Тёмный

SAKATA LA UCHAGUZI MKUU ZBAR KATIBA KUBADILISHWA? / RAIS MWINYI ATAJWA / "NI DEMOKRASIA NA HAKI" 

WORLD NEWS MEDIA
Подписаться 492
Просмотров 5 тыс.
50% 1

WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
#ccm #drmwinyi #raissamia #katiba

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@allymaha-tv5lf
@allymaha-tv5lf 19 дней назад
Kofia na kanzu nzuri lakini mauaji
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 19 дней назад
Uhuru wa kinchi "sovereignty," ZNZ hakuna, maamuzi hayo pia hakuna Maamuzi yatatolewa na wakoloni wao wa bara, hata 10itawezekana, SI UKOLONI TUUU, AH!!!
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 19 дней назад
Nyie acheni uchochez Kwani Kuna nafuu Gani ya maisha iliopo zaid ya maisha magumu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 19 дней назад
😂😂😂😂😂 nyiye sijuwi mnataka nyinyi kwa nguvu kwa hiyari hamtaki kutoka. Dr. Hussein wewe unapanga hivi na Mungu anapanga yake.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 19 дней назад
Wacheni kutaka kukaa kwa nguvu. Kwenye madaraka. Mungu ana nguvu zaidi kuliko nyeyi.
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 16 дней назад
Ccm haijawahi kufny vzr zaid ya mauwaji
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 19 дней назад
Wala hakuna haja ya kuogpa uchaguz Kwa visingizio vya garama Kwani ayo yanayofanyika hayana garama mbona yanafanywa mpaka Kwa mikopo na saiv nhi imejaa madeni
@abdulhussein7774
@abdulhussein7774 16 дней назад
Ww ujui unenalo msaka tonge
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 18 дней назад
Aongezewe yeye tuuuu vp mbona janja janjaa
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 16 дней назад
Brbrbr maendeleo
@jumagora3462
@jumagora3462 16 дней назад
Ahaaa mm maoni yangu miaka 30 awekewe
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 16 дней назад
Kumamayo muuwaji ht ck moja kuongeza ni ttz
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 18 дней назад
Ayo unayoyasema yoote nilipi linapatikana
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 8 дней назад
Walikuwepo. Mze karume,mze mwinyi,abdul wakili,magufuli,mkapa,nyerere. mpaka firauni .na yye ataondoka tu .matatizo hayaishi mchele wa pembe 2500,petrol 3180, ukhanithi mtupu.
@GenttileZanzibar
@GenttileZanzibar 9 дней назад
Hiiii mitano tunaona kama tumo kwenye moto angezezwe miwili weee aondoke tumechoka baba izo siku tunazipeleleka kichw kichwa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 12 дней назад
Nchimbi. alishawaambia pua zenu zinanuka damu
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 18 дней назад
Kwaiyooo uo ndo ubunifu au wewe unaogopa na kulinda tongeeee ugari na kachumbarii
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 18 дней назад
Sikiliza wewe makameeee wapi pamefanywa vizuriiii unadhani utapewa tongeee wenzio mfano wako wanajuta kwa kilio cha kwikwi
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 15 дней назад
Nyie ccm ni bora msifanye uchaguzi kabisa kuliko kusema tuna uchavuzi kumbe. Ni magumashi munauwa na kupora uchavuzi,,bora iwe hivyo kuliko kufanya uchaguzi i wa danganya toto,,wizi wakubwa nyie
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 21 день назад
GHARAMA ZA UCHAGUZI NA UHURU WA MAUWAJI Uchaguzi wa Siku Moja ni Gharama kuliko Uchaguzi wa Siku Mbili? Kila Uchaguzi Waislam wa Zanzibar wanauliwa na Chama Cha Mapinduzi. Hii ni Demokrasia na Uhuru wa Chama Cha Mapinduzi?
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 8 дней назад
Sasa nyinyi mnafanya nn mumewalipa mulio wauwa ,mulio wavunja. halafu bado mnaendelea upumbavu ule ule.wasakatonge ni dunia tu.
Далее