Тёмный

DOTTO MAGARI AMCHANA LIVE DIDA SHAIBU ,"UKOME KUONGELEA FAMILIA YANGU KWENYE REDIO YENU. 

BONGO 24
Подписаться 109 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

#bongo24 #dottomagari #dida

Развлечения

Опубликовано:

 

18 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 месяца назад
Dotto nimependa umevua msalaba kwanza .. sasa fanya utengeze hizo ndevu ..
@meckalex4648
@meckalex4648 3 месяца назад
😂😂😂😂😂 ameyatimba dida
@jumamaisara7557
@jumamaisara7557 3 месяца назад
Dotto noma hahaaaaa sana hiyo dua mzee sio mshezo mkuu
@user-wd4hn7cv9s
@user-wd4hn7cv9s 3 месяца назад
🤣🤣🤣ni kweli dida kazidi kila ck kuachana
@sadickmasilah9381
@sadickmasilah9381 3 месяца назад
Nikweli dida kazidiiiii tena sanaaa
@Bama959
@Bama959 3 месяца назад
ila ni kweli kabisa maana kale ka dida kamezidi
@biggievandar254
@biggievandar254 3 месяца назад
Nikweli kaka umesema ukweli waambie ukweli nahapa ipo
@Ramadhani-wx8oe
@Ramadhani-wx8oe 3 месяца назад
Kaka nkubali sana maneno yako na kiukweli hakuna Maisha bira mungu kila jambo mungu ndo Ana panga kaka
@jkifutu7936
@jkifutu7936 3 месяца назад
Dotto una ongea ukweli kabisa mdogo wangu
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 месяца назад
Dida kayakanyaga kwa Dotto
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 3 месяца назад
Eti nimlafi wa juice 🥤 ya maziwa 😅😅
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Pole dida
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 месяца назад
KAMA UMEMGUSA DIDA WE SKILIZA MASHAM SHAM TU UWE UNAYASIKIA MAJIBU YAKO😊
@furahachuma9039
@furahachuma9039 3 месяца назад
Kwa hiliDida hana jibu. Kila siku yeye kuachika, sasa ataongeleaje ndoa za watu.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 3 месяца назад
Hakika.Mungu.mkubwa ndio kila kitu subra tu
@abdhillahiabeid9961
@abdhillahiabeid9961 3 месяца назад
dispilini.. 😅😅
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 hatari sana
@pngugi3055
@pngugi3055 3 месяца назад
Dotto ako very right..huwezi kua unasuluhisha au kuelewesha ndoa za watu wakati wewe ushajichafua..Huna ndoa wala mahusiano ya heshima mahusiano ya
@salumuseif3324
@salumuseif3324 3 месяца назад
hehehehehehehehehheeheheh
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 3 месяца назад
Duu tutafuteni pesa jamani mtu anatafutwa kwenye simu chakula kumeiva 😂😂😂😂
@user-zt3ug9wv7f
@user-zt3ug9wv7f 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx 3 месяца назад
hivi sijui mnanielewa
@RachelMollel-bg4uy
@RachelMollel-bg4uy 3 месяца назад
Aache hiyo kazi
@ramsohk
@ramsohk 3 месяца назад
Uyo c Malaya Leo ana mtaka mtoto d voice 😂😂😂😂😂hana hata haya😂😂😂
@ShibuMlawa
@ShibuMlawa 3 месяца назад
Hahahaaaa duh
@estakapufi7582
@estakapufi7582 3 месяца назад
Kibibi kayakanyaga kwa doto 😂😂😂
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 3 месяца назад
Kuna nn kwan uko jamn
@MwombekiMartini-ny6sl
@MwombekiMartini-ny6sl 3 месяца назад
Mikwanza simsikilizangi ajielewe kabisa
@user-dh2zd7ke7v
@user-dh2zd7ke7v 3 месяца назад
Kayatimba😅
@salehedizzo7369
@salehedizzo7369 3 месяца назад
Yuleanamaneno mengi hawezi kujishusha kwa mumewe alafu anagubu ndomana anaachikasana doto achananae apteiv 😃
@user-hg4xu2st6w
@user-hg4xu2st6w 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@albartdastani3412
@albartdastani3412 3 месяца назад
Interview ilikuwa nzuri kosa kuingiza neno MKIGOMA
@KaguluZuu
@KaguluZuu 3 месяца назад
Anachokoza wakina mwijaku Tu hamaanishi😂😂😂😂
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 месяца назад
Dida kayakanyaga.
Далее
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Просмотров 5 млн
DUDU BAYA:WANAWAKE NI WACHAFU KAMA MBWA MWENYE FANGASI
4:15
Вот как нужно танцевать😁
0:15