Тёмный

MAKONDA AMBANANISHA OCD CHATO MBELE YA WANANCHI, AMTWANGA MASWALI "WATU WANAKAA NDANI MUDA GANI?' 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 151 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 10 месяцев назад
Na SABAYA arudishwe kazini,,,,Makonda na SABAYA,,,,wanawezaaaa
@salimmohammed4487
@salimmohammed4487 10 месяцев назад
Vyama vyote vinaweza kumwita OCD na kumuuliza kama Makonda maana yeye si kiongozi wa serikali bali ni wa Chama na vyama vyote ni sawa kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa na huyu OCD angelimjibu atawajibika kwa muajiri wake na sio vyama vya siasa kumpa maelekezo mbele ya hadhara hayo yanamuhusu Rais na Waziri mwenye dhamana
@fedrickchonya7579
@fedrickchonya7579 6 месяцев назад
Mheshimiwa makonda siku moja tembelea hata ilinga vijijin kuna mambo yamejificha huku
@MultiMbongo
@MultiMbongo 10 месяцев назад
Dah vituko vimeanza makonda hana mamlaka ya kumwita ocd hivyo,yeye ni kiongozi wa chama sio serikali
@idrisatv5540
@idrisatv5540 10 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣 tatizo unashindwa kuelewa kua vyombo vya ulinzi na usarama vipo chini ya chama tawala
@anraneamisse9243
@anraneamisse9243 10 месяцев назад
Hatar babu nchi akuna kitu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Iyo serikali ni chama gani?
@JustinMkwanda
@JustinMkwanda 8 месяцев назад
Huu usanii Watanzania atuchezea makonda na maigizo yake
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 10 месяцев назад
Huyu OCD ni mtu mzuri sana sijajua Kwa Watu wengine ukienda pale Chato huwa anasikiliza kero za Watu
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 10 месяцев назад
Mnao onea wanyonge hamtamuelewa makonda ila sie wanyonge ndio tunamuelewa Sasa mwacheni afanye kazi
@magigesabai8674
@magigesabai8674 10 месяцев назад
Alafu ujue unyonge sio sifa sio kitu cha kufurahia Unyonge sio uzalendo
@ابنابيعبدالله
@ابنابيعبدالله 10 месяцев назад
suali linakuja jee makatibu wenezi wa vyama vyengine wananguvu ya kumfanya OCD awe mnyenyekevu kiasi hichi mpoooole
@frankthadeo1679
@frankthadeo1679 10 месяцев назад
Mbona jibu unalo huyu ni mwenezi wa Chama kinacho ongoza dora hivo lazima awe na nguvu kutokana na mwenyekiti wake ni mh Rais hapa ndiyo nguvu anapoipata
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Umesema vyama vingine na sio CCM
@deodadeo2016
@deodadeo2016 7 месяцев назад
Makonda, Sabaya, Ali Hapi
@JutoMateka
@JutoMateka 6 месяцев назад
Wew unatufaa kuwa rais wetu
@HosseniMohamedi-gc5vj
@HosseniMohamedi-gc5vj 10 месяцев назад
Darodi yutubu
@adecom-jt4dh
@adecom-jt4dh 9 месяцев назад
Samahani naombeni nisaidiwe namba ya Paulo makonda,maana Nina ndugu yangu alikamatwa na usalama wa taifa na hadi sasa cjui Yuko wapi na wala sifaham aliperekwa wapi na tangu akamatwe imepita miezi minene sasa, jaman naomben msaada wenu watanzania wenzangu
@justinbosco8151
@justinbosco8151 10 месяцев назад
Hiyo tabia ipo sehemu nyingi ipo kama kingoma katimbu wetu mwenezi makoda tunakuomba uje kingoma madudu nimengi
@estakapufi7582
@estakapufi7582 10 месяцев назад
Sasa tatizo polisi wanakataaga kutoa zamana kwajili wanatakaga lushwa, kishelia masaa 24 huwa hawafati ivo
@kassidpandu866
@kassidpandu866 8 месяцев назад
Makonda nakukubali ki Tambo sana wewe ni mchapakazi japo una maadui lakini watashibdwa wao
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 10 месяцев назад
Yaani makonda umetukumbusha jinsi Magufuli alivyokuwa anafanya kazi
@othumanomari1589
@othumanomari1589 10 месяцев назад
Naurizaje siasa nasheria kipi bola
@wisemanking001
@wisemanking001 9 месяцев назад
Siasa ni hoja na sheria ni mlinzi wa hizo hoja😂
@jerome3143
@jerome3143 10 месяцев назад
Akuna polisi mzuri dubiani wota tabia zao zinafanana
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 10 месяцев назад
Kitaeleweka tu jpm
@CharlesTarimo-db6li
@CharlesTarimo-db6li 7 месяцев назад
Kaka unaupiga mwingi sana Mungu akulinde siku zote akuepushe na mabaya yote
@gideonstanley2155
@gideonstanley2155 10 месяцев назад
Ocd amepita ile funika kombe mwanaharam apite
@AlfaninakayaBukuru
@AlfaninakayaBukuru 7 месяцев назад
Magufuli wapili huyo amezaliwa mungu asifiwe
@JumaShimende
@JumaShimende 10 месяцев назад
Yaan mama Samia kamuweka mtu sahihii hajakosea mungu akulinde makonda na Allah amlinde raisi wetu mama Samia insha Allah.mama tuongezee viongozi kama makonda watakusaidia na nchi itazidi kusonga mbele.
@jamesmpako8408
@jamesmpako8408 10 месяцев назад
OCD nimekuchukia.... Huyo siyo mkuu wako,ebu fateni maadili ya kijeshi yanataka nini ,,ebu Acha kupelekwa na mwanasiasa kizembe hivyo. Huyo mtuhumiwa kama anahaki ya kupata dhamana apewe nakama hajakidhi vigezo peleka mahakaman,,,, Tunahitaj kila mmoja afate sheria,,,sio kutafuta huruma baada yakufanya kosa........ I stands to be a solder always.....
@abasikinjeki3075
@abasikinjeki3075 10 месяцев назад
unajuwa unachokiongea lakin??
@abasikinjeki3075
@abasikinjeki3075 10 месяцев назад
huyo ni mteule wa rais unalifahamu hilo???
@ibrahss1174
@ibrahss1174 10 месяцев назад
@@abasikinjeki3075kama ni mteule wa rais mbona hapigiwi salute?
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 10 месяцев назад
Acha kuropaka ropoka kinafiki
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 10 месяцев назад
Kwa hiyo kama Polisi hawafati maadili watu wote wakae kimya, huo ni unafiki wa hali ya juu anagalau Makonda japo anathubutu kukemea
@ezraochora8495
@ezraochora8495 10 месяцев назад
Powa.makonda.wadhalilishe.hayo.unayomfundisha.ocd.alifundishwa.chuoni.wewe.hapo.unafanya.sanaatu.mudauende.uongoke
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Bado hamjasema
@Kidabitangassa
@Kidabitangassa 10 месяцев назад
Namuona JPM MWINGNE ILA MSIMLOGE
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 10 месяцев назад
Siasa uongo mtupu
@zephamandia3958
@zephamandia3958 10 месяцев назад
Askari wa kituo cha Katoro,bwanga,ni wauwaji baadhi ya askari wanachimba madini.
@ramadhanipadon3577
@ramadhanipadon3577 10 месяцев назад
Daaah makonda mtu sana mungu akuweke sana muheshimiwa makonda😢.
@jamesmpako8408
@jamesmpako8408 10 месяцев назад
Hujui kitu thus why unaongea hivyo ,,,
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 10 месяцев назад
@@jamesmpako8408wewe ni mbadhirifu kama hao wabadhirifu wengine ndio maana hamumpendi Makonda
@josephlorri431
@josephlorri431 10 месяцев назад
Tusihusishe jeshi/polisi kwenye siasa..hii siyo sawa
@zomasamweli
@zomasamweli 10 месяцев назад
Kama sio sawa bac wakuhusihe ww
@IbrahimHassan-db3qz
@IbrahimHassan-db3qz 10 месяцев назад
​@@zomasamweli Acha using ujinga ww jesh libaki kuwa jeshi t2 na siasa ibaki kuwa siasa t2
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 месяцев назад
Ni lazima viende "simultaneously " Majeshi ni watumishi wa Serikali upande mmoja na ni wananchi upande wa pili. Kila mtumishi wa Serikali kwa sasa Kiongozi wake ni CCM kwa vile ndio iliyounda Serikali. Na ndio maana ni sawa kuilaumu CCM kama kuna chochote kwa watumishi wa Serikali hakiendi sawa pia kuipongeza CCM hali ikiwa nzuri.
@RosemaryRichard-k5j
@RosemaryRichard-k5j 10 месяцев назад
Naomba namba ya makonda please ninatatizo nahitaji msaada wake
@captainshayo140
@captainshayo140 10 месяцев назад
Mkuu apo umeongea kitu kuusu pikipiki tunqonewa sana mkuu
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 10 месяцев назад
Wazee kwan makonda sianacheo kwenye chaka hyo order kwa askari anawezaje kutoa na askari anapokea order kutoka kwa watu wanaofahamika mm skuyaona haya alipokua pole pole bal nliona kw makonda alipokua RC akaw anafanya kazi zisizo kuhusu ndo sas hv tena
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Kuna shida mtu kusaidiq wanaoonewa?twambie anaepaswa kufanya ivo yupo wapi?
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Watu tunaonewa sana.. watu kama makonda ndo tunawahtaji❤
@cvicentryoba9988
@cvicentryoba9988 10 месяцев назад
Hawa police hawa mhh sinaiman nao miaka buku
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Uhai wa ccm umerudi Mwamba huyu hapa ❤
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 10 месяцев назад
Siasa
@KassimYasin
@KassimYasin 10 месяцев назад
daaah makondo unatufanya tukupende watanzania wote kaka heshima kwako broo
@alinanusweosward-ov2nq
@alinanusweosward-ov2nq 10 месяцев назад
Endelelea kuishi kijasri wanafiki hawawezi kukuelewa
@abdallahally842
@abdallahally842 10 месяцев назад
Wabunge wamefeli kazi yao yakutetea wananchi imewashinda anafanya mwenezi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 10 месяцев назад
Kiki hiyo joice wowowo
@SideMohd
@SideMohd 10 месяцев назад
Makonda bhn huna ishu hata hao askar hakuna anaekupijia saluti
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 10 месяцев назад
Lais wa badae huyooooo
@yondutv3253
@yondutv3253 10 месяцев назад
Makonda hii nani kampa haya mamlaka
@Filmz639
@Filmz639 10 месяцев назад
Mungu
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 10 месяцев назад
Mungu kupitia rais wetu Samia suluhu Hassan
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 10 месяцев назад
​​@@jacksonkabaata6011😂😂😂😂😂 nayeye nani kampa mamlaka ya kujua mamlaka ya makonda 😅😅😅😅
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 10 месяцев назад
@@simonmalegesi414 😂😂😂 good!
@aaa64sa13
@aaa64sa13 10 месяцев назад
😂😂😂😂❤🇹🇿
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 10 месяцев назад
Nenda na mbeya Kuna changamoto nyingi
@Zainab_salat
@Zainab_salat 10 месяцев назад
Sikiliza wananchi kwanza ninampenda rc happi
@DoganJagard-dn2sk
@DoganJagard-dn2sk 10 месяцев назад
Wewe polis unahakili mjinga hyu ni mkuu wa wap?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 месяцев назад
Polisi ni mtumishi wa Serikali na Serikali kwa sasa ni ya CCM. Hivyo KILA mtumishi wa Serikali Boss wake ni Kiongozi wa CCM.
@abasikinjeki3075
@abasikinjeki3075 10 месяцев назад
tena huyo ni mteule wa rais kama hana habari
@Zainab_salat
@Zainab_salat 10 месяцев назад
Magufuli aliteua na kamtoa Udalakani sasa ateuliwa na rais samia
@JohnMwakitalu
@JohnMwakitalu 10 месяцев назад
Sabaya arudishwe kazin
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 10 месяцев назад
Watanzania tunapenda mihemko sana. Na wanasiasa wameshatujulia 😅
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 10 месяцев назад
Kwa sababu dhuluma imekithiri
@msafiriomary893
@msafiriomary893 9 месяцев назад
Hujui kujiereza
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 10 месяцев назад
Huyu ocdi hafai
@pascalyalema6925
@pascalyalema6925 10 месяцев назад
Makonda wa moto,
@kiparamzuguno3539
@kiparamzuguno3539 10 месяцев назад
Viatu vya magufuli
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 10 месяцев назад
Yess Mapot sometimes wanazingua Sana aisee
@RONALDOTRUCKDRIVER
@RONALDOTRUCKDRIVER 10 месяцев назад
Magufuli mtupu
@Ilanviva
@Ilanviva 10 месяцев назад
Nakubar mkuu mungu akusimamie
@japhetnzunda99
@japhetnzunda99 10 месяцев назад
Uje njombe muheshimiwa
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 10 месяцев назад
Anamuliza askari kwann hawajapewa zamana kwan yy ni waziri, rais au kamishna mbn naona vimbwanga
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 10 месяцев назад
Hawexi kufanya jambo Bila maelekezo kutoka kwa mm
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 10 месяцев назад
Bado hamjasema
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 10 месяцев назад
Makonda ww ni nomaaaaa sanaaaa
@agstinolwila88
@agstinolwila88 10 месяцев назад
Mungu akulinde makonda
@geeasap825
@geeasap825 10 месяцев назад
Bureaucratic system bana😂😂😂
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 10 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉❤❤
@KIPARABRAND
@KIPARABRAND 10 месяцев назад
😅😅😅
@RosemaryRichard-k5j
@RosemaryRichard-k5j 10 месяцев назад
Naomba namba ya makonda please ninatatizo nahitaji msaada wake
@adecom-jt4dh
@adecom-jt4dh 9 месяцев назад
Ata me naomba namba ake maana ninamatatzo makubwa sana ambayo makonda anaweza kuwa msaada wangu mkubwa sana
@JosephKangungu
@JosephKangungu 10 месяцев назад
Muongo huyu police
@Zainab_salat
@Zainab_salat 10 месяцев назад
Kweli
Далее
Редакция. News: 136-я неделя
45:09
Просмотров 1,5 млн
Редакция. News: 136-я неделя
45:09
Просмотров 1,5 млн