Тёмный

MPINA AINGIA KWENYE 18 | TAZAMA WABUNGE WALIVYOMSULUBISHA HADI AKATOKA BUNGENI 

TBConline
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 300   
@user-vc8cc2pt7n
@user-vc8cc2pt7n 16 дней назад
Wabunge mungu anawaona mnasema mnalidhalilisha bunge mbn huko Dubai walipokea mlungula
@VcentPaul
@VcentPaul 16 дней назад
Mpina oyee.Tukopamoja na wananchi !!!
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 15 дней назад
Mpina uko vizuri mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
@NuruMbilinyi-oe1nr
@NuruMbilinyi-oe1nr 16 дней назад
Pole sana mpina,nchi hii ukitaka upendwe na chama cha ccm furahia mambo ya ufisadi pia uwe mnafki,hapo udumu miaka mingi.mana kuna watu wali kuwa waza lendo na watetezi lakini wame potea
@user-vc8cc2pt7n
@user-vc8cc2pt7n 16 дней назад
Hili bunge linaubaguzi sana mtu anatetea wanyonge halafu wabunge wanamdhihaki mtetea wanyonge bunge hili la hovyo sana
@jafarieliyakim6
@jafarieliyakim6 16 дней назад
Mimi naona alichosema mpina nikingine kinacho zengumziwa nikingine mbina hawasemi kampuni zilizopeŵa vibari
@Dominaevance
@Dominaevance 15 дней назад
Yaan Bunge Zima linashindwa kujadili wizi na ubadilifu uliozungumzwa then wanajadili namna taarifa ilivyowasilisha, Bunge linashangaza sana hili
@abrahamsamweli-wg8ck
@abrahamsamweli-wg8ck 16 дней назад
Nilikuwa nakupenda Bunge ila kwasasa hapana,
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 16 дней назад
Mpina nimmoja wa wabunge imara na mwenye maono kwani ata alipokuwa waziri alikuwa smart sana nadhani hapo bungini waliopo ni makasha ya wabunge baadhi yao hawapo kwa ajili ya wana nchi tz bado sana tupo usingizini na hakuna mbu anaerusumbua ndio mana tulala fafefifooofooooo
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 12 дней назад
Kwenye jimbo lake hawampendi
@DeusLukonje
@DeusLukonje День назад
Nyie wabunge mungu anawaona tunawasubiri kwa hamu 2025 big up mpina .
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 16 дней назад
Hongera sana Mh. Mpina, sisi wananchi tumekuelewa vizuri sana. Hata wakikutoa sisi wananchi tuko nawe.
@tungarazalucas1478
@tungarazalucas1478 15 дней назад
Acheni uongo mtafanya nn
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 15 дней назад
Mpina kazingua
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 15 дней назад
Hili Bunge halijielewi. Kila Mbunge anajipendekeza. Ni kw maslahi ya matumbo yao, siyo kw ajili ya wananchi.
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 16 дней назад
Mpina Mungu yuko nawe mtetea wanyonge mnatete a matumbo yenu
@petrosukums2510
@petrosukums2510 16 дней назад
Ukijielewa watakusumbua sanah
@mikwendemakala3933
@mikwendemakala3933 16 дней назад
Mpina ni shujaa wa wanyonge
@andreauisso3225
@andreauisso3225 15 дней назад
Haya mabunge ya ccm bwana yaani utasema kama vile hawakwenda shule yaani wana muuona mpina kama nijambazi na mchonganishi, ukionana kuna kunakelele nyingi kutoka ccm ujue kunajambo lina nuka hapo
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 14 дней назад
Siku zote msemaukweli hapendagwi hata yesu alinyongwa msalabani kwa ukweli wake.
@AllyKipanga-sg4qb
@AllyKipanga-sg4qb 16 дней назад
Mpina usife moyo endelea kupambania wanjonge mungu yupo pamoja nawe awo wanafiki tuu kama tabasamu
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 15 дней назад
Mnyonge mama yako
@kingmichael1234
@kingmichael1234 14 дней назад
Mpina Oyeee. Watanzania wote tunakuunga mkono. Hao mafisadi wabunge wenzio na Spika wa bunge wasikuumize kichwa. Umejijengea sifa ya pekee. Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia 💯
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 13 дней назад
Mpina oyee watanganyika wako na wewe.
@loycep7785
@loycep7785 15 дней назад
Nyie wabunge wote mnaochangia maneno yasiyokuwa na msingi mnatetea wizi na ubadilifu wataratibu za kweli tubuni Mungu anawaona ipo siku yaja Mungu hatanyamaza mwogopeni sana aliyewaumba pamoja na sheria zenu
@ramadhanyassin4396
@ramadhanyassin4396 12 дней назад
Nyie wabunge munaomtukana mpina mungu awape adhabu
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 15 дней назад
Mpina kawatupa mbari sana 🎉🎉🎉 Mwamba
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 16 дней назад
sisi wananchi tupo na mpina 🇹🇿
@hamismabula9934
@hamismabula9934 15 дней назад
Mpina mmeshaanza kumpa jina kubwa kwa wananchi wa jimbo lake!
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 15 дней назад
Msukuma kwa elimu gani wewe ndio sehemu inayokustahili kuchangia huna unachokijua tunampenda mpina
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 15 дней назад
Wabunge wa ccm kwa hoja hiyo ya mpina wanavyo changia kwa machachali rakni maswala yanayo wagusa wananchi na kuhusu upatianaji wa katiba mpya wako kimya nyie wabunge maccm Mungu anawaona mnamuhukumu mtu anae sema ukweli wengne wengi 2025 amtorudi tena shenz zenu
@josephngassa7073
@josephngassa7073 16 дней назад
Inatakiwa katiba mpya ili bunge liwe na tija
@babukije268
@babukije268 16 дней назад
Waziri bashe mzushi hatumtaki cc wananchi mpina ni mbuge wetu na mtetezi wa wanyonge wabunge wengi wazushi wanatetea uwozo
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 12 дней назад
Mpina hata kwenye jimbo lake hakuna anaye mtaka
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 16 дней назад
Hutuwezi kukataa uzuri wa Bashe. Lakini wengi mnatumia hisia zaidi kuliko kutafuta facts. Wabunge wetu jukumu lenu liwe kumtetea mwananchi zaidi kuliko serikali. Kuweni na uhakika kama kweli Mpina alifanya hilo jambo kwa mslahi binafsi na sio maslahi ya umma.
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 15 дней назад
Wako bungeni kwa ajili ya masilahi yao bahati mbya hatukuwachagua ndiyo maana wako kwa upigaji makofi isiyo na mshiko kabisa mnapoteza tu muda na kupokea kitita
@AmaniSulle
@AmaniSulle 16 дней назад
BUNGE GANI HILI ? PAMBANENI NA MAFISADI KINA BASHE' HAKUNA LOLOTE HAPO KWANZA HAMPATI KURA ACHENI KELELE
@oblemongi4195
@oblemongi4195 16 дней назад
Oooh kwani hapa ni wapi 😂
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 15 дней назад
Mavi au wabunge, these are narcissists, who don’t know their jobs, ni kutombana tu, kuhongwa na kula hela zetu. Mutaadhibiwa mkifa washenzi nyinyi wenye akili za nzi!
@ngusamagambo9115
@ngusamagambo9115 15 дней назад
mh mpinga uko sawa piga kaz
@StevenShimiyu-qu2zx
@StevenShimiyu-qu2zx 15 дней назад
Msema kweli asulubiwa, ufisadi umelindwa uendelee kuwepo
@GivenMgani
@GivenMgani 16 дней назад
Mpina juu
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 16 дней назад
Huku bungeni wote ni wanafki, mnamnafkia Rais samia, na hapo mnajaribu kufunga wabunge wengine midomo ili wasiseme ukweli uliopo.
@BernardMwakipesile-nq5ze
@BernardMwakipesile-nq5ze 16 дней назад
Msitaje haraka laana kwa sababu nchi hii imejaaa laana kila kona dhuluma kudhalauliana kama mungu angelaani basi hakuna mtu angepona tushinyosheane sana vidole ambaye hajatenda dhambi awe wa kwanza kumpiga mwenzake
@EmmanuelKitulla
@EmmanuelKitulla 16 дней назад
Kwani wachangiaji hao ni watanzania au?
@tabithamoroni1639
@tabithamoroni1639 11 дней назад
Yaani kama wametoka nje ya nchi hwawana uchungu hata kidogo
@CristinLyanga
@CristinLyanga 8 дней назад
Mpina juuuuuu ,
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 16 дней назад
Heko mpina, Wote waliokuhukumu mwakani awatarudi bungeni, wapo bungeni Kwa maslahi binafsi.
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 15 дней назад
Mm mpaka nime mlilia mpina
@ephraimmakaranga1795
@ephraimmakaranga1795 16 дней назад
Mimi Nataka kujuwa Alichokisema Mpima juu sukari ni kweli au sio kweli
@Ellyosborn-fo2zk
@Ellyosborn-fo2zk 16 дней назад
si kweli maana walimpa mda alete vidhibitisho/ushaidi ukawa ni wa uongo
@magangajumanne8053
@magangajumanne8053 16 дней назад
​@@Ellyosborn-fo2zkwewe unaona Mpina ana toa ujinga au ukweli na Kwa niaba ya watu,,,,,,shinda niiii.......
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j 11 дней назад
Ss na mpina tuko mstar mmoja tunakpenda mh mpina
@user-fr3yx7ot9v
@user-fr3yx7ot9v 16 дней назад
Nilijua mapema Mpina hawezi kupewa ushindi kwani tangu mwanzoni Spika alionyesha Nia mbaya ya kumumiza. Mpina yuko sahihi hata mkijitetea ukweli na mkimwazibu.
@rwezimulastephen3713
@rwezimulastephen3713 15 дней назад
Ndivyo alivyoanguka Job Ndugai. Hakuna sababu za msingi zaidi ya ushabiki na kujipendekeza kwa aliye juu
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 3 дня назад
Sidhani if my lovely Mp mpina atarudi bungeni
@user-vc8cc2pt7n
@user-vc8cc2pt7n 16 дней назад
Mnalalamika spika katukanwa mtu anatetea wanyonge kwaio wananchi tuteseke sukari tuliuziwa erfu kumi nyie wabunge mkaona sawa tu ila spika mnamtetea nyie watu wa hovyo kbs
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 14 дней назад
Bunge ili jamani Mungu Awasaidie.
@edwinkajuna7207
@edwinkajuna7207 14 дней назад
Wananchi Tuko pmj na Mh Mpina... Wote hakuna atakayerudi hapo
@makungamapalala7982
@makungamapalala7982 15 дней назад
Mpina uliwahi kuwa waziria awamu ya tano ukaboronga Leo acha wakuvuruge we siyo mtu kama uliwahi kupeleka rula kantini ya bunge wakakuacha ukalindwa,naunga mkono usulubiwe ww hufai
@Sostere98
@Sostere98 16 дней назад
Yaani hii nchi ya ajabu sana, TBC hyo caption yenu imeiwekaje
@six12tv77
@six12tv77 14 дней назад
Hawa wabunge unaweza kuwatukana kwa hasira ukapata matatizo tu!... Yaani ni wa hovyo mno!
@tabithamoroni1639
@tabithamoroni1639 11 дней назад
Sanaaa
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 16 дней назад
Shida yenu ma fisi em huwa hamtaki kuelezwa ukweli
@ZionEmanuel-ne8ob
@ZionEmanuel-ne8ob 14 дней назад
Bunge la Tanzania wakiwa busy na kazi daaah Mungu atusaidie sana.
@williampaulmashoke7402
@williampaulmashoke7402 14 дней назад
Vipi kuhusu kesi ya Bashe ndo mmeipotezea ? Mpina ana point, hawa kuna kitu wanaitetea.
@davidmziray2048
@davidmziray2048 14 дней назад
Wewe msukuma ni Moja wapi wa wanufaika na biashara ya sukari
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 16 дней назад
Mtatoka wote hapo bungeni wengine wataingia ... kama ndugai alitoka itakuwa nyie
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 16 дней назад
Lissu alikimbia lema jonh heche, wengi tu walishindwa, mpina Njoo nje
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 15 дней назад
Jamani ya kwamba kama usiposifia ww sio CCM kuweni na huruma MH mpina usirudi nyuma pambana mungu yupo pamoja na ww
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u 15 дней назад
Mnatishana au mnajenga nchi mnatuchanganya sanaa
@Godfreymlila
@Godfreymlila 15 дней назад
Baraza la maadili halijamtendea haki wanaki wanahusika na aliyoyasema mpina
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 16 дней назад
furahieni majanga ya wenzenu, tusubiri nyie msiokosea, yaani malaika wasaka tonge, waoga, wanafki muendelee kula nchi. Kuku kwa mrija. Hongereni.
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 8 дней назад
Dah....kama nije niwang'ateng'ate hapo😢😢na hasira yani😢😢😢😢
@paulowilly7864
@paulowilly7864 15 дней назад
Na ninyi wabunge mmetudharau sisi wananchi oneni Kenya mpina usife moyo kutetea kutetea watnzania hao wanaomtetea Bashe wote ni wezi
@michaelsairamagafu
@michaelsairamagafu 16 дней назад
kama yesu alipigwa na kusulubiwa na ndugu zake hatuwezi kushangaa ya Mpina
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l День назад
Mnalidhallilisha bunge na kutoliheshimisha bunge tutaonana uchaguzi ujao,Mlio msulubisha mpina tumewaona
@grelightmushi6106
@grelightmushi6106 15 дней назад
Sukari bei gani? Au mnamionea mpina
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 15 дней назад
Hy tuliyategemea ktk bunge hili la wala nchi
@josephngassa7073
@josephngassa7073 16 дней назад
Musukuma hauko sawa una bifu tu mungu anakuona
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 15 дней назад
Bifu lao ni toka enzi la Magufuli
@edwinkajuna7207
@edwinkajuna7207 14 дней назад
Wananchi Tuko pmj na Mh Mpina...
@josephkalwani
@josephkalwani 10 дней назад
Ila watz bwana huwa ni wanafiki sana😅😅😅😅
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 16 дней назад
Mbaki na jengo lenu Mpina ndo mkweli kazi kulindana
@LuganoMwakalo
@LuganoMwakalo 16 дней назад
Bunge la ovyo sana hili msema ukweli huunguzwa
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 16 дней назад
Wewe ndiye mtu wa hovyo sana usiyefikiria unayepelekwapelekwa tu kama bwege
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 15 дней назад
Wabunge wengi ni wanafiki sana
@LivinusMwinuka
@LivinusMwinuka 16 дней назад
Hili ni bunge?
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 12 дней назад
Hawa wanaochangia naona kama wameandaliwa na pia kama wana chuki binafsi ndani yao,lkn God is Great always..I stand with Mpina forever with no disrespect for the parliament..
@agreykayombo6119
@agreykayombo6119 14 дней назад
Tuna wabunge wa hovyo sana, hoja ya MSINGI ya mpina inahitaji majibu Siyo huu mjadala mnaotuletea. Mnaacha MAJUKUMU yenu ya MSINGI kuisimamia Serikali na kuwawakilisha wananchi mnabaki kukiwakilisha chama na familia zenu. Upumbavu kabisaaaaa.
@methodrweyendera6814
@methodrweyendera6814 16 дней назад
Mbumbu ndiyo wanasubirigi kwenye vijembe
@filbertdamiani101
@filbertdamiani101 16 дней назад
Mpina amekosea kutoa Yale aliyowasilisha kwa spika, lakini je mjadala uendelee kuhusu Hilo la Bashe Kama kweli alifata taratibu
@CristinLyanga
@CristinLyanga 8 дней назад
Yaan,sitamani hata kusikiliza hili bunge,yaani mnaita mwenzenu mnafiki nafiki kwa kusema ukweli ,duuu kweli,
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 13 дней назад
Yani wabunge wa hiki chama ni ovyo kweli😢😢😢😢😢😢
@kassimumandeleko9704
@kassimumandeleko9704 15 дней назад
Acheni ukuma angejibiwa hoja sake mpina hana kosa ata kidogo tulia unamuonea mpina
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 16 дней назад
Wanaona sisi ni mazuzu, ila one day yes
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 16 дней назад
Anacho kifannya Bashe kuhusiana na maendeleo ya kilimo, wakulima, na wananchi ni tija na msaada mkubwa kwa maendeleo ya wananchi na Taifa la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Azabu kubwa anastahiki (Mpina) ili iwe fundisho kwa utomvu mkubwa wa adabu kwa spika na Bunge la Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 15 дней назад
Upo vizuri
@tabithamoroni1639
@tabithamoroni1639 11 дней назад
Huna unachokijua, fanya utafiti wa mambo kwanza kabla hujaongea hayo unayoongea
@emanueljames6798
@emanueljames6798 15 дней назад
Yaan mmh sisemi lkn Mh Mpina piga kazi
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 16 дней назад
MUNGU ana kawaida ya kusubiri watu wanaoumia kumlilia ili afanye jambo. Na inachukua muda mrefu wanyonge kupata fahamu sahihi kuwa MUNGU anasubiri tu sauti ya vilio vyao kwa pamoja ndipo mtu mmoja utumwa kuja akiwa na fimbo mkononi. Hapo ndipo bahari hugawanyika pakavu pakaonekana na wanyonge huvuka.
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 11 дней назад
Ila nadhani mnajua uvumilivu unamwisho kule kenya mmeona vizuri kilichotokea cheo ni dhamana
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l День назад
Daaaaaa mnachefua
@ThomasiMatoke-hm3dr
@ThomasiMatoke-hm3dr 13 дней назад
Nyie wabunge waking sana mko hp kwa ajiri ya wtz au mko kwa masilai yenu
@MichaelMnkande-zc9it
@MichaelMnkande-zc9it 13 дней назад
Jaman mbona mnamsulubunmpina mnamuacha aliyepandisha bei sukari?
@tungarazalucas1478
@tungarazalucas1478 15 дней назад
Leo wachangiaji wengi ndo mjue tuna bunge la aina gani
@mahamudabiibmohamed6494
@mahamudabiibmohamed6494 16 дней назад
Well done
@babukije268
@babukije268 16 дней назад
Kweli wabunge hamnazo
@ZionEmanuel-ne8ob
@ZionEmanuel-ne8ob 14 дней назад
Mimi binafsi naomba spika msamehe mhesimiwa mpina please
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 15 дней назад
Musukuma oyeeee, DP World oyeeee, mjinga sana huyo, atuambie alihongwa ngapi kupiga dene hao DP
@six12tv77
@six12tv77 14 дней назад
Kwahiyo kuhusu waziri anayehujumu nchi mjadala umeisha?
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 День назад
😂😂😂😂 HUKU NAOGOPA
@nganyanyukahumphrey37
@nganyanyukahumphrey37 14 дней назад
MPINA anasagiwa kunguni aisee
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 16 дней назад
ila Gwajima huongea kwa utulivu na hutoa point za msingi kabisa
@MichaelMnkande-zc9it
@MichaelMnkande-zc9it 13 дней назад
Hapa cjaona ripot ya mh mpina ninachoshangaa nikoment za wananch zinamtetea mpina wabunge wanamponda swal langu hawa wabunge wanawawakilisha watugani?
Далее
Nurse's dream !! 😂😂
00:17
Просмотров 3,7 млн
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Nurse's dream !! 😂😂
00:17
Просмотров 3,7 млн