Тёмный

MPINA HAJITAMBUI, ACHUNGUZWE AFYA ya AKILI,. MSUKUMA AMKAANGA VIBAYA SANA LIHAGA MPINA, MOTO UNAWAKA 

HABARIMPYA TV
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 1,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 27 дней назад
Msukuma safi sana yaaan hupindishi maneno😢 ya ilew samaki kweli mpka leo inanikera sana
@broka_genius3615
@broka_genius3615 27 дней назад
Amna ki2
@CharlesSomeke-ml7ju
@CharlesSomeke-ml7ju 27 дней назад
Nilikua nakupenda msukuma ila kuanzia leo nimejivua kwako
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 27 дней назад
Kumbe ata ww umo dah kweli ccm bwana wanalindana
@dignakanje4508
@dignakanje4508 27 дней назад
Duuuuh kula nibora kuliko njaaa
@ElibarikiEliud
@ElibarikiEliud 23 дня назад
Msukuma kuna wakati unawazungumzia wanainchi kwa swala hili la mpina umeonyesha udhaifu mkubwa.. umekuwa ndumila kuwili mnoo. Umejisahau mnooo. Jana mmejivua nguo wenyewe nchi yetu ndio yenye bei kubwa afrika mashariki sababu ni vizara kutowajali wanainchi. viongozi kuangalia matumbo yao. Raisi alione hili
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 27 дней назад
kwenye hili umefeli msukuma
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 27 дней назад
Msukuma keshakula mrungula
@josephbundala8238
@josephbundala8238 25 дней назад
Msukuma unaongoza wafu huko jimboni kwako
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 27 дней назад
Kwani bashe ni nani si ni wizi kama wizi wengine
@josephbundala8238
@josephbundala8238 25 дней назад
Msukuma shule hana anajua majungu tu
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 27 дней назад
Sasa hapo bunge limeokoa Tanzanite kiasi gani??!! Je, SIDO imeongezewa uwezo kiasi gani kusaidia wazawa kuanzisha viwanda vidogo na vya kati??!! Jifunzeni kwa Rais Ibrahim Traole mwamba wa Ouagadougou Burkina Faso.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 21 день назад
Msukuma anaongea utopolo kabisa,, hakuna bunge,ni ngenge la mafisadi machawa tu
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 27 дней назад
😭😢
@reymekay1
@reymekay1 27 дней назад
Msukuma kichwa mbofu sanaaa
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 27 дней назад
Kkk achanana na taharifa wewe ni mtuhumiwa😂😂😂😂
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 27 дней назад
Kasheku tafutajina lako wewe nimlundi ulikujakuchunga ng'ombe unataka kutuzoea nenda zako
Далее
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14
🔴LIVE: HUKUMU YA MPINA INASOMWA BUNGENI MUDA HUU
1:45:26
Tom🍓Jerry 😂 #shorts #achayanarmyfamily
00:14