Тёмный

RAIS SAMIA AVUNJA MBAVU BAADA YA KUTOA VICHAMBO UKUMBINI, "WANAKUNYWA MAPOMBE HOVYO, HAWATUPI RAHA" 

Uhondo TV
Подписаться 587 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@salumshabany3454
@salumshabany3454 24 дня назад
Mashaallah Allah Akubarik raisi wetu na Akupe mwisho mwema
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 24 дня назад
Mashalahaa Alha akufanyiewepesi kwenye uongoziwako Alha akupe mwisho mwema
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 24 дня назад
Nakupenda sana laisi wangu mpendwa umeongea vizuri Mashekh wetu wafikishe mawaiza Ulio yakumbusha
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 24 дня назад
Wanaume ni vyiongozi kwa wanawake
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 26 дней назад
Ahsante mama
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 24 дня назад
Marehemu Sheikh Nyundo alikuwa akisema ukweli kwa pande zote wanawake na wanaume
@tonybake7120
@tonybake7120 25 дней назад
Wewe mama mama raisi wetu nakupenda sana zaidi ya sana mungu akupe maisha malefu unaongea vizuri sana
@AtanasKameja
@AtanasKameja 25 дней назад
Mama Asante kwa hilo
@b.warron4631
@b.warron4631 26 дней назад
Khaaaa Raha gani ebu sema hiyo Raha.unayo maaniisha😂😂
@mwanas2
@mwanas2 25 дней назад
Sahihi kabisa haya......shukran mama
@davidlelo6192
@davidlelo6192 25 дней назад
Sema mama tupone
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 25 дней назад
Kweli
@nikolausishillingi378
@nikolausishillingi378 25 дней назад
Upo sawa
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂 jamani tuwape raha wake zetuuuu
@user-us5xl4zu3r
@user-us5xl4zu3r 26 дней назад
Kumbe Rais nae anaijua raha ya mwanaumeeeeeeee ndani ya ndoa.
@kulthumsaleh5579
@kulthumsaleh5579 25 дней назад
Kwani sio mtu
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 25 дней назад
Ni mwanamke naye
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 25 дней назад
wamama kweli hawapati rahaa hapo wameshangilia sanaa hawakunwi
@festokemibala5832
@festokemibala5832 25 дней назад
Dada kuwa na kiasi ktk kusema, ingestahili wakati unayasema haya hiyo mimbari isiwepo ili uqe huru kuzungumza kama wewe badala ya rais
@durangobasics6195
@durangobasics6195 20 дней назад
Uislamu unasemaje kuhusu wanawake kuwa viongozi? Kule nchi zenye sheria kabisa za kiislamu wana viongozi wakubwa kama mawaziri, maraisi wanawake? Nauliza nijifunze
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 25 дней назад
MUNGU AZIDI KUKUJALIA REHEMA , UHAI NA MAISHA MAREFU RAIS , WEWENI MWALIMU KWETU ZAID WEWE NDIO FARAJA YETU
@swalehehashim1568
@swalehehashim1568 25 дней назад
Haaaah. Allah anawaona
@SalomeBoniface-q2r
@SalomeBoniface-q2r 25 дней назад
Jamn😂😂😂😂
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 26 дней назад
Angeasema mume wangu hanipi raha sio wanaume hawatupi raha
@user-so8uh8bt5t
@user-so8uh8bt5t 25 дней назад
Mama tangia umechukua madalaka leo ndio umenikuna na kunipapasa
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 24 дня назад
Unasemajee ww😂😂😂😂
@festokemibala5832
@festokemibala5832 25 дней назад
Kutafuna udongo ni kumshirikisha shetani ktk mfumo wako wa ulezi wa mimba. Kumbuka nyoka ndiye alilaaniwa kwamba atakula vumbi/udongo na si mwanadamu!
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 24 дня назад
Kasome tena.Uelewa wako mdogo
@stanleymanya438
@stanleymanya438 25 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@josephlorri431
@josephlorri431 26 дней назад
Amekuwa imam... mwanamke sio wa kumpa m......ka
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 26 дней назад
Kafiri wewe ya huku tuachie sisi Samia atahutubia hata ndani ya mimbali
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 26 дней назад
​Kumbe hujui kama nyie ndiyo makafiri kwa mujibu wa Muhammad!
@josephlorri431
@josephlorri431 26 дней назад
@@salehesalehe2967 amekuwa imam.. maendeleo hayo
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 25 дней назад
We ni kafir inakuuma kweli hapo
@didasseveline9013
@didasseveline9013 24 дня назад
​@@salehesalehe2967 Sasa kwenye kula kitimoto mbona mnasimamia kucha!!! Inabidi mtulie
Далее
▼КОРОЛЬ СОЖРАЛ ВСЕХ 👑🍗
29:48
Просмотров 358 тыс.
Mercy Mawia's Eulogy.. RIP 💔 😭 Mercy
5:41
Просмотров 4,8 тыс.
▼КОРОЛЬ СОЖРАЛ ВСЕХ 👑🍗
29:48
Просмотров 358 тыс.