Тёмный

VITASA | Haidary Mchanjo Vs Mchanja Yohana | KAZI IPO 27/05/2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

KAZI IPO: Haidar Mchanjo amemkalisha Yohana Mchanja kwa pointi kwenye pambano la sita usiku huu.

Спорт

Опубликовано:

 

27 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@moramtanga-dar7372
@moramtanga-dar7372 Год назад
Yonna fundi sana inabid niwe mzamin wako unajua kukwepa yan alafu unapiga mvua
@aminamalugala8010
@aminamalugala8010 Год назад
Nawapenda Sana hawa vijana wanajua kupigana na sheria pia
@salubrown4013
@salubrown4013 Год назад
Bonge Lapa mbano wa mecheza vizuli sana uwezo wao una taka kufa Nana Aidan kasha mbuliA vizuli zaidi ngumi zina vutiA una ona ngumi zaki fundi safi sana
@salubrown4013
@salubrown4013 Год назад
Kiu kweli hiri pambano Bora kabisa Aidari Ana tisha
@mohamedtunda3433
@mohamedtunda3433 Год назад
Hizi ndo ngumi toka pambano lao la Arusha nlivutiwa sana na ngumi zao ila nmependa leo kushinda haidary mana lile la mwanzo alishnda Yohana japo ilifaa liwe droo.
@NuraAmini-gc2pl
@NuraAmini-gc2pl Год назад
Azam mlikua mnataka yohana apigwe maana Kila akiscore mnanyamaza kimya Ila akiscore haidari mnamsifia sana,na mkitaka kuamini mlipanga hvo hata Ile klip ambayo haidari kaanguka hamjaiweka maana ni bondia wenu
@moramtanga-dar7372
@moramtanga-dar7372 Год назад
Ilo pambano ni 50 50
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Год назад
Pambano zuri sana ila kwangu lilikuwa Halina mshindi...
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 Год назад
YES DROO HIII MKUU
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 Год назад
Ila watangazanji pia Toka fight iliyopita kule Arusha wanakaupendeleo Kwa Haidari .. Huo ni ukweli
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
ndugu yanyu;watangazaji cio judges wapendeleee au wasiprndeleee majaji ndio mwisho wa mchezoooo ww angalia fight
@salamaswahibu5
@salamaswahibu5 Год назад
Huo ni ukweli hao watangazaji nitimu haidar
@NasriAlawi-hd6jy
@NasriAlawi-hd6jy Год назад
Walimuonea mchanja uongoz unatakiwa ufatiliwe
@amanisewando529
@amanisewando529 Год назад
Madogo wanajua kupigana
@GalousLugongo-ov9is
@GalousLugongo-ov9is Год назад
Wachambuzi wanaznguwa
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Год назад
Show Show
Далее
Cheka na Dullah Mbabe nusura wazichape studio.
12:59
Просмотров 121 тыс.
Haidari Mchanjo Vs Said Chino | Full Fight
36:18
Просмотров 26 тыс.
Lamine Yamal Know Who is Real Goat 🐐 #short
0:17