Тёмный

NYIE WEMA..🙌🏾 TAZAMA ALIVYOPOKELEWA NA MBWA WAKE AIRPORT WATANZANIA WAMUANDAMA KWENYE KOMENTI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 12 дней назад
Bora upende wanyama cz wanamapenzi ya kweli kuliko binadam, Nakuombea upate mtoto jmn wema❤❤❤
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 12 дней назад
Mungu akujaalie upate mtoto wa halali,,,,, Insha! Allah!!
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 12 дней назад
Mwenyezi Mungu akujaalie kheri Wema upate mtoto inshaallah
@ElizabethMkini
@ElizabethMkini 12 дней назад
Awwww this is so cute jamani...nilisafiri two weeks nilivyorudi paka wangu(Tamaya) alikuwa na vibe zaidi ya Manunu...so namuelewa Wema this love is really...no faking or showing off...hawa pets wana upendo hasaaa😊
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 11 дней назад
Ni afadhali ukachukue yatima mmoja umtunze kwa hizo gharama za kumtunza mbwa na Mungu atakukumbuka ktk hitaji lako, kuliko kutunza mbwa ambaye hupati dhawabu yoyote kwa Mungu!
@maryamsaleh4787
@maryamsaleh4787 12 дней назад
Dah Mungu atamjalia inshallah 😢
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 12 дней назад
Bora 😂😂mmbwa kuliko 😂😂wanadamu 😢😢
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 12 дней назад
Akili yako haina akili
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 12 дней назад
​@@jumakapilima7295Ubarikiwe sana my dear wangu 💃♥️
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 10 дней назад
Kabisaaa bora manunu wake kuliko binadamu wanafiki 😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 12 дней назад
Mwenyewe mbwa na paka wangu wanavyonipokeaga kwa furaha wee,nikisafiri uwa mpaka nalia kuwaacha
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 12 дней назад
Mungu mfanyie huyu dada wepesi apate mtoto
@MariaIssack
@MariaIssack 11 дней назад
Mungu ni Mwema atakujalia utapata Mtoto
@luluray2115
@luluray2115 12 дней назад
Had Raha ❤❤
@prettypretty9745
@prettypretty9745 12 дней назад
Hadi nae kashangaa❤
@jinnahsameer
@jinnahsameer 12 дней назад
Waooooooooo
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 12 дней назад
Sema nini?Mbwa wana upendo sana.
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina 12 дней назад
Nyie wema ana hatariii
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 12 дней назад
Duu mama mbwaa.
@KamiliyaHamis
@KamiliyaHamis 12 дней назад
Yani wabongo bado sana kila kitu kwenu maneno hayo mambo ya kizungu wazungu mbwa anakatiwa hadi bima kama hamjui😊
@user-yp3zf6cg7s
@user-yp3zf6cg7s 12 дней назад
Inshaallah atapata mtoto
@karimjuma4019
@karimjuma4019 11 дней назад
Mwacheni na furaha yake hajakosea ni mbwa wake na anampenda hakuna shida
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 12 дней назад
Nikweli kama unajafuga mbwa au mnyama yeyote hawezi kujua mana yake penda wema
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 12 дней назад
Ila wanyam ukimpenda mm nilikuwa na nyau nyauu 😂😂😂 nyau alikuwa ananifataaaaa fataaaa
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 12 дней назад
Unachezea na kizaziiii😂😂😂😂😂
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 12 дней назад
Manunu say welcome back home mum where is your dad idriss manunu
@Mr-GMB
@Mr-GMB 12 дней назад
Mtangazaji bana, etu mtu wa kwanza kumpokea Wema ni Manunu😂
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 11 дней назад
Hata mimi napenda mbwa😂😂😂 jamani
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y 11 дней назад
Pole na hongera. But adapt a kid. Utapata furaha ya ndani kabisa.
@roqayaro9439
@roqayaro9439 10 дней назад
MBONA UME0OKELEWA NA MANONO WOZU YUKO WAPI
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 12 дней назад
Mhhh mbwa jamani
@malkiakinyemi5282
@malkiakinyemi5282 12 дней назад
Manunu anampenda sana wema wake jmn
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 12 дней назад
Mtu wa kwanza mbwa😂
@sultankivumbi9255
@sultankivumbi9255 11 дней назад
Kua namfugo siombaya kama unamzingatia wenyemakasiriko ndio watakuongelea vibaya wanatamani wao ndio wawe huyo mbwa manunu bhasi naroho zao zachuki
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 12 дней назад
Millard saiv mnapost usenge
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 12 дней назад
Watanzania watu waajabu hata walojaaliwa watoto pia wanafuga mbwa😅😅😅
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 12 дней назад
Nilikuwa na paka km hivi jamani😢😢😢lakini walimuua😢😢 nyie
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 12 дней назад
Pole
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 12 дней назад
😢😢 mim napenda sana paka na wao wananipenda hata paka wa mtaan nikuwaita wanatulia kwanza
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 12 дней назад
​@marimchawioiiiiamdullazy8166
@renatusjeremiah
@renatusjeremiah 12 дней назад
Mapenzi wake ajae
@speciozakaloli
@speciozakaloli 12 дней назад
Mbwa ni marafiki zetu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 12 дней назад
Ukiona mbwa anatakiwa mkia ujue anakuwa na furaha
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 12 дней назад
Mpende mway mbwa wako binadamu hawapendeki
@johnjilala415
@johnjilala415 12 дней назад
Yani nyie endeleeni kumkufulu mungu tu
@dashuu5295
@dashuu5295 12 дней назад
Mtu wa kwanza kumpokea ni mbwa wake manunu😂😂
@DativaMbowe
@DativaMbowe 12 дней назад
😂😂😂😂
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 дней назад
Kwanini asi mnyanyuetu 😢
@SalimaBuneku
@SalimaBuneku 12 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@allyabdallah4641
@allyabdallah4641 12 дней назад
Lazina ampende sindo mtoto wake uto
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 12 дней назад
Mwisho atamlala tuu na kumfira make😂😂😂
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 12 дней назад
Hahaha@ivanamkapa2369
@josiacharles2778
@josiacharles2778 12 дней назад
Kwani hana watoto ata wakwanza awe mbwa?
@user-sl7lc2ns7c
@user-sl7lc2ns7c 12 дней назад
Huyo ni bwana wako
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 12 дней назад
Mwisho atamlala huyo mbwa sii kwa mapenzi hayo
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 12 дней назад
Astaghfirullah
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 12 дней назад
Mbona tial😊😊😊😊
@gabrielmnozya8881
@gabrielmnozya8881 11 дней назад
We nzako wanapokelewa na Watoto we na Mbwa mpumbavu
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 12 дней назад
wafanye wazungu tu wakifanya wenzenu aah....ni funy video hata si mpenz wa mbwa unapenda kilichofanyika acheni chuki na ushamba
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 12 дней назад
Kweli kabisa si tulioko huku nje tunajionea mengi, mbwa anatunzwa zaidi hata ya binadamu, paka yaani hata kuna mbwa wanaishi maisha ya kifahari kuliko hata mimi maisha yangu😂acha mtu ajitunzie kambwa kake
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 12 дней назад
​@theresiagideon2178 Akili. Viaziiiii
@CantonaKunona
@CantonaKunona 12 дней назад
Nimjinga watoto yatima kibao haonii tafteni habar zamaana
@user-yp3zf6cg7s
@user-yp3zf6cg7s 12 дней назад
Unaroho mbay
Далее
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 920 тыс.
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43