Тёмный

MTANZANIA ALIETENGENEZA GARI LINALOTUMIA UMEME "HATUENDI SHELI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 290 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 апр 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 283   
@yohanalaiser2667
@yohanalaiser2667 4 года назад
Ukiangalia impact ya kiuchumi na kimazingira ambayo hii project itakua nayo, huyu brother anahitaji pongezi na support ya hali ya juu. Asante AYO TV kwa kuchimbua madini
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 5 лет назад
Brilliant...huyu angepewa support angeendeleza fani yake na ingesaidia kukuza uchumi wetu wa viwanda.Dogo yuko vizuri mno
@oswardwagaya9333
@oswardwagaya9333 5 лет назад
hahaha wakati bunge linatoa support kwa piere linasahau vitu vya msing hahaha love u tz
@majosamalundi4016
@majosamalundi4016 5 лет назад
Piere niwakatiwake usihofu
@ahmadsimba2143
@ahmadsimba2143 5 лет назад
kwelii MWANANG Osward wapuuz xn yan!
@devidpanja115
@devidpanja115 5 лет назад
piere ni muhimu sana kwa nafas yake
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 5 лет назад
Wabunge wengi si wasanii tu,wewe hujui bro??
@mymussept3662
@mymussept3662 4 года назад
Eee bwana
@swahiliupdates3051
@swahiliupdates3051 5 лет назад
Safi Sana amejieleza vizuri Sana Rfu kila kitu ameweka wazi . AMAZING .....
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 года назад
AFRICA NA TZ INAWEZA KABISA KUJITEGEMEA, SERA YA MWL.NYERERE ELIMU YA KUJITEGEMEA, EDUCATION FOR SELF RELIANCE. HONGERA SANA KIJANA
@fathermore9772
@fathermore9772 5 лет назад
ivi kuliko serikali kuendelea kuruhusu pikipiki kutoka China kuingia nchini kwanini wasiwape hawa vijana mtaji na vifaaa watanzania tukaendesha vyakwetu ...ingeokoa sana pesa ,kuepusha uchafuzi wa mazingira na pia ingeokoa maisha ya watanzania wengi dhidi yaa ajali ...
@godwin6325
@godwin6325 4 года назад
Weka bei boss, hii huhitaji kusaidiwa mtaji au kusoma zaidi hapo hapo umetengeneza Kitu kimoja amazing... Weka bei mtu anaetaka atalipa ndiyo gari itengenezwe
@ipyanamtafya5567
@ipyanamtafya5567 Год назад
Safi sana kaka Ombi letu serikali wawezeshe wazalendo wabunifu Pia nakupongeza mwalimu kwa kuheshimu mawazo ya kijana ambayo ni lulu kwa nchi yetu.
@doryjeremy9849
@doryjeremy9849 5 лет назад
Ongera sana my brother kaz nzuriiii sanaaaa
@stephenwairegi4969
@stephenwairegi4969 4 года назад
Hongera kaka .mimi mkenya nakutakia mafanikio
@yahayatemu1858
@yahayatemu1858 4 года назад
Hongera kwa ubunifu wako, kwakua nzuri garihiyo kama hueki mafuta na baadae inawezaikawa inajichaji yenyewe, ukovizuri. Hongera kijana.
@stevebupamba5009
@stevebupamba5009 4 года назад
Tanzania ...bora itajengwa na wasomi, Hongera kwa kuthubutu na kufanikiwa# Nakupongeza sana brother...elimu yako imeonekana ktk uhalisia.Hiki ndicho kinachotakiwa.
@naybakari3490
@naybakari3490 5 лет назад
Tanzania ni nchi pekee inayovipaji ila sasa serikali yetu aijali inawekeza kwa wasanii tu 😆😆😆 big up sana bro
@rahmakimario4640
@rahmakimario4640 5 лет назад
serekali haihusiki
@naybakari3490
@naybakari3490 5 лет назад
Sasa kama aiusiku iyo serikali mbona inawasaidi wasanii waimbaji na wacheza movie au auoni ?
@naybakari3490
@naybakari3490 5 лет назад
Serikali inapoteza pesa nyingi sana kuwa saidia wasanii wacheza movie kuliko watu kama ao wenye vipaji vyakuingiza pesa Tanzania
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 лет назад
@@naybakari3490 kweli kabisa sijui kwanini hii serikari haiangalii na vipaji vingine kama hivi
@naybakari3490
@naybakari3490 5 лет назад
@sabina online yaani ndio tunapokesea apo watu wanashindwa kuwasaidia watu kama awa jmn
@josephkivuyo5712
@josephkivuyo5712 2 года назад
Huyu alifanya vizuri. Kabla ya Masud kipanya, Lakini kwakuwa haikuendelezwa angalia Masud kipanya anaenda mbali zaidi. Na huyu anaelezea vizuri sana, kitaalam hatua kwa hatua.
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 5 лет назад
Big up your so great. Halafu ndugu zangu hicho chuo ni cha serikali so fungu lilotumika hadi hapo ilipofika hiyo gari limetoka serikalini ni bora kupongeza WIZARA na Wakuu wa chuo husika kwa kutambua uwezo wa kijana mwenzetu na kumwezesha kuonesha uwezo wake wa kufanya jambo kubwa kama hilo kwa vitendo. BIG UP
@belovedson7501
@belovedson7501 5 лет назад
Sio kweli raia hua wanatoa pesa zao za mfukoni bhana! Kama umefika chuo utakua unaelewa kama wamepewa na serikali au ni pesa zao binafsi zimetumika!
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 5 лет назад
Nice... Haya weka electronic speed controller kisha build app ili uweke tablet hapo mbele badala ya hzo manual switches na hcho kidisplay, gearbox muhim na pia tafuta namna ya kufabricate body kwa material nyepesi na mwonekano mzuri utakaoendana na aerodynamics.... Otherwise good idea and good luck...
@st99ngeni35
@st99ngeni35 5 лет назад
Mpe mawazo afanyeje. Nashauri tatuta namba yake mzungumze umpe mchango wako maana nakuona una mawazo mazuri
@yohanalaiser2667
@yohanalaiser2667 4 года назад
Ritchie Xanti nakuelewa sana upogo honest....huyu brother amejitahidi sana. Elon Musk alipewa mkopo wa mabilioni ya dola na serikali yake ya marekani kwaajili ya mradi wa magari ya umeme kama haya (TESLA). Mi nampa big up ! Anahitaji support.
@jamesnteleva7073
@jamesnteleva7073 5 лет назад
Hongera sana mdau...!!! Kongole sana kwako, na wote waliotoa support kwa ubunifu wako. Natumai serikali haitapuuza kazi yako. Bravo...!!! 👏🏽👏🏽👏🏽
@maarifaonline499
@maarifaonline499 5 лет назад
Una uwezo mzuri wa kujieleza kwa maneno na vitendo kaka. Mungu akusimamie, na niwaombe Viongozi wa taifa letu muupe kipaumbele huu uvumbuzi ili dunia ifaidike nao kupitia sisi Tanzania. Ni akili kubwa. Big up mvumbuzi, NIT na wote tulio support!
@qualiamaxwell6305
@qualiamaxwell6305 4 года назад
congrats broooo much support ...from ARUSHA TECHNICAL COLLAGE....
@bilalbisama3726
@bilalbisama3726 5 лет назад
HONGERA SANA KAKA ........ALLAH BARIKI TANZANIA NCHI YANGU
@charleswaraka821
@charleswaraka821 2 года назад
Hongera sana kamanda
@nashonpeter1881
@nashonpeter1881 5 лет назад
pamoja saana classmate Mtatiro Boniface hongereni saana kwa hatua hii mungu awatangulie hakika taifa linawategemea saana
@funnyVids_001
@funnyVids_001 3 года назад
Tafadhal naomba unisaidie namba ya huyu kijana.. 🙏
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 Год назад
Hongera sana kijana hiyo ndio Afrika
@simonpadon6458
@simonpadon6458 4 года назад
Hongera sana bro!! Tatizo umezaliwa bongo!! Ungekuwa mbele ungeendelezwa
@emmarouben4002
@emmarouben4002 5 лет назад
Hongera sana kijana mwenzetu nimejifunza kujiamini na kuthubutu katika wazo na kushirikisha watu sahihi hadi kufikia hatua hiiii.
@aliyahya7885
@aliyahya7885 4 года назад
Mm nakupa zaid ya hongera
@boniphacebelius1544
@boniphacebelius1544 4 года назад
bro nakubali sana hongera sana omba hili jambo lako lifike kwa uncle magu naamini utafanikiwa
@babadnyota7404
@babadnyota7404 Год назад
Kipaji hicho is good man
@adkajisi4536
@adkajisi4536 2 года назад
TESLA IN TZ BRAVO BRO
@fredkayanda1151
@fredkayanda1151 5 лет назад
Kazi nzuri sana Ndugu yangu Gab.naamini utafika mbali
@andrewwoiso5559
@andrewwoiso5559 5 лет назад
Big up saaana woote kwa kazi nzuri
@raphaellissu7117
@raphaellissu7117 5 лет назад
Big up sana brother ww ni mtaalam umeiva kabsa
@fathermore9772
@fathermore9772 5 лет назад
Millard ayo TV pia muwasaidie kufikisha ujumbe huu kwa mh.rais nyie uwezo wakupenyeza taarifa izi ikulu mnao tafadhalini sana fanye ivyo kwamanufaaa ya taifa hili mungu atawabariki
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 лет назад
Naamini wa ikuru wanaona yote sema wanapotezea tu. Kama walisema walikuwa wanamuonaona Baraka Magufuri mtandaoni. Hawajui kuwa technologia hiyo yaweza punguza changamoto ya usafiri hususani vijijini. Wao wanabenz sisi tunaenda kwa miguu.
@Alkaburu
@Alkaburu 2 года назад
Kama masudi kacopy na kupest hivi. Hongera Sana
@stevenmkisi924
@stevenmkisi924 4 года назад
Umenibariki sana bro MUNGU akusimamie.... Mafanikio mema 🙏🙏🙏
@mamyrahima6913
@mamyrahima6913 5 лет назад
Wow utafika mbaliii brooo😘
@mezani782
@mezani782 5 лет назад
Idea nzuri sana. Inanikumbusha gari la kwanza la Mercedes Benz, Walianza hivi hivi..Look how far they are now
@ahmadsimba2143
@ahmadsimba2143 5 лет назад
Saf San! Allah Awatanguliee Aisee! bora Kujarib Kushndw kulik Kuach Kabixaa
@shabanikiwesi8588
@shabanikiwesi8588 2 года назад
Hongera sana
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 5 лет назад
Saafi sana..! Umeonesha utofauti sn ktk mfumo wa gear no engine nk hongera mno sema viongoz wenye madaraka hawana habar na hayo na wakiona utaitwa hoteli kubwa na kuzawadiwa jambo juice.
@chiefnorbertkangalu1403
@chiefnorbertkangalu1403 5 лет назад
Daa we noma sana big up
@ggmaths9636
@ggmaths9636 4 года назад
Hiyo ni nzuri sana kwa ishu ya mazingira, hasa kwa vile haitumii mafuta ambayo hutoa moshi na kuchafua mazingira
@zuberimkuba2324
@zuberimkuba2324 2 года назад
Hongera
@twahaabdalla2304
@twahaabdalla2304 5 лет назад
Kazi nzur, hongera, mungeweka na namba y mawasiliano unaweza kutusaidia kama ss tunafikra za ubunifu ila tu nashindwa wapi PA kuanzia, kwa mfano wapi nitapata Mota inayotumia battery, vitu kama hivyo t ukipata mawasiliano wabunifu watakuja wengi, ahsante kutoka zanzibar
@kennedygurusya752
@kennedygurusya752 5 лет назад
Hongera sana bro.
@zakamorash9210
@zakamorash9210 3 года назад
Hongera sanaaa
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 лет назад
Masha Allah👌
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 лет назад
Hongera kijana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 5 лет назад
Big up my bro
@ismailmpenja4327
@ismailmpenja4327 5 лет назад
Bless man upo vzur
@balyeemkalitz292
@balyeemkalitz292 4 года назад
SAFI Sana. Tanzania. Juu. Zaidi👏👏
@raymrash
@raymrash 5 лет назад
Dah Mungu Asante sana kwa vipaji hivi
@jaysally1379
@jaysally1379 5 лет назад
co kipaji mkubwa, just better education from National Institute of Transport
@raymrash
@raymrash 5 лет назад
@@jaysally1379 wako vizuri kiasi hiko!!???
@jaysally1379
@jaysally1379 5 лет назад
Fanya ziara NIT siku moja uje ujione vijana wanavyo create vitu kw kutumia elimu pmj na ujuz wanaofundishiwa
@isakajunior4873
@isakajunior4873 5 лет назад
@@jaysally1379 hivyo vyuo serikali inatakiwa iwekeze hela ya kutosha, mm nimesoma technical schools, nimegundua elimu ya kujifunza kwa vtendo ndo yenye faida kwa dunia ya sasa iv, ya makaratasi kuna wazee wameng'ang'ania ofisi na hawataki kuwapisha vjana ila ukiwa na ujuzi wako mkononi unaweza kujiajiri na life likasonga
@georgecharles3144
@georgecharles3144 5 лет назад
Safi saana 🇹🇿tunaweza saana
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 5 лет назад
Good boy. Utafika mbali
@kaismwambona9860
@kaismwambona9860 3 года назад
Wabunifu Tz wasiwe kama yatima.serikali iifuatiliye China iko mbaali kwa ajili ya hawa wenye vipaji bunifu,si kwa usanii tu ndo Ubunifu.kwakuwa hao wanashiriki siasa za uchaguzi.
@fredrickmiyeye9785
@fredrickmiyeye9785 3 года назад
we have ge geneous people
@erastoselemani5443
@erastoselemani5443 5 лет назад
Dah safi sana bro
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 лет назад
We jamaa upo vzl sana abal zako munaenda kiusomi sana
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 5 лет назад
safi sana pacha ushirikiano mzuri na ubunifu wa kutosha
@jahshijaafari150
@jahshijaafari150 5 лет назад
Nyie endeleeni kumsifu yule mlevi liquid wakati wako wenye maarifa hamtaki kuwatambua
@khamisrajabu6082
@khamisrajabu6082 4 года назад
Kweli kabisa
@jumamkanjima2670
@jumamkanjima2670 5 лет назад
Safi sana kijana wangu mangu akuzidishie
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Huyu akiachiwa anaenda kwa Elon Musk wa tesla USA... Jombaa ikiwezekana move around mtafute Elon Musk pia
@mutuachris
@mutuachris 5 лет назад
Awesome
@johnvenus7507
@johnvenus7507 4 года назад
Hajatengeneza gari ameunganisha vyuma vya wazungu
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 2 года назад
Inajichaji yenyewe duuuh! Hii gari ianze kuuzwa sokoni
@gwasaonlinetv8763
@gwasaonlinetv8763 5 лет назад
Safi sana ubunifu huu na vijana KAMA hawa waendelezwe
@aizaamsuya9966
@aizaamsuya9966 5 лет назад
hongera sana kaka
@fathermore9772
@fathermore9772 5 лет назад
niwashauri kitu nyie vijana tafadhalini sana fanyeni kila njia kushirikiana na wahadhiri wenu mkamuone mh. rais magufuli naamini kwa moyo wa rais wetu naanavyo penda maebdeleo atawapa surport nataifa litanufaika ...
@gudilavenance3126
@gudilavenance3126 5 лет назад
safi sana. tatizo sijaona support kutoka ya kutosha
@paulomarseli3794
@paulomarseli3794 5 лет назад
Gudila Venance veep
@kimmtorobo3870
@kimmtorobo3870 5 лет назад
Good! Inatumia muda gani charge kuwa full?
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 4 года назад
Unajua watu kama hawa wanapaswa kuungwa mkono wana nafasi kubwa ya kuiletea maendeleo nchi yetu... inasemekana asilimia 75% ya serikali ya China ni ma engineer na asilimia hizo hizo USA ni wanasheria ona kasi ya maendeleo ya China ni balaaa. Hebu serikali yetu ione jinsi ya kuwawekea uwezo hawa watu wa kuboresha maarifa na ujuzi wao
@kinyemkira5623
@kinyemkira5623 5 лет назад
Tutafika mbali Serikali ikiwapa sapoti watu kama hawa. Hongera zako jamaa
@mukikibati3519
@mukikibati3519 5 лет назад
Good job keep going
@amonmhadisa6129
@amonmhadisa6129 4 года назад
Ni mzuri but inatakiwa iwe na self energy ili iweze kutembea bila kucharge
@kasicorneli7645
@kasicorneli7645 4 года назад
Hongera sana kijana kutoka Wilaya Mbulu
@damasmaleo4845
@damasmaleo4845 5 лет назад
Weka na bei tutanunua haraka coz aihtaj mafuta inatufaa sana watu wa chni ya dial 5
@yasiniselemani9318
@yasiniselemani9318 3 года назад
yani wewe jamaa ni kichwa xn mungu akutangulie tengeneza ikamilike vzr utuuzie sisi walala hoi wenzio itatufaa xn🙏🙏🙏
@fathermore9772
@fathermore9772 5 лет назад
nakasirikaga sana pale ninapoona MTU mtanzania kabuni kitu alafu izo mmlaka zinasema hakijakidhi viwango ..alafu ukiangalia mifano ya viwango vyenyewe wanatolea kwenye vitu ambavyo vimeundwa na wazunguu yaani nayaonaga nimajitu majinga ulimwenguni hakina ..inashindikana nini kuwa na vyakwetu visivyo fanana viwango naivyo vyao mnavyo tolea mifano mpaka mnakwamisha watu nakuwakatisha tamaa ....nilini tutatengeza chetu natukaacha kutolea mifano ya viwango ivyo mnavyo tolea ....nani katuloga jamaniiiiiii...
@tarimetv6695
@tarimetv6695 5 лет назад
father more usalama kwanza kaka
@jaymbeo5155
@jaymbeo5155 5 лет назад
father more moses kulola
@salehemohamedi9865
@salehemohamedi9865 9 месяцев назад
Genereta katengeneza maana si unajua umeme wa Tz 😂😂😂
@godfreyelias8172
@godfreyelias8172 4 года назад
Very intelligent 🧠 bravo
@cantonaiddy9291
@cantonaiddy9291 5 лет назад
Big up dogo
@mohamedhamdan4956
@mohamedhamdan4956 4 года назад
Nakubali mwanaaaA
@gervaskije4368
@gervaskije4368 2 года назад
God bless
@davycm9750
@davycm9750 5 лет назад
Welldone
@dullybrown3635
@dullybrown3635 5 лет назад
i love you guy
@remmymhalla3323
@remmymhalla3323 5 лет назад
Good !!!!!
@LugomboMaKaNTa
@LugomboMaKaNTa 2 года назад
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@shabanimbenu2163
@shabanimbenu2163 3 года назад
Kongore kijana kwa ubunifu naimani serekali inakuona na itakupa msaada wa hali na mali.
@stevenjohn2238
@stevenjohn2238 4 года назад
Did you make the motor too!!?
@venanceurasa7437
@venanceurasa7437 2 года назад
Namuona fadhli hapao nyuma
@kelvindavid4271
@kelvindavid4271 4 года назад
Kubalii sanaa
@issaomari7277
@issaomari7277 4 года назад
Daa kweli weka solar hapo kazi imeisha tuwaamini wanaweza Sana
@saidbabu9198
@saidbabu9198 4 года назад
Well done.
@donkalves4643
@donkalves4643 4 года назад
Kama kari ikipasuka tunauwezo wa kuzinyoosha na zikalud kama zamani inamaanisha hatushindw kuunda body ya gar ya aina yoyote na tayar tumesha weza kugundua gar inayo tumia umeme na uwezekano wa kujichaji yenyewe upo kilichobaki ni kutafuta watu 5 1. Mtaalamu wa mifumo ya umeme ili aweze kuweka system ambayo itajichaji yenyew 2. Wataalamu wa gereji wa kuunda body za magar 3. Na hao vijana walio gundua hio gari Basi lazima tuunde gari ambalo wachina wameshindwa kugundua... sema tu ndo hatuwez cos piere kafika hadi bungeni
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 2 года назад
Bia tamu ndomana ikashushwa bei
@eliamwalukisa4173
@eliamwalukisa4173 5 лет назад
Iko vizurii
@venanceurasa7437
@venanceurasa7437 2 года назад
Damu yangu nimekupata kumbe uko freshi namna hiyo
@gloryswai2553
@gloryswai2553 4 года назад
Safi sana,hii ndo nchi ya viwanda
@newgmail8883
@newgmail8883 5 лет назад
Viongozi wetu mnafeli wapii hiki kipaji mngekiendeleza lakini hapo mnamchukua pieree mnampeleka bungeni
@robinsonmaserele2370
@robinsonmaserele2370 3 года назад
Safi sana
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Haya ndo aliyoyasema makondo wanasapot welevi akina peare wakati kuna vijana hawana msaada na bungeni kaenda mmmh makonda aliongea ukweli wakatumkana
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 лет назад
Muache Pierre, wakati wake umefika
@alikiba9960
@alikiba9960 5 лет назад
Unajua Elon Musk bro? Alishatengeza gari marekani kitambo kutoka mwaka wa 2012...Kampuni inaitwa Tesla...nasema big up umejaribu kipaji lkn idea magari hayo na mtindo huohuo ulioundwa ushau diwa gari za Tesla na zipo barabarani na nighali Sana....Mungu akufungulie inshallah Elon Musk aone ulichokofanya akupe ajira..cz hapa TZ utasaidikaje zaidi ya watu kukupongeza
@heritier5119
@heritier5119 5 лет назад
Chini ya mwembe kuna madogo wanaunda zaidi ya huyo.Nenda garage uone
Далее
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
Просмотров 818 тыс.
Largest Lion Pride Ever Blocking Road In Kruger Park
18:30