Тёмный

Diamond awatuliza mashabiki zake wanaoumizwa na yeye kupandishwa mapema kwenye show ya Afronation 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@mmanuelsimbakayeye
@mmanuelsimbakayeye 3 дня назад
tuna juwa ile simba ni mwamba tu na simba nimoya tu yani diamond simba ❤❤❤❤❤❤❤
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 дня назад
Mpeni moyo jamani hadi huruma😂😂😂
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 3 дня назад
Si mkubali ni star wa bongo tu😂😂😂
@ce-08
@ce-08 3 дня назад
Jealous 😅😅
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 3 дня назад
Nimekubali mimi huyu asishindane kabisa na wanaigeria
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 2 дня назад
Huyu jamaa atawaumiza vichwa wenye chuki mbona wasanii wenu hawafiki huko pia
@soundmale
@soundmale 2 дня назад
Mziki vita 😢😢..ukitaka kuwa kama wao lazima upambane sana..hata hiyo show ya mchana wengine wameimezea mate😎
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 2 дня назад
Good luck big brother ❤
@user-gz2sr2xf9w
@user-gz2sr2xf9w 2 дня назад
Biashara asubuh jioni mahesabu huyo anapiga show ata saa 7 ya mchana kikubwa maokoto yameingia we huogopi 🎊
@saidjuma7101
@saidjuma7101 3 дня назад
Mm nina uhakika huyu mwamba ni hatari sana sema anatengenezewa figisu nyingi sana kwenye carier yake ya muziki wake na hata hao wa nigeria nahisi kuna mambo wanamfanyia huyu jamaa etu ili tu asipenye huko na kutambulika kama wao ,ila wakati wake huyu jamaa upo na soon tu atawashangaza wengi mno maana jasho lake analolipambania mungu atampa neema katika hilo kikubwa a focus tu basi hayo maneno kuongeleka kawaida 🦁💪🔥
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
Wanaijeria kwanza hawana Tena Ushindani ndani ya Bara la Africa Jamaa washatoka huko Zamani sana, hakuna figisu Mungu kaumba vitu tofauti na kila Mja ana Riziki yake sifahamu kwa nini Watu wanapenda kumsindanisha fulani na fulani
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 дня назад
Naria namengi😂😂
@saidjuma7101
@saidjuma7101 3 дня назад
@@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar sawa ila Kuna wakati mwingne mzee hizi mambo zipo katika Sana hyo huwezi jua mm nachoamini sahv huwezi SEMA eti Rema kufanya makubwa kuliko diamond ila tu ndo hvyo wenzetu Wana ile hali ya kushikana mkono kivyao kwahyo mond anakosa sapoti kubwa mno ndo maana anaonekana wa kawaida katika shoo Kama zile wanampangia mda wa show Kama msanii chipukizi kwahyo lazima mondi atafute watu wenye nguvu huko nje ili atoboe zaidi hii ni vita mzee ni kupambana kwelikweli
@amosmemba9926
@amosmemba9926 3 дня назад
Sio figisu... Ishu ni ukubwa.. aendelee kukomaa atakuwa anapandishwa late na wakubwa wenzake..
@saidjuma7101
@saidjuma7101 3 дня назад
@@amosmemba9926 yeah ni juhudi zake tu inatakiwa ili afike zaidi mungu atamsimamia katika hilo kikubwa ni ukishakuwa na uthubutu lazima mambo yajibu vzuri
@ramadhaniraphael5799
@ramadhaniraphael5799 3 дня назад
Ifike muda tuwe wazalendo naminii mungu atakujalia sana ngugu yangu muhimu nikupambana kwani kupafomu usiku ndio kuna vibe watu kama watu wanakupenda inatosha
@stonegreatestfilmz3398
@stonegreatestfilmz3398 2 дня назад
Nyinyi wa bongo acheni ma neno.mbona sisi burundi hatujapata hata wakupandishwa mchana ila tuko kimya 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kilimanjarostarlounge
@kilimanjarostarlounge 3 дня назад
yani apo asipoteze muda awekeze kwenye komasava dunia imjue vizur aliikwe kwenye mashow makubwa alfu atoe pap album ya makolabo makubwa au EP kwisha sas yeye anataka kujivuta muda unazidi kwenda anapoteza nafasi nyingi za kujidhihirisha ukwabwa wake kidunia maana hajawai hata kujaza watu aolfu10 kwa kuanda show yake kimataifa sasa bado watamjuona wakawaida hits zake zinaishia africa sana za mond tofauti na wenzake wakishaona hii ni hits wanaitafutia kuipa ngumu awapeke zaidi awapotez muda hv kwanin ajifunze kwa wakina CALM DOWN , TA TA TA , WATER , PERU , SOSO , TETEMA NA zingine nyingi
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 дня назад
Tatizo hamumueleai Ukweli mnamsifia sana hilo ni kpsa mwambieni Ukweli ili aongeze bidii Daimond ni msanii mzuri
@osmandingi
@osmandingi 3 дня назад
Diamond ni mtu wa East Africa tu hana jipya
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike 2 дня назад
Wanaojua harakati za wanaijeria wanakuelewa wasiojua bado watakulinganisha na kina buna boy
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 3 дня назад
Leo kaongea ukweli ajaongeza masifuri ata sifuri 1 simba
@Neuvemzaliwa5
@Neuvemzaliwa5 3 дня назад
From Congo APA 🇨🇩🇨🇩 kwanini mnashidwa kumpa mahuwa yake #mondi amepanda jioni mnasema asingepanda mgesema kaogopa show ebu achani upumbavu wa namnaiyo uyo ni msani mkubwa Sana #mondi mpeni eshima yake
@user-vf9sk3ij8s
@user-vf9sk3ij8s 3 дня назад
Me naamin ukisem Kwan cyo rahis kupg show hpo ulipopig usk mchan zot ni show
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 3 дня назад
Shows lazma watu wapangwe wakali na wachovu coz wakianza wachovu watupu basi lazma show itaboesha,muhim n wachanganywe
@user-ni2kv3yf6e
@user-ni2kv3yf6e 3 дня назад
Kwan mchana si nd vizuri wamuone vzr😅
@collinndabi1914
@collinndabi1914 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mmmmmh wapi maneno tu
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 дня назад
Yeye na Rema nani kaanza mziki mbele ya mwenzie? 😂😂 nyie watangaza mnamudanganya sana Diamond kwakufanya vipindi vyakumusifia 😂😂😂😂
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 3 дня назад
Rema yuwabwebwa na walio tangulia sikiliza alivyo ongea simba walitangulia
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
Juzi Vanny kaalikwa Albania wakaanza kumdanganya kasepa na watu Elfu 20 wakati show ya Mtu Mwengine hizi Media za Kibongo zinawadanganya sana Wasanii na Ndio mana wanashindwa kufanya vizuri
@stonegreatestfilmz3398
@stonegreatestfilmz3398 2 дня назад
Cha utoto amesema wao ndo mwanzo kutoa ngoma za kidunia ,sasa rema sunajua kwamba ameshatowa mbele ya diamond ngoma ya kimataifa ,sisi cha kufanya nikumuunga mkono ,atafanya maajabu tu 🙏
@aaa64sa13
@aaa64sa13 3 дня назад
😂😂😂 Simbaa... kwa ma Buti yale uliyo yavaa lazma wakuweke mapema. 😂🦁🔥 #Wcb 4life🤜👍
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 дня назад
Hahahahaha nimecheka sana anaenda kuvuruga mpunga
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 3 дня назад
HUYU JAMAA ALIKUWA ATOBOWE WAKATI HULE DAVIDO KAMPA COLABO ANAZALILISHWA KUANZA KUFUNGUA SHOW KAMA UNDERGROUND OR UNDERDOG ARTIST DAH HURUMA SANA NATAMANI KULIA 😭😭😭
@WahuBoth
@WahuBoth 3 дня назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@humbleshoal
@humbleshoal 3 дня назад
Mie hata cjakuelewa msg yako jamani ndefu, naomba unifafanulie pls?
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 3 дня назад
@@humbleshoal WANAMFANYA DIAMOND KAMA UNDERDOG
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 дня назад
Kawatukana wa Nigeria 🇳🇬 eti wamigia kwenye mfumo, leo anakuja kulalamika. waandishi muwe munakuwa wakweli mukiendelea na hii tabia yakuwa munawasifia wasanii vitu vya uongo mutakuja kuua vizazi na vizazi vya wasanii chipukizi
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 3 дня назад
Tatizo hawapendi kuambiwa ukweli kuwa mziki wa bongo bado wa nigeria level zingine
@WahuBoth
@WahuBoth 3 дня назад
Kweli kabisa
@ce-08
@ce-08 3 дня назад
​@@mrenobishoo1118 Hilo hakuna ambae hajui mda mwngne watu wanafanya hivyo waingize hela sasa ww chukulia Kila ktu serious humu kwenye mitandao utaumwa kchwa
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 3 дня назад
😂😂 poleni wapenzi wa Mondy😂, kujisifu😂 sana
@MaryLukeka
@MaryLukeka 3 дня назад
Kama unatamani ashindwe na unateseka kwa mafanikio yake pole yako ww mwenzetu umefika wapi na wapi
@humbleshoal
@humbleshoal 3 дня назад
​@@MaryLukeka Hatumuombei ashindwe ila aache majisifu.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 3 дня назад
@@MaryLukeka hakuna kuombewa , dawa ya Kujisifu ni kunangwa
@user-cv4jb1bm6i
@user-cv4jb1bm6i 3 дня назад
Alisema nigeria 🇳🇬 alikuwa anawaangalia tu wakaingia kwenye mfumo hivi mashow ya davido lema huwaga yakoje??
@WahuBoth
@WahuBoth 3 дня назад
Davdo lema Wana panda usiku
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 3 дня назад
Oooh mimi wa Nigeria hawaniwezi oooh mimi ndo msanii mkubwa kumbe unadandia show za watu wanakupa utanguliz uluke sarakas mchana usiku wanapigakaz chibu aache kujitunisha sio hatumpendi hapana ila nguvunyingi kuliko uwezo hatimae wa Nigeria wanampuuza
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 дня назад
Amewakamata wanaijeria 😂😂
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-qw7th5bo1l
@user-qw7th5bo1l Час назад
Uyo mondi ni Matako tu yeye sialisema alikuwa anawasoma Wana ijeria sasa wajuwa zaidi
@ramadhaniwasafi4516
@ramadhaniwasafi4516 2 дня назад
Mwijaku yeye nichawa tu na isitoshe hawezi fikia mond ata 5%
@albertonyangaresi1971
@albertonyangaresi1971 3 дня назад
Now wacha diamond afanye show..... London .....show ya usiku....
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 дня назад
Sisi mashariki wake tutavuta subra ,kikubwa anatuwakilisha TZ ,tuko nae bega Kwa bega star wetu
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 3 дня назад
Mm naona kufanya kazi mapema ndio vizuri ukalale mapema ama Inakuaje
@humbleshoal
@humbleshoal 3 дня назад
Akalale mapema vipi kwani yeye mwanafunzi atachelewa shule!?
@ghettolandentertainment7701
@ghettolandentertainment7701 3 дня назад
Yeye mwenyewe alikuwa wa utangulizi
@luckybarbershop2342
@luckybarbershop2342 3 дня назад
Diamond Simba lama Simba tupo nae c.c day one.nina amini kwa tutamufikisha djuuuu mpaka wanafki takapo jutia
@luckybarbershop2342
@luckybarbershop2342 3 дня назад
Komasava
@vibetz9991
@vibetz9991 3 дня назад
Huyo ni staa bongo tu
@SafayaPlatnum-zz1dz
@SafayaPlatnum-zz1dz 2 дня назад
Tutafika mkuu chamsingi tunakuamini
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 3 дня назад
Show ni show muda na ratiba haimshushi diamond chini
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
Unapingana mbaka na Mwenyewe duh
@habarugiraRodrigue
@habarugiraRodrigue 3 дня назад
Atuachiy kile kele mziki mzur bado kwake
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 дня назад
Ao wasanii wao mbona hatuwaoni kupandishwa usiku
@abubakari8684
@abubakari8684 3 дня назад
Kiukweli kama simba inaniskiya Bora hawe anakata kupamba kwenye izo show
@PeninsulaHouses
@PeninsulaHouses 3 дня назад
Tupo pamoja ata kama ukitumbuiza kama mechi za Copa America pamoja 😂kaka kikubwa tupo
@AwaziBange-yo1wq
@AwaziBange-yo1wq 3 дня назад
Blood line up kufika tu kwenye jukwaa lao hilo wewe ni mshindi
@rizikikasongo4388
@rizikikasongo4388 3 дня назад
Diamond is not big enough as you think but well done to him
@humbleshoal
@humbleshoal 3 дня назад
Sure
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 3 дня назад
It’s only tz nchi zingine big nope
@mullahtmo
@mullahtmo 3 дня назад
Uyu bado nimsanii mdogo
@official_Yssalia
@official_Yssalia 3 дня назад
Blaza Blazaa.... Tangu kamwambie itoke miaka 13 iliyopita Hakuweza kufanya NGOMA ZA KIDUNIA kweli au wadau wa uko Mbele HAWAMUELEWiiiiiiii😂
@user-rh4ue7rb6t
@user-rh4ue7rb6t 3 дня назад
Tatizo kolo bado kolo unamvyo mponda huyu dogo jitasimini mwenyewe kwanza hay hizo kenge mnazo zifia hazoja Wai hata kuparfamance afro national zaodi ya huyo mnae ssema mwambino kila mwaka yeye lazimama awepo sasa wewe mwaija mkongo man unaonge sana inabidi tukufuatia kiulaia
@beingothman
@beingothman 3 дня назад
Ukweli utabaki pale pale wee ni wamchana tuu hata useme nini
@WahuBoth
@WahuBoth 3 дня назад
😂😂😂kabisa alafu Rema kapanda usiku
@ce-08
@ce-08 3 дня назад
Kikubwa ameingiza mkwanja inatosha
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
@@ce-08 Sifikirii kama lengo ni kuingiza Mkwanja mana Jamaa ata akifanya Show za buku buku Chamanzi tu basi ataingiza Mkwanja, Issue ni kutafuta Heshima na kupanda Juu zaidi
@beingothman
@beingothman 3 дня назад
@@WahuBoth Mimi nilivyona Ile clip anasema wamejaa kwenye mfumo wamejaa kwenye mfumo nilidhania kuna kitu kinakuja bora kumbe mambo yenyewe ya kupafomu mchana
@ce-08
@ce-08 3 дня назад
@@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar n kweli lengo kufika juu kmataifa ila hela anayoingiza huko sio ya chamanz napia hatumii nguvu kubwa km angefanya show Tz
@IsaacKaziya
@IsaacKaziya 3 дня назад
Watanzania jamani tujitaidi kuelewa uyujamaa yupo kwenye vita tumsapoti sio kuponda
@humbleshoal
@humbleshoal 3 дня назад
Na yeye ndio aache maringo ya kuona wenzie hawafai.
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
Russian and Ukraine 😂
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 3 дня назад
Kondi
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 3 дня назад
Kweli huwa na chukizwa sana, na awa kenge wa afro nation, kila mwaka anaperform mchana, wanatuabisha kinoma 😏😏😏💔💔💔
@moham.279
@moham.279 3 дня назад
Why can’t you Tanzanians organize your own Afro Nation and leave Nigerians who organized it alone? You think it is easy to pull up a show like that? Leave Nigerians artists alone. We no longer represent Africa, our music is now global with a force to reckoned with..
@selemanirashidi-sc3pp
@selemanirashidi-sc3pp 3 дня назад
Hata hivyo ulikuwa ni usiku sema tu jua linazama late kidogo
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 3 дня назад
😂😂😂😂😂
@davkoofficial4179
@davkoofficial4179 2 дня назад
Angekuwa harmoniz apo au rayvan mapovu yangewatoka sema mondi ni MTU ana nusu akili ake inaelewa sana anajibu vitu vizur sana kwanza ajifanyi mkubwa ndo maana ukubwa unamfata 🔥🔥baba tufikishe nchi ya ahadi
@ShabaniJuma-bu7vg
@ShabaniJuma-bu7vg 3 дня назад
Wambieni ukwelisialijitamba bado Musaniimudogo
@user-cj6fi4gy5f
@user-cj6fi4gy5f 3 дня назад
Kila siku nawambia nyie sns kuwa sikuhizi nyote ni team wcb na nikiwa nawambia kila siku kuwa mdawake uliisha huu ni mda wa Harmonize na Rayvany . Atoke hapo mjinga tu na bado sikukoja watakuja kumzomeya
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 2 дня назад
We kweli ni mbwa acha umaskini wenye chuki hao wasanii wako wamefanya kipi Cha kushindanishwa na diamond
@TonnyNdekisekawele-vd3cq
@TonnyNdekisekawele-vd3cq 3 дня назад
😂😂kimrmramba
@DjskillsTboiyprincess
@DjskillsTboiyprincess 3 дня назад
Tatizo letu moja tukiongeya mtasema tunamuchukiya ila mond tunampenda muda tumempeya naviletunaitaji kwake kwasasa bado hatujavipata Msani Rema siyo wakwimba yuma ya mond ila ndoivo wa Nigeria wametupita saaaaana
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 2 дня назад
Mbona Lema kapiga show kabla ya kupanda diamond hatukatao Nigeria wametutangilia ila lazima tumpongeze hapo alipofika mbona hajaitwa alikiba kupiga show huko
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 3 дня назад
Wasanii wautanguliz ndo wasanii wa dogo
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 дня назад
Jipe moyo
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 дня назад
KAWAPA AIBU KUBWA NYIE WATANGAZAJI MACHAWA NA VIBARAKA VYAKE MNAO MUSIFIA UONGO. 😂😂 SASA LEO KAKUBALI MWENYEWE NYIE VIBARAKA MUJIFUNZE SASA 😂😂😂😂
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt 3 дня назад
Ashuo na wewe wemwenye chawa wake ndyo mana umemtazama 😋😓😏😏😏😏
@InnocentMsuya-cc4vt
@InnocentMsuya-cc4vt 3 дня назад
akili mtu wangu, concert yenyewe Ni ya artist wa afrobeats wengne wanaalikwa tu kutokan na kufany vizur apa Africa so artist wa bongo kuperfom usiku kweny show ya afrobeats sio rahis, afu et wanamsifia uongo emb nitajie msanii wako apa bongo nmweny uwezo wa kuperfom Europe Zaid ya dakika kumi, Taj nyimbo Kam tano ivi za uyo msanii wako🤣🤣
@janethmakanza2620
@janethmakanza2620 3 дня назад
​@@InnocentMsuya-cc4vtmaliza dawa 😂😂😂psy**'
@ce-08
@ce-08 3 дня назад
​@@InnocentMsuya-cc4vtbila shaka Bado unaumwa
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 3 дня назад
Nazani nyinyi ndio wagonjwa tena wa akili
@ramadhaniraphael5799
@ramadhaniraphael5799 3 дня назад
Ifike muda tuwe wazalendo naminii mungu atakujalia sana ngugu yangu muhimu nikupambana kwani kupafomu usiku ndio kuna vibe watu kama watu wanakupenda inatosha
Далее
Front Tractor Tire Project #project
0:51
Просмотров 21 млн