Тёмный

MAKONDA; PESA NINAYO i WANANUNUA WATU ILA SIYO MIMI I ONDOKENI JUMATATU 

ST BONGO TV
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder #Makonda #Pesa #Tanzania

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 3 месяца назад
Jamani mimi wa kwanza leo kumsikiliza mh makonda mtu kazi kazi,,,njanja tupa kule
@niyonkurufaustin5542
@niyonkurufaustin5542 3 месяца назад
Hakika nimeamini mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu 😢 yaani mama alivyoambiwa jinsi alivyowatowa na yeye atoke akaishiwa na pozi 😁🤔
@SATZ-news
@SATZ-news 3 месяца назад
Hivi Tanzania mkuu wa mkoa ni mmoja tu???😢😢😢😢
@ImeldaIsdory
@ImeldaIsdory 3 месяца назад
Viongozi wengine watatue matatizo ya Wananchi kama Mheshimiwa Makonda. Maumivu ni mengi mno.
@CharlesZuma
@CharlesZuma 3 месяца назад
Kwani mwenzangu umeanza kuipenda ccm tokea kipindi gani !!! mimi tokea kipindi cha magufuri 🙈 sina chama mimi piga spana tu 🏃
@niyonkurufaustin5542
@niyonkurufaustin5542 3 месяца назад
Fanya masilaha na spana za Makonda lazima uugue ghagla 😂😂😂😂
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 месяца назад
Mama huyo ni kama tahira vile.
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 3 месяца назад
Makonda unatisha Kiongoz mchapa kazi
@paulinmachlory9362
@paulinmachlory9362 3 месяца назад
Hakika Malinda anafanya kazi,wananchi tumpe ushirikiano.
@Moses-yw5mb
@Moses-yw5mb 3 месяца назад
Makonda anakubalika kuliko mwenye wa uhuru
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 3 месяца назад
kwani na yeye si mwananchi ?
@arttilioemiliam2419
@arttilioemiliam2419 3 месяца назад
Dada ningekuwa na 📻 ningeweka kipindi kinaitwa pata suluhu na makonda...
@arttilioemiliam2419
@arttilioemiliam2419 3 месяца назад
Mimi natamani makonda aongezewe mkoa wa kuongoza
@SalimaMsafiri-bv8rr
@SalimaMsafiri-bv8rr 3 месяца назад
Hongera Sana kiongozi
@ManaMediaKE
@ManaMediaKE 3 месяца назад
MADUDU yanapata shida
@IsmailChambuso
@IsmailChambuso 3 месяца назад
Yan huy mam
Далее
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 67 тыс.
ХОМЯК ВСЕХ КИНУЛ
10:23
Просмотров 583 тыс.