Тёмный

RUTO AMESEMA WAANDAMANAJI NI VIBAKA WAKAMATWE WOTE WAWEKWE NDANI 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@bekabakari7394
@bekabakari7394 17 дней назад
Ningependekeza kama muafrika kutoka Tanzania Katika maandamano yoyote yanayofanya na raia Kwa sababuzao mbalimbali jeshi liwe linalinda amani Na wala kutumia silaha za moto kwa sababu raia wana haki Tena hawana silaha kwahiyo askari au mwanajeshi yoyote atakaye Fyatua sila ya moto aukumiwe kunyongwa kila anaye kubaliana nami Naomba kusapoti kwa yes
@chrispinegervas1681
@chrispinegervas1681 17 дней назад
Yes
@RamaKizeghe
@RamaKizeghe 17 дней назад
Umeongea kama watu 500000
@user-fj5dy9hh5v
@user-fj5dy9hh5v 17 дней назад
Huyu ni aina ya kagame ni watu wenye viburi na wanategemea Sana backup ya watu wa magharibi mabepari
@SamsiaKassaKangeta
@SamsiaKassaKangeta 17 дней назад
Huyo Zakayo ndiye mwizi aondolewe madarakani!
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 17 дней назад
Hakukatwi MTU na akitaka kushika watu awe yy wakwanza ruto must go
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 17 дней назад
Safi mwalimu 💚
@SilasWanjala-fj9ww
@SilasWanjala-fj9ww 17 дней назад
Yani ruto wakenya hawamuamini ni muongo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 дней назад
Kumbe Ruto ni dictator😢😢.wakenya poleni sana.Safari ijayo chagueni mwanamke.Pole nyingi sana toka kwa mtanzania
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 17 дней назад
Mmmhh!!!
@mainabenson5173
@mainabenson5173 16 дней назад
Sasa Grace
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 дней назад
Ruto Kenya imemshinda, aondoke tu😢
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 17 дней назад
Ruto ndiye kibaka mkubwa ametuibia vikubwa ndo maana tumemkataa. Ruto must go. Kiburi na madharau na maringo ile ako nayo na uwongo kuongezea wizi imetufika koo siajubu tumelipuka
@Maryc2G
@Maryc2G 17 дней назад
Ruto anaongea kibabe sana. Itakuwa kazi sana Ruto kuongoza kenya kwa amani. Hoba zake nyingi ni kibabe kila wakati
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 17 дней назад
uzuri nikuwa zakayo amejaa wasaliti hata wakizungumza lolote tunajaziwa jumbe kwa mitandao
@user-jo3cs3yu3o
@user-jo3cs3yu3o 17 дней назад
Akiweza kuwagawanya wandamanaji mara 2, yaani wa alifu na wandamanaji. Hapo ataweza kupunguza nguvu ya mandamano. Siasa nzuri kama itakubaliwa
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 17 дней назад
Nani.kenya anaweza amini neno inatoka kwa kinywa ya muuwaji fisadi na mwizi ruto? Hara wayoto wanamdharau sababu ya kuongea urongo kila siku ka mtu yuko na kicha
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 17 дней назад
Mkuu mwafrika nime ona Burkina nafikiri wame warudisha mabarozi pamoja na marekani sasa sijui itakuwaje
@MustaphaManole
@MustaphaManole 17 дней назад
Ruto mwizi
@Gerald8180
@Gerald8180 17 дней назад
Anataka awuwe tena kama 2007
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed 17 дней назад
Kama ni vibaka mboka amekubali kuto sign mswada wa fedha huyu rais hajielewi
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 17 дней назад
Hapo hakuna mtu. Ni pepo ya mtu takataka. Mimi hata ssimtambui kama rais wangu. Hata nikimuona kwa runinga au mtandao husonga mbele next. Sina time ya mtu shenzi kama ruto
@SilasWanjala-fj9ww
@SilasWanjala-fj9ww 17 дней назад
Mwalim ni muongo
@SilasWanjala-fj9ww
@SilasWanjala-fj9ww 17 дней назад
Yani namaanisha ruto ni WA Kenya hawamuani
@coolbz133
@coolbz133 17 дней назад
Ruto kasema atafanya mazungumzo na waandamanaji na viongozi wa dini ila waliovunja kuingia bungeni ni wahalifu na wamejulikana hapo iko kitu
@user-jo3cs3yu3o
@user-jo3cs3yu3o 17 дней назад
Hapo ni siasa kubwa. Yani anataka kuwagawanya Mara mbili. Wandamanaji na walifu ,kwenye kundi moja !!! Kkkkkkkkk
@coolbz133
@coolbz133 17 дней назад
@@user-jo3cs3yu3o Kweli kabisa akisha fanya hivo tu basi ashafanikiwa
Далее
impossible to understand how😨❓
00:14
Просмотров 6 млн
Стас о своих клиниках
00:19
Просмотров 309 тыс.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00