Тёмный
No video :(

WAZIRI AMVAA MKANDARASI "BWAWA LILILOTUMIA MILIONI 600 LIKO WAPI?, POLISI WAKAMATE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 143   
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 2 года назад
Aliyeiona hiyo Temporary camp house ya Million Saba, hapo anipe like 👍 nzito kwamba wahuni wamerudi hewani kama kawa🙆‍♂️🙆‍♂️😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@luischoma5094
@luischoma5094 2 года назад
Tena wahuni wa vilemba
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Na bado 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fettyfay2334
@fettyfay2334 2 года назад
Hahaaàaaaaaa. Hataliiiiiiiiii
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Год назад
Hapo ndo nimeamini uhuni unaofanywa Milioni 7 hapo kilochotumika si ni mabati na mbao tu, hesabu ya haraka haraka hazidi milioni4
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 месяца назад
Mil 4 au mil 1?
@ombenishirima6444
@ombenishirima6444 2 года назад
Kwa kweli Jumaa Awesu Mungu akubariki unafanya Kazi njema
@deoprosper556
@deoprosper556 2 года назад
Mobilisation,De- mobilisation establishement of temporary house banda la maneno mengi ya kitaalam yanamsaidia nn mwananchi wa kawaida ww mpe maji this is what the late president of Tanzania JPM didn't want to hear
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
😂😂😂😬
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 2 года назад
Hicho kibanda cha bati mil 7
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 Год назад
Demobilisation kwani amemaliza kazi?
@c75923
@c75923 2 года назад
Katika Mawaziri WACHACHE SANA naowakubali katika uongozi wa awamu hii Jumaa Aweso ni namba moja!!!! Yaani anapiga kazi sanaaaaa!!! Hizi mambo za kusema siwezi kufokea watu wazima zitaucosti uongozi huu ndio maana tumerudi uchumi wa chini! Jifanyeni wastaarabu tu
@ridhiwaniomari7425
@ridhiwaniomari7425 2 года назад
Yaani kamshinda hata Majaliwa
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 года назад
Watenda kazi ndani ya taifa letu bila fimbo hawaendi magufuri aliwadhibiti kwa asilimia kubwa wanamwita dikteka
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 2 года назад
Kweli kabisa kaka umenena vyema lisibatilike hata Nemo Moja 👍👍👍
@liannsambu7264
@liannsambu7264 2 года назад
Ndo hapo wanataka viongozi wa aina gani ,MIE NLITAMANI JPM ABANE ZAIDI YA ALIVYOKUWA AKIBANA , OTHERWISE TUTAWALIWE TU TENA KAMA ALIVYOKUWA ANASEMA TRUMP ,AFRICA KWA MWENDO HUU TUTAWALIWE TENA MAANA TUNAANGUSHANA SANA ,WAKIJA VIONGOZI WANAOSIMAMIA TUNAWATUHUMU ,WAKIJA WANAOTUBEBA BADO TUNAFANYA MADUDU JAMANI ,WATANZANIA TUNATAKA NINI ????
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 года назад
Pumbavu kabisa. Asante Waziri kwa kuwakusanya hao WAHUNI ndani ya Defender. Wapigwe viboko hadharani.
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 года назад
1:50 Temporary camp house ya milion 7 ndio BANDA LA MABATI KAAH ASEE WIZI WA OVYO
@njaapangai2149
@njaapangai2149 2 года назад
hongera mwamba kutoka pangani fanya kazi ww ni mtoto wa magu
@uklife5232
@uklife5232 2 года назад
🤣🤣🤣Banda la milion 7 tumeliona ahsanteni sana
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 года назад
Ndio kwa sababu kuna vita Ukraine vifaa vimepanda bei
@alexmgusi2534
@alexmgusi2534 2 года назад
Nchi ngumu sana hiii😁😁😁😁
@christopherdimagaaaikopouw916
@christopherdimagaaaikopouw916 2 года назад
@@raphaelsikumbi5517 😂😂😂😂😂 Kwan bando moja ya bati sa ivi inauzwa bei gan raphael?
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 года назад
@@christopherdimagaaaikopouw916 ndugu yangu hii nchi ina ugonjwa hatari sana ukitaka kutibu tatizo wanakuinukia na kukuambia wewe ni dikteta au muuaji kisha baadae wanakuondoa eneo la uongozi na kukusahau
@omeysuper
@omeysuper 2 года назад
😂😂😂
@stephenmtenga897
@stephenmtenga897 2 года назад
Namna pekee ya kuikomboa nchi yetu ni kubadili fikra za watanzania, wawe wanajitambua na kujiheshimu. Ni kazi ngumu, ya muda mrefu, inatakiwa tuanze na watoto wetu tangu wangali wadogo. Hasa tuwe na mtaala wa kuwasaidia kujitambua. Mambo mengine ni ya kihuni tu, huwezi kuyafanya kama umelelewa vizuri.
@tommethodjr.9731
@tommethodjr.9731 2 года назад
Umenena vyema
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Hatari sana na huo ndio mwanzo tu mpka tukifika 2030 nchi hoi bin taban na bado beach tayali lishaingia chaka bimkubwa wanamchezesha jinsi wanavyotaka 😭 wanafanya nchi kama mali ya mababa zao nawaambia hipo siku yenu jibu mtakuja kulipata hapa hapa duniani
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 года назад
Haya ndio matokeo ya kuwa na kiongozi dhaifu. Ukiwa na system dhaifu utapigwa tu na wahuni.
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 2 года назад
Iyo mijizi, kama wezi wengine tu wa uswahilini ilikua ipigwe mawe adi kufa, Big up mueshimiwa Waziri
@samuelminja6590
@samuelminja6590 2 года назад
Eti tanzania kunawashika dini hamna kitu tz hilo ndio bwawa la 600 milioni duu nyumba ya mabati milioni 7
@happyshayo8100
@happyshayo8100 2 года назад
Tanzania nchi yangu huwezi amino hayo maji ndio wanapikia na kunywa mungu tusaidie Tanzania nchi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Sasa Serikali ifanyeje hela imetoa na kujenga bwawa hapo mafisadi wamekula million 600
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 4 месяца назад
Waziri kidogo amchape kofi huyo Msenge eti mkandarasi😂😂😂
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 года назад
Huu ndiyo mutindo Hayati Magufuli aliweza kufanikiwa. Muiteni Hayati Magufuli majina yeyote yale. Aliweza pale viongozi waliomutangulia walishindwa. Lala salama baba, ulisema tutakukumbuka na kweli.
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 2 года назад
Yule mzee alipofariki yote haya yakaaza watu kuchukulia poa pesa za serikali daah aibu sanaa
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 года назад
Jamani c ndio viongozi walioteuliwa wanapiga Kazi kuwazuia wezi ndugu ni inshu kwaiyo unapoonda hatua zinachukuliwa tusiingize mambo ambayo hayapo coz ata magu hakuweza kuwadhibiti wote na pesa wamepiga nyingi tu ktk uongozi wake
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 года назад
Ni.kweli nakubali magu kafanya kazi ila Kama nchi hii huijui tulia kuna barabara bunda to mugumu inamiaka saba haiishi sasa hivi ndio naiona inakimbia ila ukiuliza utaelewa.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 года назад
Yamerudi yale yale na watu wanaiona tena nchi kuwa shamba la bibi.
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 месяца назад
😂😂Temporary house mil.7 😂😂 yaani banda la laki 4😂😂😂 hii nchi jmn😂😂😂
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 2 года назад
Duuu hata Mimi ningeweza kuchimba hivi
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Ongera sana waziri.Ni wizi mtupu unaofanyika.
@hustlerjailan2287
@hustlerjailan2287 2 года назад
Big up waziri
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 2 года назад
Hayo mabat kupiga hapo ni mil7
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 года назад
Ndio kwa sababu kuna vita Ukraine
@onesphoryo407
@onesphoryo407 2 года назад
dah temporary house million.7 haaaa banda la kuku an Tz kuchekea watu kama hawa upuuzi.xnaa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Hawa wangekuwa wanavyongwa tu au unapachapa viboko na mijeredi na unawaachia wakimbie kama wanyama halafu unatwanga risasi za matakoni na kisogoni nguruwe hawa. Ngoja JPM liberation front tuiingie madarakani wala rushwa wote na wafisadi ni kunyonga hadharani
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад
😂😂😂😂😂😂risas za matakon
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Viboko na mijeredi 🤭😃😃😃😃 leo umenifurahisha!🤣🤣🤣
@daudimasumbuko6645
@daudimasumbuko6645 2 года назад
Yaani nikupiga risasi wote walioko kwenye mfumo wa ufisadi, harafu tunaanza upya
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 2 года назад
tatizo viongozi hawaendi kukagua miradi
@mokhimji
@mokhimji 2 года назад
Tanzania wakandarasi wapo... sema tenda zinauzwa kwa washikaji na kila bodi ina mkato wake. RIP JPM
@khamisally9559
@khamisally9559 2 года назад
RIP inakujaje hapo?. Badala ya kumpongeza Aweso kwa kuchukua hatua unaleta usenge.
@hizamwaimu3918
@hizamwaimu3918 2 года назад
Imekaa vizuri
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Alafu jamaa anaonyesha kibuli sana yaan anajiamini kupita maelezo anapiga makofi bila wasi wasi
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 2 года назад
nahisi alikuwa mwanakwaya sasa akadhani waziri ana iba.
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
@@kiariedavid8370 😂😂 atajua hajui kwa mziki wa Aweso
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
@@kiariedavid8370 😂😂😂😂ndo atajua hajui tu
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 2 года назад
Anaomba aweke Maelezo😅😅😅
@hallin9561
@hallin9561 2 года назад
hayati magufuli alivyodeal na hawa wasenge mlimuita diktetA, nchi imerud tena kwenye ulegelege tena
@majimotomalole1809
@majimotomalole1809 2 года назад
Huko Tanga kuna shida.Wataamu wa kulamba asali 🍯
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 года назад
Serikari imejipambanuaaa🙄🙄😏😏serikari gani???,,
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 2 года назад
Nyumba ya Million saba hiyoo daaaah
@hizamawa6046
@hizamawa6046 2 года назад
Mzigua vs mzigua
@kefajoseph158
@kefajoseph158 2 года назад
Damu yaMAGULI ITAWATAFUNA SANA
@fettyfay2334
@fettyfay2334 2 года назад
Temporaly camp house. Real shit🤔😂😂
@seifsalim2039
@seifsalim2039 2 года назад
Lkn mbn kipindi Cha Uncle magu mbn Kila mtu alikua na adabu zake ilikua hakuna ujinga huu
@josephngwega7398
@josephngwega7398 Месяц назад
Du hali ni ngumu sana
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 года назад
Serikari za uchochoroni hizo, pesa ziliwe mama yupo ulaya shida nini, wacha wale maziwa na asali mana mama kasema kuleni kidogo wanangu mnanjaa😅😅
@amalikakiva4937
@amalikakiva4937 2 года назад
Huyu jamaa anafaa kuwa rais.nakutabiria makubwa.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Hawezi kuwa rais kwasababu waswahili hawawapemdi watu wakweli na ikiwezekana basi wanamuua , bongo rais lazima atoke dar es salaam alafu hawe na itikadi hizo ndio tutafanyikiwa lakini mtu kutoka shamba lazima tu watamzunguka wahuni wa mijini
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 2 года назад
Tatizo Rais wetu anabembeleza nyani,hatuwezi kufika,
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 2 года назад
Ni huzuni kwa kweli
@homeboy2307
@homeboy2307 2 года назад
wanapatawapi huo ujasili wa kura hela ya kodi
@peterjohn2854
@peterjohn2854 2 года назад
Hatar sana
@supriaja2374
@supriaja2374 2 года назад
Nisawa ila ungewaacha wajieleze nawao tuwasikie uongo wao atujapenda
@nancykiduda729
@nancykiduda729 2 года назад
Sweka ndani wote
@jabirmfinanga552
@jabirmfinanga552 2 года назад
Tusaidieni jaman tumewapa kura zetu jaman
@juliussuleiman3999
@juliussuleiman3999 2 года назад
Kwa nini bakora hazitumiki??? Watu kama hawa kabla ya kuswekwa ndani walistahili kwanza wapate bakora(viboko) iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizi, Inauma sana fedha ya umma kuchezewa kama hivi halafu anaongea na waziri kwa ujeuri kama vile anaongea na mhuni mwenzie, huyu jamaa mkimtoa mmetukera duniani mpaka ahera, mwacheni aozee huko huko
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 2 года назад
Hivi hawa watendaji na mkandarasi mbona wanakiburinna ujinga sana.Hatuwezi watandika viboko hawa?
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 2 года назад
😅😅😅
@fatumazuberi9842
@fatumazuberi9842 2 года назад
Na wamechacha hao wakandalasi huyu kama wa tatu hivi anafanya hivi hivi mmjoja alijenga banda la lakitano kaandika million 100 aisee mama uwe makini.
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
Mwiteni Magu ndiye kiboko ya hao machunguchu😂😂😂
@saidhassan7779
@saidhassan7779 2 года назад
Huyu Jamaa anajitahidi sana,kwa hakika
@r14kgroup68
@r14kgroup68 2 года назад
Weka ndani wote
@jaffarymnaro566
@jaffarymnaro566 2 года назад
Mama yupo bize na marekani jamani
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 2 года назад
Linda utawala wa mama. Maana kuna mamtu yanazani huu ni utawala wa kupiga Hela
@eliahedward7490
@eliahedward7490 2 года назад
Hahahaha hy temporary house...et mil7 duuuuuh!hii ndo tz
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
Banda sio mbaya wamekula kwa urefu wa kama kama mama alivyowaamuru. Maana bando ya bati bei juu. Mbao ya boriti inauzwa kwa futi. Ila hapo kwenye bwawa . Wacharazwe viboko hadharani
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 года назад
Iyo nyumba million 7 🤣🤣🤣🤣🤣
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 года назад
😂😂😂😂😂😂kazi ipo tanzania mara hi asee
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 года назад
Halafu huyu nae akirudi nyumbani anasema ametoka ktk majukumu ya kuwahudumia wananchi,hawa ni wahuni wa kufukiwa wakiwa wazima
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 2 года назад
Hizi ni dharau za hali ya juu, hizo hesabu hata kama mimi sio Mkandarasi huu ni wizi wa wazi na Ufisadi hakuna haja ya ku discuss weka ndani wote wajinga haoo
@ngoshazprank1384
@ngoshazprank1384 2 года назад
1:46 🤣🤣
@watuhuru6128
@watuhuru6128 2 года назад
Dah hicho kibwawa
@sadahabdalah7073
@sadahabdalah7073 2 года назад
Waziri wa maji wanakudharau nn? Mbona miradi yote ya maji Ina u adhirifu mkubwa sana
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 года назад
Hiyo suti hapo ilikula million 7.yajayo yanafurahisha
@omaryidd8199
@omaryidd8199 2 года назад
Mkuu nenda na kilindi Kuna madudu zaidi ya hapo.anzia msente kolan'ga na kinkwembe.utalia tu
@malupex6299
@malupex6299 2 года назад
Temporary camp 7 mil., hii hatari.
@diegogeorge3405
@diegogeorge3405 2 года назад
Mkandarasi kijumba Cha mabati million 7🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@saralusinde53
@saralusinde53 2 года назад
mwenzangu ata mi nashaka 😂😂
@yolenimocheng8745
@yolenimocheng8745 2 года назад
'Temporary Camp 7m. Ni lile pale mheshimiwa...' 😂 😂 😂 msomaji mchongezi wewe...
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
😂
@resmakihiyo3463
@resmakihiyo3463 2 года назад
Madhara ya kubembelezana ndo hayo
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 года назад
ss tutawaliwe tu maana ni vilaza maana no uzalendo
@willelia2554
@willelia2554 5 месяцев назад
Sweka ndani fukuza kazi tafuta wengine
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 года назад
inzi hii bwana
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 2 года назад
Hilo banda la bati ndiyo milioni 7!
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 года назад
Hilo libaba linaonekana limekuwa hela
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 года назад
Wanalamba asali
@mathayonyerera3144
@mathayonyerera3144 2 года назад
Jamani hilo banda la million saba ni uhuni 😑
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 2 года назад
Mtoto umleavyo ndivyo Akuavyo...
@r14kgroup68
@r14kgroup68 2 года назад
Uwizi mtupu
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 2 года назад
😂😂😂😂 wameanza hahahaha
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 2 года назад
Ilo banda kweli 7m mhhhh mabati tu kwa kuona ni 2m Mbao labda laki7 fundi laki 4 tu 🤣🤣🤣🤣
@RioIpo
@RioIpo 2 года назад
Hahaha watu wanapigwa sana aseee
@ahmedjuma3602
@ahmedjuma3602 2 года назад
😂😂
@abrahamuisrael6161
@abrahamuisrael6161 2 года назад
MZEE NAJUA HUJAFA BD UMEKAA SEHEM FULANI UNACHEKI UJINGA UNAOFANYIKA CHINI YA UONGOZ WA MAMA WA TAARABU,,,R.I.P MWAMBA JPM
@rashidyusuph4417
@rashidyusuph4417 2 года назад
We nae pumba kabsa kwaio samia ndo kazzila na kama imegundulika huoni serekaali ipo makin kufatilia you're narrow minded acha kuishi na fkra za chuki
@farajakunyanja2521
@farajakunyanja2521 2 года назад
🤣🤣🤣
@gideonmwangaza4807
@gideonmwangaza4807 2 года назад
Mbuzi ameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba yake, tena rukhsa hiyo ilitoka kwa mama mwenyewe; mimi sioni ajabu kwa kweli, ijapokuwa inauma na kuudhi kwelikweli. Sera ya sasa ni: “Mwendo wa kula asali 🍯.”
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
Hahaha😂😂😂
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 года назад
Masihala hayo jamani! Kibanda hicho eti milioni 7!?
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 года назад
Ndio kwa sababu kuna vita Ukraine vifaa vya ujenzi vimepanda bei
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
😂😂😂
@DM_15
@DM_15 2 года назад
Huyomkandarasi anavyo jiamini niwazi kabisa anauhakika hajaladhulima na ndiomaana ana confidence yakuongea
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 года назад
Kwanza kwa nini hakumpa nafas ya kujieleza? Anamuuliza swali..akitaka kujibu anamkatisha.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 года назад
@@prosperjuma905 ajieleze nini???kweli hilo banda la bati hapo milioni 7!!! Kwa akili kama zako itakua ngumu Tanzania kuendelea
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 2 года назад
Kusanya woteeeeeee😡😡😡😡😡
@homeboy2307
@homeboy2307 2 года назад
wanapatawapi huo ujasili wa kura hela ya kodi
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
😂😂😂
Далее