 года назад
Hilo nalo neno
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 года назад
Simu sizilikuwepo wangempigia angekuja nyumbani mbona wengine walikuwepo mbona awakuwashilikisha kulia kudada wa mama angemshilikisha mbona akumshilikisha
@allamki2661
@allamki2661 4 года назад
Uyu mama wakituo mmpeleke serikaleni wamrudishie mtoto wake
@mantoummantoum1392
@mantoummantoum1392 4 года назад
Ashilikishwe akiwa yeye alikuwa ana mda na mwanae
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 4 года назад
huyo mama kwanini wamem'badilisha jina huyo mtoto na kumuonyesha mama mwingine na pia kumwambia kuwa baba yake amekufa
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Si ndo hp kwann WA badili she Jina na wambie baba aje kf bc hl hawashindwi ht kumwambia mama ake kf
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 4 года назад
Ndio hapo Sasa wamembadilisha kisha wamemtoa mtt bila Idhin ya wazazi wake, halafu hapo wanajisafisha tuu kwakuwa wameshaona limeshafika kwenye vyombo vya Habari,, Yani Mda mwingine ndugu Ni Mtihan sana, Yani wanamwambia mtt baba alifariki kweli kabisa hawashindwi hata kumwambia na mama yako pia Alishafariki, Pumbavu zao haoo
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
@@aminaramdan3283 I inshu inanikumbusha inshu moja ivi ilikuwa ivi ivi mama kajifinguwa mtt wk ila alikuwa anaumwa sn yule mama mpaka kumnyonyosha mtt alikuwa hawezi ndugu WA kampeleka mtt kituo cha ya Tima wakasema mama ake anajuwa sn kwaiyo hatuna uwezo WA kununuwa maziwa akapokekewa pqle akapata mfaziri mzungu wle wanaotowa misahada kwa yatima wakamchukuwa wakaenda nae uraya ila ndugu WA mama walijuwa mama alifichwa wakaawatajia Jina tu lq mama ake wale wazungu bc wakaondoka nae mtt kaka kuwa wazungu WASHAKUWA wazee wakamwambia ukweli alikuwa na Miaka 25kuwa mqmq ako yupo tzd anaitwa ashura wakamtangaza vyombo vyahar magzazeti yule mtt alikuja ht tzd wakajitokeza Akina Ashura kibao 😁😁kusema ndo mama yqke bc akufanikiwa ikabidi aondoke lkn alikuwa analia sn bb cc alivyo kuwa anaohojiwa tqtizo akiambiwa Jina Ashura tu Akuna lq baba wala lq ukoo nq wenda mama Alisha kufa na pqle kituoni walikuwa tena hqwana mawasiliano nq Familia ht mama wakituo Alisha kufa bc duu yn uyu Dada akazane ivi ivi mradi mtt amjue mama na mama amjue mtt lasivyo mtt badae ataangaika sn
@janethmalaika5241
@janethmalaika5241 4 года назад
Je unajua sheria za adoption? Mtoto anapokuwa adapted they have a right to change the child name japo hawa hawakufwata utaratibu vizuri kabisa yaani walifanya process zote as if mtoto hana ndugu kqbisa hilo kosa kubwa sana ila kubadili jina nikawaida kabisa
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 4 года назад
@@nshonabdll9363 Subhannaallah Jamani, Sasa ndio yanataka kumkuta huyu Dada, mana wanamtoa mtt mama hajui kitu, Badae ndio mambo yanakuwa kama hayo, halafu hakuna MAWASILIANO Baina ya Mzazi na Mtt,
@mauasylla5024
@mauasylla5024 4 года назад
Siyo kweli. Huku Marekani shule haziishi Disemba. Kama ni New York , shule huanza Septemba na hufungwa Juni kila mwaka.
@bahatimsafiri7936
@bahatimsafiri7936 4 года назад
🤣🤣🤣🤣iyo n New York ya bongo ndugu yng
@maryannajoseph3087
@maryannajoseph3087 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@salmacazzy1915
@salmacazzy1915 4 года назад
Duuuu
@fatma2496
@fatma2496 4 года назад
Waongo, hata systeem Ya 🇺🇸 sio form 4
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Toobaaaaaa uwii
@hawamussa185
@hawamussa185 4 года назад
Geah msaidie huyo Binti apate mtoto wake please 🙏🏻🙏🏻na Mungu atakulipa Mtoto anauma mno 🙏🏻🙏🏻Msaidie wampe mtoto wake
@aminawaziri6307
@aminawaziri6307 4 года назад
Huyo mtoto atakuwa kauzwa bongo Sasa wanasema chizanje iliwajue kunakorona asirudi maana Alie mbunua anaweza danganya alimzaa yeye hatari tupu
@jacksonmalebo8567
@jacksonmalebo8567 4 года назад
Sana wampe mtoto wao kuna kitu wanakipata
@doreencharles8802
@doreencharles8802 4 года назад
Kwa kweli msadieni uyo mama hata haeleweki anachokiongea usitoe mawasiliano ya mtoto wa mwanamke mwenzakako na utafanyaje Jambo kubwa bila kushirikusha ndug had ufanye sir dam nzito kuliko Maj naona huyo mama anaongea kizungumkuti tuu huyo
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
New York hakuna darasa la Saba dada Gear!
@mwanaulaaula8856
@mwanaulaaula8856 4 года назад
Huyo shangazi na mama wakituo ndo walizingua japo kuwa mama yake huyo binti alikua kicheche lkn wangemshirikisha tangu mwanzo
@mwesigwaabdurahim8590
@mwesigwaabdurahim8590 4 года назад
Umeongea point
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 4 года назад
Angekua na uchungu angelea mwenye we mbona alimua cha kwa Mama mkubwa wake hajielewi watoto wengi wanasaidiwa nawanarudi kipindi chote alikua wapi angesubili asome aje amsaidie
@elizabertmerchioly6190
@elizabertmerchioly6190 4 года назад
@@agnessmwendwa7542 ndugu yangu kama huyo mtoto kauzwa ata kama hakutulia mama mtu kumshirikisha ilikuwa muhumu
@Nyapara1
@Nyapara1 4 года назад
Unampeleka mtoto wa mtu USA bila ya mwenye mtto kujua......Haiingii akilini hii
@barikiwa22
@barikiwa22 4 года назад
Alimkataa mtoto toka kichanga anakuja kuamka uzeeni kajua faida ya mtoto kajitAkia
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
Barikiwa alimkataa wapi na wee kwani alikutwa jalalan hiyo damu yake hata iweje
@Nyapara1
@Nyapara1 4 года назад
Hakumkataa alijifunguwa akiwa na akili za kitoto
@saidyssaley1509
@saidyssaley1509 4 года назад
Hawezi kujuwa 7bu alikuwa hayupo kenda kudanga ataambiwa muda gani na zari limetokea
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 4 года назад
Waongo hao yupo hapo hapo ila walichofanya ni kinyume cha Sheria
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 года назад
Afu huyu dada anakama ka uchotara, and her daughter is most beautiful 🔥🤗
@sirimohammed785
@sirimohammed785 4 года назад
Taatizo mmefanya kwa wema mama yake alikua aeleweki mmeshindwa kushirkisha wengine wanaomzunguka Mnagawa mtoto km nguo Leba kaingia yeye mtoto mummilikishe mwingine
@pilijohn1478
@pilijohn1478 4 года назад
Hahaaa safi
@khadijaboniphasi8987
@khadijaboniphasi8987 4 года назад
Huo ni unyama kabisa
@nasirrashid8460
@nasirrashid8460 4 года назад
Amludishe tu mtoto wa watu mwenyewe anamtaka jamani
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
Washitakiwe hao wanawaje wawili? Tena hiyo ni wake up call kuna mengi hapo! Mkimuokoa huyo mtoto mnaweza na kuokoa na wengine kama wamepitia hayo.
@maryambarayan7599
@maryambarayan7599 4 года назад
Tuseme walifanya kwa nia safi sawa inaeleweka lkn makosa yalitokea pale waliposhindwa kumuhusisha mzazi. Kwa maoni yangu hawajachelewa waseme ukweli ako wapi na wamregeshe kwa mzazi wake. New York Si dunia ya pili the kid can be brought back to her biological parent. What they did was wrong. Bring back the cute little girl
@rahmayaledi1722
@rahmayaledi1722 4 года назад
Kabisa umeongea lamaana
@Sppah697
@Sppah697 4 года назад
Serekali iingilie swala hili.
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
Kama wewe mama mkubwa unauwezo wakutoa milioni 6 ulishndwa nn kumsomesha wewe huyo Mama muongo tu hana lolote labda alimuuza😅
@lilianpallangyo78
@lilianpallangyo78 4 года назад
Umeona eee muongo sana
@hidayabakar7026
@hidayabakar7026 4 года назад
Lakini we mama hata aweko kaburini kamtoweni tuhakikishe kisha atarejeshwa
@lilianpallangyo78
@lilianpallangyo78 4 года назад
Kabisa waache mchezo na mtoto wa watu
@salamamsusa199
@salamamsusa199 4 года назад
Mtoto hajauzwa Bali kunakutokuelewa kati ya mmkubwa na Husna. Mmkubwa anataka mtoto asome Kwanza mkataba ukiisha ndipo mtoto arudi Husna anataka mtoto arudi ss iv. Husna vumilia mdogo wangu mtoto asome ila mtoto atakapoletwa ushirikishwe kwenye mkata na mtoto apajue mpaka kwa mzee Kais maana hakuna damu inayopotea
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 года назад
Sawa nimekuelewa dada angu🙏🏻
@angelalaizer3895
@angelalaizer3895 4 года назад
Kweli kabisa
@estherhaule8660
@estherhaule8660 4 года назад
Fikir mamkubwa kafa mwenyekituo hamjui husn nini kitatokea?? Mnaongea tu..ziki zipo lakin wamuwek wax na mawasiliano mtoto anauma .. Unafadhililiwa hujui mtoto Yukiwapi weeeeee hujazaaa
@petergwesso4630
@petergwesso4630 4 года назад
Marekani Darasa la 7 wanafanya mtihani wa Taifa mwezi ujao wa Tisa. Kwa nini wasubiri Desember wakati mtt anamaliza Darasa la 7 mwezi September?? Nina mashaka na hiyo December mnayoambiwa. Fuatilieni mjue Marekani Darasa la 7 wanafanya lini mtihani wa Taifa.
@agneskigeme1197
@agneskigeme1197 4 года назад
Peter Gwese yaani kama mtoto amekuja uku Marekani munjia yashule atasubiri adi hiyo December njo wanawarudishaka makwabo.ila kosa wamefanya awakumufahamisha mama muzazi
@mariamustafa1680
@mariamustafa1680 4 года назад
Aaaaàaaaaaàà
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
NENDENI UHAMIAJI MTAWAFUNGA, MTOTO KUMBADILI JINA, KUMGAWA BILA VIKAO VYA NDUGU, HAINI INGII AKILINI.
@cuteme4870
@cuteme4870 4 года назад
Walimuuza uyo mtt
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 года назад
Asante da Geah kwa kutupa habar nzur
@marygregory7566
@marygregory7566 4 года назад
AMEJICHANGANYA anasema adoption ni ngumu kwa Tanzania Maskini wameshamuuza mtoto wa Watu.
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 года назад
Nimekuwa wa kwanza Ila sijamuelewa huyo mama na saut pia haisikiki
@zaynabyusuf4324
@zaynabyusuf4324 4 года назад
Tafuta tu ktk interview zilipita utaiona
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 4 года назад
Huyo mtoto amesha kuwa adapted na watu wengine na hao wafadhiri hawatoagi condition Kama hizo, hivi huko marekani kuna mfumo Wa dalasa la kwanza mpaka la saba? Na kwanini mama Mtoto hakuhusishwa Kwa hao wafadhiri? 😂😂😂wasitufanye sisi wajinga
@coneschikulo3916
@coneschikulo3916 4 года назад
Ndo maana nasemaga .ukifa mtoto ndio akae sehem tofauti.lakini uko mzima.lea mwanao mwenyewe
@johasaeed391
@johasaeed391 4 года назад
hapo ndo ninaposhangaa mimi huyo mama na anayeishi na mtoto wachukuliww hatu kali wote washenzi
@coneschikulo3916
@coneschikulo3916 4 года назад
@@johasaeed391 .kabisa my.ivi mwanao anakaa kwingine wewe mzazi unatatizo gani?
@bahatiphilemon6953
@bahatiphilemon6953 4 года назад
Ilitolewa 6million uliiona tiketi?, akija tena itakuwa 12 million na husna ataweza kuambiwa ailipe he ataweza?, tayari atakuwa kwenye mtego mkubwa ambao hatoweza kujinasua hili swala liende kwenye sheria LA sivyo kazi ni ngumu
@sarahyvonne4580
@sarahyvonne4580 4 года назад
Very true
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Piga simu, mpigie muhusika, tuko Marekani tuna ongea na ndugu zetu kila leo, Marekani wana sheria kali sana, wange mtafuta mama wa mtoto.
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 4 года назад
Uongo american mfumo.wa shule siyo kama tz. Ati darasa.la sana.mh. wasiwasi mtoto kanunuliwana mtu hapo tz.
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 4 года назад
Je serekali ulihusishwa?
@barikisenga8257
@barikisenga8257 4 года назад
Jamani narudia tena ww mama wa kituo mrudishe mtoto kwa mama yake au unafanya biashara ya kuuza watoto wa watu huna maana yeyote ww
@mdzainb3722
@mdzainb3722 4 года назад
Huyu mama wa kituo anauza watoto
@amour5535
@amour5535 4 года назад
Nina wasiwasi na huyo mama mwenye kituo
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
@@mdzainb3722 na ndo maana kumrudisha inakua tabu sababu ili kuweza kumpata inamlazimu alipe hela ya watu aliouzia mtt na hio kwa sasa hana ndio maana anavuta angalau mpaka mwezi wa 12 atakua kashapata hela ya kumkombolea..kinyume na hivo kumpata mtt itakua ngumu kwake.
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 4 года назад
Sio lazima arudishwe lkn mama Wa mtoto apate connection nzuri ya mtoto wake na ikiwezekana alewe ruhusa ya kwenda huko USA akaone mtoto wake
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 4 года назад
Hivi vituo wamama wamefanya nibiasha wamemuuza wasizingue wataje kituo
@lillianeriksson8183
@lillianeriksson8183 4 года назад
Mngemshirikisha mama yake,huyu mama wa kichagga keshapata pesa mtoto wala hayuko New York
@hamisa3447
@hamisa3447 4 года назад
Ili jambo ni rahisi sana sema nyie walenzi yaan ma mkubwa na mwenye kituo sawa mtoto yupo marekani kwa nini msipige video call akamuona wakaonana itakuwa kuna jambo mnalificha nyie uyo mtoto itakuwa mlilipwa msingeficha ivyo ata wewe mama usingekubali hadi mwezi wa 12 ungeenda polisi zingefuatwa sheria zote ingejulikana tu kama kasafiri si kuna kumbukumbu airport ingejulikana tu kama alipita hapo au laa na pia hao hao wangebanwa wangetoa toa mawasiliano.
@annachales9623
@annachales9623 4 года назад
Safii tunataka video call sisi wamemuuza mtoto. Kwanini wasiwe wanampigia video call mama asingekuwa na wasichaka
@maryammussa2002
@maryammussa2002 4 года назад
Hiyo December may be Christmas break. Lakini sio kumaliza darasa la 7 mana U.S.A school year 20-21 start August or September na inamalizia May or June ndio end of school year.
@azizajuma2674
@azizajuma2674 4 года назад
Afadhali mnaojua mmetujuza laooooh wamrudishe tu mtoto sio bidhaa iyo
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 4 года назад
Huyo Mama wa ktuo muongo kweliii kwanza shule gan na Corona hii na shule anayomalza ipii wakat shule nyng zmefungwa na muhula bado kufungua aache ushamba kutuona hatujui,mpaka mwez9 ndo wanaingia shule amlete mtoto huyo,,.
@bahatimsafiri7936
@bahatimsafiri7936 4 года назад
🤣🤣🤣new York ya bongo iyooo ndo wanafunga dec
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 4 года назад
Jamani hata mie nimesha mwezi wa 12 wakati wanabreak kwa Ajili ya Cheistmas tuu, na live kubwa ni mwezi ujao, Yani waseme Uzuri ni New York Ipi kama ni hii Hapa Sio kweli da geah watt wanafunga mwezi Ujao, wamrudishe mtt wawatu Jamani Hakuna kitu Inauma wallah kama mtu kumtoa mwanao bila Mzazi kuambiwa, na kwanini hawataki kumpa Connection na mtt wake,
@maryammussa2002
@maryammussa2002 4 года назад
Jamani huyo mama kajichanganya kweli anawafanya watu wapuuzi. Hata hiyo elimu ya huyo mtoto naona hao wafadhili hawajamwambia vizuri mn U.S.A. hakuna darasa la saba km anavyosema mtoto yupo la saba elimu yao ya Elementary school from K to Grade 5. Then middle school from Grade 6 to Grade 8 then unaenda High school. Sasa huyo mfadhili alomwambia atamsomesha mpaka form 4 itakuwa wa huko Mbezi Beach. Hao wazazi wawe makini sana😓
@wardasalum852
@wardasalum852 4 года назад
Weee aache maneno mtt anauma amrudushe tu
@faridahassan769
@faridahassan769 4 года назад
Peleka polic yote
@faridahassan769
@faridahassan769 4 года назад
Kazana upat mtt wako
@neemalucas464
@neemalucas464 4 года назад
Hawa wapelekwe kwenye mikono ya sheria ili utaratibu ufanyike wa kuwasiliana na Ubalozi wa Tanzania Marekani ili hiyo familia huko Newyork itafutwee.
@harmonanthon7606
@harmonanthon7606 4 года назад
Wamemuuza yaan ningekuwa mm wangenitambua huyo mamkubwa hajazaa wake auze au yy hana kizaz ajue uchungu wa mtt
@jamilaomari2570
@jamilaomari2570 4 года назад
Ww usna subiri mkutano wamagufuri arafu ukaseme iro tatizo
@saidaali9379
@saidaali9379 4 года назад
Pls geah hakuna mtihani wa taifa December huku anakudanganya huyo mama Ihope she’s ok yarabi huku kuna mambo
@sadikingonyani315
@sadikingonyani315 4 года назад
Washauri waende UHAMIAJI ukweli utajulikana, maana hawezi kutoka nchini bila ya hati ya kusafiria
@bakarishuwea7365
@bakarishuwea7365 4 года назад
Ni kweli waende uhamiaji Kila kitu kitajulikana jaman mwezi wa 12 ni mbali tunajua hapa kati watafanya nn jaman jaman uchungu wa mwana haujuaye mzazi hasa Mama
@kemyphilip4000
@kemyphilip4000 4 года назад
Amuache mtoto abaki asome. Mama ake mzazi mweyew ana maisha anaonekana mdangaji tu. Atamuaribu mwanae
@getmad9908
@getmad9908 4 года назад
Bora mtto amueache huko asome tuu ,Kesho atakuja kumsadiya mm mzazi kimaisha, ,na watanye mawasiloyano kwakla wakati mm na mtto , niviziri umma uwekwe kado tazama manufaa ya mtto wako yaa Kesho,hui no bahati ,kubwa aliyo ipata huyo mtto🙏🙏🙏usimrudiyshe mtto ,maoni yangu ,
@mariammfalila9201
@mariammfalila9201 4 года назад
Ni kweli wa mrudishe mtoto then makubaliano yaanze upya itakuwa vizuri sana
@alirahma8967
@alirahma8967 4 года назад
Huyo mama mwenye kitua nitapeli,dada gea serekali ingilie kati,adopti wazazi wanatakiwa wamkabizi mtoto wao wenyewe,kwamandiko,sasa huyo mwenye kituo kwanini atoe mtoto wa mtu bila kumshauri mzazi wake,plz serekali ifatilie hikesi
@jumaramadhani1486
@jumaramadhani1486 4 года назад
Kuna uwezekano ni watoto wengi tu labda anawatoa kwa style hiyo ukute yeye ana kituo kwa ajili hiyo ya kuuza watoto
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
In Shaa Allah, Pole Husna Jikaze,Ma.Mkubwa na Mwenye Kituo Wanajuana.
@liliancrochet3129
@liliancrochet3129 4 года назад
Wasubiri afanye mtihani la Saba USA mwezi wa tisa wanamaliza
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
@@liliancrochet3129 ln Shaa Allah, Avumilie Uzima Ndio Muhimu.
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 4 года назад
Tatizo hamjamshirikisha mama mtoto, mungempa hata no. Za smu za huko new york akamuona na whatsapp call atleast kuliko kumi acha njia panda
@kabulamusa8425
@kabulamusa8425 4 года назад
Kwan ukifadhiliwa ndo unabadili mpaka jina la mtoto acheni mambo yenu mpeni mwanae bas
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 года назад
Kwel kbs hakuna mfadhil anaye badilisha mtoto jina
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 4 года назад
Au kuambiwa babako alikufa wkt hawamjui
@jennifermdabi3716
@jennifermdabi3716 4 года назад
Wewe mama mkuu wa kitengo UMEUZA WATOTO WENGI SANA HASA WALE YATIMA, SERIKALI NA IFANYE UCHUNGUZI ITAJUA MENGI
@Binti1801
@Binti1801 4 года назад
Sanaaa, anajidai ameamia, wewe utaumia kuliko mwenyewe mtoto
@jumachilundajr4853
@jumachilundajr4853 4 года назад
Hivi mtoto hana cheti cha kuzaliwa mpaka mtoto abadilishwe jina hivi hapo kuna nini? Mmmh kuna tatizo hapo
@ilhamkezilahabi660
@ilhamkezilahabi660 4 года назад
Yaan hapo ndo nnapojiuliza
@keifatuke99
@keifatuke99 4 года назад
KWANINI walimbadilisha jina kama hawakuwa na lengo baya???
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 года назад
Insha Allah da gea mwenyezi mungu akupe uhai naafya njema utupe mrejesho mwezi 12 kunako majalia
@aminawaziri6307
@aminawaziri6307 4 года назад
Leteni mtoto acheni hadithi
@ashaally6662
@ashaally6662 4 года назад
😁Huenda huyo Mama aliyemchukua alimdanganya mume wake kama ni mtot wao
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 года назад
Asante daa Gear
@shangweberthe8398
@shangweberthe8398 4 года назад
Wamem kidnap huyo mtoto kwanza marekani miaka inaanza august/sept hadi mwaka ujao may/june . Hao waongo serikali iingie kati hapa wamemuonea huyo mama angetakiwa ajue. Inabidi kuripoti embassy ya marekani kuwa kuna mtoto alitoroshqwa na aliyetoroshwa atakamatwa haraka sana.
@bahatiphilemon6953
@bahatiphilemon6953 4 года назад
Kama husna ana akili, mtoto akija asirudi kutoka mikononi mwake na amlee ktk maadili mazuri ili aje amkomboe Dada jitathimini wewe ndie mama
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
atamdangsha jman amuache kwanza asome asimuaribie future
@leilabuisha6578
@leilabuisha6578 4 года назад
Huyu mama na mwenye hicho kituo watakuwa wamezowea kuuza hao watoto' Nina Imani kubwa kama ni mchezo wao' Serikali iingilie hilo swala, mwizi siku zake ni arobaini 40.. Hao huenda pia wakawa wamewazulumu watu wengine pia na ndomana mwenyeezi mungu kawa Laani na ukweli umeanza kujitokeza.
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 4 года назад
Hao wa mama waongo...kiukweli serikali inatakiwa lazima ifanye uchunguzi au utaratibu wa kutosha mpaka mtoto apatikane...ili akabidhiwe mamaake mzazii..na ikisha asome hapo hapo Tanzania japo hivyo hivyo kimaskini. Kwani akiendelea kuishi huko Newyork sijui wapi pengne ndo atazidi kupotea . haijalishi kwamba anawasiliana na mamake wala nini...mawasiliano yanaweza yakakatika mara moja na asimsikie tena .. na akashidwa pahala pakumtafuta... Kwasbabu watu wabaya wanaweza wakafanya njia nyengine za kumuiba tena huyo mtoto..na Marekakini ni nchi kubwa sana kuliko Tanzania .. Inshallah M/mungu atasaidia .
@raiye5621
@raiye5621 4 года назад
Huyo mama hafai kuwa mama angekuwa mtoto wa mwanae angemgawa shenzi zake kma kashindwa kulea so angempelekea dada wa huyo mwenye mtoto Tamaa ya ela iyo serekeli ishike kazi zake so mtu mwema huyo mama looh.
@roseberryhamoud6542
@roseberryhamoud6542 4 года назад
Geah hongera sana.
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
Ila huyo mama wa kituo anaweza kuwa hana lengo baya
@ikupalasts8353
@ikupalasts8353 4 года назад
Nikwel ila swala tu wamludishe au wampe full information kuhusu Mtt ikiwezekana aende aone Mtt wake
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 4 года назад
Usiusemeye moyo huwez kujuwa binaadam ndio cc
@aminawaziri6307
@aminawaziri6307 4 года назад
Wajanja sana hawana lolote mtoto kama haosi anafanyiwa ushenzi huko
@roseberryhamoud6542
@roseberryhamoud6542 4 года назад
Tatizo alikula pesa kupitia huyo mtoto.
@annachales9623
@annachales9623 4 года назад
Ningekuunga mkono lakini kwanini mumbadilishe jina!? Nikifika hapo nachoooka
@humaidalnaamani4183
@humaidalnaamani4183 4 года назад
Daah mama mwenye kituo aonyesha auza watoto wa watu kashirikia na mama mkubwa wa mtoto vp waweze kumfanyia mtt pasport bila mama mtt ajue na bila serikali kujua hawa lazima wazuliwe gerezani mpaka mtt arudishwe
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 4 года назад
Simpe mtoto wake jamani ..mwenyewe kashasema anauwezo mpeni mwanae mbona munajitia watu wazuri na huku amja mshirikisha mngemwambia mtoto anaenda US kuliko mlivokaa kimya Mumepewa pesa mumenya now mnajitia mnafokewa Toeni mtoto huyo
@advelineminja5589
@advelineminja5589 4 года назад
Yuko New York na amechululiwa na kikundi cha wafadhili? Huyu mama ni Mwongo na hiyo siyo Mara yake ya kwanza kuuza/kutoa watoto walioko kwenye hicho kituo cha watoto wasio na wazazi ...Ni mwongo na atakiwa aache hiyo Kazi...Na sichezecheze na maisha ya watu...
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 года назад
Cha kufanya mpeni mwanae ampeleke Shule kama ingekuwa mimi ningemshukuru Mungu na kusema asante maana maisha magumu sana sasa hivi mtamuaribia mtoto future yake asanteni kwa kumlea mtoto kumfadhiri mfadhiri mbuzi binadamu hawabebeki jamani mpeni mwanae maana isiwe shida binadamu tuwe na moyo wa shukurani hapo anayeumia ni mtoto.
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 4 года назад
Huo mkataba da Gear angekuonyesha
@mwanamizemzee8930
@mwanamizemzee8930 4 года назад
Nakuunga mkono Gea wakuonyeshe dok ment zote
@mariebakari6692
@mariebakari6692 4 года назад
Huyu mama ni mhongo maana nahuli ya kumtowa mtu marekani siyo milioni sita amurudishe tu mtoto
@myapple5322
@myapple5322 4 года назад
Kinacho tisha gea kwann jina libadilishwe na mama asimjue mama yake namama yake asishilikishwe apondopanapo tisha
@bebebebe5677
@bebebebe5677 4 года назад
Waongo hao lao moja sikia hata hongea yao ludisheni mtot uyo geah abibu endelea kutuletea mlejesho waliuza mtt hao
@aminaally2274
@aminaally2274 4 года назад
Tatzo sio hko alipo tatzo Mwenye mtoto anamuitji jmn mpeni mwanae. Kwass kajua uchungu wamtoto apewe mwanae t
@elizabethebambo6286
@elizabethebambo6286 4 года назад
Geah iyo kesi ichunguzwee sababu inaonekana mtoto uyo kauzwaa kinyemelaa haiwezekan mtoto apewe mtu amlie ndugu wasijue kisa mama kamtolokaa kuna kitu hapo, ustawi wa jamii ipelelez vizuriii
@mwanahamisially5234
@mwanahamisially5234 4 года назад
Huyo hna Nia nzur!!!!! Bola Husna anahitaji msaada Zaid mwez was 12 hatua lolot lawez kutokea awasiliane na hao wafadhil maan Dunia kma kijiji arudishe mtt hyo
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 года назад
Mtoto arudishwe tu kwa mama ake mtoaji riski mola
@mariamdjae9825
@mariamdjae9825 4 года назад
Kwa nn wasimpe number za contact za hao wanomlea akaongea nao, na sahivi America na Europe tuko summer holiday, na school zilifungwa tangu corona wtt wakisoma nyumbani, na September ni school ndio zinafunguliwa hiyo December ni Christmas holiday wiki mbili. Asikubali kukaa kimya mpaka hiyo December atafute mawasiliano na hiyo family , akinyamaza kimya atakuja kuambiwa mtt kishakufa, bora atafute mawasiliano na nae tangu sahivi.
@dullahjuma6137
@dullahjuma6137 3 года назад
Mrs dulah au zena kihondo. Dada geah awa wastake kutuchezea nauyo mama walete mtoto angekua yeye angekubal na kwann mutoe mtoto kwa mtu ayupo TANZANIA yan mumpe mtoto wake.
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Inshort waambiw hao wafadhil mama anadai mtt wke, kama vp mama mtt ashirikishwe, hata akibak huko lkn mama anajua mtt atampat wapi, shid ipo mama hajui mtt yupo wap mama mkubw akifa leo mtt yy ndio bac, shid mama mtt anatak connection nzur kat ya mtt na mama, why wao wana bana hvo jmn au wamemuuza mtt
@annamwakibinga3190
@annamwakibinga3190 4 года назад
Hatusikii Geah
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 4 года назад
Angelea mwenye we nani alimwambia amuache kwani alimzalia yeye
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
@@agnessmwendwa7542 si inasemakan amezaa umri mdog jmn
@yasintaleonard3619
@yasintaleonard3619 4 года назад
Huyo mama mwenye mtoto amchukue mtoto atakavorudi mwezi wa kumi na mbili asije akafurahia mtoto kusomeshwa nje amlee mwenyewe
@Ivyaguas25
@Ivyaguas25 4 года назад
Watampaje mtoto bila ruhusa ya mama
@lucyshirima7862
@lucyshirima7862 4 года назад
Huyo mzazi wa mtt kwann atelekeze mtt ?akatafute mimba nyingine azae
@aishajuma712
@aishajuma712 4 года назад
@@lucyshirima7862 Hajamtelekeza mtoto ila alimuacha nyumbani na mamkubwa wamletee mtoto wake hata kama ni kahaba
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 года назад
Lucy shirima unamjua mtoto alotelekezwa uyo ajatelekezwa alimkabizi mama ake na mama ake akakubali sasa kwanini kaenda kuuza mtoto wakati mama ake yupo ww uyo mama ana kosa
@ellahchristou3880
@ellahchristou3880 4 года назад
Uyo mama amemuuza mtoto wa watu, na usikutr ndo tabia yake kuuza watoto bila kufata sheria
@halimams2127
@halimams2127 4 года назад
swali kwa nn Sam badilishe jina niwaongo Dada JITAIDI mwaya upate mtoto wako wasikuzunge
@aminafesali5817
@aminafesali5817 4 года назад
Geah kwanini mwez 12 je wakimzuru huyo mtoto wakasema amekufa kwa mipango ya Allah ? Kwani huko anapoish ndege si siku moja tu mbona wanakuwa waswahili hivo hawo wamama wamlete hata kesho kwani ndege haziji hapo africa zakutoka huko ulaya ujuwe hizo siku walizopanga wawo ni uhai wa mtu asee
@Binti1801
@Binti1801 4 года назад
Wameshafanya deal ba kumuondoa mtoto nchini kinyume na sheria, thatnis child trafficking and it serious, vyombo vya sheria viingilie kati. Tatizo sio mtoto asikae kwenye mazingira mazuri, tatizo hamkufanya njia tofauti. Uyu mama achunguzwe
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 4 года назад
Binaadamu sote tutambue kuwa tunayo mapungufu .. Ila Mwenyeezi mungu ndiye mkamilifu.tusimlaumu yeyote kati yao hao,ispokuwa tu ifanyike mawasiliano kwa kupitia serikali kuthibitisha huo msaada kama uko kisheria ,na mzazi aongee na mwanawe kwa video call.kisha aridhie mtoto abakie asome ili elimu yake ije isaidie jamii .tusimuhukumu huyo mama.kila kazi inaathari zake.tumuombe mungu Subra inahitajika.maana miruzi mingi inapoteza mmbwa.baadae huyo mtoto akikosa elimu bora atabaki mitaani ajazwe mimba wamtelekeze.chamsingi ni maelewano tu.
@arafamnyaturu6153
@arafamnyaturu6153 4 года назад
Wamemuadopt mtoto wasingemuadopt asingebadilishwa jina na kawaida ya wazungu wakishanunua mtoto ni wao forever ila huwa wanamwambia walipomuadopt hawafichi na kama walipewa picha za wazazi wanamuonyesha ispokuwa kumrudisha aende kusalimia hawamrudishi mpaka awe na maisha yake ndo arudi kutafuta biological parent
@baluu5859
@baluu5859 4 года назад
Inshaaallah gear tunasubiri maana
@mwanaulaaula8856
@mwanaulaaula8856 4 года назад
Wampe huyo mawasiliano na hao wafadhili awe awasiliana na mtoto wake mtoto nae aambiwe ukweli juu ya mamake awache mtoto baendelee kusoma
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 4 года назад
Huna nia nzuri yoyote bila makubaliano na mama mzazi wacha uongo apatite rizki wee ndo mgawa hiyo rizki sikubaluani na mama wa kituo aoelekwe kwenye vyombo vya sheria Husna hakumtupa mtoto na alipata akiwa umri mdogo wewe mama kituo wacha uduanzi huyo si chungwa umgawe bila makubaliano hilo ndo kosa lako na kwanini mumbadirishe Jina mtoto leo ndo unajua umeachia Mungu? Mwanzo huku jua M'mungu yupo na haifai kumgawa bila makubaliano? Mkataba gani bila mama mzazi kamdanganye kuku kuwa atanyinya kesho, usijidai chochote mnaanzaga hivyo hivyo mnajificha kwenye mwamvuli wa M'mungu kisa dill limebumburuka,
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 4 года назад
Mama muongo mpeleeke police akajielezee new York gani wadanganya
@mayasaadam1720
@mayasaadam1720 4 года назад
Kwa nini mama mkubwa hakushirikisha mjomba na ndugu wengine wa familia kuwa mtoto kapata mfadhiri/ wafadhiri anaenda nje ya nchi hapo ipo namna
@attunelson8828
@attunelson8828 4 года назад
Ustawi wa jamii msaidieni jamani
@victoriakalinga7656
@victoriakalinga7656 4 года назад
Mtto arudishwee tu alafu mmh ninawasiwasi na hiyo new York
@aishaally2730
@aishaally2730 4 года назад
Mrudishieni mtt wake mnajua uchungu wa mtt mrudishieni utamgawaje mtt wacmwenzio gawa wako inaonekana ndokazi yao kugawa watt leo arubaini yenu
@irenekitomary7271
@irenekitomary7271 4 года назад
Kwanza Kwa nini wampeleke mtoto nje bila mama mtu kutoa ridhaa yake???? Wamrudishe huyo mtoto
@tishtash5531
@tishtash5531 4 года назад
Mtt anauma..lkn hy dada uwezo wa kumpa mtt elimu katika mazingira mazuri hana....ss akimchukua atamtesa tuuu...bora atake kumuona lkn si kumchukua moja kwa moja...
@mayasaadam1720
@mayasaadam1720 4 года назад
Dada Geah hapo kuna kitu Nyuma ya pazia kati ya mama mkubwa na mwenye kituo, msaidie huyo dada ampate mtoto wake, wafadhiri hawawezi msomesha mtoto bure wakati hawajuani na mama ya mtoto
@mauasylla5024
@mauasylla5024 4 года назад
Waulizwe vizuri. Mfumo wa elimu huku Marekani hakuna Form IV. Ni kuanzia Pre Kindergarten - 12 Grade. Baada ya hapo wanaenda Chuo. Hakuna wafadhili kwa watoto kuletwa huku. Kama ni wafadhili wanajitolea kusomeshwa huko. Serikali ifuatilie. Huyo mtoto kuna ujanja umefanyika hapo. Kama yupo New York, Ubalozi upo huku. Naomba Geah fuatiilia. Hapo kuna ujanja.
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 года назад
Kumbe haya mambo yako kweli ya kuuza watt bila wazazi kujua wanadai anaenda kusoma kumbe ndio kabisa? Nikajua ni story tu za vitabu kumbe yapo kweli subhanallah
@faridaabdallah7620
@faridaabdallah7620 4 года назад
Sawa insha Allah
@ashakidege6922
@ashakidege6922 4 года назад
Mm nakushauri usina.usikubai kusubiri uo mwezi wa 12 uyo mama atakuzunguukia usaau mtoto hanauma pambana nae mpakaakupe mawasiliano au nikuletee mtoto mm kama kazi sijakubaliana na ilo swala la kusubiri muongo uyo mama wa kitu ataka kukuchanganya tu nenda mbele dada
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 4 года назад
Malezi mazuri ytashinda upendo w mama
@jackychriss8336
@jackychriss8336 4 года назад
Msimrudishe mtoto. As long as anasoma kwel na analelewa vizur mwacheni jaman. Huyo dada atamdangisha mtoto amfanye kitega uchumi maana yeye kashajizeekea hawez kuangalia tena. Hajamjal mtoto akiwa mdogo atamjali now? Angalieni interest za mtoto jaman. Huyo dada kashesema ni maisha yake. Why mnataka mtoa mtoto kwenye good life na kumpeleja kwa mama kama huyo? Mwacheni mtoto akue. Apewe tuu mawasiliano na mtoto
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 года назад
Geah huyo bibi muingo new york yuko dada angu watoto hawaendi shule tangu april corona imezidi mpaka hivi Sasa why aseme watoto wana mitihani wakati kipindi hichi holiday shule zimefungwa na before wanasoma online
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 года назад
Mbona husna yuko vizuri ni awotu wamam hawampi uleukweli kwanin wasimpi number ya wafadhili
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 года назад
Kam yupo america Gea msadie aende ubalozini hapo Tanzania sio mbali atajua mbichi na mbivu na waende makamani
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
In shaa Allah..Allah atujaalie uzima na afya
Далее
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 438 тыс.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 333 тыс.
AZUMA APEWE NAFASI YAKE KILA KITU AZUMA
5:03
Просмотров 3,4 тыс.
CHANZO CHA UMASIKINI - Part 1
13:47
Просмотров 324 тыс.
MTOTO ALIYEKUWA AMEPOTEA SINGIDA APATIKANA DAR
6:02
Просмотров 3,6 тыс.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 25 тыс.
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 438 тыс.