Тёмный

Salama Na KUSAH SE6 EP66 NGWANA AZAIZA PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Kutoka zake Lushoto huku mkoani Tanga ni kijana mtanashati ambaye anajua kama amekuja town au jijini Dar es Salaam kwasababu ya kusaka pesa ili abadilishe maisha yake na ya wale ambao wamemzunguka. Na kila alikumbuka ambapo ametoka basi spidi ya kuhakikisha kalamu yake haivuji na inaandika kwa muandiko mzuri ili kila ambaye atabahatika kusoma kile ambacho yeye kakiwaza na kukiandika basi azame kwenye dimbwi lake na endelee kumsikiliza mpaka pale yeye mambo yake yatakapoenda, na kwa story ambazo amenipa basi ukinasa kwenye kitabu chake itakuia vigumu kutoka kwasababu amepanga kuwepo kwa muda mrefu sana, nia na madhumuni yake ni kuhakikisha yupo yupo sana.
Kusah ananihadithia aina ya kazi ambazo ilibidi afanye wakati anakua, ilikua inabidi aende shuleni ila pia amsaidie Bi Mkubwa wake ambaye alikua anafanya kazi nyingi kuhakikisha watoto wanakula na kusoma, ikiwa pamoja na kuuza pombe za kienyeji ambazo ni haramu. Uvunjaji huo wa sheria ulikua unaifanya familia iingie matatani na anakumbuka kipindi ambacho ilikua inabidi amsaidie Mama kuficha vitendea kazi na vithibiti pale msako wa ghafla unapotokea. Kama mtoto wa kiume kwa utashi wake tu toka akiwa na umri mdogo aliona huo ulikua ni wajibu wake kuhakikisha Mama yake yuko Salama.
Tukizungumzia suala zima la kazi ambayo ameichagua kufanya sasa yeye ni fundi, moja ya mafundi hodari ambao ameshaanza kujijengea na fan base yake nzuri tu, show za ndani na nje anafanya na anaelewa jinsi ya kuji brand na nini cha kufanya wakati gani na kitamfaaje. Mambo ambayo anayafanya na kuyafanikisha ni ambayo yawewachukua baadhi ya watu muda kuweza kuyakamilisha lakini yeye kwa kipindi kifupi ameweza kupiga hatua kubwa na pengine ingekua kubwa zaidi kama kusingekua na kuchelewa flani hivi ambako kulitokea baada kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Ruby ambao kwa taarifa tulizokua tunazisikia na nyengine kuzisoma mtandaoni mahusiono yao hayakua mazuri kwa afya ya kila mmoja wao.
Kusah anazungumza nasi kuhusu hilo, kuhusu Mama yake, kuhusu Lushoto na plan ya maisha yake. Ameongea na sisi kuhusu kazi alizowahi kufanya maishani mwake, jinsi alivyoweza kutoka kwenye ‘toxic’ relationship ambayo ilikua ikimuumiza yeye na aliyekua partner wake. Pia anatuhadithia suala la yeye kuwa Baba kwa mara ya kwanza na mara ya pili. Tumeongelea pia mahusiano yake na Aunt Ezekiel na plan zake za huko mbele akiwa kama mwanamuziki ambaye amejikita zaidi.
Yangu matumaini uta enjoy kila sekunde ya maongezi yetu haya na mawili matatu utayapata ya kukufunza jambo.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Развлечения

Опубликовано:

 

8 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@niyongendakosamuel858
@niyongendakosamuel858 Год назад
Ahsante Salam kwa kumleta msani wangu bola kabisa namkubali sanaaaaa mnooooo
@eliyashija1572
@eliyashija1572 Год назад
Mlete na pastor Tony kapola
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Nimekupenda sana umeongea ukwel,angekuwa mwengne hapo angekataa kuwa hajawah kwenda kwa mganga,big up sanaa
@paschalkavishe6103
@paschalkavishe6103 Год назад
Salama mlete Maulidi Kitenge
@salamisindimwo303
@salamisindimwo303 Год назад
the guy seems to be very humble...nice interview,stay blessed Salama with all your crew
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 Год назад
Naomba salama umlete mh Zainab
@charleskamwela6207
@charleskamwela6207 Год назад
Salama & i wish 👊🏾👊🏾
@Zuulito
@Zuulito Год назад
Kusah smart sana MashaAllah
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 Год назад
I like the guy! Yuko straight forward, much experience, real life of many hustlers!
@barakashingwa664
@barakashingwa664 Год назад
Dogo anajibu maswali vizuri sana.
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Год назад
salama umeleta mtu super
@GivenTobago
@GivenTobago Год назад
nilichojifunza haya maisha ni kwamba kila mtu unayemuona amefanikiwa kwenye maisha kuna mahali pagumu alipopitia tena kwa huzuni big up kusah i don't listen even like your music but i think you are a good guy and humble ofcourse.
@familylove5417
@familylove5417 Год назад
Kuhusu kwenda kwa mashehe lakuhusisha na ushirikina mnazinguwa sna
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Год назад
Namkubali sana huyu kijana,your so humble Kusah 🤝👍🇺🇸🇹🇿
@azorindege2556
@azorindege2556 Год назад
Ruby ndio maana hatoboi japo anaimba sana sana sana...masigara mara wagangaaa...remind u nampenda sana Ruby as my best female rapper
@stevenmnyawonga3882
@stevenmnyawonga3882 Год назад
*best female singer and not rapper.
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Год назад
Yani salam Ni hakiri kubwa ma swali zake tofauti na tulivo zoweya nakupentaa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Kusah nampenda jamani akili kubwa
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl Год назад
Nimegundua hyu ndugu ni kifaa yaaani kuna watu wanamtegemea
@getrudanorbert8738
@getrudanorbert8738 Год назад
i wish siku moja umlete Salim Kikeke na January Makamba
@mariajoseph9735
@mariajoseph9735 Год назад
Kumbe kusa very smart kichwani🌹
@skataezer7487
@skataezer7487 Год назад
Salama I don't know if you know this ila unauwezo mkubwa sana wakufanya mtu atoe v2 vya uvunguni kbs we like that..... Shoooooow kaàaaaaaliiiiiiii
@iconskytz
@iconskytz Год назад
🔥🔥 sure
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
Salama nkupenda sna aswaa tabasam lko
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Kusah nimekukubali 💪
@fredydonald1610
@fredydonald1610 Год назад
Bishoo smart kichwani
@anitakamene4656
@anitakamene4656 Год назад
Nice
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 Год назад
Yaani kusah ni mwanaume na nusu❤
@user-zt6dz5cb8f
@user-zt6dz5cb8f Год назад
Wasambaa juu
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
Ruby atalia anaposikiya
@agnesmwakyusa5767
@agnesmwakyusa5767 Год назад
Lazima sisi familia za chini tusaidiane
@Gegeally-kq3xz
@Gegeally-kq3xz Год назад
Sister salama I wish ufanye interview na b dozen hopefully utalifanyia Kaz hilo.... kwa kwel tunaenjoy yah stonetown thnx kwa show nzur
@getrudanorbert8738
@getrudanorbert8738 Год назад
👊
@tonymasy8872
@tonymasy8872 9 месяцев назад
Mbn wasanii story za maisha zinarandana au mnatupanga nn!!!
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Год назад
Salama mlete mackenzi😂
@dianaseme5261
@dianaseme5261 Год назад
Hongera sana Lakini binafsi ningependa mwanzoni kabisa tuambie mgeni wetu ni nani na anajihusisha na nini. Otherwise you're doing good.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Baba nono
@cocorita8367
@cocorita8367 Год назад
Bonge la interwie wallah
Далее
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
Просмотров 8 тыс.
Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
28:34
Просмотров 199 тыс.
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
35:07
Просмотров 134 тыс.
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55