Тёмный
No video :(

WAPALESTINA 71 wauawa katika shambulio la ISRAEL lililomlenga mkuu wa kijeshi wa HAMAS 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

12 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 163   
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Месяц назад
Hasbunallahu waniimalwakiil 🇵🇸🇵🇸🇵🇸 Free Palestine
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 Месяц назад
Inna lillah wainna ilayhi, hawajafa wako hai kwa Allah
@paulhema5713
@paulhema5713 Месяц назад
Apo NATO na marekan wametulia hawalaani haya .akat Israel inaua watu wasio na hatia ,af wanahangaika na urusi Ambae haui watu wasio na hatia .mungu awasaidie wapalestina...😢😢
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x Месяц назад
Asa walaani vp na silaha zao ndio zinaangamiza watu wa Palestine
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd Месяц назад
eti Urusi haiwaui Raia wasio na hatia...? hivi huwa unafuatilia habari kweli... juzi tu Urusi imewauwa watu kadhaa kwa bomu nchini Ukraine...
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo Месяц назад
​@@ElijahOwino-xe2cdhawa ndo wale wa kudandia treni kwa mbeli kuropoka tu
@paulhema5713
@paulhema5713 Месяц назад
@@ElijahOwino-xe2cd we ndo hufuatiliii..ni ambie ni lini Toka vita ianze na Ukrane urusi umetuma watu...wasio na hatia ...au unaongelea ili shambulio la hospital ...iyo ni mbinu ya marekan ...funguka akili kk
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
​@@paulhema5713juzi hapo hospital ya watoto imepigwa ,but pia wanajeshi wa Ukraine hawajifichi ndani ya raia
@sugrouptz
@sugrouptz Месяц назад
Ingekuwa ni Ukraine basi wangeitisha vikao vya dharura UN ila kwa kuwa wanaouwa ni wao basi kimya اللهم انصر اخواننا في فلسطين
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
Imagine
@marwaabdalla9306
@marwaabdalla9306 Месяц назад
الهم امين
@Awatee
@Awatee Месяц назад
Amiin amiin amiin kwa hakika ALLAH hajaghafilika na madhwalim anawapa muda tuu ALLAH awahifadhi ndugu zetu wa gaza
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Mbn huzungumzi kuhusu mateka waliotekwa
@Awatee
@Awatee Месяц назад
@@EmmanuelChrispin-bo5xh kwani wazayun hawajawachukua wapalestina au unajizima data
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Месяц назад
Innaa lillahi WA innaa ilayhir raajioun
@Eng2460
@Eng2460 Месяц назад
single touch double manifestation🙌🙌
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Inasikitisha sana.Israel acheni mauaji hayo mara moja.
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 Месяц назад
Wewe kama Nani? Mlilikoroga wenyewe islael itazaa na nyie nyie si vidume bhana.
@Awatee
@Awatee Месяц назад
​@@pastorzakariatv1786ipo siku utajibu kwa hili mwanaadam wa kijini hivi bibi nyau watu elfu 1200 kwa maelfu ya wapalestina bado tuu unajitia kiburi eti wameanza ao raiya ndio walio anza hebu kaa kimya shetan weye wa kibinaadam
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
Kuna watu wanasababisha haya yaendelee kuwa makubwa na cha kushangaza watu hawawakemei ila wanawaona wako sahihi
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
Wewe unaye sema safi sana Israel Kwa kazi nzuri uko wapi namimi nikutafte tuuwane hapa hapa ☝☝
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
Unapigana vita RU-vid 😂
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi Месяц назад
Yupo dar kama unaweza kuuwana mtafute😂😂😂wewe kula ugali wako ulale vita sio youtube😂😂
@aminadjuma7555
@aminadjuma7555 Месяц назад
😂😂😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
@@vincentcharles4385 hapa hapa bongo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
@@ProsperUlungi hapa hapa bongo nasemea
@allysimu6856
@allysimu6856 Месяц назад
Alaniwe netanyahu tunataka palestina huru
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Месяц назад
Duu polen.. inalilah wainahilah rajiun.. RIP
@Bahati47
@Bahati47 Месяц назад
Innalillah wayna ilayh rajiun 😭 HASBUNALLAH WANIIMAL WAKIIL
@allysimu6856
@allysimu6856 Месяц назад
Alaniwe netanyahu tuna
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Ilawaliowateka waisraeli wako sawa
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Месяц назад
Subhanallah😢😢😢
@mussajuma7460
@mussajuma7460 Месяц назад
unawaza kuuwa mtu mmoja lakn huwaz kama kuna watu milion moja pale pia watakufa
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 Месяц назад
Wala msiwe na hofu mwisho wa Israel na nato umewadia tukae tutulie mtawaonea tena huruma
@Williamstozzo
@Williamstozzo Месяц назад
Kujpa moyo
@Awatee
@Awatee Месяц назад
​@@WilliamstozzoWanao kata tamaa ni makafiri wakat ndio utasema in shaa ALLAH
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
@@swalehemusa4546 Endelea kuota ndoto za mchana
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
@@AwateeAllah mwenyewe anafurahia kinachoendelea,Ila Mungu pengine anachukizwa
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Месяц назад
Hakuna cha kulenga wala hamasi wala nini. Unyama huu una mahesabu yake mbele ya M'mungu. Haya ni mambo mabaya kuliko yote kwa nyakati hizi. M'mungu si mwenye kughafilika. Ataonyesha Ghadhabu zake kwa taifa linalojiita izrael hapa Duniani kabla ya Akhera inshaAllah.
@uwimana6533
@uwimana6533 Месяц назад
Niwatu wamelaniwa na mungu ,ila utasikia watu makanisani waliombee taifa lamungu
@Grataaaaa
@Grataaaaa Месяц назад
Wallah ALLAH hakukhafilika kabisa ​@@uwimana6533
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
2090 labda,sijui kama utakuwepo
@Soudbako
@Soudbako Месяц назад
Allah awafanyie wepesi inshallah
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Hawazi mpka mateka waachiwe
@walidalboasy7990
@walidalboasy7990 Месяц назад
Kwaajili ya kulenga mtu moja au wawili wametuma makombora 3, hata mwendawazimu hatokubali.
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
Alikuwa anafanya nn katikati ya watu ? Na wao kama wanapenda amani Kwa nn wasimkamate wampeleke anapotakiwa , hii mambo inaweza isha chapu ukiwa wapalestina watajipenda zaidi wao na watoto wao
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Ilamwenda wazim aliotekewq ndugu yeye anakubali
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
Innalillah wa innalillah lajiun😢😢😢😢
@Williamstozzo
@Williamstozzo Месяц назад
October 7 walicheka na kushangilia leo wanalia dunia iwasaidie
@Bahati47
@Bahati47 Месяц назад
Una laana sio bure
@meckmussa1840
@meckmussa1840 28 дней назад
Nao ni zamu yao kwa sasa
@hajimtumweni659
@hajimtumweni659 Месяц назад
Halafu marekani hata neno kama wanakufa wadudu
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Haho ni magaidi wafe shenzizao
@awatifsubeit4007
@awatifsubeit4007 Месяц назад
@@user-tq4lx9si1n hao ni raia wasiokuwa na hatia
@JamalKanani
@JamalKanani Месяц назад
​@@user-tq4lx9si1nshenzi ni wewe mkalamba huna mbele wala nyuma utafia uku mdomo uko wazi inshaallah
@amanipuka2727
@amanipuka2727 Месяц назад
@@user-tq4lx9si1nwanaangaika na putin tu
@Awatee
@Awatee Месяц назад
​@@user-tq4lx9si1nAo watoto wanawake wazee wasio na hatia wamekosea nini ALLAH hajaghafilika na madhwalim anawapa muda tuu ipo siku tuu watapata walicho kistahili namuomba ALLAH akupe umri mrefu ili uje kushuhudia ulicho kifurahia
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
Yani niwashenzi kabisa inamaana kulenga mtu moja ndio waue watu ote ao raana wakubwa Allah atawaanga miza nao inshaallah
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
Hao watu walikuwa wanafanya nn katikati ya kiongozi ya hamasi ? Kwa nini wasimkamate wamsalimishe Ili wao wawe salama?
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
​@@emmadora7848ww ni choko
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
Allah mwenyewe ameshindwa labda tumuombe muhamad
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
@@vincentcharles4385 raana ya Allah ikushukie shoga mkubwa we
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 Месяц назад
Inauma sana kweli 😭😭😭
@MairaAlly
@MairaAlly Месяц назад
Daaaah
@hanifa9153
@hanifa9153 Месяц назад
Hasbunallah😭😭😭😭😭
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 Месяц назад
Sasa wao wa Israel wanafikiria wakiwahua hao Viongozi ndipo kundi lao litahisha? Cha ajabu wanahua raia bila sababu na Marekani na Ulaya wana kaamia
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Месяц назад
Ila hawa jamaa siku zote hizo hawajamkamata mkuu mpaka sasa😂😂
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Месяц назад
Nyatapanya akamatwe na auwawe pia
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
Mtaita majina yote hata ibilisi
@JuliusKiria-j7i
@JuliusKiria-j7i Месяц назад
Adhabu ya Israel ataipata kwa hezbola kushirikiana na irani
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
Ndio ujinga mnaowaza huku watu wanazidi kuteketea
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
​@@emmadora7848ww shoga tu
@GIRIKIARSENAL
@GIRIKIARSENAL Месяц назад
Dunia imeitenga palestina
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Месяц назад
Acheni ISRAEL imalize kazi yake.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
Ww choko tu
@pascalmanyama2304
@pascalmanyama2304 Месяц назад
sns hebu tuambieni hali ya Trump baada ya kushambuliwa kwenye kampeni.Poleni Palestina,Mungu yu pamoja nanyi
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Месяц назад
Hayatadumu milele haya,😢
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Месяц назад
Hata wafanyeje parestina wanapata uhuru wao
@directortwicep3028
@directortwicep3028 Месяц назад
😢
@ZainaBu-zs6wc
@ZainaBu-zs6wc Месяц назад
Duu inasikitisha teena kuna watu hum hata ubinadam hawana sasa na vile vichanga?vimemua nani muache udini chukuweni ubinadam hata haya hamuoni duuuu nionyesheni video za waja wazito na vichanga virivwo uliwa kwa waungu wenu haooo mayahud
@saidiomar6642
@saidiomar6642 Месяц назад
Nchi za magharibi zinaenda na maji hasa marekani chukueni hii
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Safi Netanyahu kazi kazi mnze songambele hadikiereweke mungu yupoupandewenu bilaww ugaidi hahutakoma tukonyuma yako
@ShabaniWasia
@ShabaniWasia Месяц назад
Unahitaji ukombozi wa kifikra sio tatizo lako
@saiphllah
@saiphllah Месяц назад
​@@ShabaniWasia exactly!!
@JamalKanani
@JamalKanani Месяц назад
Na wewe ipo siku yako tu utanukuu haya yote usemayo kimoyomoyo
@MikelSitoe
@MikelSitoe Месяц назад
Mungu ata ku laani we Firau'n Laana tun llah,
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
@@MikelSitoe wahambieni nduguzenu wahache ugaid
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
Israel mashoga wakristo mashoga
@Malaikah.channel
@Malaikah.channel 23 дня назад
Wewe hauna HAKIRI israel wengi ni wayahudi na waislamu. 1...Wayahudi 70% 2...Islam. 18% 3...Wakristo. 2% Sasa jiulize UMEJITUKA MWENYEWE NA MAMA YAKO NA BABU ZAKO
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Kazinzuli Netanyahu safikabisa uspowe hahomagaid usiwape nafasi mimi mamahangu ni mwislamu nimbaguzi sana nayeye hakiskia habari kamaizi hanalia pekeake kwaiyo minahona lahasana hendelea kunyosha mkuu
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata Месяц назад
😅
@MikelSitoe
@MikelSitoe Месяц назад
Mungu aku laani hapa Duniani had u endako, kafiri mkubwa, na shoga nzayuni wa ki Bongo, usie kuwa na faida yo yote kwenye família ya mama yako
@JamalKanani
@JamalKanani Месяц назад
Bado siku yako isiyo na jina apa apa bongo litakukuta inshaallah
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
😂😂😂
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Месяц назад
Hongera sana kijana kwa furaha unayopata.
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l Месяц назад
kumbe bado vita jamani
@ConsciousBNB
@ConsciousBNB Месяц назад
🥺🥺
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Месяц назад
Hawa viongoz wa Hamas ni maginius mno sio kitu rahis kabisa kuwajua wako wap.. kwhyo hao mazayun lengo lao ndio hilo hilo la kila siku kuuwa watu wasio hatia... wanaowaonea wanyonge ila kwny vita wanapigwa vibaya mno
@emmadora7848
@emmadora7848 Месяц назад
Magenious wanajificha katikati ya watu ? Ila wewe 😢😢 ,bila kutoka wapigane uso Kwa uso mchezo uishe
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
​@@emmadora7848ww shoga tunakujua
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
@@mohamedaley5632 magenious wanajificha nyuma ya wanawake na watoto😜
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Месяц назад
@@MzeeKigogo_ uliwaona? au unapelekeshwa na fikra za mazayun?
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Месяц назад
@@emmadora7848 swali uliwaona au unao ushahid? Unafata propaganda za mazayun?
@AllyBahsan
@AllyBahsan Месяц назад
Habari za Trump hamjapata
@MikelSitoe
@MikelSitoe Месяц назад
Hii vita ni yao hao hao, akuna viogozi wa Dunia wala nini, wote ni wa moji
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Месяц назад
Kiongozi wa Dunya ni ALLAH peke yake sote ni walala hoi ila kuna wanyama wanaojiita eti ni binadamu.
@user-nv6wt3nx5h
@user-nv6wt3nx5h Месяц назад
Iran ilaniwe Kwa kupandikiza udini wenye misimamo mikali
@Awatee
@Awatee Месяц назад
Dini gani unayozungumzia wazayun waache kuua watoto wanawake wazee wasio na hatia laanatullah bibi nyau na wenziwe walio husika na mashambulizi Ikiwa hawakutubu maisha yao ALLAH asiwape amani kwenye mioyo yao hadi atakapo waondoa duniani kwa damu wanazo mwaga bila hatia 🤲
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
Ww choko tu
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Месяц назад
Mpk sasa washafika 91
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 Месяц назад
Netanyau piga hao mashoga wa hamasi
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd Месяц назад
Napenda jinsi Israel inavyowatia adabu Hao magaidi... Israel wakishambuliwa unawaona waislamu wakishangilia ila Israel wakifanya mashambulizi eti ooohh free Palestine... dawa ya moto ni moto.. Walitaka vita acha watandikwe...
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp Месяц назад
Sasa apo dini imeingiaje bro
@suleimanabdallah9823
@suleimanabdallah9823 Месяц назад
Gaindi ni mwenyeo mbwa ww
@Awatee
@Awatee Месяц назад
Hasbiya ALLAH waneemal wakil ALLAH hajaghafilika na madhwalim anawapa muda tuu tukulize shetan wa kibinaadam wanawake watoto wazee wasio kua na hatia ndio walienda kupigana wakat wak unakuja utayakumbuka ulio andika
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
Israel mashoga ww choko
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Месяц назад
@@AwateeTutolee lugha za vichaa
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Месяц назад
Russia endelea kuuwa wayukraine pia. Dunia haina usawa
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Месяц назад
Chanzo ni Hamas I seeeee
@AmmielNzala-fu4xu
@AmmielNzala-fu4xu 24 дня назад
Sasa kwanini wanaendelea kupigana na Israel
@malkiasimitoi5438
@malkiasimitoi5438 Месяц назад
Bado hatujasikia milio piga mabomu mengine mpaka hao WA Palestine waishe si wanawaficha hamas katika makazi yao? One more again viva Israel 🇮🇱,viva NETANYAHU live forever 🤠
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Месяц назад
Ww choko Israel mashoga
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Месяц назад
Nawaona waarabu weusi wanakaribia kupasuka, ikishambuliwa israeli mnashangilia AKUANZAE MMALIZE
@JamalKanani
@JamalKanani Месяц назад
Ipo siku utanukuu haya yote huku ukiwa unafunga macho yako yatakapokukuta mzungu mweusi bongo apa apa litakukuta jambo inshaallah
@FADYANALOLA
@FADYANALOLA Месяц назад
@@JamalKanani Kabisa
@Barakaclassic
@Barakaclassic Месяц назад
😂😂😂❤❤
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Месяц назад
@@JamalKanani kwani mwarabu mweusi mfe tu mnaabudu shetani kuua kwenu ni sawa mlianza tulieni mshughulikiwe
@JamalKanani
@JamalKanani Месяц назад
@@florencemeza6540 na wewe utakufa tu, kwani papa alisema muoane ndoa ya jinsia moja ushoga mnahimizwa kwa lazima wewe ujui siku yako lkn soon utapotea kwenda kuzim
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
Waache kuficha magaidi la sivyo wataisha
@FahmiNassor
@FahmiNassor Месяц назад
Wewe ni mjinga usie jielewa huna hata tone la akili kichwani mwako yani akili yako ina mavi Palestine siyo magaidi magaidi ni hao nazayuni wasiyo na dini kama wewe
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
@@FahmiNassor wewe mwenye dini waambie ndugu zako waache ugaidi.
@Awatee
@Awatee Месяц назад
​@@MzeeKigogo_watoto wadogo walimfanyia ugaidi nani 🙄
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ Месяц назад
@@Awatee magaidi wanajichanganya na raia. What do you expect?
@FahmiNassor
@FahmiNassor Месяц назад
@@MzeeKigogo_ magaidi watoto au wanake watu wazima ndio maana nikakuambia akili zako zina mavi magaidi hao unao watetea na jana wametaka kumuuwa tramp,tatizo linakuja ni chuki na roho mbaya kweli nakuambia wewe akili zako zina mavi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Inasikitisha sana.Israel acheni mauaji hayo mara moja.
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Waachie mateka wa israeli
Далее
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
Просмотров 4,9 млн
Муж на час 😂
00:37
Просмотров 1,2 млн
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
Просмотров 4,9 млн