Тёмный
No video :(

RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU RC MAKONDA, AMPA MAAGIZO MAZITO MBELE YA WANANCHI 

Uhondo TV
Подписаться 589 тыс.
Просмотров 119 тыс.
50% 1

#uhondotv #uhondo

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 116   
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Месяц назад
Mungu ibariki Tanzania na mpe afya njema Rais wetu na maisha marefu pamoja na mkuu wetu wa mkoa ndugu yangu Makonda
@jovinsylivester3601
@jovinsylivester3601 Месяц назад
Kwakwel hata kama wengine wataona usanii, ila mm nitaona upendo wa Mh Rais. Na mkuu wa mkoa. Hongereni sana kuwasaidia watu aanyonge
@hassanmeidimimollel1874
@hassanmeidimimollel1874 Месяц назад
Hongera sana mh Makonda kwa kazi nzuri inayofanywa na rais wetu
@user-gx4gt2pe4w
@user-gx4gt2pe4w Месяц назад
Hongera mh rais tena kongole sana kwa kutuletea makonda mpenda wanyonge kama wewe mwenyewe ulivyo mama yetu mpendwa kazi iendelee na ccm juu sana
@jmc2196
@jmc2196 5 дней назад
Huyu Makonda MwenyeziMungu amushimamiye one day awe Raisi Insh'Allah
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 дня назад
Hiimafisadi imewachoma sana. Munguakubaliki Rais wetukipenzi.na makonda unaongoza kwahaki❤❤
@KihangajiKihangaji
@KihangajiKihangaji Месяц назад
Makonda the great! Jembe sana wewe aisee!!
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Месяц назад
Ubarikiwe Raisi sana,Makonda Ubarikiwe,na wote waliounga mkono juhudi hizi inapendeza Atukuzwe YEHOVA ALIYEHAI Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai
@kennedykejo1646
@kennedykejo1646 20 дней назад
Mwenye enzi Mungu mbariki Raisi wetu Dr. Samia Suluhu Hassani m'bariki Mh Paul Makonda na Uongozi wote!!
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Месяц назад
Hongera saana Mr Makonda na Mungu akubariki saana
@Alfredmusa24
@Alfredmusa24 Месяц назад
Ruto must go, Mama Samia njoo huku please 🙏🙏🙏
@frankthadeo1679
@frankthadeo1679 Месяц назад
Nikupiga spana tu komred Mungu akupe maisha marefu
@AdrofinaLeopord
@AdrofinaLeopord 11 часов назад
Mungu akupe maisha malefu 🙏🙏🙏
@paulkaranja3099
@paulkaranja3099 Месяц назад
From Kenya I love this man
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka Месяц назад
Hongera sana Mhesh Makonda wewe ni Mfano Mzuri kwa Viongozi Wengine Unaupiga Mwingiiii.
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 Месяц назад
Ila Makonda balaa, ana akiri ya kipekee kabisa
@Deppe-rv2vg
@Deppe-rv2vg Месяц назад
Makonda is gem 💎
@JohnstonLugaimbila
@JohnstonLugaimbila 23 дня назад
Solo la vanila nchin msimu 2024
@MsafiriAlly-m8t
@MsafiriAlly-m8t 8 дней назад
Pg Kaz makonda umezaliwa siku Moja utakufa siku Moja. Uciogope mtu mungu akulinde
@jayzeem14
@jayzeem14 Месяц назад
Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan tunafarijika sana kuona unavyojali!!
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 Месяц назад
Akili nyingi anajua kucheza na upepo huwa najiuliza wakuu wa mikoa waliopita mongera na gambo wajionaje wanapoona mwamba huyu akifanya haya
@ArsenPaul
@ArsenPaul 5 дней назад
Mungo ibariki inchi yang Tanzania kwa upendo
@PauloMlumbi
@PauloMlumbi 28 дней назад
Nationa Tanzania ya kesho kazi iyendelee❤
@incbluesail3080
@incbluesail3080 7 дней назад
She one of my favorite African Presidents. ❤❤ She cares about the people and follow up to know what's going on! She always won my heart. I think women are better than us cause they don't waste cash in buying guns to fight others, look around the world. All wars are wagged by men!
@IreneAidan-m5s
@IreneAidan-m5s Месяц назад
Ongela baba Kwa kazi nzuri
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 Месяц назад
Ndio mheshimiwa raisi... ndio mheshimiwa raisi......ndio mheshimiwa raisi.... ..... ndio mheshimiwa 😅😅😅
@FaibeZaina
@FaibeZaina Месяц назад
👉😂😂😂
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 Месяц назад
Ni kama Israeli! Kila anapokwenda mafanikio ni kama mafuriko! Ubarikiwe Makonda
@elizabethsila1091
@elizabethsila1091 4 дня назад
Good job mrs suluhu..
@JM-eo3wo
@JM-eo3wo День назад
Jameni tz mumebarikiwa namwenyesi mungu kupeo viongosi kama wenu hapa kwetu jirani ata raia wengi ata hawajui mkuu wa mukoa wake aitwa na ns haendagi mahali kusaindia mwananchi wa kawainda makonda ungekua kenya ungefuto kitabu ingereto siasa ati washindana na rais
@user-fv4ih1oi1t
@user-fv4ih1oi1t Месяц назад
Mungu mbari Dr Samia mungu mbariki makonda mungu i bariki Tanzania mungu I bariki arusha
@nyandagerald824
@nyandagerald824 Месяц назад
Makonda uko vizur sana katika utendaji wa kaz piga kaz kaka
@NerriaGeorge
@NerriaGeorge 11 дней назад
Ila Mh makonda uongizi anaujua sanaaa❤❤
@user-kg5yu4kg9p
@user-kg5yu4kg9p Месяц назад
Mwenyezi MUNGU akulinde na akupe afya njema na wote wasiokutakia mema MUNGU awaangamize
@sylvanusherman3856
@sylvanusherman3856 Месяц назад
Makonda Mungu amtunze
@SaleheMkomwa
@SaleheMkomwa Месяц назад
MAKONDA WAKULETEE MOROGORO kumeoza HUKU
@DanielTumaini
@DanielTumaini Месяц назад
Ni kweli malima amepora ufuta ya wakulima wote na kupeleka kwakwe cjui wamekamua mafuta?au wameenda kuuza nje ya nchi
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Месяц назад
Hongera Mh Makonda inaonekana
@user-hh4us7kb5q
@user-hh4us7kb5q 13 дней назад
mama ukimaliza mda wako tnakuomba umpganie Makonda awe Raisi
@user-ky4vd6lf2z
@user-ky4vd6lf2z Месяц назад
Ukiacha urais mwachie makonda urais
@CabdiwaliSeydi
@CabdiwaliSeydi Месяц назад
Serikali yenye uwazi na upendo kwa kufanyia watu wake Kazi bora hongera Tanzania mimi ni mkenya I wish viongozi wetu Hapa kenya wangekuwa kama vionzi wa Tanzania naomba tuwaige Rais ruto visit Tanzania to get good education about leadership skill.
@AmiHaji-r4h
@AmiHaji-r4h 4 дня назад
Rais samia 2achie nchi ye2 bora rais awe makonda au wazir kasim majaliwa,
@VivianiKessy
@VivianiKessy 3 дня назад
Mama samia 5 tena
@bashiruwise
@bashiruwise Месяц назад
Makonda for life❤
@severinlouis
@severinlouis Месяц назад
😂Hayaaa TUENDELEE Kuupiga Mwingi
@RobertNgeme
@RobertNgeme Месяц назад
Ma RC mikoa mingine ni ofisini tu na nyumbani hovyo san
@williamsangita
@williamsangita Месяц назад
Watanzania tujenge tabia ya kushukuru tunapobarikiwa na wenzetu ili kuwatia moyo katika huduma zao
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Месяц назад
Piga kazi kiongozi safisanna
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Месяц назад
MBONA KAMA NI KAMCHEZO KAKUIGIZA HIVI....HIZO TARATIBU ZA KUTOA MATIBABU BURE KWA WANANCHI MBONA ZINAFANYIKA KOTE NCHINI MIKOA MBALIMBALI.
@AbrahBuraheze
@AbrahBuraheze 5 дней назад
huyu ndio mku wetu wa mkoa wa hapa dar sema dar majambaz wengi
@SamsonGiranta
@SamsonGiranta 29 дней назад
Uchaguzi 2024
@TaboraTalentCenterTTC
@TaboraTalentCenterTTC Месяц назад
Kazi iendelee
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 18 дней назад
Niko paleeee😅😅😅2025 mambo yamenoga ni full upendo
@MkulimaHalisi-g5f
@MkulimaHalisi-g5f Месяц назад
Kazi kubwa
@videralfred8889
@videralfred8889 6 дней назад
🙌🙌🙌🙏
@SaleheKinanga
@SaleheKinanga Месяц назад
Kazi iendeleeeeee
@MujyambereVedaste
@MujyambereVedaste Месяц назад
Mwishimiwa Makonda Urumugabopeeee Uwiteka Agukomeze Ndagukunda Cyaneeeeee Mimi Niko kigari
@user-zk6hl8fe1s
@user-zk6hl8fe1s 11 дней назад
Ongera mama na makonda mungu awalinde
@user-zk6hl8fe1s
@user-zk6hl8fe1s 11 дней назад
😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🖐️🏃karibuuni
@AsiaKadege
@AsiaKadege Месяц назад
🙏🙏❤
@johnsonsabanya5860
@johnsonsabanya5860 Месяц назад
Hii nchi Mungu atusimamie🤣🤣🤣🤣🤣
@TatuElias-tr8em
@TatuElias-tr8em Месяц назад
Makonda anafanya kazi. Mbona wengine hatuwasikii?
@stevensteve7519
@stevensteve7519 Месяц назад
Wakuu wa mikoa mingine pia wanachapa kazi ipasavyo. Tofauti ni kwamba wanafuata taratibu mbalimbali na sheria za nafasi zao. Na kwamba hawafanyi kazi kwa kutafuta sifa bali kwa kutimiza wajibu wao. Ingekuwa hawafanyi kazi zao ipasavyo nchi isingekuwa hivi ilivyo. Wakuu wa mikoa chapeni kazi msisikilize minongono
@laurentikimbangala2970
@laurentikimbangala2970 Месяц назад
Hongera sana rais wetu pamoja na mkuu wa mkoa mheshimiwa makonda.
@omaryally1532
@omaryally1532 Месяц назад
Tunabeza tu nchi yetu ila ukitaka kuamini kwetu pazuri tembea kidogo hata nchi jirani kama kenya,congo,burundi na n.k ukirudi utaiheshimu Tanzania mimi naipenda nchi yangu
@alifbe4395
@alifbe4395 27 дней назад
Kenya ina nini??
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 7 дней назад
Kenya ina katiba nzuri na uhuru wa kuandamana.
@litaemilykasambala4569
@litaemilykasambala4569 Месяц назад
❤jembe kama jembe
@AishaSalum-r7m
@AishaSalum-r7m 10 дней назад
😢🎉
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Месяц назад
❤❤❤😂😂😂
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Месяц назад
Makonda wewe songa mbele. Serikalini kuna wanafiki sana. Hawajali shida za wananchi.
@DismasNoameck
@DismasNoameck Месяц назад
Huyu mkuu wa mkoa anapaswa kuwa mfano wa kuigwa.mapunda.noarmack dismas.masasi mtwara
@jumabonge8577
@jumabonge8577 Месяц назад
sw
@saidishebuge4796
@saidishebuge4796 Месяц назад
mitano tena
@lovenessmohamedy6329
@lovenessmohamedy6329 Месяц назад
Makonda bhana
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Месяц назад
Mnaona? MAKONDA Ni mtoto wa watu.chezea MAKONDA wewe?? Huyu Ni kitinda mimba wa Bi,Mkubwa...abarikiweee
@kostantinoizrael
@kostantinoizrael 28 дней назад
makonda endelea kuwa jembe baba urais inakusubiri
@aarona.midende1789
@aarona.midende1789 Месяц назад
Kumbe siasa ni burudani
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Месяц назад
Tanzania sasa imegeuka nchi ya wasanii. Tulidhani alipokufa Magufuli nchi ingekuwa ya Samia . Sasa ni nchi ya Sanii.
@user-fx6zr6ij5y
@user-fx6zr6ij5y Месяц назад
NCHI inausanii hii kweli 😂😂mtu akikunyima elimu atakutawala atakanyo
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Месяц назад
Wewe ndie una usanii ulipokuwa ukivuta bangi shule na kutukana waalimu ulifikiri Tanzania inakusubilia wewe endelea kulewa bangi na kukashifu juhudi za viongozi utashitukia kumekucha.utaambulia patupu
@innocentinyasi9198
@innocentinyasi9198 Месяц назад
Tumia akilii watu wanahudumiwaaa buree apoo it means viongoz hao unaowaona wasanii ndio walioplan icho kitu so haipendez kutokuunga mkono juhudi za viongoz wachapakazi all in all ACHA USANIII WEW UNAECOMENT VITU VYA AJABU, THAMINI MCHANGO WA MAKONDA NA MAMA SAMIA KWA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NASYOMKUKOMENT UPUUZI.....
@user-fx6zr6ij5y
@user-fx6zr6ij5y Месяц назад
@@innocentinyasi9198 ww ndiyo ujitambui boreshal mahospitali
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Месяц назад
@@innocentinyasi9198 kwa hiyo hapo Kuna matajiri wako hapo uwanjani wanatibiwa buree. Kwani wangetibiwa huko mahospitalini Kuna shida gani? Mmepofushwa akili na kupumbazwa unaona hakiyako ni msaada? Hili rundo la watu linaonyesha kuwa watu ni masikini,hawana kazi na wengine Wana magonjwa ya sunona yaani msongo wa mawazo kutokana na Hali ngumu ya maisha. Hapa wanatumika kisiasa na mbaya zaidi wanatangazwa mitandaoni. Hii ni aibu sana
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi Месяц назад
Yangu macho maana mhhh
@rogatkisanga7496
@rogatkisanga7496 Месяц назад
Hivi wakuu wa Mikoa mingine wapo? Ni nini kinawafanya wasiweze kuendesha mikoa yao Makonda style? Huyu afadhali arudishwe Dar es Salaam na aanze kazi na ulaji rushwa kwenye kutoa huduma!
@hawaa341
@hawaa341 Месяц назад
Jembe letu
@DanielTumaini
@DanielTumaini Месяц назад
Makonda nawe usijikoshe kwa mama enzi za mwenda zake ulikuwa muwaji damu za watu zinakulilia bado,hivyo wewe unazogeza cku brother off u go mama pamoja na mapungufu yako live long!
@robertzamani5612
@robertzamani5612 Месяц назад
Acha kumchafua Makonda unachokiongea una ushahidi kama aliuwa ,
@user-km6bg1jw2d
@user-km6bg1jw2d Месяц назад
🎉🎉🎉 kwenu
@patricknguli
@patricknguli 27 дней назад
Kujipendekeza tu
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 23 дня назад
tahila wewe hujitambui
@Isayaraimondiolotwati
@Isayaraimondiolotwati Месяц назад
Sfa
@Peterchipemba
@Peterchipemba Месяц назад
Makonda acheni siasa za kitoto,,,izo siasa niza matapeli kudanganya wasio jitambua,,
@Ali-zs5ed
@Ali-zs5ed Месяц назад
Ulitaka Makonda afanye nini? Mh Makonda chapa kazi usiangalie mtu nasema nini
@litaemilykasambala4569
@litaemilykasambala4569 Месяц назад
Jembe
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 День назад
Huyu mwamba ni jembe si mchezo
@AnaniaAnania-lk3ek
@AnaniaAnania-lk3ek Месяц назад
Nimejikuta natabasamu pekee yang
@user-gx4gt2pe4w
@user-gx4gt2pe4w Месяц назад
Mh makonda piga kazi tunakuombea sana jembe letu wanyonge tuko nyuma yako
@Florencedaniel-j4w
@Florencedaniel-j4w Месяц назад
Mheshimiwa m@konde karb mugum serenget
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Месяц назад
Katiba mpya muhimu sana, kipindi Cha u chaguzi Kuna Kila aina ya usanii. Watu mjiongeze. Bima ya afya hakuna Matibabu hospital ni mbovu. Huu ni mwaka wa uchaguzi
@innocentinyasi9198
@innocentinyasi9198 Месяц назад
Kwani ukisema ni mwaka wa uchaguz ndo useme et wanafanya usanii....em jiulize kwanza Kiongoz kutenda majukumu yake ni usanii au nn so ulitakaa mambo mazur kama haya kwa wananchi yatendekee mda gan au ultaka watulie tu ofisini????
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Месяц назад
@@innocentinyasi9198 ndugu ukitaka kuisaidia mtu ni mpaka umtangaze? Kama hospital zipo Kuna haja gani kuwakusanya watu sehemu moja Tena wagonjwa halafu unaanza kuwahutubia?? Kwani jukumu la serikali siku zote ni lipi mpaka ukawatoe watu mahospitali na uwapeleke uwanjani halafu uwatangaze? Huoni hii ni aibu? Huoni kuwa watu wanavhezewa akili tuu? Huoni kuwa wanatumika kisiasa? Kwanini waitwe ni masikini? Je huoni mtani wa ccm ni kuwa na watu masikini ili WATUMIE umasikini wao kuwatawala? Ndugu katikati Dunia ya watu wenye akili na ufahamu huwezi kukuta jambo kama hili ambalo Mimi naliona ni la kisiasa tuu. Kama huduma za afya zingekuwa ni Bora haya yasingeonekana. Na mwisho hii ni kuionyesha Dunia kuwa Kuna nchi masikini ambayo raia wake hawana la kufanya zaidi ya kuomba misaada. Nikuhakikishie kwa Hali hii hii nchi ni masikini mno?
@edmundphilemon3054
@edmundphilemon3054 Месяц назад
Katiba mpya ni muhimu na raia walio wengi tunahitaji, ila Kwa hili linalofanywa na makonda ni jambo jema na la Kheri na sioni point yakuandika katiba hapo alafu ujue mkuu wa mkoa hapigiwi kula bali huteuliwa, ungepongeza kwanza Kwa hili afu ukatoa ushauri ungeeleweka sana bila kubeza
@user-kg5yu4kg9p
@user-kg5yu4kg9p Месяц назад
Kenya wanakatiba mpya ila tujiulize maisha yao yamebadilika?au unafikili kubadili uongozi ndio maendeleo si KWELI maendeleo ni kuwa na viongozi bora tuwaombee viongozi wetu siyo kuwachukia CCM daima maana upinzani njaa tu hawana hoja wao wanashauli fujo zikitokea wanakimbilia ulaya
@uwawatatanzania3243
@uwawatatanzania3243 Месяц назад
Kazi Iendelee----->
@jumabonge8577
@jumabonge8577 Месяц назад
na zanzibar bc jmn bc
@StanyOfficiol
@StanyOfficiol Месяц назад
Nyooo et helcopter toka lini serikari imiliki ndege ya kubeba wagonjwa usitudanganye wanachi muheshiwa ndege ni ya tajiri
@user-dz4qj5kc1t
@user-dz4qj5kc1t Месяц назад
angalia vzr video hii na uisklze maana mama aliulza imetoka wap na hakuna aliyesema imetoka serikalin Mh.Makonda amesema wametoa wadau...
@ezekielmbise9766
@ezekielmbise9766 Месяц назад
Binafsi nampenda muheshimiwa rais wa Tanzania mama samia suluhu
@user-ky4vd6lf2z
@user-ky4vd6lf2z Месяц назад
Ukiacha urais mwachie makonda urais
@kostantinoizrael
@kostantinoizrael 28 дней назад
rais samia akitoka.madarakan makonda afuate
Далее
Редакция. News: 128-я неделя
57:38
Просмотров 1,2 млн