Тёмный

SHEIKH MUHAMMAD IDDI AWAJIBU TENA WAPOTOSHAJI KUHUSU ARAFA. 

BABDEO MILADU
Подписаться 246 тыс.
Просмотров 87 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

9 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 842   
@hatibmintanga7325
@hatibmintanga7325 4 года назад
Mashaallah Shekhe Muhammad iddy umeongea Vzuri sanaa,Allah akubarik Sana uendelee Kutoa Elim Alla atakulipa... Nlitaka Mashekhe wote wanaokataa utofaut wa Muandamo wangekuja na Hoja Thabit za Kujibu kuhusu Mashekhe hao
@abuuammar4924
@abuuammar4924 3 года назад
Sikujua kuwa Shekh Muhammad Ayoub alikuwa hakosei
@parasuminazi4403
@parasuminazi4403 5 лет назад
Asante shekh hatamimi nimeliona hilo Leo nilipomskiliza shekh kilemile nanikatoa maoni yangu nikawaabia wakae watupe jibu moja kwamana wanakhitilifiana
@shosiabdalla6880
@shosiabdalla6880 4 года назад
Swadakta parasu minazi jazakallahu khairan
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 4 года назад
Al allama sheikh Muhamad Idd uko sahihi kabisa na Allh amekujaalia ilmu na istiqama, Usichoke kuwarudisha ktk mstari wasemaji semaji, Allah baarik.
@HamiduMtandika-lc2tp
@HamiduMtandika-lc2tp 6 месяцев назад
It is not easy to keep somebody in the right track who willingly ignore the truth because of personal interest OR illiteracy.....IN FACTS MUHAMMAD IDDI IS LOGICALLY CORRECT FOR ANYONE WHO UNDERSTANDING LOGICAL STATEMENTS............OOOH ! ALLAH GUIDE US......... OOH ! ALLAH BLESS MUHAMMAD IDDI.......... .......JAZAKA ALLAH KHAIRA YA SHEIKH MUHAMMADI IDDI ; WAKO ONLINE STUDENTS HAMIDU MTANDIKA
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 5 лет назад
Tatizo lao huwa wanakusikiliza kwaajili ya kukujibu, badala ya kusikiliza kwaajili ya kuelewa. Shukran sana Sheikh, Allah akulipe.
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 2 года назад
Hongera Sana Shekhe, Allah akuhifadhi. Tunapitia fitna kubwa katika Uislamu.
@rehemasalimini5466
@rehemasalimini5466 5 лет назад
Shukrani shekh uko sahihi haswa mwenye kuelewa na kaelewa asielewa basi ache afate tv sababu mwezi ni mmoja ila muandamo unatofautiana kwa masaa na mdio tunafuata muandamo wa mwezi nchi tulipo sio kufata ushabiki wa watu furani Shekh Allah akuhifadhi duniani na Akhera
@saidhoki6502
@saidhoki6502 5 лет назад
Ivi shekhe nikulize ujasiri wakushambulina mitandaoni mmepatawapi ndivo Shekh wenu muham madi ayubu ndivo alivo wafundisha
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 5 лет назад
Usisahau kuhitimisha hoja zako kwa kutathimin kuwa wafuasi wako wanazidi au wanapungua
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 лет назад
Athuman Mohammad hoja cio kuzid au kupungua kw watu, hoja ni kufuata haki tu
@bokerarahaa6533
@bokerarahaa6533 5 лет назад
Mi niliongezeka inshaallah
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 лет назад
Ukweli ni kuwa wafuasi wake wanapungua!!!!
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 лет назад
Allah akubarik. wewe na Shekh wako
@muslihmohd3685
@muslihmohd3685 Год назад
Huyu sheikh yupo kimakundi zaidi na sio kutoa elimu, Allah akuongoze uache usufi
@kanyasicongo7918
@kanyasicongo7918 4 года назад
Hebu jifikirieni sana mufti waoma kazaliwa Zanzibar na akaja kuwa mfuti waoman hiyo nidalili yaelimuyake kubwa mimi naona allah kampakipaji kikubwa sana chakufahamu mambo allah amuhifadhi amin.
@amrihamis5420
@amrihamis5420 2 года назад
Wallhay mwenyezi mungu akusamehee na a kuingize peponi shekh ni mkweli sana amini
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 4 года назад
Ahsante Yaa Sheykh. naamini wako wanaobadilisha misimamo yao kupitia daawa zako. usichoke mzee wangu. Alla akuhifadhi
@hashimfarsy1828
@hashimfarsy1828 4 года назад
Usiifiche haki ukaidhikhirisha baatil ila jitambue hiii dunia tu usione unapta nofu ukaonaa ohook kuna mauti
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Huna sifa ya kusikilizwa yan ndevu zako umeweka wapi unaboa wewe yan hakuelewi ila mtu bariidu katika watu
@jumasaid8777
@jumasaid8777 3 года назад
Mohamed iddy wewe ni mbishi , hauna elimu ya ikhtilafu .adabu ya ikhtilafu , unajifanya wewe jambo hilo unalijua zaidi kuliko maulamaa , kwa sababu hilo ni katika masaili mukhtalafu fihha ., usijifanye wewe ni msomi sana. Wakati ni ikhitlafu ya wanazuoni .
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 3 года назад
Upo vzr sn Allah akupe umri mrefu mashaa Allah
@mbossowcb1915
@mbossowcb1915 4 года назад
Shekhe Muhammad ayub Allah amlipe khery
@m.othman866
@m.othman866 5 лет назад
Mi binafsi nimekuelewa sana tena sana na zaidi ya saaaaaaaaaaana.
@theworldandcraziestguys2729
@theworldandcraziestguys2729 4 года назад
Nieleweshe na mie Maalim mimi sijaelewa badoo la3laa wewe umemuelewa kuliko wengine
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Mimi nasema Abu idi kabla hujausemea uislaam chochote kaondoe sharubu zako katafute ndevu ulizonyoa una hata haya
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 4 года назад
@@jumamnyage5395 Nini aliekufundisha sheria ndevu ni fardhi ni sunna ilio kokotezwa. Kwahivyo mashia na mabohora wako sawa.
@theworldandcraziestguys2729
@theworldandcraziestguys2729 4 года назад
@@jumamnyage5395Ahahahahaahahahaha Linajifananisha na majusii....من الذي أمرك بهذا يا أبى عيد!!!!!!
@hatjjuma6150
@hatjjuma6150 2 года назад
Tunajua kuna baadhi ya mambo yanamapishano ila yasiweke tofauti baina ya sisi waisilam.Alhamdulilah tupo kwenye haki kwajili ya shahada zetu.
@wakatikhamis8281
@wakatikhamis8281 2 года назад
Mashallah sheikh uko juu kuwaliko wapinzani wko,,,wafunze waelewe
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 4 года назад
👍
@fahadomar6177
@fahadomar6177 2 года назад
Alafu hoja nyengine Sheikh Muhammad iddi kuhusu awo wanaopinga mwezi mwandamo mm nawauliza jee, dini haikukamilika adi ilipokuja utandawazi maana hapo Zamani watu walikuwa wakihitalifiana kwasababu kulikuwa hakuna mawasiliano ya kujua kama Maka wamesimama arafa?, 2.) Hoja ya pili wao wakisema kama tufunge mwandamo wa kimataifa Sasa Ramadhani inaingia siku Moja na wakati mmoja jee, swali ikiwa unataka kufungua si unaangalia wakati ikiwa jua limepinduka yaani limezana basi kwa kurudia kuangalia wakati Sasa ikiwa adhuhuri imeingia Tanzania, 🇹🇿, Oman, Kenya, Sasa huyu marekani, ambae yupo nyuma kwa masaa 13, na Canada wapi nyuma kwa masaa 8 na china wapo mbele kwa masaa 7 jee wataswali vp adhuhuri mbna ktk swala tunahitilafiana Sasa wao wanashangaa kuhitilafiana kwenye mwandamo wa mwezi
@kaulimakame9444
@kaulimakame9444 4 года назад
Hoja siyo kumpinga au kumjenga MTU au kudhalilishana. Toeni hoja za kielimu zisizoonyesha kasoro za elimu ya Jiografia. Hoja za kbezana na za uchonganishi hazitusaidii sisi waumini wenu. Ilindeni Dino msilinde maslahi yenu au kutafuta umaarufu.Allah tulinde na elimu iliyofunikwa na hawaa za nafsi.
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 5 лет назад
MWENYEZI MUNGU AKUHIFADHI WANAKUELEWA SANA BALI KUKUBALI HAWATO KUBALI KWA KUTETEA HADHI
@MohamedAli-ip4iq
@MohamedAli-ip4iq 5 лет назад
Acha upotofu lete dalili ya kuh arafa ni mwez 9
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 5 лет назад
@@MohamedAli-ip4iq LETA KWANZA DALILI YA KUWA SIKU YA ARAFA NI SIKU WANAYO SIMAMA MAHUJAJI KWA MUJIBU WA HADITHI ZA MTUME
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 лет назад
الزغوي الزغوي namu malimu
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 4 года назад
Umesema kweli kabisa
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 2 месяца назад
​@@MohamedAli-ip4iqfungua vitabu vyote vya fiqhi utaona vinasema siku ya arafa ni mwezi tisa wa dhulhijja wala hakuna kitabu chochote Cha fiqhi kinacho sema siku ya arafa ni siku ambayo mahujaji wamesimama kwenye viwanja vya arafa
@aishamalaki116
@aishamalaki116 5 лет назад
ALHAMDULILLAH ALLAH akujaalie kila lenye kher na wewe tumekuelewa na wanakuelewa na watakuelewa! Wasione haya kurudi kundini
@abdullatwifujuma3745
@abdullatwifujuma3745 3 года назад
Sawa we Sufi unaongeaje HIV , umemwagiwa. Maji ya moto au , lipotoshaji likubwa hilo
@abduliddy9620
@abduliddy9620 4 года назад
sheikh wangu abuidd uko vizur sana nimefurai ukwausaili wavitabu nimependa.sana
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Shekhe ndevu mtoto wa kiume wewe umezinyoa umeweka wapi unalinga apo kidevuni umenyoa ndio pambo gani ilo uwoni haya shekhe wangu ?
@fahadomar6177
@fahadomar6177 2 года назад
Mshaallah kwa majibu mazuri Sheikh Muhammad iddi
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 5 лет назад
jitahidini masheikh mkae pamoja muwelewane
@saidimiraji1903
@saidimiraji1903 4 года назад
hassan mahmud mohamed hapo ndugu yangu ninakuunga mkono
@mohamadally5732
@mohamadally5732 5 лет назад
Sheikh nimekuelewa sana na asiekuelewa hatukuelewa mpka roho yake inatoka
@electronicstechnician939
@electronicstechnician939 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-WwcJ64uEHzk.html
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 4 года назад
HUNA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! MBABAISHAJI TU
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Ndevu Abu idi ebu achana na misimamo ya kihizbi jifunze upya dini umepoteza njia shekhe wangu Abuu idi ttz njia ushaikosa
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 5 лет назад
Sheikh Abu ldd usijupaue moyo kuna watu ni summun bukmun ummyun na wengi wengine siwasomi wao wamjibu Sh. Swaleh Al Utheimin.
@abuualban12
@abuualban12 4 года назад
Wanachuon wanamuheshimu sheikh swaleh al utheimin lakin, amekosea katika hilo Na zipo qauli sambaba na sheikh Alban na ibn baaz wakielezea juu ya kufunga siku ambayo mahujaji wanasimama siku ya 'arafa.
@abuualban12
@abuualban12 4 года назад
firqatunnajia.com
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Abu idi kwanza ndevu zako umeweka wapi msizame kwenye arafa kua kidevu kama .....alafu sharubu umeacha ni mafunzo ya nani ?
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 лет назад
Allahumma baarik yaa sheykh
@barakasinna844
@barakasinna844 3 года назад
Dunia inaweza kuwa ndan ya siku Moja Ila tutakua katika vipande tofauti vya siku wengine watakua usiku wengine watakua mchana
@brotherissesu
@brotherissesu 5 лет назад
Mm hoja yangu kwa shekh eid naona uislamu ni dini pana sana sasa tunatakiwa tumfuate Allah na mtume. Mashekh wanaweza kukosea na mwamedi Ayoub ni binadamu pia anaweza kukosea. Mkishindana kwajambo lolote rudini kwa Allah na Mtume.
@hamidharunsaid1666
@hamidharunsaid1666 5 лет назад
Hehee me naunga mkono maneno yako kaka. Lakini hii dini twasomeshwa na kupata ufahamu wa dini kutoka kwa mashekhe hakuna malaika aliyetumwa kwako au mtume kukufundisha. Mashekhe wanachukua nafasi katika dini kaka
@jumasukari8082
@jumasukari8082 5 лет назад
@@hamidharunsaid1666 Shukrani kwa Mwongozo wako unaolinda heshima ya Masheikh.
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 5 лет назад
Upo sawa lkn dini yetu tukufu, mafundisho yake yapo kwa lugha ya kiarabu na watu wengi, tunamatatizo ya kuijua lugha hii ya kiarabu kwa ufasaha wake na upana wake bali tunachukua tu tafsiri za juu juu na ndo maana hua tunakua wabishi na hatunufaiki kabisa na elimu yetu tukufu
@rajabujuma4976
@rajabujuma4976 5 лет назад
Na hatuwezi kumfuata Allaah na Mtume bila kupitia kwa Mashaykh walosoma vizuri nafasi yao ni kubwa sana ktk hii dini na tukifuata tu kama tutakavyo, ndo utaona tunavyo pingana kwakuto elewa kama sasa
@katalayshemndolwa3146
@katalayshemndolwa3146 4 года назад
Mashaallah
@captain_kharus4784
@captain_kharus4784 5 лет назад
Masha Allah sheikh Mohd unajitaahid na huo ndio uadilifu unatoa hoja na dalili na umesimama kwa ushahidi wa masheikh na wanazuoni wakubwa
@bakiryusuph9971
@bakiryusuph9971 4 года назад
Izondevu zako tuzinaonesha namna unavyo fata Mila zakiyaudi kwaiyo wasio nafikira ndio utaendelea kuwapoteza
@bakiryusuph9971
@bakiryusuph9971 4 года назад
Ndgu yetu we apo umewekwa kwaaajili yawatu sio dini
@kaifamstafa9871
@kaifamstafa9871 2 года назад
ABUU MUHAMMAD IDD WEWE NI SUFI UMEPINDA! ALLAH AKUONGOZE KTK SUNNAH .... Wewe ndiye mpotoshaji huna hoja kwa Abul fadhil
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 2 месяца назад
Huo usufi waingiaje hapo kama una dalili Lete wewe ndio mpotoshaji na mungu akuongoze
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 5 лет назад
Allwahumma aamiyn,
@allisekondo4951
@allisekondo4951 4 года назад
Allah akulipe kila la Kheri kwa kazi kubwa,unayo ifanya.
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Abuu idi shekhe uliopoteza manhaji ndevu zako umezizika wapi ?
@user-pz8cb9cj3i
@user-pz8cb9cj3i 4 года назад
wallahi mm namkubali huyu sheikhi coz huku saudia hata iDD inaswaliwa sakumi na mbili na kwetu africa hua ni sambili mda haupo sawa kwahio sheikh apo sawa
@omarymussa4815
@omarymussa4815 4 года назад
Miongoni mwa masheikh wa hovyo tena mwenye chuki na answar ni huyu anaona bora mashia kwasababu jalala shia wa kigogo wamesoma kwa sheikh mmoja bin Ayub rh
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 2 месяца назад
Ansar ya upotoshaji
@mroojnr.2756
@mroojnr.2756 4 года назад
Hana chochote cha kujibu zaidi ya yeye kupotosha umma, ye analinda tu tumbo lake.
@whonshineargay2543
@whonshineargay2543 5 лет назад
Ahsant ya Sheikh Saddaqta.Hao si makosa yao illa ni Uchache wa Elimu...Na waki Elimishwa hawataki Hao watu Hatari Sana.
@dullysavage5939
@dullysavage5939 2 года назад
Unganisha waislamu tuwepamoja usitutenganishe na tumche mola duniani tunapita .
@safinabakari9140
@safinabakari9140 5 лет назад
Shaikh Muhammad Eid najua utapitia comment zetu. mimi nina maoni yangu kwako kwa maslahi mapana ya dini yetu..... kosa halirekebishwi kwa kosa, wale unaowaona katika mashaikh tunaowahishimu kuwa wamekosea andaeni meza moja ya sulhu haya mambo muyaoongee indoor n sio humu mitandaoni, italeta fitna kubwa. pili nakushauri tena mwalimu wangu, mkubwa hakosei,kama unakiri kuwa shaikh ni kaka yako basi yeye ni mkubwa kwako jishushe msishindane, nachelea zaidi fitna ambayo itaondosha mapenzi baina yenu. Tatu waliokujibu sio hao tu, nimesikia clip z mombasa kutoka kwa salafiy na nyingine ya qasim mafuta markaz pongwe, nae ametoa hoja nzito tu kama ukipata muda zisikilize na kama unaona kuna majibu dhidi ya hoja zake kwa maslahi ya umma basi unaweza kutoa darsa za kuzijibu ili watu wajue mbivu na mbichi. mwisho kabisa mnaweza mkaratibu mdaharo baina yenu na jopo la mashaikh wa msimamo huu na jopo la mashaikh wa msimamo ule na mufti akiwepo na ikiwezekana mwalikeni na mufti wa suudia aje aamue mtafaruku wetu ili tujenge umoja wetu na si kubomoa. Naomba kuwasilisha na Tawfiq inatoka kwa Allah.
@sabraham5308
@sabraham5308 5 лет назад
Jazakallahu lheir umezungumza kwa busara na hekima,tatizo elimu ndogo,mdahalo utaleta muongozo,lakini kuna wengine wanatengeneza umaarufu.
@yahayaathumani1588
@yahayaathumani1588 5 лет назад
Hawa masheikh wanatumia hii mitandao kwa maslahi binafsi, wanasubiri likes na subscribers wachukue mshiko RU-vid, wangekuwa na busara wangeitana na kumalizana wenyewe halafu wangetujuza nini sisi tufanye
@harunankusa1705
@harunankusa1705 4 года назад
Muhammad idi hadithi ulizo tajiwa na qauli za ulamaa bado hajaelewa tu rudia hadhi hizo na uzitafakari uzuri alivyo taja mtume saumu ya arafa hakusema saumu ya tisa angalia mudhwafu na mudwafu ilayhi angalia haqi na uifuate
@salumalabry9627
@salumalabry9627 4 года назад
Allah akuhifadhi inshaallah. Unaeleweka vizur tu
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Yan ungejua nikikutana na mtu amenyoa ndevu ameweka sharubu naona kama nimekutana na mmajusi na nikumuona mtu ameacha ndevu ameondoa sharubu naona kama nimekutana na swahaba wa mtume .
@mzeewa6999
@mzeewa6999 4 года назад
Mtume Muhammad s.a.w. anasema nyoweni mustachi na fugeni ndevu mtofautiane na mayahud
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 2 месяца назад
Hayo mambo ya ndevu na masharubu yaingia wapi hapa hali mjadala ni kuhusu saum ya arafa Wacha fitina zako hizo zako ni chuki kama una hojja jibu
@duidala3228
@duidala3228 4 года назад
Mufti waOman ni Ibadi
@abdukadiliissa8076
@abdukadiliissa8076 4 года назад
Unaacha mustachi Duh huyu kwelii mjinga wa ilmu ya Dini
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Ww ndomjinga
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Ww ndomjinga
@yuzaaseif3040
@yuzaaseif3040 4 года назад
Wew umekubaliwa na Shekh tangu hujazaliwa mashaa Allah mung azidi kukupa elimu
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 5 лет назад
Yaani we Mohammed Iddy utaendelea kuwa mjinga kabisa pamoja na wingi wa vitabu vya madhehebi ya kishaafia kutoa maelezo kuwa wazi lakini bado wazidi kubisha na kupotosha watanzania na kua mkaidi tu.
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 лет назад
Uwesu Sinde kw upande wangu mm cjaona upotoshaj wake hapo! Just kasimamia mcmamo wake kw kujenga hoja na cio vyengnevyo! Ktk masheikh wote nliockilza hoja zao wamekubal kua haya mambo yana khilafu tangu zaman lkn jambo nililoligundua na la kushangaza ni kua upande 1 unajiona bora na upo sahihi kulko upande mwengne!
@uwesusinde9976
@uwesusinde9976 5 лет назад
@@hafidhsaleh7878 c kazi yetu kumfanye mtu aongoke ni kazi ya Allah hiyo sisi kazi yetu ni kuwabainishia watu haki.
@manenohassan9537
@manenohassan9537 4 года назад
Jazakallaahu Khayr, Sheikh Abuu 'Iddi Mohammed.
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Hivi angekuja mtu apo yupo uchi atoa fatwa mungemsikiliza ? jawabu la sababu mwajua kakhalifu utaratibu . pia nataka mufaham kukaa kwake apo akiwa anenyoa ndevu katuwekea visharubu vyake hafai kusikilizwa kwanza akaondoe sharubu zake
@machanochum1969
@machanochum1969 2 года назад
Inasikitisha sana kuona leo masheikh wetu wanasimamia misingi ya kutokupingana lakini wanazidi kudidimiza na kuleta taharuki na sitofahamu kwenye dini ya allah
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 4 года назад
IMAMU AHMAD ALLAH AMRAHAM HAKULAUMIWA KWENDA KINYUME NA KAULI ZA IMAMU SHAFII ALLAH AMRAHAM IWAJE WEWE UWALAZIMISHE MASHEIKH WALAZIMIANE NA KAULI YA SHEIKH WAO.!! KAMA SIO KUKOSA MISINGI YA ELIMU SAHIHI..!! RUDI UKASOME BWANA
@mohamedmnjeja70
@mohamedmnjeja70 4 года назад
Tarehe yetu na makka ni moja shekh
@machedajanka669
@machedajanka669 5 лет назад
Umeeleweka vizuri sana
@jumamnyage5395
@jumamnyage5395 4 года назад
Hakika hii elim ni dini tazameni kutoka kwa nani mnachukua dini yenu ? maneno ya ibn siriin Shekhe wangu Abu idi umepoteza sifa ya kuchukuliwa elim yako wewe ni hizbi , Yan umenyoa ndevu umeacha sharubu Allahu akbar .
@hassanmohd7541
@hassanmohd7541 2 года назад
Mimi nitasema mashaalah
@mahmoodyahaya6058
@mahmoodyahaya6058 2 года назад
Shekh jikite kuwalingania watu waingie ktk Dini na waislam waache madhambi kuliko kuleta ushindani ktk Dini. Unazingua sana
@HamisiAli-uy3sg
@HamisiAli-uy3sg 2 года назад
Haki ndo hio lakin Njaa na tumbo linadai Enakuwaje umesomweshwa ukiwa Mtoto Hadi umekuwa..mtu mzima..lakin unakubali vipi na kutojiamini Kujidharau na kumfharau Mwalimu wako wa zamani... Kumkubali haya ya kugeuzwa kwa maslahi Basi pia kubali mlioyaabudu mda huyo pia hayakuwa sawa...anzeni kufanya hoja mlipe mlichokikosea siku zile..
@princeshurem9575
@princeshurem9575 5 лет назад
Allah ni mmoja dini ni moja mtume mmoja jua ni moja mwezi mmoja mwezi ulionekanwa saudia ndo mwezi huoo huoo tuliouona huku tofaut yake ni ukubwa tu..... Na siku ya kuona je kma hatujaon kwetu kutokana na mawingi inabd tusifunge
@bongatv3157
@bongatv3157 4 года назад
Wapo watu wa astronomy Tanzania lazma utaonekana kwa vyombo hatakue na mawingu vp, tatizo ni tarehe za muandamo wa mwez kila eneo ndio tofaut ya arafa inaanza apo.
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 28 дней назад
Mufti.sio.mpango.wa .mungu.mpango.wa.ccma
@al-bsaidykhalef6897
@al-bsaidykhalef6897 4 года назад
Sheikh Muhammad upo sawa hao mashekhe wanatafuta umaarufu hawana Hekma
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 года назад
jirekebishe
@kassimmohammed4949
@kassimmohammed4949 5 лет назад
Wewe Ndio mpotoshaji
@Suleimansalum
@Suleimansalum 4 года назад
amepotosha nini?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
@@Suleimansalum kasome!!
@Suleimansalum
@Suleimansalum 4 года назад
@@jumakapilima5674 ivi hadi hii leo mnaenda kufukua hizi video kwa lengo gani, ivi nimimi au weee nani ambae anayetakiwa akasome hapa?
@kingwabaonlinetv7914
@kingwabaonlinetv7914 5 лет назад
Sheik mi binafsi nakupenda maana unajua kufafanua na unatumia vitabu lkn wengine hawatuoneshi wanatumia vitabu gani endelea ivo ivo waislamu tunakufahamu vizur sana
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 4 года назад
Ali Ali nikweli
@kassimmgwami
@kassimmgwami 4 года назад
Hao akina Kilemile ni masheikh wa kimagharib /wakizungu.
@bakarikalama6099
@bakarikalama6099 4 года назад
Mmeshindwa kuunganisha waislam na kusimamisha hukmullah mnachapana mwenyewe. Masheikh pesa bhana
@elikambembela306
@elikambembela306 3 года назад
Tuludi katika quran na sunna shekh allah atatuongoza
@jumajafari7206
@jumajafari7206 3 года назад
elimu hunna acha bidaa zako ww huna hoja za msing nakushaur Taft kitabu Cha fiqh us Sunnah upte SoMo kwanz pia naona huelew kuhusu dini pia ptia vzur fatwa inb uthayeemen uelewe vzur we co shekhe we ni jahiri ebu uache porojo prove your words with correct words as akhar Sunnah waljamaa do asalaf Saleh cjw tukuite jna gan we kwanz ndev unenyoa na tumekatazwa kuwasikilza nyiny watu wa bidaaaaa dah subhanallah
@ibrahimracho4203
@ibrahimracho4203 4 года назад
Mwanzo we mwenyewe umekhalifu hadithi ya mtumeﷺ aliposema khaliful yahuda wa nasara.sasa we we umenyoa ndevu ukaacha masharubu itakuaje sasa.nani mpotoshaji
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 4 года назад
Shekhe msengenyaji
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 4 года назад
Kusengenya ni kusema akiwa mwenyewe hajui. Hem kasome clazma useme
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 2 года назад
uwezo na elimu ya Abuu Iddi ni mdogo saaana
@salumkomba7682
@salumkomba7682 5 лет назад
ALLAH AKUZIDISHIE SHEIKH... USIKATE TAMAA SISI WAISLAAM TUNAKUELEWA SANA
@zaidumohamed8118
@zaidumohamed8118 5 лет назад
HAKUNA SABABU WEWE SHEKH MOHAMED KUMUOMBA RADHI KILEMILE NI MPOTOSHAJI TU NA NI MKOSA RADHI WA SHEKH WAKE MOH AYUUB SALAMA YAKE AJIREKEBISHE
@abdichamshama9460
@abdichamshama9460 5 лет назад
Kwa hiyo sheikh hakosei!?amekuwa malaika!!?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Al marhumu sheikh kilemile alikuwa mwanachuoni mkubwa, huwezi mfananisha na huyu mhuni abuu idd
@jumahussein7579
@jumahussein7579 5 лет назад
Shekh hakki unaijuwa ktka nafs yako bali njaa 2 na kujipendkeza kwa mayahudi
@officialkamdudu
@officialkamdudu 4 года назад
kina Kishki ndio wa njaa kwa kujipendekeza kwa mfalme Sudi wala hawana lolote ...
@jumahussein7579
@jumahussein7579 4 года назад
@@officialkamdudu umemuona kishk m2 wa sunnah yule ibadh
@officialkamdudu
@officialkamdudu 4 года назад
Juma Hussein wamjibu Sheikh kwa hoja sisi wasikilizaji tutachambua ila kama wako kimya wanabakia kwenye hoja ya Arafa ni moja dunia nzima bila kujibu hoja tayar sisi tunakua na maswali juu yao
@rizikisalum9678
@rizikisalum9678 4 года назад
Juma Hussein oa vibaraka wa Saudia. Wanaujuwa ukweli maslahi tu yanawaponza wanapotosha wati
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 4 года назад
Sheikh gani wewe una sharubu kama wapishi wajikoni.sheihk ajiweke kama makufar wewe hatukutambuwi kasome mwanzo ujuwe dini yako vizuri alafu uje utupe elmu
@sefosaide7014
@sefosaide7014 4 года назад
Wewe unamtukana shehe kisa ndevu tubia uchungu sio midevu
@ahmedkhamis2567
@ahmedkhamis2567 4 года назад
Hana maneno
@allyhassan7522
@allyhassan7522 4 года назад
Hata mi namshangaa kujifananisha na makafiri kufuga masharubu haliyakuwa tumeambiwa kuzipunguza.May Almighty Allah guide him to the right path.
@allyhassan7522
@allyhassan7522 4 года назад
@@mustafajumah3102 Sasa hayo ni meneno au au povu?
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 4 года назад
@@mustafajumah3102 mazuzu muko wingi sana.hata wewe zuzu mwengine
@user-go3bk6wr8u
@user-go3bk6wr8u 4 года назад
Shekh kwani hitilafu zimeanza leo? Mbona unajibu kiubishi ubishi na maneno ya ovyo ivyo? Kwani nikuulize kuna nchi tumeachana (tofauti) masaa 24?
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 лет назад
Shukran sheikh umetutoa wasi wasi
@issaisandeko6217
@issaisandeko6217 2 года назад
Kwa hiyo kama ulifundishwa na mwalimu mpotoshaji au hakua na elimu flani hata ukiujua ukweli unatakiwa uendelea kubaki na msimamo wa mwalimu wako. Kweli huu ndo upotoshaji sasa
@khamisijuma3167
@khamisijuma3167 3 года назад
Waisilamu tuweni mankini kwadini yetu yale yasawa tuyafate ili tufaulu mbele ya Allah tusieke ushabiki katka dini
@abdulhafidhkilimbi3939
@abdulhafidhkilimbi3939 3 года назад
Muhammad iddi keshaelewa somo ila anamuogopa kiumbe ambae ni shekhe weke
@yusufntamila541
@yusufntamila541 5 лет назад
Shekhe wa kichangani nimemuelewa sema shehke huyu hajamuelewa wote ni msimamo mmoja inshaallah mungu atusimamie
@kagetaabdallah3712
@kagetaabdallah3712 5 лет назад
Uyo sio sheikh mropokaji tu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Mhuni tu huyu!!
@bilalabas7567
@bilalabas7567 4 года назад
Sheikh uko sahihi maelezo yako yapo wazi wanayaelewa ila hawataki tu kuyakubali hao.allah atawaongoza
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 4 года назад
Mimi ninachoshangaa wanaposema masaa yanpishina wanataka America kwani nyie tz mmepishana masaa mangapi na saudia?huko American na ulaya yote siku ya arafa ni moja waote wanafata saudia ni nyie huko Africa ndio wenye mashindano kila shekhe yupo juu subhanallah
@mustayoo
@mustayoo 3 года назад
Assalam alykum. Sheikh kutoweka ndevu ndo upotovu.weka ndevu kama alivyotuusia mtume
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 2 месяца назад
Umekosea hojja sasa waingilia masala ya ndevu ukweli unaumma toa dalili zako wa ngonjera
@suleimanmwalimu3018
@suleimanmwalimu3018 4 года назад
hongera shekhe umeongea vizuri sana tunahitaji mashekhe kama wewe mweledi
@mooking7913
@mooking7913 4 года назад
Umoja wa waislam Tz ulikufa baada ya kuanzishwa bakwata sheikh sema ukweli na muogope mungu wako.
@ummusumaiyahmwinyiamani7119
@ummusumaiyahmwinyiamani7119 4 года назад
shekhe hawawezi kuchambua vitabu wale kwaanza kusoma hawajui
@shosiabdalla6880
@shosiabdalla6880 4 года назад
Swadakta ummusumaiyah
@AbuuHaneef
@AbuuHaneef 4 года назад
La kunyoa ndevu na kufuga sharubu mbona lenyewe liko wazi zaidi, inakuwa vipi hujalielewa? Unaweza kutunukulia fatwaa ya Ibn Uthaymin kuhusu kunyoa ndevu pia, au unahitaji fatwaa yake unapotaka kufitinisha?
@alishariffshariff9083
@alishariffshariff9083 4 года назад
Abū Hanīf Utheymin is one the moat notorious sheikh our time calling Muslims to the gates of hellfire
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 4 года назад
Yes umemjibu
@zakirkatabwa4501
@zakirkatabwa4501 4 года назад
Kwanza nyoa sharubu zako
@muhidinali8180
@muhidinali8180 4 года назад
Aaaa kumbe sheikh kannena! sheikhe yoyote atapingwa ikiwa hakusibu
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 лет назад
hawawezi kusem ivo kwa sababu wanafuata matamanio yao
@madinkeymadinkeymcn1681
@madinkeymadinkeymcn1681 3 года назад
Sheikh uko sawa
@mrangi4454
@mrangi4454 4 года назад
Asalaam Aleykum warahmatulahu wabarakaki shekh kwanza hakuna takhala katika Asalaam
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 4 года назад
tatizo mashehe astronomy hajakaa vizuri, waambie.
@alakhhassanomar6077
@alakhhassanomar6077 3 года назад
Huyu Iddy mjinga sn alaf anajiona yupo sw kasoma lkn hana mpango wowote bora bangi kuliko huyu jamaa
@alakhhassanomar6077
@alakhhassanomar6077 3 года назад
Tunamuomba Allah huyu jamaa amuuwe haraka ili wapone waliokua hajawapoteza
@duniaileile5522
@duniaileile5522 5 лет назад
MAASHALLAH MAASHALLAH SHEIKH WAWEKE SAWA !!!!!!!! WATAKUELEWA TU ONE DAY!!! Yaani kwa ubishi wao wanataka ulimwengu mzima wafunge pindi watu wako arafa 😇😇 Wanawaambieje wale amabao kwao inakua ni usiku pindi watu wako arafa???? Ni masuala ambayo wanabaki kutumbua macho 😬😬😬😂😂 Iko siku watarudi tu kwenye haki..
@abilahihaule1251
@abilahihaule1251 5 лет назад
Hivi nyinyi amuoni munatuharibia funga zetu hadi tunashindwa kufunga kwasababu ya elimu zenu? USHAURI 1.ufanyike utafiti wa kisayansi dhidi ya mwezi na maeneo yote duniani kisha litolewe jibu sahihi. Kwa sababu tukisema tuwasome na kuwafuata mashekhe kila shekh anaupande wake alioutolea fatuha, hii haitoi jibu sahihi zaidi ya maneno ya vitisho. 2.Turudi ktk Quran na hadithi wakati wa kufanya utafiti huo. 3.Tumwogope Allah tuache kuiharibu dini yake. Inshaallah.
@hafidhsaleh7878
@hafidhsaleh7878 5 лет назад
Abilahi Haule saf sana, umetoa hoja nzuri coz wakituambia tukasome bac hili jambo halitokaa saw mpka wao masheikh waunde jopo LA wasomi wa pande zote 2 walitafutie ufumbuzi hili jambo. Lkn maswali ya kujiuliza ni!! 1) Mbna Oman hawafuat Saudia tangu zaman!? Na hujawahi kuwaskia Oman wakilumbana na saudia kuhsu hayo mambo ilihali wao ndio wana elimu kubwa za dini kulko cc Tanzanian 2) Mbona masheikh wa Makka wanaokuja Tanzania wakiulzwa kuhsu haya masuala ya khitilafu hawasemi kua Tanzania lazma mufuate saudia!?? Na badala yake hua wanasema watu wamfate mufti wao ktk eneo husika!
@abilahihaule1251
@abilahihaule1251 5 лет назад
@@hafidhsaleh7878 Amani ya Allah na rahama zake ziwe juu yako. Hata hayo maswali yako yanaonesha kuwa utafiti wa kisayansi unaitajika ili kuliondoa hili.
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 5 лет назад
Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh... Alhamdulillah nimefuatilia hii mada toka kwa masheikh zangu. Kama sote yaani makundi yote mawili wanaofuata Arafa kwa kufuata Saudia na wale ambao wanaona funga kwa kufuata tarehe za muandamo toka nchini mwao. Kama sote tunalikuabali hili na tunakiri kuwa kuna ikhitilafu za wanazuoni kwa nini basi masheikh zetu , wanazuoni wetu tunaowategemea kwa nini ninyi kwanza kwa elim mlizojaaliwa msilikubali hilo kwa vitendo? Kwa nini msiwaige wanazuoni wwliotangulia pindi walipokhitilafiana walishikamana vip ili kutokuuvunja ummah huu? Pia Sheikh Muhammed suala la kumpinga sheikh wako si dhambi mradi tu waamini kuwa hii njia ndo sahihi kwa sababu hata maimam wetu wakubwa , imam Shafii na imam Hambari walikhitilifiana , ila hawakuchafuana na kuona huyu yuko sawa ila hata nawe sheikh wangu unaposema hawa masheikh hawa niwapotoshaji mithali unakiri kuwa ni jambo lenye ikhitilafu bado nawe unakosema kwa sababu nao wanadalili wanazoziamini toka kwa wanazuoni wakubwa. Binafsi ninatamani kama masheikh wetu muwe na kauri zenye umoja kauri ambazo ktk jambo lenye ikhitilafu hazitofanya kujiona mimi ndo niko sawa na flani hayuko sawa kwani nyote ni wasomi , msirushiane maneno. Hakika mnadhima mbele ya mwenyez mungu kuhakikisha hamuugawi ummah allah atuongoze ummat Muhammad ikhitilafu hizi kama wanazuoni kama masheikh zetu msirushiane maneno kwenye vyombo vya habari kaeni shura mjadili kisha rudini kwa waumini mkiwa na jibu moja.
@hamidharunsaid1666
@hamidharunsaid1666 5 лет назад
Yani hii ndio kauli iliyoenda shule kabisa. Upo sawa
@athumanikaroyo5999
@athumanikaroyo5999 5 лет назад
Kumbe mnadini yenu ya shekh Mohamed ayubu
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 5 лет назад
Athumani Karoyo nyinyi nyinyi mnavineno Sana
@maulidkhatibu9279
@maulidkhatibu9279 4 года назад
ama kweli wapotoshaji wamewapotosha wengi sana ukitaka kujua hili soma comments zao humu utaona kundi kubwa lililopotea
@mohamedkudura8114
@mohamedkudura8114 3 года назад
Wewe ndo mpotoshaji
Далее
Siku ya Arafa ni Lini?  ::: Sheikh  Mbarak Ahmed Awes
40:01
[RU] Winline EPIC Standoff 2 Major | LAN | Final Day
9:48:47
SHEIKH MOHAMMAD IDDI AMJIBU LEMA
14:45
Просмотров 29 тыс.
SHE  KILEMILE, SERIKALI INADANGANYWA
12:36
Просмотров 46 тыс.
Ni lini arafa / Sheikh Fadhil Muhammad omar
31:32
Просмотров 8 тыс.
Фу пронесло
0:14
Просмотров 3,8 млн
Пов: папа в семейном чате
0:13
Просмотров 2,7 млн