Тёмный

THE CLASSIC DARK MASTER:MIAKA 28 KWENYE GAME/MAANA YA EAST ZOO/NGWEA VS GEEZ MABOV/UFALME WA NGWEA 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Darkie Master ni msanii mwingine mwenye sifa za kipekee katika muziki wa Bongo,ana uwezo wa kurap na hata kuimba hususan mtindo wa Dance hall,yeye ni moja ya familia iliosumbua ya East Zoo na Chamber Squad ,ana mengi anayoyafahamu mwenye game hasa nje ya watu wa Dar,hii ni episode muhimu ambayo hupaswi kuikosa

Опубликовано:

 

21 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@irenekawogo828
@irenekawogo828 4 месяца назад
Siku moja mlete Jose Mtambo mkuu wa kazi nae Old school sana.
@hijaally8032
@hijaally8032 Месяц назад
Mlete Toni kichwa ngumu .....aje na Dark .........Toni anaonekana ni mtu mmoja poa sana
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 3 месяца назад
Relate so much with the track, grinding has kept us in the streets for too long, nimekuwa mitaani sana nimepamis home🇰🇪
@jengadaudi-oe9wq
@jengadaudi-oe9wq 4 месяца назад
Tuletehe Jose mtambo ,,mwana hip pop kitambo
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 4 месяца назад
Dark Ana story kama Lord wa nako2nako ukiangalia kwa haraka wanafanana kwa haraka big up kuvi Chaka
@johnrichard5482
@johnrichard5482 4 месяца назад
Daaah Dark Master Ana Mastori kibao huyu Mwamba... #Big Up Sana 🙌🙌🙌🙌
@audaxmlowa9953
@audaxmlowa9953 4 месяца назад
Nakumbuka sana kipindi hicho Mwanza nilikuwa nakuona CBE ulipenda sana kuja pande zile big sana dark master NIMEPAMISS HOME ni moja ya ngoma yangu pendwa kabisa toka kwako 2007
@nicokamily1749
@nicokamily1749 4 месяца назад
noma sana, sensei tai ni best story teller
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 4 месяца назад
Dark master unajua sana bro usiwache kutoa mangoma unakichwa kizuri kwenye kuwaza na uandishi wako..big up braza Darky tunakusalute
@patrickgondwe1813
@patrickgondwe1813 4 месяца назад
Dah..story ya shefa imenikumbusha mbali sana
@sajo_lkm2781
@sajo_lkm2781 4 месяца назад
Machizi wangu semeni Yooo! Dark master ft Watengwa hii ni ngoma hatari Dark aliyoonyesha uwezo wa ziada
@ZakaZakazi-rd7wo
@ZakaZakazi-rd7wo 4 месяца назад
Ile kali sana sauti nzito zili kutana
@abubakaribrahim3616
@abubakaribrahim3616 4 месяца назад
Sensei Tai
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 3 месяца назад
Oi
@astonchiba5037
@astonchiba5037 4 месяца назад
💪💪🔥🔥 mwana chemba
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 4 месяца назад
Mwamba huyo
@daddyarfaksadi
@daddyarfaksadi 4 месяца назад
❤❤❤
@ntopangonyani6964
@ntopangonyani6964 4 месяца назад
Jabir: Zahran yupo wapi (dead or alive). Nani (dead or alive). Alicom (dead or alive). K-Basil. Benjamin wa mambo jambo. Ngoniz. Pia kuna madjz kama; Niko track. Pia bongo flavour isingekuwepo bila ya kampuni kongwe za video kama; Mwananchi video production. Two eyes production. Employz production. Visual lab (next level).
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 4 месяца назад
Am happy kumuona Darkmaster, huwaga bado naenjoy Madusko kwenye Playlist yangu. Nawakilisha🇰🇪
@oceankid4336
@oceankid4336 4 месяца назад
R.I.P COWBAMA
@ZakaZakazi-rd7wo
@ZakaZakazi-rd7wo 4 месяца назад
Wana chemba wamebaki wangapi saizi?
@mshangaf1726
@mshangaf1726 4 месяца назад
hard nature yupo wapi?
@12322879
@12322879 4 месяца назад
Kuiga umarekani mwingi ndo mkapotea mazima.Mnasahau kama TZ sio America
@jameskilasa759
@jameskilasa759 4 месяца назад
Bongo fleva imetokana na kuiga mziki wa marekan kama hujui
Далее
меня не было 9 дней
12:48
Просмотров 2,1 млн
Minecraft Pizza Mods
00:18
Просмотров 1,5 млн
▼ЕГО БОЯЛИСЬ МОНГОЛЫ 🍣
32:51
Просмотров 371 тыс.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - RINO X
11:20
Просмотров 19 тыс.
меня не было 9 дней
12:48
Просмотров 2,1 млн