Тёмный

MADUDU ya KUTISHA! JAMAA WANAODAIWA KUPIGA MAMILIONI ETI WANAENDELEA na KAZI - MAKONDA ACHACHAMAA.. 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

MADUDU ya KUTISHA! JAMAA WANAODAIWA KUPIGA MAMILIONI ETI WANAENDELEA na KAZI - MAKONDA ACHACHAMAA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb Месяц назад
Bwana Yesu Kristo akutangulie Mtumishi wa Mungu.
@user-li6jb1ju2g
@user-li6jb1ju2g Месяц назад
Mh. Makonda piga kazi Dua nyingi brother 🙏
@MerinaMgunda-oj5ch
@MerinaMgunda-oj5ch Месяц назад
Hv hii nchi mbona jela watu wanateseka sana kwa kesi mdogo watu mabilion duuh mungu yupo jamani
@kakamau0384
@kakamau0384 Месяц назад
Nchi nzima macho yapo Arusha Sasa hivi yani ninaiona Arusha ipo juu sana siku za hivi karibuni mwamba anapiga kazi buana sio utani
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Месяц назад
Magufuli aliingia kwenye mwil wa makonda tangu akiwa hai kipindi makonda mkuu wa mkoa dar
@ChristianmushiGodfrey
@ChristianmushiGodfrey Месяц назад
😢mh Paul Christian makondo mungu ni mwema kila wakati ,kongole sana ila jeshi la police hii nchi yetu mawasiliano ni muhimu police ni police mikoa yote kama vile unaarufu yake
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 Месяц назад
😂mulifikiria..muguvali..alikufa..hahaha yupo..hai
@godsonkilua7738
@godsonkilua7738 Месяц назад
Msema kweli Ni mpenzi wa Mungu .Kwa haya unayofanya kututetea wanyonge ubarikiwe Sana nakiti chako kipo mbinguni
@user-vx7jp5mo6l
@user-vx7jp5mo6l Месяц назад
Nakuombea sikumoja ushike madaraka ya maamuzi Ya juu
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Месяц назад
Kula vichwa hvyo
@FreeGod368
@FreeGod368 Месяц назад
Makonda kuchachamaa haisaidii kama mifumo ni dhaifu😂😂😂😂😂 ni kama mbwa anaebwekea ndege
@mupinimulila1762
@mupinimulila1762 Месяц назад
Nyinyi ndo mu au d’à mifumo mbaya ,
@geraldkayanda6075
@geraldkayanda6075 Месяц назад
Blaah! Blaah! kibao.
@friendsofpeopleorg1157
@friendsofpeopleorg1157 Месяц назад
MKUU MAHAKAMA HAPO ARUSHA WANAKULA HELA WAHASIBU. NENDA KACHUNGULIE.
@bonifaceyohana2515
@bonifaceyohana2515 Месяц назад
Mh rais naomba ukate mishahara ya wakuu wa mikoa wote nchi nzima nusu ya mishahara yao umpe makonda naomba kuwakilisha asnte
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Месяц назад
Wewe ni noma
@friendsofpeopleorg1157
@friendsofpeopleorg1157 Месяц назад
Hao uwabembeleze ndo wapigaji wenyewe na wanatafuta namna ya kukupiga stop
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Месяц назад
Una ajira yako nzuri tu. Unaamua kuiba.
@sylvesterdonald7441
@sylvesterdonald7441 Месяц назад
Tamaa,ubinafsi
@mupinimulila1762
@mupinimulila1762 Месяц назад
Imagine , watu ni mskini saana akilini.
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it Месяц назад
Mh Rais ujakosea kumteuwa huyu mkuu wa mkoa nakupongeza sana.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
WEWE MAKONDA UMESHUSWA NA MUNGU KUWANYOOSHA VIPANGA WAKUCHUKUA VIFALANGA VYA KUKU 😂😂😂
@RichardWilliam-eq9vb
@RichardWilliam-eq9vb Месяц назад
Hivi hawa watumishi wanafanya kazi mda gan
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Месяц назад
Wanoko wenyewe majizi makubwa wehuna unoko babaangu piga soana malaya hao
@PartySekemi
@PartySekemi Месяц назад
Mh makonda ondoka na kichwa ya huyo afsa utumishi
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Месяц назад
Makonda anastaili kuw mkuu wa mkoa Kwa miez3 nch nzima
@nurusulley3276
@nurusulley3276 Месяц назад
Makonda safi chapati kazi baba
@magnusmgaya560
@magnusmgaya560 Месяц назад
Kwa kweli huyu jamaa ni jembe
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Месяц назад
Wale kibano! Enough is enough.
@leonilamarandu6640
@leonilamarandu6640 Месяц назад
Mkuu wa mkoa ni halali watendaji kutembea kitabu cha risiti za shule za msingi kudai hela za mwenge?
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Месяц назад
Takukuru pia wako wapi
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it Месяц назад
Jamani mwizi wakuku anafungwa kwann Hawa wakapewa thamana?
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j Месяц назад
Huyo faida mwenyewe ni mlarushwa atumbuliwe kama anakidanganya wewe mkuu wa mkoa je viongozi wa vyeo vyachini je?
@user-eh5ss4dw1c
@user-eh5ss4dw1c Месяц назад
Wapigwe Spana.
@peterchula1990
@peterchula1990 Месяц назад
Makonda popote ulipo unamaua yako
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp Месяц назад
Duu aisee uyu afisa utumishi kapataje Iko cheo mbona hii nchi watu wanapewa vyeo vikubwa hawana uwezo kwel tunategemea kutengeneza nguo tuvae mitumba tuwaperekee wavae ulaya
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Месяц назад
Lobying, wengi hawavipati kihalali
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 Месяц назад
alaf wanataka wabembelezwe… piga spana baba keagan
@user-bn1bd1vh5j
@user-bn1bd1vh5j Месяц назад
Piga kazi baba
@user-kc4in6zu4v
@user-kc4in6zu4v Месяц назад
Mkuu gawa vidonge vyao niharari kwao.
@nassontunyande1109
@nassontunyande1109 Месяц назад
Angalia mwanangu wewe ni mteule wa MUNGU na hata rais alijue hilo!! Asibabaishwe na mafisadi! Wakuu wengi wa mikoa wanapenda kufanya kazi kama yako lakini hawana vipawa kama vyako!! Naomba endelea kumtumaini MUNGU wa kweli hakika hutadhurika na muovu yoyote hata wapewe dunia nzima!! MUNGU yu pamoja nawe umeshafunikwa na damu ya YESU!
@froma3732
@froma3732 Месяц назад
Rais akiwa hasemi munalalamika Makonda akiongea munasema Sasa Tutafanyaje
@abednego3876
@abednego3876 Месяц назад
We have weak and Dumb Civil servants.
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Месяц назад
Yaani level ya ujinga iloyopo inatisha, kapataje hiko cheo ni beyond me, kuna haja ya kufanya reforms kwenye mifumo yetu
@keamaoli
@keamaoli Месяц назад
Ocd kanuna
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Месяц назад
Msichana anababaika
@friendsofpeopleorg1157
@friendsofpeopleorg1157 Месяц назад
Wapigwe!
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Месяц назад
Watu wanaiba halafu wana fichwa fichwa? Wanalindana?
@ShamsiKasoma-fn4cl
@ShamsiKasoma-fn4cl Месяц назад
Nchi ina madudu hii
@OCTAVIANSINZO
@OCTAVIANSINZO Месяц назад
😅😅 hyo Arusha tu!!
@user-uh5ms6qe9b
@user-uh5ms6qe9b Месяц назад
Haya hao watetezi wa haki za binadamu mbona hawaongelei hili la pesa kuibiwa wapuzi sana
@OCTAVIANSINZO
@OCTAVIANSINZO Месяц назад
Wahuni tu
@mohddelo
@mohddelo Месяц назад
Piga spana
@user13375
@user13375 Месяц назад
Afsa utumishi,walioiba wameiba wao we pinga spana.
Далее
Wait for it 😇
00:45
Просмотров 9 млн
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
Просмотров 79 тыс.