Тёмный
No video :(

COCA-COLA WAMEMPIGIA MAGOTI PUTIN WANAOMBA KURUDI KUFANYA KAZI URUSI 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 2 месяца назад
Jamani musitumie cocacola bora tumsapoti azam tunywe energy
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 месяца назад
Mimi toka nijie kuhusi coca cola na mapepsi niacha kitambo kuunga mkono ndugu zetu wa Palestine 🇵🇸
@shakilajazla8893
@shakilajazla8893 2 месяца назад
​@@fatmafatu1128Tuko pamoja
@songombingo9318
@songombingo9318 2 месяца назад
Nakufatilia kila wakati bro ..songombingo toka ukunda kenya
@user-sk3zh3sp1u
@user-sk3zh3sp1u 2 месяца назад
Putin baba usikubali, hawana wema hao
@YusuphMwichande
@YusuphMwichande 2 месяца назад
Kaka mungu akupe heri kwa kutupasha habari
@Mumewangu
@Mumewangu 2 месяца назад
Kama wanaomba kurudi wachunguzwe isije ikawa vibaraka wa uchunguzi au kinywaji icho kikawa na madawa ya mazombi raiya wanaokunywa wakawa mazombi
@badulebanda1305
@badulebanda1305 2 месяца назад
Habali zako nzur mtan wangu
@user-xo4qc2hk4j
@user-xo4qc2hk4j 2 месяца назад
Soda ya coca cola ni sumu wamesha tumaliza sisi nahio sumu, sasa wanataka kukuangamiza, usikubali!!!!!!!
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 2 месяца назад
Safi mwalimu 💚
@athumanikajembe4585
@athumanikajembe4585 2 месяца назад
Hao wamagharibi wamekojolea waya wa umeme wa three phase maengeneer wa umeme wanajua madhara yake
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 2 месяца назад
Nasi tunafatilia Kwa ukaribu taarifa hizo
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 2 месяца назад
Uraaàaa
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 2 месяца назад
😂kiduku kampa mbwa 2 putini eti huyu American huyu sunak
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz 2 месяца назад
Acha putini Awanyuke hawa wapuuzi
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx 2 месяца назад
Dunia bila urusi ni maisha magumu kila kona
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 2 месяца назад
Watapewa sumu Bora watumie peps😂😂😂
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 2 месяца назад
Nakukubali ongelea haki ,usifate wanaokchkia
@JumaNurudini
@JumaNurudini 2 месяца назад
Uraaaaaaaaaaa
@emmanuellykalungwana1797
@emmanuellykalungwana1797 Месяц назад
🎉
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Wasubiri operesheni iishe putin sio fala
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 2 месяца назад
Kwa umakini wa Putin hawezi kukubali coca-cola kirahisi mpaka ahakikishe usalama kwanza Putin anawajua Marekani kuliko tunavyowajua sisi
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Wasiwakubalie wataenda kuweka sumu kwenye vinywaji na vimelea vya ushoga kampuni zote walioondoka?urusi wasirudi wanarudi kivingine
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 29 дней назад
Wasikubali watawawekea sumu bure
@user-hv9sp4ov9k
@user-hv9sp4ov9k Месяц назад
Ngoja tuone Nani ana nguvu
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 2 месяца назад
Baba wataifa weka aini nani apinge wao wakisambaza kwa uklaine wao hawaoni kama nitishiyo kwa urusi wacha inyeshe tuone panapo vija
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 месяца назад
KATIKA WAPUMBAVU ULIMWENGUHUU NI SEREKALI AU VIONGOZI WA MARECANI.
@imanimulumbilwa6056
@imanimulumbilwa6056 2 месяца назад
Urusi wawa kubalie,ili wazidishe kuimarisha uchumi wao pia utawala wao
@Severina-gr4ne
@Severina-gr4ne 2 месяца назад
Nakupata sawa kaka mimi naitwa yusufu nipo dar, urusi wasikubali wagome, manyangau wata ingiza majasusi wao kumchunguza mtata asikubali mtata agome iyo kampunyi wata weka ndani majasusi wao mtata asikubali kabisa
@abduljuma7807
@abduljuma7807 2 месяца назад
Pepsi na co ca wote ni hao hao
@hbdina
@hbdina 2 месяца назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 manyang'au wanajinyea
@Paulmlambo327
@Paulmlambo327 2 месяца назад
❤❤🇿🇦🇿🇦
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 2 месяца назад
Ila kiukweli makampuni mengi ya magharibi hayakutoa mitaji yao Urusi,kampuni nyingi zilibadili majina na brand zao kwa hyo bado makampuni mengi ya magharibi bado yanaendesha biashara zao ndani ya Urusi.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 25 дней назад
Walitoa kweli Mitaji ila yalikuwa replaced na makampuni ya oligarches na makampuni ya wachina pia.
@asiaswalehe
@asiaswalehe 2 месяца назад
Hiyonihatr
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 6 дней назад
mtu akiwa mbaya na akiwa na mabaya yake basi lazima awe na wasiwasi
@shafiiramadhani
@shafiiramadhani 2 месяца назад
Hahahaha
@jotafungo4622
@jotafungo4622 2 месяца назад
Viva Putin
@mickeydreytz
@mickeydreytz День назад
Sipitwimwambaakuna anaotuambianukwer.birawew mwamb
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 2 месяца назад
Bora kumuita Bakhalesa kufanya kazi kuliko hao Coca-Cola watawamaliza kwasumu bire💔
@salehalfarsy3512
@salehalfarsy3512 2 месяца назад
Apo kiboko yawo Asant
@user-ib2ns8kf9h
@user-ib2ns8kf9h 2 месяца назад
Yaani coca cola auze vinywaji dunia nzima eti ipate hasara kwa Taifa Moja la urusi,
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 26 дней назад
Biashara za kimataifa hasara zake sio kama unavyofikilia hasara ya biashara za kimataifa ni kutofikia lengo liliwekwa na company
@user-fh7wu8vx1y
@user-fh7wu8vx1y 2 месяца назад
Marekan wachawi Urusi w asikubali Kunakitu wanakitafuta Nadani ya. Urus
@manmanonline6394
@manmanonline6394 2 месяца назад
usiikubali hio company,cos kuna vibaraka ndani yake na huenda wakawa wanakuja na ajenda maalum.....
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 месяца назад
Kenya kimenuka mkuu
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 2 месяца назад
Kwakweli nakubaliana na wewe kuwa nchi ya urusi ni kubwa sana ya nina ndugu yangu alikwenda huko kikazi aliwahi kusafiri kutoka mji moja kwenda mji mwingine humo humu ndani alisafiri kwa muda wa msaa 7
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 2 месяца назад
Kama kwa ndege nchi kubwa ila kama kwa gari badonurusi ndogo kutoka mtwara to dar masaaa 9
@giloline1308
@giloline1308 2 месяца назад
Tafakari na ubora wa barbara za Urusi na ile ya Dar-Mtwara, jumlisha road traffic kila hatua kadhaa​@@Bittertruth-u4n
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 2 месяца назад
Maneno hayo
@user-vv6ox9xh9k
@user-vv6ox9xh9k 2 месяца назад
Huku sisi ni mwendo wa azam tu
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 2 месяца назад
Wewe miyayusho sana
Далее
IFAHAMU PARADISO YA DUNIA USWIZI
48:46
Просмотров 3,4 тыс.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 19 тыс.