Тёмный

Fursa nyingi zipo Canada, ila angalia MATAPELI kuwa makini 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Watu wengi wanatafuta fursa za kwenda Canada. Kuwa makini na matapeli
#canada #ebmscholars #ebmswahili

Опубликовано:

 

31 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 140   
@allyshomari7417
@allyshomari7417 7 месяцев назад
Asante. Kwa mrejesho mungu akuweke na azidi kukupa moyo huo mzuri. Kutujulisha kinachoendelea. Cc ndugu zako. Ubarikiwe sana.
@adammussa2730
@adammussa2730 Год назад
Asante sana kaka sisi wengine unatufunngua sana mungu akupe maisha malefu zaidi na afya
@catherineyohana5002
@catherineyohana5002 Год назад
Thanks you for what you do!!
@joycebruno312
@joycebruno312 Год назад
Thank you very much for your information my brother you are so nice may almighty bless you am from Kenya
@raelchepchirchir4728
@raelchepchirchir4728 Год назад
Asante Sana kwa ufahamishaji wako,ndugu.
@isaacomogo9872
@isaacomogo9872 Год назад
I'm your big follower brother keep it up
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 Год назад
Anaongea point Asante
@haider1997
@haider1997 Год назад
Aise uko vizuri sana from 🇬🇧
@newtonkabelela5407
@newtonkabelela5407 Год назад
Asante sana
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
nawapata vizuri tokea Perth , Australia
@mackephraim5821
@mackephraim5821 Год назад
Mzee ulifikaje huko,type njia
@azizaawadh7231
@azizaawadh7231 Год назад
@@mackephraim5821 unahitaji na weew😄
@harisonkyando3973
@harisonkyando3973 Год назад
Kaka kama nimesema kombi ya hgk naweza para chuo huko canada
@martinbarasa3442
@martinbarasa3442 Год назад
Shukuran kaka.for good information
@amourhemed4343
@amourhemed4343 Год назад
thanks 💪
@najimmohamed6182
@najimmohamed6182 Год назад
Bro mungu akubariki sana
@shabydy8594
@shabydy8594 Год назад
Do you have any online links to apply for canada
@jadarujumbe4814
@jadarujumbe4814 Год назад
Mungu akubarik kaka
@kevinachochi1865
@kevinachochi1865 Год назад
Napenda sana flamu zako,
@zainulahmed8206
@zainulahmed8206 Год назад
Bro ungekuwa agent bc ata ungepiga tungechangia shughuli tu nijapokuwa huhitaji malipo umejitolea but tusaidie tuweke mzg tupate visa tushaibiwa sana bro
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Год назад
Sasa huyu EBM twapataje contact zake tumuulize closely details za kwenda canada
@soipeiTanyasis976
@soipeiTanyasis976 Год назад
Ujumbe mzuri aeza saidia mtu kwenda huko
@user-li6tf5hx4i
@user-li6tf5hx4i 15 дней назад
Dah nakufatilia sana kaka sijui lini nitaitimiza ndoto yangu natamani sana kufanya kazi nje ingawa naenda enda kongo lakin so ndoto yangu kongo sijui ata nianzie wap ili nitimize ndoto yangu
@oxwad3836
@oxwad3836 Год назад
🇨🇦 Ahsante sana . 🇹🇿
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Год назад
Thnkyou f imfometion tutumie hiyo link ya kuaply bc ebm plz thanks 👍
@Willyb254
@Willyb254 Год назад
Asante
@mukrimchum7453
@mukrimchum7453 Год назад
Ni mda mrefu natamani niende nchi za nje na nchi ambazo nazitaka ni UK na Canada ipo siku moja inshallah ndoto itatimia
@geoffreychurchkayora1230
@geoffreychurchkayora1230 Год назад
Here we come Sweden
@Trey2k365days
@Trey2k365days Год назад
first one here
@barutiboniphace4335
@barutiboniphace4335 Год назад
Sasa mkuu. uki Apply kazi. Nauli ya kwenda kule inakuaje coz matapeli wengi
@owlbig
@owlbig Год назад
Asanteni na tusaidie kuusu Australia Visa za training kama 407 Visa nazingine 🙏🏾
@bilalwaziri3422
@bilalwaziri3422 Год назад
Kaka bado tupo pamoja mimi niyule tuliokaa zanzibar Beach tupo pamoja
@esthermathenge1774
@esthermathenge1774 Год назад
Mimi nataka kazi ya care giver or ya nanny, Kuna age limit .I'm a senior citizen .
@washuatv7099
@washuatv7099 Год назад
Elimu yangu ni diploma je inawezekana kuaply bacherol kwa vyuo vya canada na nikapata schoralship?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 5 месяцев назад
ndiyo ila angalia za bei ndogo ili ukifika huku uombe chuo unachokitaka
@haroldkayanda7092
@haroldkayanda7092 Год назад
Nipe muongozo au website ya ukweli
@gustavemajuto3737
@gustavemajuto3737 Год назад
Jambo kaka
@bukuruphilibert2968
@bukuruphilibert2968 11 месяцев назад
Sawa wachu
@user-zn5nq3qk8p
@user-zn5nq3qk8p 11 месяцев назад
Brow i have question ikiwa nataka kwenda uko abroad hususan Canada naaplyje!! Na pia vip kuhusu pakufikia natakiwa kuwa nakeshi mfukon au inakuwaje mzee wangu? By professional mm ni artisan domestically and industrial electrical
@da2jamhuri418
@da2jamhuri418 Год назад
Tuwekee link
@maryleonard5135
@maryleonard5135 Год назад
Relocate Ltd Ni agent wa kuaminika kaka?
@youngselleselle4649
@youngselleselle4649 Год назад
Tupe angalau link
@peterlugomoka3605
@peterlugomoka3605 Год назад
Dah kwa utafutaji kunafaa
@harunakayega5531
@harunakayega5531 Год назад
Canada watu wengi wanakimbia hali ya hewa ni noma but kwa utafutaji ipo fresh
@zaud6581
@zaud6581 Год назад
Haruna nahitaj Namba ako tuwasiliane zaidi bro
@azizaawadh7231
@azizaawadh7231 Год назад
Wow nice
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Год назад
High tax and loneliness
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Год назад
Wabongo wezi mpaka kwenye mitandao wanatuibia huku Zanzibar wamejazana wanatuharibia na sisi punguzeni utapeli mjielewe sio kudhulumu watu tumewachoka tabia zenu
@emanuelmgani5288
@emanuelmgani5288 Год назад
Nakupata vzr Toka brazil
@mackephraim5821
@mackephraim5821 Год назад
Mmepataje michongo huko jaman
@trophywilson7211
@trophywilson7211 5 месяцев назад
tuko milion 38
@esthergrace1455
@esthergrace1455 Год назад
Mtuonyeshe tupite wapi
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
Ni kweli kaka Canada ni njia inenyooka kabisa, mwaka 2016 mume wangu alikuja Canada kutafuta uhamiaji na alitumia njia ya kuja shule alifanya MBA ambayo ilikuwa miezi 18 akamaliza mwaka 2018 November, 2019 may alianza mchakato wa kuleta familia Yaani mimi mke na watoto 3 mi walinipa work permit ya miaka 3, na watoto walipewa study permit, mwaka 2020 alianza kuaply permanet residence kupitia express entry sasa hivi tumeshapata permanet resident wote familia nzima, Suala la shule alikuja kwa kujilipia mwenyewe.
@zozokulwa1627
@zozokulwa1627 Год назад
Hello. Nataka niapply express entry nkiwa bongo, inawezekana ?
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
@@zozokulwa1627 angalia km una vigezo Mfano kada ambazo ziko kwenye demand km nesi Dactari eng, IT wapishi Yaani chef, na pia angalia province ambazo zimetamgaza express entry
@queentz8314
@queentz8314 Год назад
Naomba link za kazi za care assistance sijui huko wanaitaje nataka ku apply please or jina la care kwa huko wanaitaje?
@beatricebenson9099
@beatricebenson9099 Год назад
Hongera sana dear,me ndo napambana najinyima niende shule mwakani ila naskia visa za Canada zinazingua,je ni kweli?
@farisfaris2311
@farisfaris2311 Год назад
Inagharimu kiasi gan dada kufanya master na ada huwa unalipa yote
@mathsnewdiscoveries
@mathsnewdiscoveries Год назад
Kaka naomba email yako Kama huto jali Nina jambo zuri LA kushare na wewe.
@da2jamhuri418
@da2jamhuri418 Год назад
EBM nalia na hapo vipi mipango ikoje
@michaelmagoso7519
@michaelmagoso7519 Год назад
Tatizo huyu jamaa haeleweki yy anaongea tuuu tuna view humuu lkn ktk what's app hasomi kbs notification, sasa tuogope matapeli kvp wkt anajua kilakitu kwanini asiwe agent, waTz bwana wakenya wanatoboa sana inchi kibao wanaingia lkn wa Tz ni kuibiana tu, km pesa ipo popote unaweza kufika lkn duuh, mpaka uwe msanii ndio wana wahudumia sijui vp aisee
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Год назад
Kumbe yupo wengi tumeliona ilo watz tunamatatz Sana wallahi natamani ata ningekuw mkenya Wana agency kalibia Kia nchi imaumiza Sana
@careenevance1535
@careenevance1535 Год назад
Naomba iyo namba yake anayo patikana whats aap ya ebm
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Год назад
Sasa hata ukipewa no yake na hajibi watu utasaidika kweli
@jackypaul8846
@jackypaul8846 Год назад
Ila bora walau hatak kuchuma dhambi kujifanya agent alafu asikupeleke kwa kweli wakenya wanapendana kuna group nililipia nikaingia yaani kiila siku michongo ila hawatak watanzania😢 wanasaidiana wakenya tu
@jamesbenson9245
@jamesbenson9245 Год назад
These people ase wapo kama scams kuna jamaa alifanyaga video nae ya jinsi ya kuenda marekani kufanya kazi kwa muda mfupi masuala ya camping ametapeli watu kibao Nawasikiliza tu then na scroll down watu wanaishi kijanja janja Wana charge pesa nyingi na badae wataku scam tu na malawama kibao Yule mzee anaitwa markrobert scam shit
@jumasaid7643
@jumasaid7643 Год назад
Je kama hujui kifaras
@sikuzanibusanya7352
@sikuzanibusanya7352 Год назад
Jmn mm nasikia wanachukuwa watu wakuchuma matund shambani je icho kitu ni kweli na km ni kweli mm nahitaji passport ninayo fanya unisaidie mm kz yyt nafanya pasipokuwa ya kujiuza tu ndo siwezi km ipo hata ya kufangia balabala mm niko tayari kbs ya kuchuma matunda shambani mm niko taya upatapo ujumbe huu basi fanya kunisaidia kk angu
@zackariamtunguja9435
@zackariamtunguja9435 Год назад
Wanataka uwe na degree na uzoefu wakuchuma matunda
@sikuzanibusanya7352
@sikuzanibusanya7352 Год назад
@@zackariamtunguja9435 kwahiyo ndo imekula kwangu jmn bas hata kz ya kufangia balabala tu ili mrandi nijipatie kipato
@azizaawadh7231
@azizaawadh7231 Год назад
My friend itabid uje Oman,Canada wanataka wenye degree 😄 sorry jokes welcome oman
@zackariamtunguja9435
@zackariamtunguja9435 Год назад
Shule tena kwa scholarship ndio njia rahisi.. Kwasababu Express Entry ili uende moja kwa moja inabd kukidhi vigezo ambavyo kiuhalisia ni wachache wenye support ya hela ndio wanamudu. Mfano moja ya kigezo ni uwe funds sio chini ya $20,000 au uwe na job offer ya full time (na ili upate kazi wanataka xpirience na uwe na uwe registered kwenye nchi ya kufanya hizo kazi)... Ngumu sana
@RM-ox4ov
@RM-ox4ov Год назад
I think you have some wrong information about express entry. Its very straightforward option. You need to have education(kwa sababu ni skilled worker entry so elimu lazma) english exam, valid passport, kazi, experience, kama una partner pia mnaweza jaza wote na wote mnapata points. Upande wa hela inategemea na how many people accompanied with you, jedwali lake liko kwenye website ya IRCC.
@mchinacashagent5568
@mchinacashagent5568 Год назад
NAOMBA NISAIDIE CONTACTS ZAKO AU EMAIL ADRESS YANGO ILI NIWEZE KUWASILIANA NA WEWE MOJA KWA MOJA
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@annengei2814
@annengei2814 Год назад
EBM, nice topic but to be honest I think Canada takes a long time.
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Very strict si nipo hapa cha moto nilikiona
@masalutz4608
@masalutz4608 Год назад
Kama mimi sina digree nina leseni na passport tu inawezekana mimi kupata green card
@pamelakopil4076
@pamelakopil4076 Год назад
Kuapply
@joycenose2356
@joycenose2356 9 месяцев назад
Toa number utusaidie
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
Msiogope kuanza mchakato mafanikio kwa Canada ni uhakika,
@masoudkhamis8916
@masoudkhamis8916 Год назад
Kivipi kazi zipo n.a. mshahara unakuwaje
@lameckdohe6547
@lameckdohe6547 Год назад
Tupe elimu ya namna ya kufanikisha na ukiweza tume mawasiliano
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 Год назад
Dada nipe mbinu mimi ndoto yangu Kuja Canada lakini sijui nianzie wapi
@philipwilliam1493
@philipwilliam1493 Год назад
Mimi ni dereva nataka kuja uko kanada ni njia ipi nipitie
@jacksondominick2726
@jacksondominick2726 Год назад
Ulidiwe Tupe namba yako bas kaka
@abdultimoc4625
@abdultimoc4625 Год назад
Broo tusaidie kufika uko Canada hata tukapige kazi za mashambani
@Kary_254
@Kary_254 Год назад
Na wale hawana masomo wafanye
@jeremyvitals9120
@jeremyvitals9120 Год назад
ebm you didnnt explain about scammer as you said above.. can you explain more detail about them.. how are they doing and how can we know them if they are scammers.. thanks
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
EBM hawezi kuwaelekeza kila kitu jamani ukizingatia halipwi dalili ya utapeli ni mtu kukwambia Pete hela nitakuombea visa za Canada sijui Nina mshkaji wangu kachongewa visa sijui na nani alitoa kiasi fulani cha pesa usiamini ht siku moja visa za Canada ukienda kwenye official page ya serikali ya canada kuomba visa utapata maelekezo yote hatua kwa hatu na kila hatua watakwambia kwa email nenda labda kafanya finger print ukifika huko kwenye finger print ndo utalipia hiyo hatua,sio kwa kukupigia simu wala meseji ya kawaida kumuomba hela
@jeremyvitals9120
@jeremyvitals9120 Год назад
@@lucymkemwa2319 noted
@salha6596
@salha6596 Год назад
Uwe ajent Sasa utusaidie kupata kazi huko tutakulipa
@jumasaid7643
@jumasaid7643 Год назад
KAKA saf san
@mahbibabdulkarim8632
@mahbibabdulkarim8632 Год назад
M nashukuru sasa nina visa tayari ya miaka 10 sema nimehangaika mpk kupata sio mchezo kabisa mtu anaehitaji anitafute nitamsaidia nilipopita mie
@verynicemoshi9959
@verynicemoshi9959 10 месяцев назад
Naomba unipe namba yako tuwasiliane
@washuatv7099
@washuatv7099 Год назад
Na kama ukipata chuo bila scholarship ni vigezo gani wataangalia kutoa visa ya mtu kuingia canada kama mwanafunzi?
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
Km unajilipia hatua ya kwanza ni kupata chuo kuisha pata admission toka chuo ndo hiyo unaenda kuombea visa na ili wakupe visa wataangalia ni pesa kiasi gani uko nayo bank km udhibitisho kutokana aina ya course uyoenda kufanya km ni first degree diploma au masters mfano wa sisi mr wangu chuo walitaka ada ya course nzima ilikuwa km 39 milion akaonyesha bank statement ya 50 million hawakusema tuma kabisa ni bank statement tuu, akapata visa sasa sijui km ni utaratibu wa kila chuo huku ila sisi hawakutudai tuhamishe hela kwenda account ya chuo alivyofika ndo akawa analipia kwa course akiregister ndo analipia pesa wanayotaka, kwa hiyo kwa mpango huo ht km ndugu mzazi mwenye pesa yake anaweza kukudhamini kwa kuangalia bank statement yake we unatafuta km 20m za kuanzia ukaoomba visa ukifika huku utafanya kazi utaweza kujilipia
@washuatv7099
@washuatv7099 Год назад
@@lucymkemwa2319 Nimekupata vizuri ila kuna hapo chini umeniacha kidogo naomba unieleweshe yaani ni atakapoonyesha bank statement yake mzamini wangu me natakiwa nitafte tena kama 20m nje na hio kiasi kilichoonyeshwa or ni vipi hapo?
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
@@washuatv7099 nimetolea mfano km mtu anaweza kukudhamini kwa kukusaidia bank statement yake ukawaonyesha ukifanikiwa kupata visa ukifika huku utahangaika mwenyewe
@yuzasivyussuph6087
@yuzasivyussuph6087 Год назад
@@lucymkemwa2319 Uko nchini sister
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
@@yuzasivyussuph6087 Niko Canada
@da2jamhuri418
@da2jamhuri418 Год назад
Sasa unatusaidiaje tusitapeliwe,tufanyie wewe hii Kazi na tukulipe,maombi.
@demimagese8563
@demimagese8563 Год назад
Yukon huku imagine ni province kubwa ina watu wachache sbb ni baridi Sanaaaa hapa watanzania tupo wachache mnoooo
@daprince7545
@daprince7545 Год назад
Tupeni connect ya visiting
@demimagese8563
@demimagese8563 Год назад
@@daprince7545 MUNGU ni mwema siku moja utakaribia
@daprince7545
@daprince7545 Год назад
@@demimagese8563 tupeni link za kazi ata za seasonal za mashambani tufatilie wenyewe
@demimagese8563
@demimagese8563 Год назад
@@daprince7545 EBM Anajua zaidi mfatilie huyuu kaka vzr keep in touch with him atawasaidia sanaaaa! Mimi nikuja Kama visitor then nikachange status hapa hapa ndani sio rahisi lkn mfatilie huyo Program ya PNP fatilieni kama anavyoelezea EBM na Mfanye English test IELTS
@ntayega.a.hamissi9760
@ntayega.a.hamissi9760 Год назад
Ee bwana hongera sana huko Yukon twasikia jua halipo miazi 6 Ni kweli?
@ebenezerulotu2380
@ebenezerulotu2380 Год назад
Brother mambo... Wasap yako haupatikani kabisa . Nakupata vipi EBM kuna biashara plz
@srwshtrauf2044
@srwshtrauf2044 Год назад
Mimi naomba kazi za mad house ninauzoefu nilifanya 0man miaka 5 naomba nitafutie Canada lnshaallah
@devotatarimo8141
@devotatarimo8141 Год назад
Nataka kuongea na wewe EBM please your contact 🙏
@masoudkhamis8916
@masoudkhamis8916 Год назад
Kuhusu mishahara inakuwaje kwa mfanya kazi wa kawaida
@lucymkemwa2319
@lucymkemwa2319 Год назад
Kima cha chini ni $15 kwa saa inategemea na jimbo ulioko majimbo mengine $13 kwa saa na unafanya kazi masaa 8 kwa siku mpka 12 ukifanya kazi wiki 2 unalipwa sio mpka mwisho wa mwezi km huko bongo pia unaweza i kafanya kazi zaidi ya moja ni nguvu yako tuu Na kitu kikubwa nchi za wenzetu wamefanikiwa ni kuondoa tatizo la ajira hakuna mkazi wa Canada mwenye uwezo wa kufanya kazi anakosa ajira hakuna, na pia elimu ni bure mpka high school
@azizaawadh7231
@azizaawadh7231 Год назад
@@lucymkemwa2319 thanks for your msg good explain it better 😘 Mamy
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Год назад
@@lucymkemwa2319 asante sana dada naomba no yako Binti yupo interested sana kuja huko kasomea flair attendance ( hear hostess) bt anawezafanya hata kazi zingine za mikono kwa mfano kwa moll , na hotel pia kafanya thanks, nisaidie tuu nitashukuru, for more imfometion
@faithyfrank3242
@faithyfrank3242 Год назад
Mimi ni mmoja wa kwenda Canada,Ila iko siku nitatimiza
@munirayakoub3682
@munirayakoub3682 Год назад
Ameen
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 Год назад
Safi kama mimi vile
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Год назад
Amen Mimi pia kweli
@demimagese8563
@demimagese8563 Год назад
Nipo canada 🇨🇦 yukon Kweli kabisa unasema kweli kaka
@lameckdohe6547
@lameckdohe6547 Год назад
Ni connect namna ya kuja na kupata fursa huko
@rmssydina1157
@rmssydina1157 Год назад
Tufahamishe tu apllyvip
@Willyb254
@Willyb254 Год назад
Demi Naomba Number yako Plz 🙏🙏
@TzCanada
@TzCanada Год назад
Niaje kaka mm nmeapply visa tayari nasubil majibu tuu
@lameckdohe6547
@lameckdohe6547 Год назад
@@TzCanada ningependa kuwasiliana na ww kaka nami nafatilia hyo michakato ya visa
Далее
#kikakim
00:31
Просмотров 11 млн
JAMES AELEZEA NANNA ALIVYOPATA VISA YA CANADA
34:06
Просмотров 4 тыс.