Тёмный

Nani Anayesema Ukweli Juu Ya Kifo Cha Moringe Sokoine? Hii Hapa Historia Yake Mwanzo Mwisho (Part1) 

Charles Kombe
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 161 тыс.
50% 1

#HomeOfUntoldStories #borndifferent #youtubeshorts #moringesokoine
Mfahamu Edward Moringe Sokoine kiongozi machachari na aliyeogopwa na wahujumu uchumi na wala ruswa katika serikali ya Mwalimu Nyerere.
Whether you’re into recent discoveries, true stories or unusual trendsthere’s something for everyone!
You can expect all that and more coming at you in top-quality videos that are coming in every single day. If you’ve got a thirst for knowledge that never quits, then join a community of 89 thousand and growing! We have a good time, so take your shoes off, kick back, and make yourself at home here on the home of untold stories!
Join the world's largest community of good and curious people! 😉
For brand, partnership enquires: charleskombetz@gmail.com

Опубликовано:

 

6 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@charleskombe
@charleskombe Год назад
Ahsante sana kwa kufuatilia channel hii. Tafadhali, usiache kusubscribe, kulike pamoja na kushare video hii🙏🏽
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 Год назад
Hakuna kiongozi kama marehemu Edward Sokoine,kidogo aliyekuwa anamfuatia ni marehemu rais John Pombe Magufuli. Kando ya Mwlm Nyerere na Magufuli hakuna kiongozi mwingine aliyefuata nyayo zake.
@charleskombe
@charleskombe Год назад
🙏🏿🙏🏿
@hemmysaleh3521
@hemmysaleh3521 Год назад
Hakuna kama Rais Ali Hassan MWINYI aliewafungua watanxania katika Dunia mpya kwani watanzania WA awali walizimwa Na Dunia nyengine kama Korea Kas kazini, watu WALIKuwa kubwa Na ufukara mkubwa ila Rais Ali Hassan MWINYI ndie alie fungua minyororo ya UKOMINISTI wakishoshalisti tuliokuwa natikadi yauwafanya watu maskini Sana Na wakawa wajinga kiasi kikubwa hata TV zikikatazwa... Leo hii Tanzania inajulikna Dunia kwa Uongozi WA Rais Ali Hassan MWINYI, kwa kuleta Utajiri kwa waafrika waliokuwahawawezi hata kumiliki BAISKELI YA PHOENIX
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Год назад
Nyerere alikuwa analimit vipato vya watu, ko makufuli naona angepewa zaidi, Sokoine alionekana msimamo wke lkn walimwahisha kabla hatujaona ujenzi wake kwa taifa lake !
@mzirayhashim1062
@mzirayhashim1062 Год назад
Uko sahihi
@mzirayhashim1062
@mzirayhashim1062 Год назад
Hii ndo shda ya cha tawala hawataki haki au ukweli kama mnamkumbuka kolimba au chifupa Amina mtajifuza mengi
@majii5591
@majii5591 Год назад
Edward Moringe Sokoine and Edward Ngoyayi Lowasa, the greatest Maasai figures
@raymondonyona.2736
@raymondonyona.2736 Год назад
Hakika EM Sokoine alikuwa mfano wa viongozi wachache wa kuigwa enzi zake na hata sasa. M/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amen.
@sebajohn9058
@sebajohn9058 Год назад
Kifo Cha sokoine kilinistua sana nikiwa mwenge sekondar mwaka 1984
@jaymadeleka4670
@jaymadeleka4670 Год назад
Mwaka 1983 nilikuwa darasa la nne, shule ya msungi upanga. Nilishuhudia kwa macho yangu, vitu vingi vikitupwa mitaroni na wahindi kwa kuogopa kukamatwa na kuhojiwa. Dar palikuwa pamoto. Na siku Mwalimu Nyerere anatangaza kifo cha Edward Moringe, nilikuwa darasa la tano. Nakumbuka, kipindi cha malenga wetu, cha radio Tanzania, kilikatizwa halafu ikapigwa nyimbo ya taifa, alafu Mwalimu Nyerere akatangaza. Nchi nzima ilipoa.
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 Год назад
Mwaka 1984" Nilikuwa darasa (4)
@nelsonjonathan7660
@nelsonjonathan7660 Год назад
Wewe pia ni muhenga😂😂
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Jamani 😭😭😭 umesimulia kwa kifupi ila umeeleweka sana. Mama yangu pia alinisimulia kama ulivyosimulia.
@leokamil6284
@leokamil6284 10 месяцев назад
😭😭😭
@leokamil6284
@leokamil6284 10 месяцев назад
Kweli ilikuwa huzuni nchi nzima ilikuwa baridi na ganzi kwa watanzania wote ,tulilia sana kwani ilikuwa sio rahisi kukubali. R.I.P Sokoine
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 Год назад
Shukrani nimejifunza kitu katika nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Tanzania
@yakobokakuni-jm2un
@yakobokakuni-jm2un Год назад
Hakuna waziri eti kujiuzulu Kwa matibabu,huu ni uzalendo wa Hali juu
@Dennis_Okelo
@Dennis_Okelo 9 месяцев назад
God bless this departed soul. Rare African Jewel
@user-le9vs2uv2z
@user-le9vs2uv2z 10 месяцев назад
Uko vizuri elimu ya historia, umenifafanulia vitu nilikuwa sivijui
@mikidadmhando2504
@mikidadmhando2504 Год назад
SOKOINE THE UNFORGOTABLE CHARACTER OF THIS NATION
@MWINYIABDALLAH-qy1dg
@MWINYIABDALLAH-qy1dg Год назад
Huyo kweli alikua mwamba
@chanilamasanja9824
@chanilamasanja9824 10 месяцев назад
Magu sokoine na mwl nyerere mungu atawaweka Kwa mbingu yake hakika inasitisha Sana viongoz Kama hawa 1 nyerre gadafi madiba magufuri na mgabe nkuruma
@biteyubwoba492
@biteyubwoba492 Год назад
Nchi kwa sasa imejaa ufisadi wa kutisha, nani kiongozi anayeweza kuvaa viatu vya Sokoine, waliopo ni wachumia tumbo tu.
@jamesswai1683
@jamesswai1683 Год назад
Hii nchi Ina Siri nyingi sana
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 6 месяцев назад
Kama walimuua Mungu ataingilia kati jamani😢😢😢😢. Viongozi wapigaji wa kipindi cha Sokoine bado ndo yako hai yanaendelea kupiga
@daudimichael7338
@daudimichael7338 25 дней назад
Nakumbuka siku hiyo ya kifo chake nikiwa darasa la 6, tulikuwa madarasani ikagongwa kengele ya dharula tukatoka madarasani na kukusanyika kwenye eneo la assembly. Mwalimu mkuu akiongozana na walimu wengine wakafika, Mwalimu mkuu akatutangazia kuwa waziri mkuu Edward Sokoine amefariki kwa ajali ya gari. Shule nzima tuliangua vilio na utulivu ukakosekana, tukaruhisiwa kurudi majumbani. Ilikuwa huzuni kubwa sana
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Gari lake liligongwa kwa makusudi 😭😭😭 hii Dunia jamani inamambo ya gizani. Na ni bora hatuyaoni make tungekuwa tunayaona yawezekana tungekufa kwa mishituko.
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 6 месяцев назад
Asante sana ndugu kwa kutujuza historia ya Mwamba hayati Sokoine. Kumbe yule Myao aliuza meli! Du Asante Kwa historia nzuri.
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 месяцев назад
Soinne was good man and very comfortable
@mrishomlyomi198
@mrishomlyomi198 Год назад
Kumpeleka mahakamani na kumnyima haki yakutomtumia wakili ni kumnyima haki mtuhumiwa hasa kwa kesi kubwa dhidi ya serikali
@henryjohn2898
@henryjohn2898 10 месяцев назад
Mimi nilikuwa kando na alipoketi baba yangu akisikiliza radio 277 ghafla wimbo wa taifa ulipigwa ndipo tangazo la kifo chake lilisikika,RIP Edward Moringe
@emmanuelkamwagha9364
@emmanuelkamwagha9364 11 месяцев назад
😢😭 rest in peace sokoine
@AbdallahMohamed-cz5rs
@AbdallahMohamed-cz5rs 9 месяцев назад
Ameen
@franciskira925
@franciskira925 3 месяца назад
Mimi napata ukakasi, nikiangalia jinsi ambavyo misafara ya wakubwa inavyolindwa! Mh!
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 Год назад
Inasikitisha sana...😢😢😢 Yaani kiongozi kama huyu anauliwa na mafisadi na serikali inakaa kimya.
@batulialmass8914
@batulialmass8914 3 месяца назад
Sasa nani alie mua zaidi ya nyerere
@mwinjumasaid5596
@mwinjumasaid5596 3 месяца назад
@@batulialmass8914 nyerer hakumuua ila kun mapapa walomuua president nyerer alimwambia apande ndege akakataa
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Год назад
The Giants three leaders in Tanzania was Edward Moringe Sokoine Julius Kambalage Nyerere,JohnPombe Magufuli R.I.P
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Год назад
The Greats umewapa wewe au? Jiwe naye unampa U great? Kweli umetokota!!
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 Год назад
Magufuli kafanya kipi cha ajabu
@khamiskhatib914
@khamiskhatib914 Год назад
Magufuli hajafanya kitu chochote wewe ndo ulofanya kitu kuliko magufuli
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Mama yangu aliniambia kuwa, akiwa shuleni kengere iligongwa na wanafunzi wote walitangaziwa kuwa Sokoine amefariki..😭😭😭😭
@godmbise-gj9ug
@godmbise-gj9ug 7 месяцев назад
Edward Moringe Sokoine alikuwa mtu safi sana. RIP
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 8 месяцев назад
Nakumbuka hiyo Aprill 12 nilikuwa Arusha bohari ya serikalimafunzoni .tulipata taarifa Sokoine amegongwa na cruiser ya Dumisani Dubee mimi binafsi niliumia sana baada ya siku chache msafara mlipita kuelekea Monduli kwa Mazishi Mvua kubwa sana ilinyesha huko Monduli RIP SHUJAA Sokoine😭😭
@peteremanuel
@peteremanuel Год назад
mungu yupo nawe
@r14kgroup68
@r14kgroup68 7 месяцев назад
Jah akurehemu
@davidmwakasumba742
@davidmwakasumba742 Год назад
Thanks you more brother
@charleskombe
@charleskombe Год назад
Always welcome 🙏🏿
@linomusombo9460
@linomusombo9460 12 часов назад
uyu jamaaa aliuliwa na nyerereee😢😢
@majii5591
@majii5591 Год назад
Mzalendo wa kweli
@naseriankakanyi5653
@naseriankakanyi5653 3 месяца назад
Kweli
@HajiJuma-tp8sf
@HajiJuma-tp8sf Год назад
👍👍👍👍
@MatayoGeorge-tr6el
@MatayoGeorge-tr6el Год назад
Tunamkumbuka Sana, yeye na marehemu magufuli ndio viongozi pekee wenye sifa ya kipekee
@mahammadanhag4445
@mahammadanhag4445 11 месяцев назад
Hanaishu magu dikteta uchwara
@MalangaMartin
@MalangaMartin 18 дней назад
Tanzania nchi yangu
@chanilamasanja9824
@chanilamasanja9824 10 месяцев назад
Kwa kipindi hiki hakuna was kumfananisha nae bila magufuri tutasubili Sana SS watanzania
@DaudiMwanyombole-tm6hm
@DaudiMwanyombole-tm6hm Год назад
Ingekuwepo kwa sasa wangefungwa wengi sana wapiga pesa za uma sokoine alikuwa kiongozi wakipekee
@surusuru1994
@surusuru1994 11 месяцев назад
😢😢allah amrehem aliuwawa km wa livo tulia makufli wetu tz najifuza kitu ikiwa mtedaji haki bas ujue kif kipo jiani kw serekalini jibu tosha
@JosephNgailo-rr5fw
@JosephNgailo-rr5fw Год назад
Ahsante Kwa simulizi zenye kuvuta makini
@abdulisiwa4118
@abdulisiwa4118 11 месяцев назад
Nakumbuka 1983 nipo upanga niliona Mali nyingi zikitupwa mtaa wa mtitu na kilombero na waindi na Vito vya dhamani na pesa vilitupwa njiani ilikuwa kazi kubwa
@user-jx3oj2ey1u
@user-jx3oj2ey1u 2 месяца назад
Alikuwa mzalendo wa kweli.
@user-og4ox5jb4v
@user-og4ox5jb4v 12 дней назад
Sokonne alipigwa risasi na waliokuwa kwenye pikpiki
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 месяцев назад
Serikali ya mwalimu nyerere ilimhujumu kiongozi wetu
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 10 месяцев назад
Duh!!
@FrankAngolwisye-mr1nc
@FrankAngolwisye-mr1nc Год назад
ASINGEPONA MTU, HASA NDANI YA SERIKALI YA CCM!!!!
@MossesiMosessilaizerlaizer
@MossesiMosessilaizerlaizer 3 месяца назад
Duh sis atajapat at mh sokoine but nilikuwa nimetamani nimuone but ivyo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👊✌👍.
@frankmbindi6362
@frankmbindi6362 Год назад
Hawa ndo walikuwa watu sahih wa nchi hii kwenye uongoz
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Год назад
Nyerere alikuwa maneno mengi, alileta umungu mtu, watendaji wa vjj na kata waliogopewa sana !
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Год назад
Ila Nyerere hakuwataka watu ambao walikua wanapendwa na kupewa sifa sana na wananchi kutokana na kazi zao, fuatilia alivomuundia zengwe Kambona na huyo Sokoine kammaliza kabisa
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 Год назад
Aliuwawa na wapinzani
@abdulpires9091
@abdulpires9091 Год назад
Good job bro👏 👍
@charleskombe
@charleskombe Год назад
Thank you so much!
@Michael-te1tb
@Michael-te1tb Год назад
Yeeh tali sanaa
@JEREMIAHELONI
@JEREMIAHELONI Год назад
Kweli Sokoine alikuwa kiongozi wawatu kama hayati Magufuli haijitokea Tena kuwapata viongozi hodari na wazalendo kama Hawa.
@omariramso7323
@omariramso7323 Год назад
Daaah sijui kwann sikuwa nimezaliwa kipindi hiki inaniuma kama vile nishawahi kumuona tunashukuru kwa simulizi hii ya kusisimua tumejifunza jambo
@charleskombe
@charleskombe Год назад
Shukran sana
@blandinamanongi8818
@blandinamanongi8818 3 месяца назад
du hata sikuzaliwa
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Год назад
Sokoine Ana damu ya nyerere, na magufuli , viongozi mashuhuri wa tz, wakuogwa
@naseriankakanyi5653
@naseriankakanyi5653 3 месяца назад
Aliuwawa maskini. Lakini aliemuuwacna yeye atakufa au amekufa
@kawawamaige2973
@kawawamaige2973 Год назад
Hakuna kiogozi angebaki leo
@lilyg2134
@lilyg2134 9 месяцев назад
Wakati haya yanatokea Nyerere alikuwa wap? Mbona kama serikali haikufanya kazi kiufup ni kwamba Sokoine hakutendewa haki na serikali ya Nyerere haikuhangaika kwa lolote
@yakobokakuni-jm2un
@yakobokakuni-jm2un Год назад
Inauma sana jamani kwanini viongozi imara,shujaa hawaachwi kulifimisha Taifa mbali,majitu ndo yanaachwa,Rais Samia embu angalia hili Kwa jicho la huruma
@benordkilagwa8884
@benordkilagwa8884 Год назад
Wema hawadumu
@ammimateo8163
@ammimateo8163 7 месяцев назад
Economic subbotage act 1983
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Год назад
Hakuna la maana hop wote ndo wale wale tu.. idiamin hakuwa nduli alikuwa muislamu ndio maana wazungu wakamuagiza Nyerere anvamie na hivo jesh la Zanzibar ndilo lililo tumika kuwaangaza waislamu wenzao
@ombentemba1432
@ombentemba1432 Год назад
Duu inamaana walio enda vitani ni wazanzibar
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Год назад
@@ombentemba1432 yup yup ..wakati kinaitwa jesh la nyuki from Zanzibar..
@christopherkomba7782
@christopherkomba7782 Год назад
Beka ww shoga
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Год назад
Usipotoshe watu. Watu wa.zenji waliishia boda.ya mutukula.hawakutaka ingia Uganda Walisema sie tulishakumtoa.huku kule twaenda fanya nini?
@RamadhanShaaban-hx5jk
@RamadhanShaaban-hx5jk Год назад
Hakuna mtu angepona.
@OnesmoMbelle-jo8wp
@OnesmoMbelle-jo8wp Год назад
Tanzania inahitaji viongozi wa aina na sifa kama za huyo
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 Год назад
Daladala ilianza 1981 na sio 1983
@AhmedNgalewa
@AhmedNgalewa Год назад
Chochote alichofanya kawawa alitumwa na nyerere
@thabitiseapower4499
@thabitiseapower4499 Год назад
Kilicho mponza magu kama sokoine kwawapigaji bongo
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Год назад
Kushughulikia kinachoitwa ufisadi au uhujumu uchumi bila kufuata sheria au kwa kutunga sheria kandamizi si sawa na inaondoa hata sifa ya viongozi ambao wanatenda wakiona kuwa huo ndo uzalendo
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Yaani.
@mahammadanhag4445
@mahammadanhag4445 11 месяцев назад
Magu dikteta ucheara c kiongoz
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Год назад
tatizo watangazaij amusemi ukweri
@tanzahood7719
@tanzahood7719 Год назад
Asante kwa kufuatilia Babu wa Loliondo. Kama kuna ukweli unaofahaimu tunaomba utuwekee hapa katika comment itatusaidia sote
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
@@tanzahood7719 😅😅 sijui ni ukweli gani anautaka.
@user-zs2nf8xf8s
@user-zs2nf8xf8s Год назад
Kweli huyo sokoine ni jembe bwana Leo Nani atasubutu.
@edwardkabare3149
@edwardkabare3149 Год назад
Couldn't believe PM Sokoine had only 3 suites(Kaunda) and 3 pairs of shoes. That to me was an exemplary leader. And to think of Kawawa getting away with selling govt. property.
@felixsanga
@felixsanga 11 месяцев назад
1978 August He came to ordain my District .Three Districts were established (1)Makete (2) Hai (3)Nkasi "I saw H.I.M physically speeching in a burning sun,no platform,no tent but H.I.S slow but profound speech without speakers was penetrating deeper to the bottomest core of heart!Being in Secondary school I we were informed that Edward Moringe has left us mysteriously.When Sao Hill caught a fire subotegeousely for Enemies of Mugololo Southern Paper Mills the biggest industry in Africa .Sokoine came physically to moralize and inspire fire brigade plus Mafinga National Service Camp in a struggle of controlling the fire.We have lived,seen,talked with many good people or prophets who had the spirit of equality,brotherhood and fraternity .
@isayacondrald8217
@isayacondrald8217 Год назад
Hakuna ambaye angepona
@AshuraMey-hn4gz
@AshuraMey-hn4gz Год назад
Duh kipindi kile nilikuwa mwenyekiti wa Kijiji fulan huko kaskazin mwa Tanzania 😢
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz 9 месяцев назад
Sokoinne sokoinne❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Год назад
Hiyo ni historian ya uwongo unapotosha dogo tunayafahamu vizur
@otmanmbwilo9117
@otmanmbwilo9117 Год назад
simulia ww Bas
@user-fd7sd1eb3f
@user-fd7sd1eb3f 10 месяцев назад
Asingebaki mtu
@MrishoRamadhani-hv2do
@MrishoRamadhani-hv2do 3 месяца назад
We jamaaa nifala sana mjinga mkubwa
Далее
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Просмотров 422 тыс.