Maonesho ya Magari Arusha yaliofanyika katika parking ya Aim Mall 04 Oktoba 2020 yameandaliwa na Arusha Auto Show ikiwa ni toleo lake liitwalo Late Edition. Hapa Mnene Garege akielezea gari yake ya kizamani iliyoboreshwa kisasa na rangi nzuri. Mnene anapatikata Kisongo Arusha.
10 окт 2020