Тёмный

HIZI HAPA SETI 2 ZA MCHONGOKO, IPO “SAMIA EXPRESS” 

TRC RELI TV
Подписаться 78 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 177   
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 10 дней назад
seti moja ingepewa jina la "Mwananchi Express" kuwatambua wananchi walipa kodi.
@worldtechlab
@worldtechlab 10 дней назад
😂😂😂
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 дней назад
KWA SABABU HIYO MOJA IMEPEWA JINA LA MAMA AU VIPI?! DUH KAKA SIYO KWA CHUKI HIZO...
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 10 дней назад
Au "Walipakodi Express"
@giftmeela6250
@giftmeela6250 9 дней назад
​@@rayisadesigns2646 nisawa wewe utafute pesa ukajenge nyumba alafu fundi aandike jina lake kwasababu yeye ndio amejenga. Hizo si ni dharau. They have to acknowledge walipakodi wote.
@emmanuelstephens1891
@emmanuelstephens1891 9 дней назад
Naunga mkono hoja! Mwananchi mlipa kodi hadhaminiwi!!
@sebaoscar9205
@sebaoscar9205 10 дней назад
Rip Magufuli...The great visionary.
@bnyangoma
@bnyangoma 10 дней назад
Acha tu!
@amaniromeoswadiq9155
@amaniromeoswadiq9155 8 дней назад
Magufuli forever
@salumnamjupa-sy6cm
@salumnamjupa-sy6cm 10 дней назад
wow magufuli express..am happy now
@damianmadex3677
@damianmadex3677 8 дней назад
And me too 🎉🎉
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h 10 дней назад
Hapo saw kumbe Magufuli ipo ntakuwa napanda hiyo sasa❤❤
@johnlubagula9723
@johnlubagula9723 10 дней назад
Hata mimi nimefurah kuona magufuri ipo
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 10 дней назад
Hata mm
@Niika870
@Niika870 10 дней назад
Kama Magufuli isingekuwepo nisingepanda hizo tren❤
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 9 дней назад
Hahahaa safi sana kuona na kuthamini na kumuenzi jembe nilidhani tupo wachache wenye mtazamo kama wako.​@@Niika870
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 9 дней назад
Haha sawa
@GodlivenMaximillian-ot7mg
@GodlivenMaximillian-ot7mg 10 дней назад
Kazi nzuri sana tunapenda maendeleo kama haya. Mmekuwa wazalendo nawapongeza mmeita majina ya viongozi wetu safi sana.
@joshuachimwejo5892
@joshuachimwejo5892 9 дней назад
Misahau Kadogosa Express!! That man has done a wonderful job ever! Ni vizuri kuzithamini. kukumbuka na kuzienzi jitihada za wataalam wetu wa ndani.
@RamaTraceur
@RamaTraceur 10 дней назад
Hapo kwenye pua la EMU train..funiko lake wekeni ipendeze zaidi...Ongera Tanzania yetu, Shirika letu (TRC) na Sisi Watanzania.👍
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 10 дней назад
Nasisitiza kila mmoja ahakikishe tunavitunza vizuri sana sana sana vifaa vyote na tuache hujumaaaa na mambo ya kipumbavu kuharibu treni hii. Hongera sana Serikali na wananchi wooooooteeeee.
@allysimu6856
@allysimu6856 10 дней назад
Tuzidikumunga mkono raisi samia kazi iendelee I love tanzania
@richwase6550
@richwase6550 10 дней назад
Saiz nchi inapiga hatua najivunia kuwa mtanzania 🇹🇿❤
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 10 дней назад
Kwakweli. Napata hata ladha ya kuangalia taarifa za habari za maendeleo ya nchi yangu
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 10 дней назад
Nyerere express, Magufuli Express and Samia Express,... very impressive
@GodlivenMaximillian-ot7mg
@GodlivenMaximillian-ot7mg 10 дней назад
Sana. Halafu pale station kuna picha ya Baba wa Taifa yaani Una feel Ile sense ya utanzania
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 10 дней назад
​@@GodlivenMaximillian-ot7mgkabisa mkuu.
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 10 дней назад
Hayo ndio mambo tunataka kuona,.sio tunalipa Kodi,pesa zinaishia kununua V8 kila mwaka,
@salehsimba5306
@salehsimba5306 10 дней назад
Ila Magufuli...... Mungu amrehemu, maono yake yake ni ya mbali sana. Amefanya nchi iende kisasa
@bnyangoma
@bnyangoma 10 дней назад
Na pia aliona Tanzania itaongozwa na mwanamke. Kw mara kwanza mgombea mwenza alikuwa mwanamke
@Sean1877
@Sean1877 9 дней назад
Imagine angekua bado yupo hai..
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 10 дней назад
Yeah big up Tanzania & Govt. Kazi nzuri.kasi iongezwe ya ujenzi dodoma mwanza Ili tz yetu izidi kupendeza
@allymusira2153
@allymusira2153 10 дней назад
Hongera Rais Samia kuendeleza mradi hakika wewe ni jasiri
@user13375
@user13375 10 дней назад
Nataka kujuwa ratiba ya magufuli express😅😅
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 10 дней назад
Safi sana. Kwakweli mmekuwa wazalendo na mmefanya ubunifu wa hali ya juu. Nashauri zijazo ziitwe: Kikwete Express, Mwinyi Express, Mwananchi Express, Mlipakodi Express, Mpango Express, Majaliwa Express, Sokoine Express. NB: Mwinyi Express ni kwa ajili ya kumuenzi Mzee wetu Ruksa pamojanna kuthamini mchango wa mwanaye ambaye ni Raisi wa Zanzibar kwa sasa. Naipenda sana Tanzania yangu. Mama Samia tunakuombea sana. Piga kazi, tuko nyuma yako.
@DeogratiasMadaraka-b9v
@DeogratiasMadaraka-b9v 7 дней назад
Mmemsahau Cdf mabeyo luxury tz
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 дней назад
Mama apewe maua yake anaendeleza vizuri mambo aliyotaacha Hayati Magufuli kazi iendelee Uongozi ni kazi nzito lawama ni kitu cha kawaida
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 9 дней назад
Uko sahihi wapo Watu walitaka kutuaminisha kuwa miradi yote ya kimkakati haitamalizika baada kifo Cha Rais JPM
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 7 дней назад
Kweli anastaili mauwa yake tunampenda anatusuprise😅
@ndulasimon
@ndulasimon 10 дней назад
My Tanzania my pride Chapa Kazi mama
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 10 дней назад
Hongereni sana. Viongozi wetu
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 10 дней назад
Viva Samia,viva Tanzania bongoland..Wenzetu huko wanaharibu vyao😅
@jumashedafa
@jumashedafa 10 дней назад
Mashaallah nimepend Nyerere, Maguful na Samia Express...Next ni Mwinyi express au Mzee wa ruksa express
@bernardkamau9844
@bernardkamau9844 7 дней назад
Congratulations 255 🇹🇿🇹🇿.nilitumia hii treni kwenda morogoro na kwa ukweli safari ni nyororo sana 🔥✅✅ I hope in the future hii reli itafika Arusha. Mimi kama jirani nawapongeza sana 🙌🏾🇰🇪
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 10 дней назад
Ni matumaini na maombi yangu kuwa treni hii itatunzwa na kulindwa kwa nguvu zote ili Watanzania wafaidi jasho lao. God bless Tanzania!
@SATZ-news
@SATZ-news 9 дней назад
Na Magufuli iwepo tu kama hamtaki ugomvi😂😂😂😂
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 10 дней назад
RIP JPM
@user-sp6sv3cg9d
@user-sp6sv3cg9d 5 дней назад
Hongera wa Tanzania wore tunaolipa Kodi na bingwa wetu Magufuli Mungu akulaze mahali panapokustahili
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 7 дней назад
Hongera Rais wetu❤
@MbondeMbonde-zr4nj
@MbondeMbonde-zr4nj 10 дней назад
Njia za Kigoma Arusha na Tazara nazo zinahitaji hii mki update na hizo sana sana ya Kigoma Tz itakuwa vizuri sana
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j 10 дней назад
Magufulification
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 дней назад
WAKATI WATZ WANAPIGA HATUA MOJA MBELE, NDUGU ZAO WAKENYA WANAICHOMA NAIROBI YAO ILI WAANZE TENA HATUA MOJA NYUMA... HUZUNI SANA, AFRIKA INASIKITISHA SANA!!
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 8 дней назад
Waache wachome wao wanajidai Wana akili nyingi
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 10 дней назад
Kile kichwa kibaya kiitwe Ruto express
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 10 дней назад
🙉🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🙈
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 7 дней назад
Hapo sawa Kumbe Magufuli ipo I admire her
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 10 дней назад
Kikwete alitaka kutupa ya Diesel kama ya Kenya, asipewe jina
@nth3512
@nth3512 10 дней назад
Hahaha
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 дней назад
Una uhakika na unachokisema?
@user-eg1mz6vo1d
@user-eg1mz6vo1d 10 дней назад
Kilaaa baada ya miaka 7 watu kama magufil wamatokea mara mmoja
@danielkullwa1613
@danielkullwa1613 10 дней назад
Congrats...tunaomba mtupe siku moja a full interior tour ya moja ya EMU's ..nadhani kuna ambazo zina premium classses, comfort flani, comfortable seats, Rest Rooms zikoje, nadhani kuna vending machines pia, Madaraja pia yakoje... nakadhalika. Ni prid ya watanzania wote hii.
@bonosaugustine6545
@bonosaugustine6545 10 дней назад
Mwenyew naisubir kwa hamu sana
@user-lx2yc8tj5h
@user-lx2yc8tj5h 10 дней назад
Magufuri aliona mbali
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 8 дней назад
Kasome ilani kwanza ndio utajua kua hivo vitu vipo
@SATZ-news
@SATZ-news 9 дней назад
Yani MAGUFULI EXPRESS ndo itakuwa train yangu kila ninaposafiri aisee❤❤❤❤❤❤❤
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 10 дней назад
Safi sana hapa ndugu zangu wa CCM tunajeuri ya kusema tumetenda. Mungu ampe maisha marefu Mh. Samia aendelee kutekeleza Ilani. CCM OYEE
@aminata3702
@aminata3702 10 дней назад
Unazi
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 10 дней назад
Ccm wapi wananchi hela zao
@Beauthoms
@Beauthoms 9 дней назад
​@@user-ts9lp4rm9j Shida sio hela shexhe shida ni utendaji
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 10 дней назад
Apo sawa Mimi ntapanda iyo magu exppres iyo ndo yenyewe
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 дней назад
Ok tumekuelewa Mrs Ukabila.
@eddechriss2664
@eddechriss2664 10 дней назад
Baada ya majadiliano ya muda mrefu na Mganga wangu tumekubaliana safari zangu zote nitakuwa natumia MAGUFULI EXPRESS pekee
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 9 дней назад
Tafadhali huyo mganga asikuelekeze kwenye Kudhulumu haki za kuishi za ndugu zetu wenye Ualbino...😂
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 8 дней назад
😂😂😂😂😂
@frankiekusekwa9469
@frankiekusekwa9469 9 дней назад
Kama kuna magufuli express sawa, Hata mimi nitapata
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 6 дней назад
Asante sana Samia
@allyhasani3750
@allyhasani3750 7 дней назад
Du! Magufuri aliona mbali
@erastomaro7145
@erastomaro7145 10 дней назад
Ingependeza zaidi kuwaenzi Mahayati Rais wetu waliotangulia mbele za haki kwa kufuata mtiriko wa namba, kama namba moja ni Nyerere Express, basi namba mbili ingekua Mwinyi Express, namba tatu Mkapa Express Afu hao wengine wanafuata kutokana mtiririko waliokaa madarakani. Ni maoni yangu tu.
@hamimuidrisa6390
@hamimuidrisa6390 9 дней назад
Good idea
@josephatn5040
@josephatn5040 9 дней назад
Nami nimeshangaa kwanini namba 2 ni Samia halafu namba 3 ni Magufuli!!!
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 8 дней назад
Achana na mambo ya namba hayana faida muhimu ipo basi
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 дня назад
NAOMBA RATIBAA FULL YA MAGUFULI EXPRESS PLZZ....
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 10 дней назад
Wekeni conveyor belt, na behewa Maalum kwaajili ya mizigo Mabegi makubwa ambayo huwezi ku check in nayo, ili pawe smart
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 дней назад
Behewa kubwa la mizigo tayari lilishaletwa kitambo... muda ukifika utaliona likitumika.
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 10 дней назад
Kwahio we ndo mshauri wa mradi mkubwa kama huu? Na mabehewa ya magari yapo 🚎
@mariamapunda4577
@mariamapunda4577 10 дней назад
Hongereni sana, Treni ya ghorofa iko wapi? Vichwa mlisema vinakuja July mwaka jana tunataka kupanda treni ya ghorofa
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 10 дней назад
hivyo wanasema vinakuja mwakan
@mariamapunda4577
@mariamapunda4577 10 дней назад
@@nickylyanga2139 train zilishakuja na vichwa ilibidi bike mwaka jana July ndio walisema hivyo
@mariamapunda4577
@mariamapunda4577 10 дней назад
@@godlistenmnkeni2454 naamini yanahitajika ndio maana yalinunuliwa.. au unaposema yatakapohitajika unaanisha hayahitajiki kwa sasa? Kwanini yalinunuliwa kama hayahitajiki? Vichwa vikowapi?
@Assu89Ma2ly-xt4np
@Assu89Ma2ly-xt4np 10 дней назад
Mabehewa ya ghorofa yapo lakin vichwa havijafika,yana vichwa vyake vilivyokuwa vikitumika pamoja huko ujeruman vikija lazima tutaviona
@mariamapunda4577
@mariamapunda4577 10 дней назад
@@Assu89Ma2ly-xt4np vichwa vinakuja lini?
@danielkullwa1613
@danielkullwa1613 6 дней назад
Hivi vile vipua hapo mbele vitakuja baadae au vipo tayari. Maana kwenye clip ya yesting kule korea vilionekana. ila hizi zikija huku hatuvioni yani panakuwa wazi. Nadhani watanzania wenzangu ndo wanapo paangalia kwa maana ya mchongoko (aero dynamics)
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl 4 дня назад
Kwa kweli mmevipatia majina vichwa hivyo. MAGUFULI NA SAMIA EXPRESSES. ASANTE SANA.
@ombenikweka7222
@ombenikweka7222 7 дней назад
Fanyeni mpango abiria waweze kufika chalinze yaani wekeni miundombinu nzuri abiria wa chalinze tufaidi
@piterasifa3757
@piterasifa3757 9 дней назад
Jpm ipo
@Manywele.Maluja
@Manywele.Maluja 7 дней назад
Hii mibichwa mchongoko ndo tulioitaka toka mda sanaa na hii ndo yenyewe sasaa
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 дня назад
UO MFUNIKO WA APO MBELE AWAJALIPIA PESA YAAKE AU 😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@stewartkilewo4433
@stewartkilewo4433 10 дней назад
Respect🎉
@yourbody
@yourbody 10 дней назад
I'm happy to see Magufuli Express
@user-ti6vp4ts6j
@user-ti6vp4ts6j 6 дней назад
Naomba kanda ya kaskazini tupate pia maana December sio poa tunavyobanana😂😂
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 4 дня назад
Hivi serikali iliangalia nn kuanza na dar to moro na siyo dar to arusha??
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 10 дней назад
Hilo ni jambo zuri sana.
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 9 дней назад
Kwanini Hamkuanza na Mangufuli/express?
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 9 дней назад
Angalia sana, kuna siku utasema kwanini Jua lisichomoze Magharibi
@user-ec5qb8dw6d
@user-ec5qb8dw6d 8 дней назад
Kazi nzuli❤❤❤
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 10 дней назад
Safi CCM kusimamia Irani ya Chama maendeleo kwa Tanzania..kazi Nzuri..Mama Samia 2025 tena.
@gregorybakuza5796
@gregorybakuza5796 7 дней назад
Magufuli Express
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 9 дней назад
Tanzania nchi yangu
@realdude64
@realdude64 9 дней назад
Kwa niwapongeze kwa kazi nzuri. Pili, TRC kwa nini hamfuniki pua za treni ya mchongoko(EMU)? Ina maana muliuziwa bila mfuniko wa pua za hizo treni mchongoko?
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 10 дней назад
Hapo sawa....ni raha tupu
@dramatic2558
@dramatic2558 9 дней назад
2:33 🤩🤩🤩🤩 i'm happy now
@davidmickidad6842
@davidmickidad6842 7 дней назад
Mimi nishapata yangu ni MAGUFURI express. Nilitazama kwakin ningekosa Hilo jina ningehama nchi hii walah
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 10 дней назад
Heee! Samia exps!! Naamini hata yeye hawezi kukubari jina lake liandikwe hapo
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 9 дней назад
Huu ni mwaka wa 3 tangu Jpm aondoke,hata kama wewe ni mjinga kiasi gani jitahidi tusijue
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 День назад
@@elinamilyatuu7337 unakumbuka jmp ameondoka mladi wa SGR ulikuwa asilinia ngapi? na ulitakiwa kukamilika lini?,. Kama huyo uliyesema anaweza amalize kipande Cha Tabora kigoma miaka 3 amemaliza na anamiwili mingine,.akimaliza tumpe nayeye mauwa yake.
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 10 дней назад
Watanzania vigeugeu nyie.. juzi tu hapawalikuwa wanahara leo wamenawa 😂😂😂😂
@bonifacemarwa1975
@bonifacemarwa1975 9 дней назад
Tunaomba mzibe mbele iwe mchongoko kweli kweli
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 8 дней назад
Tuzipe majina ya maraisi wetu na hifadhi zetu pia na mlima kilimanjaro
@ananiangonyoka4309
@ananiangonyoka4309 9 дней назад
Kwani lazima iitwe samia hii nchi ya ajabu sana mtukuzeni Mungu siyo kila kitu samia kwanini lkn
@worldinfoswahili
@worldinfoswahili 7 дней назад
Kwamba hii nayo ni habari?!! 😂 Hii nchi hii
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 7 дней назад
mnacha kuweka jina la nchi mnaweka jina la mtu
@JamesmalesaMavere
@JamesmalesaMavere 8 дней назад
Eti Samia express
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 9 дней назад
Tungekuwa tunajenga hizo EMU wenyewe hapo Tz ndio ingekuwa furaha , wahandisi wengi tunao.
@carolyneogall8967
@carolyneogall8967 8 дней назад
Alafu unakutana na wapinzani wanasema mama hafanyi kazi jani hiyo nini
@kassimubilali5259
@kassimubilali5259 10 дней назад
Badala muandike jina la muasisi magufuli
@kassimubilali5259
@kassimubilali5259 10 дней назад
Asanteni nimeona jina la magufuli hiyo ndy furaha yangu
@elishajoseph8291
@elishajoseph8291 9 дней назад
wasisahau elishadai express
@butotanto
@butotanto 10 дней назад
Magu express ipo?
@seneu.2128
@seneu.2128 10 дней назад
Kenya yakwao wanaita madaraka express kuenzi siku waliyopata uhuru kujitawala, uwanja wao mpya wa mpira utaitwa talanta stadium, kwanini sisi miradi yote ya nchi iwe na majina ya Rais
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 9 дней назад
Jamaa mmoja asipiwe jina kwenye huu mradi.
@MichaelBruno-zy8ff
@MichaelBruno-zy8ff 10 дней назад
Mwanach expres iko wap
@seneu.2128
@seneu.2128 10 дней назад
Hapana ipewe jina la mashujaa au mwananchi express kama ishara yakuunganisha watz nasio Samia express please tunaomba muache mzaha kwenye mambo ya msingi, Kila mradi upewe jina la Rais, kuanzia ikulu majengo ni Samia complex, uwanja wa mpira Arusha ni Samia Suluhu stadium, shule kubwa ya science wanawake Samia high school na Leo tena Samia express, kiukweli hakuna kiongozi aliyelazimisha kuacha alama kwenye miradi ya nchi kama mama yetu yaani sio poa kabisa, kina Sokoine, kawawa, Nyerere na mashujaa wengi wa nchi hii hawakutaka sifa hizi kabisa
@twaribujuma2860
@twaribujuma2860 9 дней назад
Tumia Magufuli Express
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 10 дней назад
kumbe kweli ... mmeamua
@damianmadex3677
@damianmadex3677 8 дней назад
E m u maana yake nini
@Assu89Ma2ly-xt4np
@Assu89Ma2ly-xt4np 10 дней назад
Mi nitafurahi nikiona zilizobaki zin akuja na rangi tofauti mchanganyiko wa rangi za bluu,kijani,na nyingine lakin katika michoro hiyo hiyo ya trc,muonekano mmoja ktk seti 10 inachosha akili vinginevyo nipongeze kwa kila aliehusika ktk kazi hii nzuri
@ShabaiSadick
@ShabaiSadick 10 дней назад
Zile za ujerumani vichwa viwiri viko wapi na vinafika lini ikiwa mabehewa yake yapo tu
@alphageorge5563
@alphageorge5563 9 дней назад
Kikwete Express vipi???
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 10 дней назад
Mnataka kufanya majaribio! Ok! Kwani nivyamtumba? Au kwa namna ipi? Haya nimajaribio ya ngapi?
@SATZ-news
@SATZ-news 9 дней назад
Hivi ya Ghorofa toka Germany yaliendaje?????
@khamissaleh921
@khamissaleh921 6 дней назад
Wekeni mfuniko wa pua ya treni sio kukaa wqzi ipendeze
@b.warron4631
@b.warron4631 10 дней назад
Naomba isiwe kikwete express😂😂
@bnyangoma
@bnyangoma 10 дней назад
Hilo tunalitegemea…😂
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 9 дней назад
Ukabila uwo mbna izo balaba kutoka dar mpaka mwanza musoma kajenga magu alivyo kuwa laisi
@lifeonearth94
@lifeonearth94 10 дней назад
Too bad Magufuli hakumbukwi, wakati bila yeye huu mradi usingejengwa
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 10 дней назад
Magufuli yupo EMU moja hapo inaitwa "Magufuli Express"
@lifeonearth94
@lifeonearth94 10 дней назад
@@aminasittusaid3830 Cool☺️
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 дней назад
​@@aminasittusaid3830hawa huwa wanakurupuka bila ya hata kusikiliza vizuri kinachozungumzwa.
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 10 дней назад
Kuma kweli wewe
@lifeonearth94
@lifeonearth94 9 дней назад
@@letthedeadburythedead2148 Kibaya nchi imejaa miwatu aina yko inayowrza matusi tu na si vingine Kweli taifa letu limejaa miwatu mijinga sana
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 9 дней назад
Jamani TRC msisahau #msoga express please 😂😂😂😂 kama itawezekana
@user-yk9kb8zh8q
@user-yk9kb8zh8q 10 дней назад
Kwani lazima muite majina ya viongozi? Sijawahi kuona wananchi walipa Kodi wakipewa heshima yao
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 10 дней назад
Hapo ndo ulidanganywa kwamba kodi yako ndo inaleta maendeleo
@user-yk9kb8zh8q
@user-yk9kb8zh8q 9 дней назад
@@letthedeadburythedead2148 Wewe huna ujualo kaa kwa kutulia endelea Kula ugali wa mjomba
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 8 дней назад
Na ipo siku atatokea mwenzio alie left group atasema iwekwe nembo ya kishoga so bora tuache tu kuna vtu viendelee maana havina ulazima
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 10 дней назад
Mzee kikwete yupo au😂
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 10 дней назад
Ile ya zamani inamfaa kikwete.
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 10 дней назад
​@@christopherjoseph8330😂😂😂😂😂
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 9 дней назад
😂😂😂😂😂 duh waiandike msoga express 😅😅
@feresianlugera-it8vh
@feresianlugera-it8vh 7 дней назад
Mbona hapo mbele ni bampa tu
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 9 дней назад
RIP JPM
Далее
НАМ ВРАЛИ О ПИРАТАХ
52:52
Просмотров 2 млн
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
Просмотров 449 тыс.
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
Просмотров 20 тыс.