Kinacho fanyika ni kusafisha njia ya kuingia Kongo Kinshasa kuwasaka m23 mashariki hakuna njia wate ni ndumila kuwili tz ni washirika wa Putin Ila tunaokopa manyang'au wasituwekee vikwazo kwaajili hiyo njia pekee ni kupitia upande wa magharibi ambako tunawashika wengi wa kimkakati, Sasa vibaka wa m 23 na washika wake mjiandae wanaume haooo mlangoni
Putin ni kama Muarabu ukifanya biashara naye hamna kudhulumiana wengi wanawaogopa Waarabu kwa Dini yao lakini ni waaminifu sana ukifanya nao biashara sio kama wazungu wa Nato
Hiko kitu hakiwezekani, wametuzidi teknolojia kwa kila hali, cha umuhimu ni kuangalia mikataba ambayo hainyonyi win to win business, watugee na knowledge na skills zao, haiwezekani mpaka leo hatuna ata mitambo tu ya kusafishia mafuta mpaka yaende nje😅
China anachimba madini Congo, serikali inapokea pesa inanunua silaha magharibi kupambana na waasi, Viva west, Viva china, loser Congo, Russia uchumi wa kuisaidia Africa kiufupi hana, atakacho kifanya ni kuteka soko la silaha na kumwaga propaganda cuz she is good at them, then Congo Zero AFRICA STAND ALONE NEVER TRUST BIG POWERS Mark my word! "I LOVE AMERICA FOR MY OWN REASON"
@@PAULNYANDILE akili yako yatembo imekutuma kila wakati umfikirie mwanaume mwenzako kukuokoa tofauti yako na jike ni ipi? Kenge la maji, nenda Russia akakufire kwa Vodka. VIVA 🇺🇸🇺🇸