Тёмный

Majaribio Mengine Treni ya Umeme DAR - MORO yatumia Saa 2,MABEHEWA 14/Prof.Mbarawa afunguka A-Z 

ICON TV TZ
Подписаться 181 тыс.
Просмотров 74 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 177   
@johnjohnkipokola5077
@johnjohnkipokola5077 7 месяцев назад
Hongera Magufuli huko ulipo. Tutakukumbuka daima.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@charleswerema557
@charleswerema557 6 месяцев назад
❤​@@ICONTVTZ
@salehsimba5306
@salehsimba5306 7 месяцев назад
Magufuli Mungu amsamehe, ametutendea mema sana.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 7 месяцев назад
Magufuli thanks
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@olivamatama590
@olivamatama590 7 месяцев назад
Ni sahihi kabisa, natamani angalau iwepo Magufuri day,angalau taifa Kwa ujumla limkumbule na SI familia tu.
@Worldunite
@Worldunite 7 месяцев назад
💯
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@coolruler6820
@coolruler6820 7 месяцев назад
Rest in Zion comred John Joseph Pombe Magufuli,,,,,muasisi na mbeba ono la SGR
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@daudysanga8492
@daudysanga8492 7 месяцев назад
Mbona humtaji magufuli acheni unafik mungu yupo teteeni matumbo2
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@KhamisKhamis-r7s
@KhamisKhamis-r7s 7 месяцев назад
Rais Samia amesimamia na kuwendeleza lazima asifiwe angekuwahataki jeeee?
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 6 месяцев назад
Mungu kuwepo kuna uhusiano gani na kumsifia Magu?
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 6 месяцев назад
JPM, tunashukuru mungu akuweke mahali pema Amin
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@RamaZuberi
@RamaZuberi 7 месяцев назад
Sio Samia magufuli
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@thobiasanthony-ep6lb
@thobiasanthony-ep6lb 7 месяцев назад
Watu wakitambua ukweli utatumia nguvu nyingi sana kuwabadilisha😂
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 7 месяцев назад
R.I.P JPM, ongera wote mlio pamabana kufanikisha mradi huu.. Tanzania na isonge mbele !!
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx 7 месяцев назад
Hongera r.i.p magufuli kwa uhodari wako
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@EstermsuyaMsuya
@EstermsuyaMsuya 6 месяцев назад
Asante Magufuli kwa kuanzisha mradi huu Asante mam Samia kwa kuuendeleza. Rip JPM😊
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@IdanIsack-ko6ye
@IdanIsack-ko6ye 6 месяцев назад
Asante mugufuli kwa jitiada zako mungu akulinde uko uliko
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@thobiasmasabile-cw9xo
@thobiasmasabile-cw9xo 7 месяцев назад
Aliefanya kazi kubwa ni magufuli, Alie acha amesharipia pesa zoto sio simia
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 7 месяцев назад
Kwa hiyo unatuaminisha kuwa aliyekufa bado anafanya kazi?Hayo ni mawazo ya mtu aliyekufa akili na kubakisha mwili tu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 7 месяцев назад
Mkandarasi huwa halipwi hela zote,hulipwa kwa awamu,kipindi Cha magufuli alikuwa amelipa hela kidogo Sana.😊
@SaidGella
@SaidGella 7 месяцев назад
@@brysonkaale3003 hata kama marais wangap wamepita ulisikia hata fununu ya SGR? Yote hayo yapo kwenye makaratasi yalio andaliwa na hayat magu Hakuna kipya cha huyo mamaenu Zaid ya FILAMU yake kule ngorongoro
@bavonnyaulingo4188
@bavonnyaulingo4188 7 месяцев назад
Mbona naona mabishano sana,shida nn,ww angalia kitu kipo tayali kwa kutumia. Kila mtu na wakat wake na nafas yake kwa hiyo unataka kusema aliyopo madarakan hajafanya jambo,je angeamua kupotezea kusimamia ungeona hata hii SGR. Tuache chuki na unafiki mtu akifanya vizur apewe maua yake.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 7 месяцев назад
Isingekuwa Magufuli, hivi hivi vitu visingekuwepo. Kwahiyo fanyeni kitu ili tumkumbuke huyu Magufuli rais wa ukweli sijawahi kuona chini ya hii jua. Magufuli yaani yule mtu sijui alikuwa ni mtu wa namna gani, cjui nimwite nabii au jina gani la maana? Yule ndiye rais mzalendo wa nchi hii ya Tanzania. CCM wakamwua. Yaani bac tu!! Maana Magufuli alikuwa adui wa CCM. Hanaga chama yule jamaa!! 🎉🎉🎉🎉🎉 Kwa Magufuli hata kama hayupo duniani.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 7 месяцев назад
Ila alikuwa mwizi wa kimya. kimya.Na angekuwepo mpaka leo ungemchukia kuliko binadamu wote hapa duniani
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 месяцев назад
@@yakobokuzenza6837 ww ni bonge la mjinga
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 6 месяцев назад
@@MichaelMathew-j3f Bora mm mjinga.Ww ni bonge la mpumbavu.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 месяцев назад
@@yakobokuzenza6837 kweli mimi ni mpumbavu. Bwana Yesu alisema kaeni katika pendo langu. Yohana 15:9. Upo!!
@HassanMoha-rc8oq
@HassanMoha-rc8oq 6 месяцев назад
CCM hoyeeeeee mola Amilinde mama suluhu hassan kipenzi cha watu ❤❤❤❤
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@bashirbaruan3969
@bashirbaruan3969 6 месяцев назад
Nasubir kuona mabehewa ya ghorofa yakifanya kazi yake in shaa Allah.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@FloraIkwabe-qy3yb
@FloraIkwabe-qy3yb 7 месяцев назад
Hongera jembe magufuri ndiye aliyefanya usubutu na alicha imefikia hatua nzuri. Bila yeye isingekuwepo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufatilia
@EsterMbuya-g7n
@EsterMbuya-g7n 6 месяцев назад
Mama tunakuomba sana makame mbarawa apigwe chini Amna kitu anafanya zaidi ya kelele mingi mpangie kazi nyingine kama lukuvi na kabudi
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 4 месяца назад
Da angekuwepo mwenyewe....raha sana
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 4 месяца назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 4 месяца назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@hamisiabdallah1405
@hamisiabdallah1405 7 месяцев назад
Jpm MngU amlaze maali pema tumeaon matunda yake pamoja na mama Samia suluu asani mwinyi duh🙏🙏🙏☝️
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@AlexMtega-rm9yn
@AlexMtega-rm9yn 3 месяца назад
Nasubili inayotoka Arusha mbaka mbeya❤❤
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 3 месяца назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 7 месяцев назад
Rip Magufuli hongera sana mama Samia
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 6 месяцев назад
Kaziyamagufuri siyo mama samia
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@olivamatama590
@olivamatama590 7 месяцев назад
Watanzania tunasifika Kwa upendo dunia pote je upendo wetu umeenda wapi? Tumkumbuke laliyekuwa Rais wetu John pombe Magufuri Hata Kwa kumsifia Kwa mema mengi aliyoyafanya.Mungu atatuuliza siku Moja juu ya hilo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ANTHONY.V.I.Ptanzania
@ANTHONY.V.I.Ptanzania 7 месяцев назад
Hawajamaa ni wanafki cjui kama mungu atawasamehe dhambi hizi.hakuna kama magufuli.rest in peace dady magufuli.tutakukumbuka daima baba😢😢😢
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 7 месяцев назад
Magufuli baba lala salama umetoka hata uliwaacha hawakutaji wamesahau wewe ndiye ulianzisha mambo yote mazuri leo hii wanasifiwa wengine
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Ktufatilia
@SaidGella
@SaidGella 7 месяцев назад
Mama Samia kafanya nini katika hilo? Acheni kukwepa ukweli kwa kutetea ugali Zote hzo ni mipango ya MWENDA ZAKE (MAGUFULI)
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ismailisungura3491
@ismailisungura3491 5 месяцев назад
Mama siku zote yupo radhi yeye asile ila watoto wale na wala hapendi kuona watoto wakisononeka je huyo mnayemwita mama anaweza 🤔 pongezi kwa Dr. Magu R.I.P kiboko yao🎉🎉🎉🎉
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 5 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@saidsalum6101
@saidsalum6101 6 месяцев назад
Msitudanganye nyinyi naunasema umefunga alafu unasema uongo unashindwa kumtaja nguvu zamagufuli nyinyi ni kumtaja samia tu wakati kafanya maisha yamekuwa magum mwenzake aliacha kuunganishiwa umeme sh elfu ishirini kaondoka imekuwa lakitatu nakitu
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 месяцев назад
Kazi nzuri
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 7 месяцев назад
Ni kawaida binadamu akishafariki mazuri yote huzikwa nayo! Waziri mmeisahau juhudi , maarifa na ubunifu wa Marehemu Magufuli katika mradi huu?
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@julaimbwilo1018
@julaimbwilo1018 6 месяцев назад
Napenda kuipongeza serikali kwa huu ujio wa treni ya umeme
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@kastoriooko7157
@kastoriooko7157 5 месяцев назад
yaani kwa kweli
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 5 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@jamesjames2368
@jamesjames2368 7 месяцев назад
RIP JPM
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@olivamatama590
@olivamatama590 6 месяцев назад
We want Magufuri day please.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@Ramambena
@Ramambena 6 месяцев назад
Safi sana
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@EMMAMEDIA-h1c
@EMMAMEDIA-h1c 6 месяцев назад
Rip John pombe joseph magufuli hakika umeacha alama kubwa sana
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 7 месяцев назад
Mabehewa Gani hayo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@LawrentMenrad
@LawrentMenrad 4 месяца назад
Pia tunamshukuru rais wetu samia kwa kukamilisha utendaji hivyo tunakuomba mama utusimamie ili yote ikamilike
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 4 месяца назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@Worldunite
@Worldunite 7 месяцев назад
Huyu jamaa anafansna na waziri mwigulu
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@BenjaminMtaly
@BenjaminMtaly 7 месяцев назад
Speed bado
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ShafiiStar
@ShafiiStar 6 месяцев назад
Bado xan Tanzania daaah
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@NicholausMahugugu
@NicholausMahugugu 7 месяцев назад
Mheshimiwa Samia naye anastahili pongezi zake mpaka hapa mladi ulipofika ni kwa sababu ya juhudi na utashi wake ili mladi ukamilike!
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@barikibenson4678
@barikibenson4678 6 месяцев назад
Kenya tuko mbele sana
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@AlfredYahhi-rq4tp
@AlfredYahhi-rq4tp 6 месяцев назад
Yakifanana nakupendeza alafu tusigeze zikawa basi zetu siti izo jaman
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@anwaritesal4695
@anwaritesal4695 6 месяцев назад
JPM daima tutakukumbuka daima uliowaacha hawakutaji kabisa
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@allysalim3534
@allysalim3534 7 месяцев назад
Hv mbona hatuoni mkipita kwenye Yale mashimo usikute hata moro hamufiki
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Ktufuatilia
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 7 месяцев назад
Sasa mimi nashangaa kila siku majaribio au kuchezea tu pesa za serikali?!
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 6 месяцев назад
Watu tunajuwa nana katengeneza reri nimagufuri kwelichukimbaya
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@maalimjabbar1996
@maalimjabbar1996 6 месяцев назад
Kwani magufuli alifanya akiwa karibu saana na Samia mipango yote hiyo walikubaliana na kupanga pamoja ndo maana Samia anasema kazi iendelee anajua alichopana pamoja na magufuli
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 5 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@RamaZuberi
@RamaZuberi 7 месяцев назад
Mnakula kodizetu TU?
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@josegambi7149
@josegambi7149 6 месяцев назад
Unga ishapita mpaka mbeya
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 6 месяцев назад
Waongo mrugenzi Millard kahojiwa anasema dar wameondoka saa 4 kasoro Jioni dodoma wamefika saa 7 usiku Ina maana Moro itumie masaa mwili dodoma lisaa Moja mue wakweri
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@LangoiMollel-p1p
@LangoiMollel-p1p 7 месяцев назад
Magufuli angekuwa hai angefikisha Arusha mjini
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@SamwelSimion-l5g
@SamwelSimion-l5g 6 месяцев назад
Tren ya magu samia wann
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@shabanihababuu7332
@shabanihababuu7332 5 месяцев назад
Samia kakuta miladi sofa mnazompa Sio zake hamjisikii Aibu nyinyi wa2 sio vizuli ila vizuli wa. Tz 2najua kilaki2
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 5 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ShafiiStar
@ShafiiStar 6 месяцев назад
Na xio xamia magufuli ndo alieye fany izooo vp nyenye
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 6 месяцев назад
Nani kama MAKUFULI
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@francismlelema8754
@francismlelema8754 6 месяцев назад
Ni umasikini wa kutupwa kujivuna kuwa mna treni ya mwendokasi, wakati mnataka kuibinafisisha kwa mwekezaji. Inamaana mpaka sasa Tanzania haina rasilimali watu wa kusimamia na kuendesha hii treni?!!! 😢😢😢
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@Robert-p7c1k
@Robert-p7c1k 7 месяцев назад
Acha woga,mama Samia wa nini Sasa hapa😂😂😂
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@zulekhaponti9353
@zulekhaponti9353 7 месяцев назад
Baado barabara ya Airport na taa hatuoni usiku😊
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ramaaman4020
@ramaaman4020 Месяц назад
😂😂bongo kama ulaya ahsantenisana serikaliyetu awamoya5
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ Месяц назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@rajjoshua7328
@rajjoshua7328 6 месяцев назад
Masaa mawili mnajisifu? Hovyo kabisaaaa, hovyo, ni tr2n ya mwendo kasi dar moro inatakiwa kutumia dakika 45 tu.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@SilaMinanda
@SilaMinanda 7 месяцев назад
Majaribio ni hasara fanyeni kazi yalishajaribiwa hayo, bas Nchi hii mpka nazeeka utasikia majaribio. Hakuna kazi, kingine acheni unafiki mbna fikra za nyerere zinadumishwa mpka leo alafu magufuli znasahaulika naona promo kwa mama kiaje yan kwa mfano? Fanyeni kaz acheni uchawa
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 7 месяцев назад
Akuna kitu apo inatembea kama roli la mkaa
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@kulaushibe3036
@kulaushibe3036 7 месяцев назад
Majaribio yoyote huwa yanafanya spidy kubwa ili upate wastan wa spidy unayoitaka huwesi kufanya kwa spidy ndogo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 7 месяцев назад
Mwendo akuna apo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutfuatilia
@Worldunite
@Worldunite 7 месяцев назад
Tisiini au tisini??
@abuubilal2646
@abuubilal2646 7 месяцев назад
Kwani we waonaje
@Worldunite
@Worldunite 7 месяцев назад
@@abuubilal2646 sijui ndo maana nimeuliza
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@NurhatMussa
@NurhatMussa 4 месяца назад
Bado hamjabotesha mnatia hasara wafanya biashara kuzima umeme siku nzima bila kuingiza kipato chochote kisa treni
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 4 месяца назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@froma3732
@froma3732 7 месяцев назад
Huu Mradi tuwe Wakweli haukuanza Magufuli
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@seiftaji7838
@seiftaji7838 7 месяцев назад
aliefanya magufuli sio samia mboni unapindisha ukweli wakati upo kwe ibada ya mfungo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 7 месяцев назад
Treni ya mchongo hamna chochote MAGUFULI alikuwa bonge la RAISI BHANA SIO huyo kigulu na njia
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Ktufatilia
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 6 месяцев назад
Vichwa vya tren vilikuwa vishalipiwa na Jpm nadhani .....Kweli alijitoa kwaajili yetu wa Tz @ huu mradi ungezinduliwa na Makonda 🤣🤣🤣🤣pangewaka
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@RamadhaniWaziri-ut9ti
@RamadhaniWaziri-ut9ti 7 месяцев назад
Poapo
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@ULUMBIADAM
@ULUMBIADAM 6 месяцев назад
Kikombe Cha chai mara maji mara samahani nimefungs ni muongo huyu
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 7 месяцев назад
Pongezi kubwa kwa serikali TAZara pia iwe sgr na iwe va umeme.
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 6 месяцев назад
Nani kama MAGU.,,MZEEE KIKOMBE CHA CHAI AU KIKOMBE CHA MAJI..? LABDA GLAS YA WINNE??
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 6 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
@mosaidi2633
@mosaidi2633 7 месяцев назад
Blah blah Kila siku
@ICONTVTZ
@ICONTVTZ 7 месяцев назад
Asante Kwa Kutufuatilia
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 412 тыс.
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 25 тыс.
#TBC: SAFARI YA KWANZA TRENI YA SGR KUTOKA DAR - DOM
1:14