Тёмный
No video :(

KIJANA WA KITANZANIA ALIETAJIRIKA KUPITIA MBWA "NINA MBWA WA MILLION 100" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 757 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 651   
@fatimamohammed2332
@fatimamohammed2332 3 года назад
kusoma sana sio kuwa na maisha mazur gonga like km wakubal hili
@annalfonce259
@annalfonce259 3 года назад
True
@rugendorunene545
@rugendorunene545 3 года назад
Baraka 🙏🙏 Kaka🇹🇿, nataka nikutembelee hivi karibuni kutoka kajiado🇰🇪🇰🇪. One of the best interview I have ever seen for those who understand the language.
@tambwe
@tambwe 3 года назад
Usikosi kutazama filamu ya kiswahili kutoka burundi kwenye compny ya TAMBWE ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-OzGpc_tJgVo.html
@SPrivy
@SPrivy 3 года назад
Embu kwenda fanya maisha yako wakenya mnawashwa na nini shida zenu
@felixochieng6813
@felixochieng6813 3 года назад
Nataka kuwa mteja wako ndakupata aje🇰🇪
@jafreezhasheem6376
@jafreezhasheem6376 3 года назад
Tunapenda sana hivi, mafanikio kwa vijana wetu Asante Mungu. Hongera nondoz Big up
@tambwe
@tambwe 3 года назад
Usikosi kutazama filamu ya kiswahili kutoka burundi kwenye compny ya TAMBWE ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-OzGpc_tJgVo.html
@tatalyzer382
@tatalyzer382 3 года назад
Hiyo siyo nyumba ya kuishi. Hiyo ni site ya kufugia. Km umeona mtangazaji kashangaa gonga like
@jumawakishuw6273
@jumawakishuw6273 3 года назад
We we mjinga
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 3 года назад
Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. ____________________ 🙏📖📖📖🙏(Wafilipi 2:3)
@dyno4tz
@dyno4tz 3 года назад
Great.
@barakajoseph2798
@barakajoseph2798 3 года назад
🙏🙏🙏🙏
@bozzabeka2240
@bozzabeka2240 3 года назад
Tunamahukuru raisi wetu magufuli kwa sababu amesema "HAPA KAZI TU" na sisi vijana tumeipokea na tunafanyakazi" yani hii video itabaki kuwa kumbukumbu kwenye makablasha yangu hakika umenena na umeonyesha..!! Heshima sana mzee baba hakika magufuli alikuwa ni true leader na vijana wengi wenye akili tulimkubali ila mungu kamkubali zaidi..."#salute bro.... Much respect..." @la pweza Rip mr president.
@henrymsoka515
@henrymsoka515 3 года назад
Hawa sasa ndo ma motivational speaker sio wale wengine waleee!! Big up broh, una inspire watu kufanya kwa moyo na kufikiri zaidi
@mnyangabejowrlicecy3881
@mnyangabejowrlicecy3881 3 года назад
Nakumbuka ulimuuzia baba yangu mbwa ,,Alikuwa mkali hata mmi nilikuwa siingiindani namkumbuka Sana yule mbwa..
@munashaloood4152
@munashaloood4152 3 года назад
Mungu akujalie kazi ya mikono yako
@kajilugwisha5943
@kajilugwisha5943 3 года назад
Wewe unawauzaje?
@issamen3920
@issamen3920 3 года назад
Plo hongela sana
@gililwise
@gililwise 3 года назад
Jamani mbwa anakula vizuri kuliko binadamu.hongera kaka kwa kujali biashara yako.
@nasibumkorongwe3988
@nasibumkorongwe3988 3 года назад
ongera sana,kweli anayesubiri kuajiriwa hajajitambua bado licha ya elimu yake. Good job excellence idea
@rastapeace9616
@rastapeace9616 3 года назад
Good job
@salimahmed6005
@salimahmed6005 3 года назад
@gilli mwanaume anapewa kongole...
@gililwise
@gililwise 3 года назад
@@salimahmed6005 amina
@manwoka4078
@manwoka4078 3 года назад
Kwani huko nyumbani kwenu mnakula nini?
@mahadaziz5793
@mahadaziz5793 3 года назад
Serekali tumekuskia na kuanzia sasa wafugaji mbwa wote kusajiliwa.
@reginaldmasato9932
@reginaldmasato9932 3 года назад
😂😂😂TRA
@seifking7581
@seifking7581 3 года назад
Hahahaaaa
@ronaldmandari3084
@ronaldmandari3084 3 года назад
Jicho la tatu wewee
@franktesha7064
@franktesha7064 3 года назад
😄
@owlbig
@owlbig 3 года назад
Good interview ❤️🇧🇮
@ngilini9509
@ngilini9509 3 года назад
Ote mlio komenti ujinga hamjielewi ila mimi niliewahi kufugatu mbwa koko wa wakuuza 10000,najua hesabu anazozipiga huyo jamaa ila mlioshidwa maisha tokea huko mmesha ingiza yenu daaaa watanzania bwana nishida sana hamchelewi hata kumpachika mtu mambo ya ajabu ajabu mungu awafanye mshindwe kwa kila mkifanyacho msifanikiwe kwa chochote katika maisha yenu mwacheni jamaa apige pesa na mbwa wake.
@meddymd255
@meddymd255 3 года назад
Nimependa Sana, Kikubwa kupambana, Ila usije kuiga ukahisi utatoboa haraka ndugu yangu, Kikubwa fanya ambacho unaweza wewe kiwe mfano kwake na kwawengine.
@siostinijohn3226
@siostinijohn3226 3 года назад
Broo dah , Asante Sana mungu ,nanikweli hapa kazi tu
@shekhalban8168
@shekhalban8168 3 года назад
ukweli tuseme kwa sisi waislamu tumekatazwa kuuza au kununua mbwa allah atuongoe na atuepushie kuingia ktk biashara hio
@m-tatu1050
@m-tatu1050 3 года назад
Kweli?
@JB-eu7sb
@JB-eu7sb 3 года назад
Mtangazaji be like after this interview i'm going to open my own dog shop.
@kpetres2872
@kpetres2872 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@lilig5959
@lilig5959 3 года назад
Jamaa ametuinsper sana vijana ila tunakuomba millard uende arusha kumuoji zaidi tunaamini utatuonyesha mali zake nyingi zilizo tokana na mbwa ili tuwe proud na tujifunze zaidi kazi iyo.Ndo maombi yangu mm kama fans wa millard
@Craftiummah123
@Craftiummah123 3 года назад
I think all these dogs use for helping poice,Stay connected.
@leonarddeus5897
@leonarddeus5897 3 года назад
Mh kwenye mke hapo bro umeteleza tengua kauli.
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 года назад
Heri ii kuliko wizi.congrats boo
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 3 года назад
Nazi ngumu mbona unafikiri kazi ndogo.Chakula
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 года назад
Unaeza ukalinganisha kaz ii Na wizi?
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 3 года назад
Nimekushangaa sana kwa kufananisha kazi hii na wizi
@MrJevelson
@MrJevelson 3 года назад
Pia bora hii kuliko kuvuta
@nimrodsigulu2053
@nimrodsigulu2053 3 года назад
We ndio mjinga kweli ..sasa hii kazi na wizi unaifananishaje?
@adammjomba7112
@adammjomba7112 3 года назад
Juhudi ndio msingi wa mafanikio na sio fina wala tunguli. ( BY ADAM MJOMBA)
@abubakarsimon7456
@abubakarsimon7456 3 года назад
Mtangazaji upo vizuri sana kaka
@aminielyohana3052
@aminielyohana3052 3 года назад
Kaka nimejifunza jambo kwako nashuru sana mungu akutangulie
@swedinjaidi4658
@swedinjaidi4658 3 года назад
Lakini umeelewa kuwa mbwa wa kwanza kamto wap?
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 года назад
Hongera sana kaka Mungu abariki kazi ya mikono yako
@hawaramadhani4435
@hawaramadhani4435 3 года назад
Tunashukuru kwa maelezo yako mazuri sana sasa jiandae mwezi wa 3 ujilete mwenyewe TRA kwa makadirio ya biashara yako sasa uache kuja sheria itafuata mkondo wake ...asante sana kwa uhujumu uchumi sio ombi amri ripoti babaangu .
@leonellykweka7165
@leonellykweka7165 3 года назад
NILIWAZA UNAPOJITANGAZA HIVI HUONI TRA WANAKUANGALIA
@hawaramadhani4435
@hawaramadhani4435 3 года назад
Aje na mashine au kitabu cha risiti za mauzo
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 2 года назад
Safi sana ,,kazi nzuri kwa watu wanaopenda kujishulisha🤝
@thomasdavid3378
@thomasdavid3378 3 года назад
Plan ni mtaji mungu akupiganie
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
Mtangazaji jitahidi kufanya mahojiano katika njia ambayo ni kama na wewe unataka kujua yaan zungumza(make conversations) sio kuuliza swali moja moja hivyo unamfanya anayehojiwa nae akae mkao wa kujibu maswali na si kuelezea pia hapo kwenye aina za mbwa ungeenda akuoneshe kila aina ili wasiojua wajue..Ni mawazo tu.
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 года назад
Chochote unachofanya ukiweka juhudi utafanikiwa
@rugendorunene545
@rugendorunene545 3 года назад
Nakubariana Nawe🇰🇪🇰🇪✔
@anganilekajigilikajigili2641
@anganilekajigilikajigili2641 3 года назад
Hata kuloga pia 😂😂😂
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 года назад
Na ukimweka Mungu mbele yess
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 года назад
@@anganilekajigilikajigili2641 kam ni unapenda yes ahhhh
@anganilekajigilikajigili2641
@anganilekajigilikajigili2641 3 года назад
@@allthingdranabeauty unasemaaa
@ramadhanimsowello9021
@ramadhanimsowello9021 3 года назад
Kama umesukia mtangazaji aliposikia elfu stini kastuka gonga like
@naimaalhagreya7119
@naimaalhagreya7119 3 года назад
Pongezi sana bro...mungu akubariki kwa upambanaji wako...mungu akufungulie zaidi ya hayo...
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Hongera sana bro 🤩
@boscocharlesmkandawire4895
@boscocharlesmkandawire4895 3 года назад
Huyu jamaa ni noma Boerboels anakula sio mchezo kweli huyu jamaa ni jembe😂😂Wangu nipo naye mmoja tu natokwa na jasho 😂😂
@teychriss3248
@teychriss3248 3 года назад
😂😂
@HASASON
@HASASON 3 года назад
Hivi we jamaa ndio nikuona umevimba kwenye harrier flani hivi white?
@hanceysamuel5475
@hanceysamuel5475 3 года назад
Inahamasisha kwa kila mweny ndoto za mafanikio!! 🙏🙏🙏
@neemamayasek3855
@neemamayasek3855 3 года назад
Naomba namba mm nataka uxhauri nifuge
@edwinsirchidunda5658
@edwinsirchidunda5658 3 года назад
Big up brother umenishangaza
@mariacosmas5061
@mariacosmas5061 3 года назад
Kaka Yuko vzr mbwa anakula wali nyama Hongera Sana kwa Kaz nzur
@soaregttz65
@soaregttz65 3 года назад
msipende sana kuuliza shule ya mtu,elimu ni mafanikio ya mtu aliyonayo
@patrickmarco964
@patrickmarco964 3 года назад
Safi sana broo
@safhe-mpungi6075
@safhe-mpungi6075 3 года назад
Kuiga sio kitu kizuri. Hongera sana bro kazi nzuri sana.
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Alianza kutafuta mapema ndo kama kaka zangu wameanza kujuwa maisha mapema Wana akil shule wenyew Lakin wameanza kujishugulisha na biashara hila nimesema wasiache shule kwasababu Wana akil wasome Kwanza tutawasaidia Kwa kipind hichi
@anoelinamwilili2094
@anoelinamwilili2094 3 года назад
Good ideal big dro
@cenzohmovies2057
@cenzohmovies2057 3 года назад
💥💥💥💥nakubal sana
@shafiihajjy435
@shafiihajjy435 3 года назад
tra hawachelewi kukuletea mashine ya efd kaka hahahaha
@teychriss3248
@teychriss3248 3 года назад
😂😂
@fridaywilly9395
@fridaywilly9395 3 года назад
True kaka
@williammaganga2870
@williammaganga2870 3 года назад
Happy new year
@zuberihussein4375
@zuberihussein4375 3 года назад
Mafanikio yana siri kubwa ,, unaweza fikiria haraka kuwa Mbwa ndo zimemtoa lakini anasita kueleza,,but all in all Good plan,Creativity and innovation,,,,,NB:Don take things for Granted
@rasvegas8991
@rasvegas8991 3 года назад
Peleka mawazo mabovuu kale unaitwa na uncle
@officer1208
@officer1208 3 года назад
Bora wewe umewaza vyema,watu wanadanganywa na yale wanayoyaona au kusikia. Nyuma ya mafanikio makubwa kuna siri kubwa mnooo.
@zuberihussein4375
@zuberihussein4375 3 года назад
@@officer1208 vizuri Mwamba,, kuenda south na kumnunua Mbwa kwa bei ile sio mchezo bdo ajasema target yake ni kuwauzia akina nani na wapi kuna demand but kaongea vzri uend ukajifunze kwake
@bakarimwashiuya6244
@bakarimwashiuya6244 3 года назад
Nimekukubal Sanaa. Huo ndio ukweli. Mafanikio hayasemwi UKWELI.
@zuberihussein4375
@zuberihussein4375 3 года назад
@@bakarimwashiuya6244 umeona eeh,, watu washaanza kuwakejeli Magraduate kuwaona kma wao wnategemea kuajiliwa tu,,
@kalimojanswila407
@kalimojanswila407 3 года назад
Hongela sana kwa kazi swali kwanini mbwa wamekatwa mikia
@jorammanyama9967
@jorammanyama9967 3 года назад
Noma
@bablojakitalambo504
@bablojakitalambo504 3 года назад
Aya maish ni hatali sana respect mzee nondo
@gaudencegeorge4622
@gaudencegeorge4622 3 года назад
Safi sana
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 года назад
Ongera kaka
@kingnicky2568
@kingnicky2568 3 года назад
Hio gar la ku deliver mbwa kmmke😂
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 года назад
Pole saana
@janemwamba9093
@janemwamba9093 3 года назад
Hahahahahahahahhha
@seciliarenatus8657
@seciliarenatus8657 3 года назад
Kaloleni primary school ♥️♥️
@dismasmtui729
@dismasmtui729 3 года назад
Uko juu mkuu
@violetmmbando1510
@violetmmbando1510 3 года назад
How can I get the contact to this Man. Mim ni mfungaji mpya. Jina kamili
@nyandapatrick1239
@nyandapatrick1239 3 года назад
Hongera kwa fulsa yako ya ufugaji ingawa inaonekana ni gharama sana, nahisi inahitaji utaalam sana na ingefaa fulsa hii iwahusu vijana wanaotokea sua
@violethmtalemwa5190
@violethmtalemwa5190 3 года назад
kaka nimekukubali sana sana umechagua biashara ya pekee big up
@wanawakeandwatototips397
@wanawakeandwatototips397 3 года назад
UGOJWA WA 🅿🆔 Pelvic Inflammatory Disease Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- . Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe. DALILI ZA UGONJWA WA PID 1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa 2️⃣Kuwashwa sehemu za siri 3️⃣Uke kutoa harufu mbaya 4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu 5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana 6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa 7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi 8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi 9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa 🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula . . MADHARA YA PID •Ugumba •Kansa ya shingo ya kizazi •Mirija ya uzazi kuziba •Majeraha kwenye mirija ya uzazi. kwa msaada na tiba tucheki kwa no:0737166343
@melangongo2829
@melangongo2829 3 года назад
Uyu kijana hana akili sana courage👏👏👏👍
@omarnicesang5507
@omarnicesang5507 3 года назад
Nakukubali nondo
@leahgithua6728
@leahgithua6728 3 года назад
May GOD bless the work of your 🤲you have a very healthy dogs and puppies ooh like them their are soo beautiful with a very clean environmental
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 3 года назад
Wivu utaniponza aliwezaje kutembea tembea nje za nchi kwa hy nyuma ya panzia bdo hatujui kijana usikulupuke kuona flani kafanya fanyia research kwnza.
@fredsengo4122
@fredsengo4122 3 года назад
Fact bro
@lucykalinga3254
@lucykalinga3254 3 года назад
Wee unaona mbali bigiapu
@beatricekyusa6517
@beatricekyusa6517 3 года назад
Kwao huyu inaonekana sio walala hoi
@ElephantEchoesEntertainment
@ElephantEchoesEntertainment 3 года назад
Jamaaa kitambo sana aisee enzi ana duka la simu stand kuu pale arusha sijamwona mpk leo kumbe kawa millionaire
@alvinahavitus8538
@alvinahavitus8538 3 года назад
Brooooo Nondo uko vizuri!! Mbwa akikuzalia watoto kumi😄😄😄😄😄😄
@joelkitoka5297
@joelkitoka5297 3 года назад
Thnks brw
@henryjohn2913
@henryjohn2913 3 года назад
Kamtembelee natty dogs yupo moshi utaona kila aina ya mbwa mchek insta@ natty dogs
@mariapetro8825
@mariapetro8825 2 года назад
Hongera sana kaka hapa kazi tu
@marymwacha995
@marymwacha995 3 года назад
Mmh! Amazing!
@teychriss3248
@teychriss3248 3 года назад
Motivation speaker
@mathewlive77
@mathewlive77 3 года назад
Amken amken amkeniiiiiii graduates wa mwaka jana wamesema bila milioni moja hawafanyi kazii. 😂😂😂
@wilbertmmary9076
@wilbertmmary9076 3 года назад
Tuwaache kwanza mkuu, usiwashtue.
@zerotempa
@zerotempa 3 года назад
Not easy ivo inatakiwa uhaso ao mbwa chakula chao zaid ya binadam
@animusstudio3302
@animusstudio3302 3 года назад
Yeah...ukiconsider gharama iliyotumika kusoma halafu unataka unilipe laki tatu kwa mwezi....ASA c Bora nisingesoma chali yangu...meenda kupoteza kwa muda tyu
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 года назад
Safi Sana na hongera
@musakisebengo2939
@musakisebengo2939 3 года назад
Safi sana bro...
@remeniurasa4866
@remeniurasa4866 3 года назад
Great project
@ezekiachaffu282
@ezekiachaffu282 3 года назад
Heshima kwako broo
@zawadmwinyi1272
@zawadmwinyi1272 3 года назад
Dah Yan uyo Kaka Yuko vizur kwel maana tunao majilan zetu wanafunga mbwa lakin wanakula mifupa na vichwa vya dagaa mpaka sauti zao azibweki vizuri jaman tuangalige na vitu vya kufuga Kama atuna uwezo tusiige kwa wenzetu
@joewamwai315
@joewamwai315 3 года назад
Biashara ni siri,..mungu akubariki kaka...lol
@sarongajulius2718
@sarongajulius2718 Год назад
na swali kwa mr.Ndoto ....ni vyakula gani unapaswa kumpa mbwa ukiwa kama kijana anayetaka kuanzisha biashara ya mbwa
@johnsekimweli4080
@johnsekimweli4080 3 года назад
mtangazaji hana maswali ya msingi kabisa,yani wengi wetu hatujui hao mbwa kazi yao kubwa ni nn kama mtu akiamua kumnunua?,wanauwezo gani mwengine zaidi ya ulinzi?,je wana mafunzo yyte wanapatiwa mbali na huduma za kawaida? hayo ni baadhi ya maswali tu.kuna vingi tunahitaji kujua kabla ya mafanikio,UNA VINGI VYA KUMUOMBA MUNGU KABLA HUJAMUOMBA UTAJIRI.
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 3 года назад
Well done Kijana..
@mcgoodluckeventz2175
@mcgoodluckeventz2175 3 года назад
Bravo kaka
@benmagaya6610
@benmagaya6610 3 года назад
Congratulations 🎊
@annadaniel5047
@annadaniel5047 3 года назад
DAWA YA NATURA CEUTICALS kiboko ya.. nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" NATURA CEUTICALS ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu Wasiliana nasi 0756732347 shuhuda zinazidi kuongezeka kila kukicha
@mwajumachao9151
@mwajumachao9151 3 года назад
Hatulii kama vile mkia wa mbwa🤣🤣 hongera sana
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 3 года назад
Si ndo society avyoishi!😝😝😝
@upendourio2847
@upendourio2847 3 года назад
Aki umenichekesha
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 3 года назад
hahahaha wewe
@nicksonndanzi573
@nicksonndanzi573 3 года назад
Jinga veve😂😂😂
@princessbatul7449
@princessbatul7449 3 года назад
Jomn🤣🤣🤣
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 3 года назад
Maashaallah ,,,,all the best broo
@gilbertmanimo1125
@gilbertmanimo1125 3 года назад
Nimependa interview Sana TRA mkusanye Kodi Sasa
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 3 года назад
Number yakibabe sana simple and cool kumpata
@brainjohsam2162
@brainjohsam2162 3 года назад
Life is secret something behind of this'
@kassimlungia6156
@kassimlungia6156 3 года назад
big yec
@shom1229
@shom1229 3 года назад
Kabsa
@fadhilinyengo7853
@fadhilinyengo7853 3 года назад
Stupid. Hamka kapambane acha kufikilia upumbavu
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 года назад
Nothing ,mbwa ni biasha nzuri wanasafirishwa nchi zingine then wanafukuza wachawi na mavitu mabye ndio maana eachawi wengi awapendi
@fridaywilly9395
@fridaywilly9395 3 года назад
Yesss hata mm ndyo nilikuwa ninakifikria kaka
@ricky0441
@ricky0441 3 года назад
Hongera.
@hassanmohammed9153
@hassanmohammed9153 3 года назад
Kazi ni kazi keep up bro
@rameckatanasi6888
@rameckatanasi6888 3 года назад
Mm napenda sana kujihusisha na mambo ya ufungaji
@saaddamjuma5384
@saaddamjuma5384 3 года назад
Ulimaji wa mbwa😁
@PiddyMontana
@PiddyMontana 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@aby21111
@aby21111 3 года назад
I love dogs 👍👍👍
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 года назад
👍🏾👍🏾👍🏾 Nin Pit Bull ×4
@bihamatvjunior4771
@bihamatvjunior4771 3 года назад
Nondo unatisha kweli big up mkali
@francisnyakunga1558
@francisnyakunga1558 3 года назад
Dar good cn bro
@gilntihe4445
@gilntihe4445 3 года назад
Congratulations,
@johnnykallaghe770
@johnnykallaghe770 3 года назад
Congrats bro
@danielmbarikiwa6692
@danielmbarikiwa6692 3 года назад
Hongera
@eddogeorge9670
@eddogeorge9670 3 года назад
Respect for you Brother
@siriyangu4724
@siriyangu4724 3 года назад
Masha Allah vjana wawe wambunifu kama nondo wwache wizi taifa iendelee nguvu za kazi ni vjana ongera brother mungu azindi kupambania amiin
Далее
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 464 тыс.
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 464 тыс.