Тёмный
No video :(

USICHOKIJUA JUU YA IKULU YA DAR ES SALAAM ILIKUA NDIO KITUO CHA KUASAMBAZA DINI AFRIKA 

arkas online tv
Подписаться 124 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 72   
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq 3 месяца назад
😢😢leo ndio nimejua hii history subhaanallah 😭..aise makafiri wanafnyg juu chini kuhakikish usilam uzim .. Yaa rabbi tujaalie tuwe waislam Tabiti na tufishe tukiwa waislam 🤲
@ayoubbilatuka7012
@ayoubbilatuka7012 3 месяца назад
Ndo maana somo la historia hapa Tz nilikuwa silipendi kwa uongo wa wazungu wakoloni.
@alhandumtalemwa8468
@alhandumtalemwa8468 3 месяца назад
Shukran shekh kwa elim nzur
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 3 месяца назад
ALLAH AKBAR ! KIWANYA CHAKE.MALI YAKE..WAKAHAMISHE KWA KUTAKA DUNIA! MASHA ALLAH
@sss3s867
@sss3s867 2 месяца назад
yupo mwanaharakatinmmoja wa dini isi9julikana. akiijiita shekh ELIYAS. ALOSEMA WAZI WQKATI MAGUFULI YUKO HAI. ALIMWAMBIA TUPE IKULU YETU KAZI YAKE KUWA KITUO CHA WAISLAMU
@user-rh7lj1lo5x
@user-rh7lj1lo5x 3 месяца назад
Hao ndo makarifi Wazungu Wajeruman
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 3 месяца назад
Ni vizuri utuomyeshe kitabu Cha historian, kilichoelezea hayo,
@user-rh7lj1lo5x
@user-rh7lj1lo5x 3 месяца назад
Leo watu wanawatukana Warabu na kuwasema wameleta Utumwa Uingo Mtupu Historia Sahihi haizungumguzwi
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 3 месяца назад
Nyerere katuharibu kisaikolojia maana hata mashuleni hatukufundishwa ukweli huu tulipewa historia ya uwongo na hadi leo hatujui ukweli kuhusu tanganyika ni aibu tupu nchi gani wanadharau true history yaani ni kweli kabisa ukweli maisha utanyooka tu.
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 3 месяца назад
Hii ni historia tu, tunaipokea kama gumzo tu. Haina maana sana, tujikite na Maendeleo na kuimarisha imani zetu. Walipita Waarabu wakafanya yao, waremo wakafanya yao, wazungu hali kadhalika. Na sasa tupo Sisi tunafanya yetu, watakuja na wengine. Ni kawaida sana
@user-ff4sh6lq7t
@user-ff4sh6lq7t 3 месяца назад
Ni vizuri kujua Historia lakini leo hii tufikirie kuendeleza Tanzania yetu isiyokuwa na dini
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 месяца назад
Inasikitsha sana kuwa dar eslaam iliyofundisha NA kuoneza uslaam afrika nzima NA dunia
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 2 месяца назад
Ikulu ya Dar es Salaam iliyojengwa na wajerumani imekuwa kituo cha dini.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 месяца назад
WALLAHU inaumasana hiz historia. halafu serekalizetu bado zinawakumbatia kwa mahabakabisa bila hata angalau kwa unafiQ😢
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p 3 месяца назад
Wakoloni adui tangia zamani.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 месяца назад
Tusikae kimya makafiri watupe majengo yetu
@user-qi3sn6bg7d
@user-qi3sn6bg7d 3 месяца назад
ALLAH AQBAR ifikie mahala sasa WAISLAM KTK HISTORIA KATIKA MADRASA ZETU TUPATE HII ELIMU WA maana kunakizazi kikiondoka hatutayajua haya
@charlesshitobelo6870
@charlesshitobelo6870 2 месяца назад
Kama Kibra ni Kaskazini ukiwa hapa Tanzania, yapo makanisa mengi tu yamejengwa kuelekea Kibra.
@zenapembe3170
@zenapembe3170 3 месяца назад
Hata boti la wareno ambalo liligeuka jiwe pamoja na Askari wake huko kilwa historia hii haielezwi
@omarimahela7690
@omarimahela7690 3 месяца назад
Pale unapomaliza daraja la Tanzanite upande wa Oysterbay baharini kuna inland ndogo inasemekana ni kaburi la mtu maarufu. Mwenye kujua atujuze
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 месяца назад
Kwa ufupi mtume mohamed alitajwa katika taurati NA njil NA zabur NA mtume wa mwisho kwa hiyo asiye fatilia dini ya mungu NA mtume wake mohamed wamepotea kwa sababu mungu hatakupali ila uslamu tu NA uslaam ni kwa ulimwengu wote hakuna huyo bora kuliko wengine wazungu waarbu waafrika wa china wote ni sawa sawa kitu muhimu ni imani NA salah tano NA zakah NA kuhiji NA kufunga ramathani
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 2 месяца назад
ATA ipi Ustadhi
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 2 месяца назад
Aya ipi ustadhi
@AusiSaidi
@AusiSaidi 2 месяца назад
Lengo ni kuonyesha uisilam ni dini yenye ustaarabu hata kama histori imefichwa itajulikana kwa ustaarabu wake
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 месяца назад
Sheikh bora uendelee kunywa kahawa,K-vant hazikupendezi
@salimusalim3610
@salimusalim3610 3 месяца назад
Baki na historia ya binadamu ametokana na sokwe inawezekana wewe ndo asili yake
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 месяца назад
Sheikh toboa siri iliyofichwa na makafiri. Wape wape vidonge vyao wamezoea hao. M'mungu atawadhalilisha tu, kama si hapa duniani itakua Akhera inshaAllah.
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 3 месяца назад
Kazi kukufurisha watu mnawaita makafiri lakini kila kukicha wakimbizi wanatoka nchi za Kiara kiarabu kwenda ulaya na marekani mnaowaita makafiri. Kwa nini mckimbilie Iran, Saudi 🇸🇦 Arabia au Yemen
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 месяца назад
​@@papsmicrocreditcompanylimi1443ww na wao ni wamoja kifikra.nyinyi ndo munapiga vita nchi ya kiarabu ila kuwazulumu mali zao waende wap?
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 3 месяца назад
​@papsmicrocreditcompanylimi1443 mkimbizi gani anaetoka arabuni akakimbilia ulaya? Wewe bwege nini kafiri mkubwa.
@selemaniigosha
@selemaniigosha 3 месяца назад
Makafiri ni nyie mnaoabud majin
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 3 месяца назад
@@selemaniigosha hata mzee wa upako na wengine wameshawapasha yesu hakuwa mkristo na hajawahi kuingia kanisani. Sasa sijui yesu wenu nyie ni na yupi? Endeleeni kucheza sebene ndani ya kanisa na wasichana wakiwa nusu uchi eti ndio ktk kumuabudu Mungu. Mnaleta mchezo mkubwa mbele ya M/Mungu. Na mnaabudu sanamu hilo halina ubishi, eti yesu kabebwa na Maria na lile salaba la kijinga kwamba yesu ndio alisulubiwa hapo, sasa ndio muelewe ukafiri wenu ulipo na ndio maana mnaitwa makafiri ktk makafiri waliopo chini ya jua. Muda mnao jisafisheni, Mungu ni mwingi wa kusamehe pale mtapoomba msamaha. Kila jumapili mbaibiwa makanisani eti ndio sadaka ya bwana, sijui bwana gani huyo padri au nani? Bado eti mna mitume na manabii kama akina Mwamposa wanaozimung'unyua pesa zenu kutoka kwenu wajinga nyie. Na mkitaka kujua mnaibiwa muangalieni Masanja alivyo na mkwanja haramu wa sadaka zenu nyie mandondocha. Mitume iliisha muda wake zama nyingi zilizopita na MUHAMMAD (s.w.a.) ndie mtume pekee wa mwisho. Mmefumbwa macho hamuoni na hao majambazi wanajifanya kuwa na makanisa ya ufufuo na uzima kudadadeki. STUKENI MAPEMA.
@lukumanisharifu
@lukumanisharifu 3 месяца назад
Eee apo shekh umeenda ndivyo sivyo ktk kabari la sharifu mh
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 3 месяца назад
Hata utumwa haukufanywa Zanzibar kama inavyoelezwa duniani na kk historia kwa sababu hizi moja waliofika watumwa Marekani salama ni 150 mil idadi hizi ya watu tulikuwa hatuna Afrika mashariki na pia km hawa wamechukuliwa hapa haiwezekani wakafika salama Marekani kwa msafara mrefu wazunguke cape town au wapitie suez canal. Pili utumwa hutakiwa kwa sababu mbili ina unataka vibarua kwenye viwanda na kujenga reli au una mashamba makubwa arabuni kuna jangwa hakuna kilimo hakuna viwanda Lon utumwa umetokea Afrika magharibi na wanaohusika ni kanisa katoliki Wareno wa Hispania wataliana na wafaransa
@Sheba4651
@Sheba4651 3 месяца назад
Ndio hao wakristo wanaotukana humu, mabibi zao na mababu zao walisagwa utumwani, wakalishwa imani ati Mungu anaweza kufa.
@user13375
@user13375 3 месяца назад
Mngepigana na wajerumani sasa hapo tusilaumiane
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 месяца назад
Kwaniini tusidai mali zetu
@user-sp2pp9yl8g
@user-sp2pp9yl8g 2 месяца назад
MJI WOTE WA DSM NI MALI YA WAISLAAM WAKRISTO WAMEKUJA KUFANYA KAZI Dsm
@saidishineni7966
@saidishineni7966 3 месяца назад
Asalam alaykum,nauliza mashehe ikiwa makanisa yote na Mali za makanisa zinarudishwa au zimerudishwa nabado wakiristu wanaendelea kudai vilivyo vyao,Swali ni jee kunahatua gani zinazofanywa na nyinyi viongozi wetu kudai majengo yetu yote?hususani kushirikiana na nguvu ya umat islamia?
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 3 месяца назад
Akina nani hao ?? Waislam hawa hawa ? Sisi tuko mbumbumbu sana
@user13375
@user13375 3 месяца назад
Kwa hiyo unataka ikulu iwe chini yenu😂😂😂
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 месяца назад
Hiyo ndiyo historia ya kweli kwa taarifa yako
@user-kn5bv3qj8p
@user-kn5bv3qj8p 3 месяца назад
Ukweli ndio huu,, ukiitaka kuongoza mutu basi munyime historia yake.
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 3 месяца назад
He makubwa hayaaa!...ingekuwa ni maeneo ya makanisa wangedai eneo lao......sasa serikali irudishe jengo hilo
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 3 месяца назад
Kwa hiyo unadai ikulu urudishwe? Hizi ni historia tu haina maana tena zaidi ya kusikiliza kama gumzo tu
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 3 месяца назад
​@@fadhilisecha4268huu ni mtazamo wako wewe kafiri
@user-ff4sh6lq7t
@user-ff4sh6lq7t 3 месяца назад
Irudishe kwa Nani jamani tangulizeni umoja wa kitaifa Archana na hayo sisi pia tujenge sio kurudisha
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 3 месяца назад
JAMANI NAULIZA KWA AMANITU. HIVI WAKATIHUO MAWAHABI WALIKUWEPO AU HAWAKUWEPO ?.
@tashone7884
@tashone7884 3 месяца назад
Hawakuwepo
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 месяца назад
Ndiyo maana JPM alijenga ikulu Dodoma, kumbe alijuwa history
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 3 месяца назад
Acha kuutaja uchafu huo wewe
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 месяца назад
Nyerere ndio alie anza
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 3 месяца назад
Ndomana magufuli aliamua kutengeneza yake ili awaachie wenyewe
@salumrashid813
@salumrashid813 3 месяца назад
Wanapita huku huko kudanganya eti Daru Salaam imejengwa na Mjerumani Waongo wakubwa.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 месяца назад
Tusikubali hata hospital ya muhumbili ni ya waislamu. Watupe mali zetu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 месяца назад
Kafirwe na babaako,mkundu unakuwasha,sikiliza huo upumbavu ujambe ukalale.
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 3 месяца назад
@@vincentcharles4385 Sawa unajua kutukana lakini ujue hii dunia tutaiyacha wote tutakufa na huo mdomo ulionitukana nao kuna siku Mungu ataufunga
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 3 месяца назад
Weka namba tukutumie hela yako
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 3 месяца назад
Nyerere katuharibu kisaikolojia maana hata mashuleni hatukufundishwa ukweli huu tulipewa historia ya uwongo na hadi leo hatujui ukweli kuhusu tanganyika ni aibu tupu nchi gani wanadharau true history yaani ni kweli kabisa ukweli maisha utanyooka tu.
@user13375
@user13375 3 месяца назад
Kama mwarab alijenga hapo alipewa na nani ardhi ya waafrika?
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 3 месяца назад
​@@user13375 wewe tafuta bashe unfilishe upate mimba
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 3 месяца назад
Mungu awape adhabu kubwa huko kwa wake waliotudhulumu
@omaribrahim1087
@omaribrahim1087 3 месяца назад
​​@@user13375waafrika wenyewe ndio walio wakaribisha na dini kuipokea sio km wakiristo kujenga makanisa kwenye milima ili waonekane na kuwalaghai kwa vitu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 месяца назад
​@@user13375huyo ni mtawala wa Zanzibar mpaka Tanganyika na ndiyo maana akajenga mahala hapo.
Далее