Тёмный

MKE AMSHTAKI MUMEWE KIGOGO WA TANESCO ADAI KUMFUMANIA, MAKONDA AWAUNGANISHA "MSHIKE MKEO MKUMBATIE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 177   
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 Месяц назад
Dada usilie Kwa manyanyaso ya kuzaa.mungu atakupa mume sahihi wa kukupa furaha na watoto inshaallah
@frankvianey2438
@frankvianey2438 5 месяцев назад
Aisee Kaka Makonda hongera sana,leo nimeiona busara yako
@marianamumwi2798
@marianamumwi2798 5 месяцев назад
Mdogo wangu Emmakulata nimetoka machozi mdogo wangu uwiii!! Pole sana Mwenyezi Mungu akupefaraja ya kweli
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 месяцев назад
Makonda unakaz kubwa sana kaka
@MageKabuta-nu6jf
@MageKabuta-nu6jf 5 месяцев назад
Makonda bro wangu,nahisi ugombanie urahisi tu bro wangu mungu akusaidie nimekufuatilia sana unafaa bro wangu
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Месяц назад
Amen makonda ufike mbali na unabii unatoa duuuuu kwa kweli busara nyungi
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 5 месяцев назад
Huyo kazi atafukuzwa kwa mama yetu hapendi unyanyàsaji wa kijinsia
@johnmwanyika
@johnmwanyika 5 месяцев назад
Unafiriki Mtumishi anafukuzwa kazi kwa matamko?.
@user-gh7ee2wy6v
@user-gh7ee2wy6v 5 месяцев назад
duuu pole sana mama, kuolewa n Sheria na kuzaa n majariwa ndg, Kaen chin na myamalize t hl n jarib Len mmepewa
@priscakwannhamfungimipakam9231
@priscakwannhamfungimipakam9231 5 месяцев назад
Leo umenibariki sana makonda mungu azidi kukuinua
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 месяцев назад
Mashaurini mwanamke m wenzenu amuruhusu aoe ili pawe na a man I shida wanawake was Leo akishaolewa mmmmm. M..
@VumiDavid-lo1cl
@VumiDavid-lo1cl 5 месяцев назад
Mueshimiwa makonda nakuomba unisaidie mtaji baba yangu mimi ni mjasili amali watoto wananitegemea mwenyewe kuwalea naomba msaada mweshimiwa mungu akubariki
@J4UPro
@J4UPro 5 месяцев назад
Makonda upo vizuri sana
@comraderashid_nuru_m5260
@comraderashid_nuru_m5260 5 месяцев назад
Mwenezi kapatia lakni mke kazingua sana!!!
@emes602
@emes602 5 месяцев назад
Amen nmefurah Mungu atampa furaha na mpacha
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 5 месяцев назад
Huyu anamwanamke,undoke dada Mungu nimwema sana atakupigania,,
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 5 месяцев назад
😢😢😢😮😢😢😢😢 wanaume😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 tunaumiza sana wake zetu😢😢😢😢
@albertjames6845
@albertjames6845 5 месяцев назад
Acha upumbavu wewe, kuwa uyaone
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 5 месяцев назад
Acha kuwahukumu wanaume wote...we mzungumzie wako kenge wewe .nyi wanawake tunaishi na nyinyi kwa akili
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 5 месяцев назад
Omba yasikukute!
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 месяцев назад
Anaweza kua mdangaji
@joramjaylu9085
@joramjaylu9085 5 месяцев назад
Bwire anajibu vizuri Sana. Kama ningekuwa wa kumfukuza kwa nini nikae naye miaka 15
@sofiaantonioantonio7265
@sofiaantonioantonio7265 5 месяцев назад
Mwanaume mjeuli
@user-wv1pu4jo3k
@user-wv1pu4jo3k Месяц назад
Makonda mungu akulinde mueshimiwa
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 5 месяцев назад
Mungu akubaliki makonda
@maswamills3161
@maswamills3161 5 месяцев назад
HAPA KAZI TU 👏👏👏👏👏👏💯
@user-ch2xi5zm8y
@user-ch2xi5zm8y 5 месяцев назад
Utazaa saaa ngapi wakati mda wote yupo busy na kukata Umeme badala ya kukata kiuno shenzi moja weweeeee
@Usertatu11683
@Usertatu11683 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂🔥🔥
@pulikisia7963
@pulikisia7963 5 месяцев назад
Kwahiyo ndani ya miaka 15 yote ye nikukata umeme badala ya kiuno Duh!! 😂
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 daaaa Atari sana
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e 5 месяцев назад
Umetisha sana
@user-ch2xi5zm8y
@user-ch2xi5zm8y 5 месяцев назад
@@user-zt4rd5pr1e nouma na nusu
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l 3 месяца назад
makonda mungu akubariki piya kila uwendapo malaika wakutanguliye unateteya wanyonge
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 5 месяцев назад
Pole mama,,cio kupenda kwako mama Kwa kutopata watoto
@TasianaKuta
@TasianaKuta 3 месяца назад
Da kweli unafanya Kazi tembea Mungu akulinde
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 месяцев назад
Pole Saaana Kiongozi
@Zainab_salat
@Zainab_salat 5 месяцев назад
Huyu mwanaume akapime kama uzazi anayo
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 5 месяцев назад
Mzee mzima unamwacha mke kisa hajazaa .mbona mama ni kijana kuliko wewe.mbona umechelewa sasa ukaoe mwanamke akukomeshe.
@robertbudodi
@robertbudodi 4 месяца назад
Usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene bro usiombee yakakukuta kama huyu jamaa huenda nae kwa vile ni mambo ya ndani ni vigumu kwa yeye kama mwanaume kufunguka imagine wameishi pamoja zaidi ya miaka kumi yupo nae wewe hata miaka mitatu utawe za?na huyo mama wapambe ni wengi wanaompotosha
@shukranitv2971
@shukranitv2971 5 месяцев назад
Nimekubali mwenezi
@Mutako-ig1ik
@Mutako-ig1ik Месяц назад
Wakina Kissanga wote wapuuzi hawo siyo wanaume hawasitahili kabsa ni vissanga kama majina yayo
@charlesmazigo8106
@charlesmazigo8106 5 месяцев назад
Si aende kwa mwamposa,du makonda ana kazi jamani😊
@RehemaJonas-yj7ed
@RehemaJonas-yj7ed 2 месяца назад
Kiukweli unamkuta mwanaume Jana chechot mnaenyeka kitafut mwisho wasiku analeta nyodo kiukweli wanakera Sana,,, namimiiiiiiiiii😢😢😢😢 Hadi nachoka
@YoshuaSeverino
@YoshuaSeverino 5 месяцев назад
Safi sana, mwanamume, kuwa na msimamo ni kitu muhimu sana, mambo ya ndoa ni magumu, inawezekana mama haieleweki ndani ya nyumba.
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 5 месяцев назад
Babu wameka miaka 15 leo aonekane anazingua tena kbda hadaway meneja leo anacheo na mapesa kibao mkiwa wote tatizo kuzaa hiyo sio hoja kuzaa majariwa Panapo maendeleo yupo mwanamke sasa subili watakapo mpiga chini na huyo mwanamke aliempata ni sababu ya pesa tu
@user-jx4rx6jy6y
@user-jx4rx6jy6y 5 месяцев назад
Ukute yeye mwanaume ndio hazai wengi tu tumewashuhudia wakinyanyasa wakezao mwisho wasiku wanaachana mke anaolewa anazaa limwanaume lipo tu halinauzaz mungu msaidie huyo mama apate mapacha inauma sana
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 5 месяцев назад
Hili libaba lizee kabisa lina roho mbaya kweri mungu analiona hakika
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 месяцев назад
Inawezekana hats huyu baba hana roho mbayaila mke maaana kama wamekas miaka 15 bil a uzazi angemuruhusu aoe ili ijulikane nani hana uzazi
@RehemaJonas-yj7ed
@RehemaJonas-yj7ed 2 месяца назад
Makonda umekuwa shamba labibi ubarikiwe Sana mzee baba😅😅
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 5 месяцев назад
Poke dada mungu atakusaidia
@Zubaiba
@Zubaiba 5 месяцев назад
Hili libaba ndo halina mbegu,halina adabu,hata lioe mwingine hatozaa,maana lenyew ndo tasa
@EsterMkini-es7zh
@EsterMkini-es7zh 5 месяцев назад
Hapo ndo atazidi kukuchukia hahahah
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 месяцев назад
Huyo baba aoe mwanamke mwingine na huyo mama amkubalie aoe mwanamke mwingine hiyo ndiyo shida ya wanawake amuruhusu aoe
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 5 месяцев назад
😂😂😂 Wanaume nyie baadhi yenu mwisho wenu utakuwa mbaya sana
@TimelessTales-mj5o
@TimelessTales-mj5o 5 месяцев назад
Huyo mwanaume hafai kuwa meneja kama hajali mke wake
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 5 месяцев назад
Mambo ya ndoa nimagum Kaka na moyo ukishachoka umechoka tu
@user-tk2we7cp5w
@user-tk2we7cp5w 5 месяцев назад
Msilazimishe mambo ambaoyo hayawezekani.
@jeniphafignas381
@jeniphafignas381 5 месяцев назад
Apewe haki zake
@clickerMedia01
@clickerMedia01 5 месяцев назад
Mpka wanaume Naongea kwa kujiamn hv kuna kitu ndan Yao sio mtto
@neemanziku5403
@neemanziku5403 5 месяцев назад
Safi sana baba yetu Makonda Mungu akutunze baba
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 5 месяцев назад
Magufuri ni kiboko kaibukia tena Kwa makonda na kibunda kipo
@dengeman4814
@dengeman4814 5 месяцев назад
Makonda Kaz unayo
@rehemafesto5168
@rehemafesto5168 Месяц назад
Wanakata umeme na wanata familiaa😂😂 inachekesha ila inauma piaa😭😭
@user-iy4ks5sf5m
@user-iy4ks5sf5m 5 месяцев назад
Jamaa anakata kila kitu
@Happizo
@Happizo Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 5 месяцев назад
Wallah nasikia mpaka kulia
@exsonmwakalobo8865
@exsonmwakalobo8865 5 месяцев назад
Hilo lijamaa linatisha sura hadi roho bonge la niga
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 5 месяцев назад
Nchi hii watu wana mateso kweli 😢makonda una kazi baba
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 5 месяцев назад
Kwani kuzaa ni yeye hakutaka au ndio Mapenzi ya Mungu.
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 5 месяцев назад
Mhuuuuuuuu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Месяц назад
Wanaume mbuzi wenye mkia mmoja mbele.
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 5 месяцев назад
Suala kama hili ni bora kuachiwa watu wenye elimu ya dini. Na sheria ya dini y kiisilamu ndio wana solution rahisi tu.
@sadakombo-li7yi
@sadakombo-li7yi 5 месяцев назад
Makonda nakuomba uweze kufika na pemba tunachangamoto sana tunahitaji msaada wako
@GraceMhoja-zc7yg
@GraceMhoja-zc7yg 5 месяцев назад
Hakuna tanesco alietulia uwa malaya sana hawa watu hata me limenikuta japo nilizaa
@MariaCassian-ys7pt
@MariaCassian-ys7pt 3 месяца назад
Mwanamke huyu atakuwa anasingizia tu kuto kuzaa lakini siyo kweli kutokuzaa siyo shida ya kuachwa
@user-pe8wh5bw2h
@user-pe8wh5bw2h Месяц назад
Asant babaa
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 месяцев назад
MAKONDA LEO NIMEKUPENDA KWA MAAMUZI HAYO KTK NDOA.
@user-ct4tk3fq5v
@user-ct4tk3fq5v 5 месяцев назад
Makonda ukoa hiyo ndoa
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Месяц назад
Atume namba yake ya M-pesa tumtumie wanacji wenye kuwa na nafasi hiyo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
mama namuona anavodeka
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 5 месяцев назад
Hio ni unyuma 😂😁
@Zubaiba
@Zubaiba 5 месяцев назад
Huyu mwanaume ndo Hana mbegu
@abdallahkassim318
@abdallahkassim318 5 месяцев назад
Huyu jamaa bwege sana et mahakama imeamuru shenziii
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 5 месяцев назад
Mama/ Baba usilazimishe kukaa na mtu asiyekupenda. Ombeni TALAKA tu mgawane hizo Mali Kila mtu akakae kwa Amani.
@user-sb2tz7sk6t
@user-sb2tz7sk6t 5 месяцев назад
Mama kwakuwa umeshapat mtaji achana na mwanaume huyo muache aende anakotaka kitakachomkuta atakuja kusimulia
@tumainipeter458
@tumainipeter458 Месяц назад
Dahh jamani
@Alphonsinaamoni
@Alphonsinaamoni 5 месяцев назад
Huuwo niubabaishaji tu sukari bei juu mchele umeme wahovyo alafu mwatuchanganya
@user-lo5sr2xw3k
@user-lo5sr2xw3k 2 месяца назад
Kama namuona magu amerudi kutu pigania
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 5 месяцев назад
Tusihukumu hili kwa kutazama jinsia ai kwa kuangalia uzoefu au mazoea, huwezi kujua yupi tatizo kati yao... Siku hizi pande zote zina ukatili.
@maroahkissiry4863
@maroahkissiry4863 5 месяцев назад
Huyu jamaa hana kazi tena
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 5 месяцев назад
MAKONDA WEWE NI BNI ADAMU .MUNGU KAKUTERE. MSHA TANZANIYA UTETEYE WA TANZANIYA KU PITIYA KWA MAMA SANIYA.FANYA KAZI KWA BIDI MUNGU ATAKULINDA BURUNDI TUNAKUFTILIYA SANA MIMI MWENYEWE NAKUPENDA SANA.NATAMANI UNGELIKUWA MRUNDI
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 месяцев назад
Makonda kazi unayo
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 5 месяцев назад
KAPAMBANE NA HALI YAKO MUNGU MUWEZA WA YOTE ATAKUONEKANIA. HACHANA NA KUTEGEMEA FRANI
@abdulrisassy2488
@abdulrisassy2488 5 месяцев назад
Wazee wa tanesco vitombi sana🤣🤣🤣
@mariamjames854
@mariamjames854 5 месяцев назад
haaaaa
@joejackson9282
@joejackson9282 5 месяцев назад
Tulia wewe😂
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 месяцев назад
Nikweri kabisa vitombi kwerikweri
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 месяцев назад
Nikweri kabisa vitombi kwerikweri
@user-cx1vn2mw8r
@user-cx1vn2mw8r 5 месяцев назад
Hahahaha kweli lijitulenyewe kama gogo lamkaa anasura mbaya malipo ni hapa hapa duniani
@issajuma9043
@issajuma9043 5 месяцев назад
Comedy from Comedian
@gabrielmushi2813
@gabrielmushi2813 5 месяцев назад
Daaaaaaah Kubabeki Ningekuwa Hapo ... Ningemuoa Kabisa ...
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 5 месяцев назад
Umeonaee
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 месяцев назад
Hata mimi
@DicksonIgnas-pq1rj
@DicksonIgnas-pq1rj 5 месяцев назад
Mnapenda mteremko
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 5 месяцев назад
Mke pic kali nimemtamani aisee 😋
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 5 месяцев назад
Mzee funguka achakuyumba kama kunatatz kama nimtoto muombe radhi..
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 5 месяцев назад
Kwa kumtanguliza MUNGU nawe MUNGU akubariki.
@user-px5en7if3r
@user-px5en7if3r 5 месяцев назад
Makonda tunakuomba uwe rais winch hii Tunakupenda wewe kama makururi Asate
@user-tk2we7cp5w
@user-tk2we7cp5w 5 месяцев назад
Apo makonda umebugi! Ndoa hailazimeishwi
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 5 месяцев назад
True!
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 5 месяцев назад
Jamaa wa tanesko hajajanusha shida imeanzia kwenye uzazi jamaa tayari anachombo kingine na sio sawa anamuacha bila Mali mama na jamaa ni WA mara hiyo msoma
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 2 месяца назад
Naona uko nyuma hujajua KILICHOFANYIKA.mama amepewa mtaji akaanze maisha mpya siyo kurudi kwamanaume ALiemfukuza, amelazimisha wapi? Japo MWANAMKE ALIPENDA AAMBIWE ARUDI. Kwa bwanake.
@LilianMnyanyi-jd8ut
@LilianMnyanyi-jd8ut 5 месяцев назад
Huyu jamaa amekazaa
@clickerMedia01
@clickerMedia01 5 месяцев назад
Yeah coz mambo ya fmlia yana sili nying mwanaume kaka anae Zaid ya miak 15 aje amfkze leo kxa hn mtto wanajua ylioko ndan
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 5 месяцев назад
😢😢😢😢
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 месяцев назад
Huyu mwanaume yeye ana mbegu?
@samoredelavida3782
@samoredelavida3782 5 месяцев назад
jambo lipo mahakamani halipaswi kuzungumzwa full stop..
@clickerMedia01
@clickerMedia01 5 месяцев назад
Uhakik
@toptopress4909
@toptopress4909 5 месяцев назад
Wananchi tuna mengi jaman
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 5 месяцев назад
Saingine lenyewe libaba halina mbengu ina linadindisha , pumbafuu zako
@TumainiMosha-cr2jo
@TumainiMosha-cr2jo 5 месяцев назад
Kaka huyu mwanaume ahame nyumba amwache mwanamke
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
Wanaume tuwe Waislam ili tupate fursa kuoa mke zaidi ya mmoja. Ni ukatili sana anaofanya huyu mwanamme ingawa mwanamme nae anayo ya kwake hawezi kusema hadharani.
@johnmwanyika
@johnmwanyika 5 месяцев назад
Hahahahahahah, Kaka umefikiria Sana mbali
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
@@johnmwanyika Kwa sababu kiukweli hakuna mwanamme anaetosheka na mwanamke mmoja ni kuvumilia tu lakini wengi wanashindwa.
@marianamumwi2798
@marianamumwi2798 5 месяцев назад
Ulaanuwe wewe mwanaume haufai wewe ni jiwe Baki salama haya nimaisha tu
@misembe
@misembe 5 месяцев назад
Ila makonda uyo baba anaonekana ni mshenzi na hana adabu na nikatili sana kwa macho TU unamuona fukuza kazi huyo baba hafai
@wilsonmatembo8338
@wilsonmatembo8338 5 месяцев назад
Afikuzwe kazi kisa ndoa yake halipo hilo ndoa haihusiani na kazi yake
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 5 месяцев назад
Makonda kazi yako nizaidi ya kazi hii ndio ukisikia kazini kwangu kunakazi 😂😂😂😂
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 5 месяцев назад
Huyo mume anao uzazii?
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 месяцев назад
Huyu mwanamke anaweza kua mdangaji ndiomanaa kaamua kumuacha
@exsonmwakalobo8865
@exsonmwakalobo8865 5 месяцев назад
Mbwa huyo jeuri yake ni kazi inatakiwa liachishwe kazi
@SaboreMolloimet-gb5ce
@SaboreMolloimet-gb5ce 5 месяцев назад
Huu ni upuuuuzi kama hakutaki si aondoke
@user-ut3gf1tg2n
@user-ut3gf1tg2n 5 месяцев назад
Huyu jamaa anae moyo kama jiwe.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 месяцев назад
INA MAANA WEWE UNAUHAKIKA KAMA UNAZAA? KAMA UNAMPANGO WA KUOA MWINGINE SI BORA UOE ANAYE ZAA AU UZAE POPOTE? NA KWA NINI AFUKUZWE NYUMBANI KWAKE ATI AKAKAE KWAO HIYO NI DHURUMA SANA, MENEJA KAKOSA SIFA ATENGULIWE TU. AWE MITAANI AKIPAMBANA NA HALI YAKE.
@loycenicolao7488
@loycenicolao7488 5 месяцев назад
Malipo ya huyo mwanaume yapo tu Duniani hapa hapa.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 5 месяцев назад
Wanakata umeme wanakata na familia
@alexvenas2699
@alexvenas2699 5 месяцев назад
Huyo jamaa muondoeni kazini akaoe vizri
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 5 месяцев назад
Kz inahusiana nini na mambo ya ndoa
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 5 месяцев назад
Inahusika ndio watu wanauana kweri
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 5 месяцев назад
Meneja wa kakonko ni mjeuri sana
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm 5 месяцев назад
Aliwahi kusoma Arusha Technical college? Kama namfahamu vile.
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 5 месяцев назад
@@WansolaLuther-tq8qm ndo huyo huyo
Далее
МАРИЯ ГОЛУБКИНА О БАБУШКЕ #shorts
00:43