Тёмный
No video :(

Usimpeleke mtoto wako kusoma nje ya nchi baada ya Form Four (Hakuna Full Scholarships) 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Kama mwanao kamaliza Form Four, usianze mambo ya kumpeleka nje ya nchi kusoma degree, na hasa kwa nchi za mataifa ya kimagharibi, na hususani wale wanaotafuta udhamini wa elimu wa juu ughaibuni
#masomoughaibuni #udhamini #scholarships

Опубликовано:

 

2 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@africonexion
@africonexion 2 года назад
Mimi ninafundisha katika chuo hapa Marekani, tangu mwaka 1991. Vile vile ni mtoa ushauri na mwelimishaji kwa waMarekani na waAfrika kuhusu tofauti za tamaduni ambazo wanapaswa wazijue waMarekani wanaokuja Afrika na waAfrika wanaokuja Marekani. Kwa hiyo, ndugu Makulilo, haya uliyosema hapa mwishoni kuhusu hatari za kumleta mtoto huku Marekani bila maandalizi ya kujua maisha ya Marekani yakoje, ni sahihi kabisa. Kuna kitu kiitwacho "culture shock" ambacho kinaweza kumwathiri kisaikolojia na kitabia mtoto au mtu yeyote ugenini. Wewe ndugu Makulilo unafahamu hata vitabu vyangu, kwani nimekusikia ukivitaja, lakini elimu hiyo waTanzania kwa ujumla hawaiwazii. Wao wameng'ang'ana tu kuleta watoto wao ughaibuni.
@babyshinetv8107
@babyshinetv8107 2 года назад
Wasome hukuhuku Tanzania au niaje?
@yohanaomary1154
@yohanaomary1154 2 года назад
Kweli mkoo sahihi lkini mme deal Sana kwenye shule vipi kusu SSI wenye fani mfano driver,, operator vip kusu sisi Amna vyuo kutusu SSI
@laurentkamuli7945
@laurentkamuli7945 2 месяца назад
Nilisikikiza speech yako kuhusu utandawazi nikikuwa naandika fictional story juu ya ATHARI ZA UTANDAWAZI. hongera sana
@afyatele3637
@afyatele3637 Год назад
Umeongea ukweli mtupu Kaka yangu Mungu akubariki sana
@esterpeter8295
@esterpeter8295 Год назад
Umeongea vitu vigumu na vyenye mariifa makubwa big up 👍👍👍
@joshuajoseph7433
@joshuajoseph7433 Год назад
Je naweza kumaliza form four alafu nkaenda kusomea high school nje ya nchi
@mteimanway9035
@mteimanway9035 Месяц назад
Good advice EBM tumekupata mwamba kabisa
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 Год назад
Eee Mungu wanguu kwahyo sisi wenye cheti tu ambacho vyuo vya huku tu havitupokei labda college binafsi,unatushauli nini mana tunatamani tuje huko kutafuta maisha huku kama tumefeli na familia zetu uku mbeya ni maskin tumezaliwa hata baba hatuwajui tufanyaje kuja huko kupambana na umaskini huu jamani,tusaidie ata deki na kubeba hayo mabox tutabeba tu Mambo magumu tytajiongezaga tukifika tukijua lugha yahuko
@VitusChaniko
@VitusChaniko 2 года назад
Hapo umetufumbua macho.....! Hata mimi nilikuwa nimeshaanza kuwaza kijana aanze kutafuta scholarship. Sasa basi, apige kitabu hadi University akiwa anaendelea na masomo.Hongera kwa kutuimisha watanzania. Endelea kutafuta na mengine.
@robertmussa620
@robertmussa620 2 года назад
Yes lakini content yako ina saidia nini sisi hii mitaara atuitaki aisaidiii kabisa katika kuleta mabadiliko ya uchumi wetu
@Veni584
@Veni584 Год назад
Ernest Boniphace Makulilo
@eliadaniel216
@eliadaniel216 Год назад
Mafunzo yako ni mazuri sana kaka hongera
@mariandamu7379
@mariandamu7379 Год назад
Asante kaka Mungu akubariki binafsi nmekuelewa.
@alsamir7860
@alsamir7860 2 года назад
Hi I agree with your view I live in calgary When my son when to study in Vancouver I had to go and settle him I come from Makao makuu (Dodoma) I have been in Canada 30 years Mimi nime Toka Dodoma Nakubali Kabisa ulichosema Muhindi mwema
@minzaikekashololo5862
@minzaikekashololo5862 Год назад
Hello
@danielchacha2973
@danielchacha2973 Год назад
Asante sana kwa hilo nami nilitaka kufanya hivyo kwa mwanangu kumbe angepotea
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 года назад
Kumbe kuna EBM swahili? ? Safi sana, nakubali sana kazi zako Ernest Makulilo.
@danielchacha2973
@danielchacha2973 Год назад
Kazi yako nzuri sana.
@yohanaomary1154
@yohanaomary1154 2 года назад
Kweli Unaongea vitu sahihi sana kaka lkini vipi kusu vyuo vya fani mfano driver, operator vip kusu Ivo kka naona ujagusia kabixa
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Unaweza jifunza hata hapa kwetu
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 2 года назад
EBM ahsante sana kwa ukweli .... msaaadakubwa umetupa ..stay cool...
@user-by3pv7cj5y
@user-by3pv7cj5y 4 месяца назад
Iko powa sana
@negwakomwaipopo1289
@negwakomwaipopo1289 Год назад
Asante sana ,Kaka. Umeongea vizuri sana kaka.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Ahsante brother
@esterjaphet6949
@esterjaphet6949 Год назад
Unawavunja moyo watu kaka!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 года назад
Waelimishe wapone, ninajua kadhaa waliwatuma watoto wao wa form four nje, wakafeli big time. Ingawa nilijaribu kuwaeleza wakaona kama nawazimia nyota.
@christopherkiswaga9270
@christopherkiswaga9270 2 месяца назад
Be blessed
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Mashallah ALLAH barik
@samuelopati7916
@samuelopati7916 2 года назад
My brother from another mother good job
@avitusiodiro5022
@avitusiodiro5022 2 года назад
Ni kweli kabisa je tunaotaka kuja USA tofauti na masomo unatusaidiaje
@samuelopati7916
@samuelopati7916 2 года назад
Mimi mgeni hapana lakini content yako Safi sana 👏👏👏👏👏👏👏
@reginalewiston72
@reginalewiston72 Год назад
Kweli kabisa kaka makulilo , inakuwaje Kwa wale wa certificate
@reganmartin5485
@reganmartin5485 2 года назад
Hapo kwenye kupoteza muda wa kurudia masomo kwa kidato Cha Kwanza na pili vipi kwa Uganda wanakosoma kingereza tangu la Kwanza Mbona nao wana kidato Cha nne na sita hiyo imekaaje?
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Hawasomi kiganda Kwelii?
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 Год назад
Kaka nimepata kitu kikubwa sn,mungu akubariki sn
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 2 года назад
Asante kwa kutuelimisha.
@goodlucktemba6388
@goodlucktemba6388 2 года назад
Habari kaka ebm naomba kuuliza course zipi zinapewa kipaumbele kwenye kuomba kujitolea UN
@yusuph8618
@yusuph8618 8 месяцев назад
thanks
@gracemahugi2260
@gracemahugi2260 2 года назад
Mwanangu amemaliza kenya je anaweza kupata scorashp nje au nayo itakuwa ngumu
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 года назад
Nikweli form 4yetu kwao kam primary darasa la sita ukija na form yko utasoma tena cheti akuna nguvu sana ulaya kidogo ukiwa high school Nikweli kabisa 💯
@kundiseleman6670
@kundiseleman6670 Год назад
Asante Sana mpendwa umenifumbua akili
@chev6115
@chev6115 2 года назад
Very true brother Bony👌👌
@Q2nahumofficial
@Q2nahumofficial 2 года назад
Nikweli kaka angu, lakini lazima tutapambana mpka kieleweke
@deogratiasshija5897
@deogratiasshija5897 2 года назад
Utumwa sana kuwaza scholarships...
@erasto2863
@erasto2863 Год назад
Sijapenda, kuna kale karoho ukisha fanikisha kuona kama wenzio awapambani, watu wanapambana kaka mazingira tu yanawafeilisha, kwan scholarships inautumwa gani.!?
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 года назад
Form four yetu Haina maana ulaya. Imenisumbua Sana. Unahesabiwa kama hujamaliza secondary school ukienda ñchi za nnje. Ñchi . Kwa Hilo ndugu yangu nimefurahi Sana kwa kuwaelekeza. Elimu ya Tanzan I a ni hovyo Sanaa.
@marklawmarklaw1069
@marklawmarklaw1069 2 года назад
Ndio mahana wazazi wengi wanavukisha watoto wao Kenya
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Upo ok
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 года назад
Nmeahaaanxa RU-vid baada ya kuni influence
@hildaeliapenda3938
@hildaeliapenda3938 2 года назад
Yaani umetufungua Akili ubarikiwe
@tusiimeroy3157
@tusiimeroy3157 Год назад
Ahsante, mimi ni mzazi naomba number yako ili niweze kuwasiliana wewe.
@robertmwakingili4255
@robertmwakingili4255 2 года назад
Kwa bahati kuna chuo kikuu Kama Brigham Young University ambacho kina angalia uwezo wako wa kiingeleza na kukusaidia kusoma mpaka unapata degree
@abuuirfan9523
@abuuirfan9523 2 года назад
Habari yako.Naomba number yako ya whatsapp ili unipe maelezo vizuri
@anethmushi5671
@anethmushi5671 Год назад
Hello! Kipo nchi gan?
@robertmwakingili4255
@robertmwakingili4255 Год назад
@@anethmushi5671 Kipo Marekani
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730 2 года назад
Nimekuelewa vzr kaka
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 2 года назад
It's true brother maneno yako
@maparo1313
@maparo1313 2 года назад
I wish were had more Tanzanians like this !!!! talk about victim of the environment!!! i really like that they kept kiswahili as the language but everything else is downhill!!!!!
@anaselimtui1188
@anaselimtui1188 2 года назад
Upo vizur
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 года назад
Asante
@jonathannyagwaswa1551
@jonathannyagwaswa1551 2 года назад
NAOMBA KUULIZA, ADVANCED DIPLOMA YA TANZANIA, KWA NCHI KAMA USA, INAJULIKANA KAMA DEGREE AU? JE, INA QUALIFY TO MASTERS AU NA SCHOLARSHIP ZA HUKO? YAANI UNAIONGELEA VIPI ADVANCED DIPLOMA KAMA ZILE ZILIZOKUWAGA IFM, CBE, NA KWINGINE
@ndewerio1
@ndewerio1 Год назад
POINTS
@robertmwakingili4255
@robertmwakingili4255 2 года назад
Thanks for these remarks!!
@ramadhankisila452
@ramadhankisila452 2 года назад
Bro naomba utuandalie video clip ya kuhusu IB diploma
@Bongomastermind
@Bongomastermind Год назад
Kak kwaiy hakuna uwezo wa kusoma high school marekan
@SamwelBaharia-xc4vx
@SamwelBaharia-xc4vx Год назад
Bro umenyoa ushauri mzr sana
@SamwelBaharia-xc4vx
@SamwelBaharia-xc4vx Год назад
Ushauri mzr sana Bro.
@samweljames8947
@samweljames8947 2 года назад
Asante kaka
@joywambui9330
@joywambui9330 Год назад
100.01% EBM
@jumayusuphu322
@jumayusuphu322 9 месяцев назад
Diploma nao wanaweza kupata
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Unasema ukweli kabisa ndugu
@abrahmanhajj3515
@abrahmanhajj3515 2 года назад
Naomba kukulza.vp kwa mwenye GPA ya lower second (3.0)anaweza kupata fursa ya kupata udhamin wa masomo ughaibuni?
@felicxakwilini7509
@felicxakwilini7509 2 года назад
Nna swali kwako je huko ngarama za maisha kwa mtu anaeanza inakuaje?
@annamsigwa5756
@annamsigwa5756 2 года назад
Asante saaana
@hamzamafita4025
@hamzamafita4025 2 года назад
Mimi mtoto wangu alimaliza form 4 akaenda kuchukua certificate na akaenda diploma na kamaliza bachelor je huyo nae.
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Год назад
Huyo anaenda si lazima akasome masters akasome degree yoyote masters ni gharama zaidi lskini hata ukienda kusoma degree wanakwambia uanzie associate degree ndiyo uendelee na degree we usijali mradi ameenda akadome huku akipiga kazi wangu kaenda hivyo na ana degree
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 года назад
Mzee umepanic, waambie hao Maisha bata
@alicerutha5043
@alicerutha5043 2 года назад
Samahani Kaka, kwahiyo Kama umemaliza form six ni rahisi kupata scholarship?
@mmbswahili778
@mmbswahili778 2 года назад
Yes ni rahis kwasababu umehitimu highschool
@gracemahugi2260
@gracemahugi2260 2 года назад
Naomba no yk kaka wsp ninashida niongee naunipe elimu zaidi mimi nimzazi
@mamaalimamaali86
@mamaalimamaali86 Год назад
Mm mm mm
@barakabrian4328
@barakabrian4328 Год назад
nina swali kwan diploma mtu wa form four sianawez kusoma
@beatricebenson9099
@beatricebenson9099 2 года назад
😅😅😅asante kwa kutuelimisha kaka
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 2 года назад
Chief sorry kwa postgraduates ya doctor of medicine Kuna scholarship full funded?
@abuuirfan9523
@abuuirfan9523 2 года назад
Vp kuhusu college kwa aliemaliza form4 kwa mtu kujilipia mwenyewe kwa ngazi ya certificate au diploma
@frankkyando5539
@frankkyando5539 2 года назад
Naomba tusaidie hapa mkuu
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Год назад
Naona nivizuri asome fomu six at least
@benjaminmushi9994
@benjaminmushi9994 2 года назад
MBONA HAUJAONGELEA VYUO VYA UFUNDI NAFASI YA KUSOMA JE .ZIPO?
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Vipi ushoga upo?
@peterlaurent4046
@peterlaurent4046 2 года назад
😅🤣 asante kaka,,
@reginaevance7175
@reginaevance7175 2 года назад
Naomba namba zako kaka
@aniyma-tz1100
@aniyma-tz1100 2 года назад
Samahan mbn wasap skupat
@alexeric6850
@alexeric6850 2 года назад
Naomba email address yako brother
@reginalewiston72
@reginalewiston72 Год назад
Kweli kabisa kaka makulilo , inakuwaje Kwa wale wa certificate
Далее
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
Просмотров 3,7 млн
I Used To Watch You Online, Now I’m In The US
23:44
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21
#NORWAY Soma Norway: Hakuna Ada, Elimu ni BURE 100%.
12:21
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
Просмотров 20 тыс.