Тёмный

WATU WATATAU MBARONI KWA WIZI WA NYAYA ZA RELI YA SGR MOROGORO, RC MALIMA ATOA ONYO KALI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 3 дня назад
Wafungwe miaka mingi......tusilete masikhara kwenye jambo hili.
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 3 дня назад
Hujuma zimeanza!... Hivi Watanzania tumerogwa na nani? Mali zetu wenyewe tunazihujumu
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 3 дня назад
Waliokatwa wagunguliwe kesi ya uhujumu uchumi ,kesi ikianza hakuna dhamana
@zawadix9574
@zawadix9574 3 дня назад
Una ona wafrika na akili za watu kweli una iba kwa sababu ya tumbo yako je watu ma mia waki fariki!!!!!! Ujinga sana.
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 3 дня назад
Wawa chunguze Kwa umakini wamiliki wa bus loli pengine wao ndyo wanaukatili mladi shauli ya biashala Yao kuwa mbaya sababu yatren kupokelewa vizuri 😮
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 3 дня назад
Hawa wanastahili kesi za kuihujumu uchumi. Hakuna kuwaacha hawa.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 3 дня назад
Waliokamatwa wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na hakuna dhamana ikithibitika kweili hukumu ni ya uhujumu uchumi miaka 30 plus.
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 3 дня назад
Wanamchezea simba sharubu watu hawataki kuendelea wachunguzwe labda sio wazawa wa hii nchi😂
@user-ji7sy2wi7b
@user-ji7sy2wi7b 3 дня назад
Kabisaa❤
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 2 дня назад
Kabisa
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 23 часа назад
Sio kweli
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 3 дня назад
Wafungwe mara moja,ushahidi ukikamilika
@user-dy9eg1yc1b
@user-dy9eg1yc1b 3 дня назад
Hawana tofauti na magaidi. Dawa yao ni ile sheria ya China. Adhabu ya kifo ingependeza zaidi ili tusio na ubinadamu tupungue mapema duniani.
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 3 дня назад
Watanzania sijui vp et! Tunataka maendeleo 😢
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 3 дня назад
Wapigwe miaka oreraorera iwe funzo kwa wote
@Niika870
@Niika870 3 дня назад
Piga risas kisogon mnacheza na hawa?
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 3 дня назад
China watu kama hao Wananyongwa.
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 23 часа назад
Kweli maneno yako
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 3 дня назад
Zitungwe hadhabu kari sana wasifanye mchezo
@user-fd7gd7vr4o
@user-fd7gd7vr4o 3 дня назад
HIV SS AFRICA TUNALAANA GANI JAMANI? NDUOMAANA ULAYA WANATUDHARAU SANA
@hajikadoma1652
@hajikadoma1652 3 дня назад
Naomba nishauli kitu kuwa zipangwe sheria abazo zinaelekeza kuwa kuzuia kuisogelea hiyo leli ila mtu yoyote akionekana jilani na leli achukuliww hatua kali ili iwe fundisho
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 23 часа назад
Jombi mbona huna R.... Leli??? 😢
@mohamedleonard760
@mohamedleonard760 3 дня назад
wanyongwe
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 3 дня назад
HAO KWANZA TAFUTENI KUNDI LA SIMBA PALE MIKUMI KISHA WAACHIENI ANGALAU SIMBA WANALETEA NCHI PESA ZA UTALII.. , SIMBA WASHEREKEE KIDOGO
@hamishassan6784
@hamishassan6784 3 дня назад
Hili lipewe kipaumbele sana na kamati ya ulinzi kwani hawa ni wauwaji sio wezi tu kwa maana mwendo wa chombo hicho ni umeme sasa akitokea mjinga mmoja wa kuharibu hayo unadhani ataathiri raia kiasi gani hasa pale wanapokuwa ndani ya safari. MMh hapana jamani hatakama eti kisingizio maisha magumu katu huwezi rahisisha maisha yako kwa ujinga huo wa kuandaa hatari kwa wenzio. hili hapata tuwe pamoja kwenye kuulinda miundo mbinu yetu hii kwa hali na mali
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 дня назад
Wanahatari sana
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 дня назад
Zitungwe Sheria Kali Sana za kulinda miundombinu ya Reli ikiwa mtu anapatikana na hati apigwe kufungo Cha maisha Gerezani na kazi ngumu ili iwefundisho kwa wengine.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 дня назад
Yah iwe kama sheria za wanyamapori iwe kali mpaka mtu afikirie Mara mbili kutaka kuiba
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 3 дня назад
Spoku ya baiskeli iwekwe jioni afu watobolewe zile gololi mbili😮
@KaramaHaji
@KaramaHaji 3 дня назад
Aisee nimeskia asira sana
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 дня назад
Mim pia
@johnmlay4759
@johnmlay4759 3 дня назад
Washenzi kweli
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 3 дня назад
Hao ni dagaa papa na nyagumi wao pia Thu!
@martinisadru9899
@martinisadru9899 3 дня назад
Hao sio wezi, ila wametumwa na wamiliki bus na maloli,,, tunapaswa kua makini sana, maana isije ikasababisha madhara makuu sana, watu waogope usafiri wa TREN.
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 дня назад
YAN WABONGO BANA SAS MANYAYA UNAYAIBA UKAMUUZIE NAN 😂😂 EM WEKA JERA HAO WAHUJUMU UCHUMI
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 дня назад
Kuna watu wanatabia ya uharibifu na wala si wazalendo! Hao wanatakiwa watolewe mfano, kifungo cha miaka 15 bila kusamehewa.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 дня назад
Hao watu Wana mcezea Simba sharubu hivi Sisi watu weusi vichwa huwa vina nini nikuwaonyesha mkono wa chuma kuogopa hiyo miundo mbinu kama ukoma serikali iweke camera za Siri sehemu muhimu pia itasaidia.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 дня назад
Hizo ni hujuma. Wahusika walipe uovu wao.
@DeusRobart
@DeusRobart 3 дня назад
wapigwe risasi za vichwa wasije waka sababisha ajali ao
@mosesjacksonkarashani2642
@mosesjacksonkarashani2642 3 дня назад
Kwanini isitungwe sheria hawa wanyongwe?😂
@KaramaHaji
@KaramaHaji 3 дня назад
Hivi unajua maajabu bado hayajaisha duniani hasa Tz ni aibu na ajabu sana hivi watu watasarabika lini kutoka kwenye akili ya giza kuwa na akili yenye nuru Yani KODI ZOTE TUZO TOZWA NA MIKOPO ANAYO HANGAIKA NAYO RAIS WETU ILIKUJENGA NCHI IWE NA MAENDELEO MJINGA MMOJA ANALETA......(😂)
@AmiriMgaya-pe4ve
@AmiriMgaya-pe4ve 2 дня назад
Mweshimiwa mkuu wa mkoa hao watu wangehukumia maisha na kabla ya kifungo wabanwe waseme wametumwa na nani
@Chunguzana
@Chunguzana 3 дня назад
Mtu kama huyo bora tu auwawe tu anakuwa Hana Nia nzuri na
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 3 дня назад
Jamani hivi sisi mbona tunavichwa vigumu ,,hatuoni umhimu wa reli mpaka mtu anaenda kuharibu reli,,,muwakamate mkawafunge ili liwe fundisho kwa walio na tabiazo
@mmarandu2417
@mmarandu2417 2 дня назад
Nia wao au wametumwa? Uchunguzi wa kina ufanyike. Ni mapema mno hata mjinga na masikini angeogopa.
@saimonwantango9569
@saimonwantango9569 День назад
Mimi nishauli kitu hao watu wapigwe risasi tu wala hata msiangaike kuwapeleka jera piga risasiiiiii
@muharramyjongo1972
@muharramyjongo1972 2 дня назад
kaiba nyaya umesema jambo baya na uhujumu uchumi lkn nyinyi mnaehujumu miradi ya maendelea aaaah😅
@Ba63828
@Ba63828 2 дня назад
Hao wahujumu uchumi wafungwe maisha au wanyongwe hadharani
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 3 дня назад
Watu wenye mabasi they are not Happy
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 3 дня назад
Sisi wazungu wanatuletea HAKI ZA BINADAMU, mbona China ukifanya uharifu wa aina yoyote unapigwa chuma hadharani, sisi Tanzania utasikia haki za binadamu, hizo haki za binadamu ndo zinalinda uharifu.
@johnparkr
@johnparkr 3 дня назад
Wakatwe mikono ama vidole
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 дня назад
Mitanzania ni mijitu ya ajabu sana
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 23 часа назад
Hii ni too much... Hawa ni shaba tu
@HemediKassimu
@HemediKassimu 3 дня назад
Hao lazima watakua ni wapumbavu wa chadema. Wauliwe hao wasenge kumamake zao.
@AffectionateArcticFox-ev4sm
@AffectionateArcticFox-ev4sm 3 дня назад
Watatau what 🤔🤔
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 3 дня назад
Hujuma za wenye mabasi nini?
@EmmanuelSima-qz1gd
@EmmanuelSima-qz1gd 3 дня назад
Weken camera
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 3 дня назад
Hawa ni watu wasiojitambua kizazi cha laana siyo kinapinga maendeleo ya mtu fulani. Wizi na uhalifu siyo itikadi au mtaji wa kisiasa. Ni vema wapatikane ili ionekane hukumu yao kama itacheleweshwa au kuachwa tu kama za watuhumiwa wa ripoti ya cag.
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 дня назад
Wakibainika si wapigwe risasi kama China.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 дня назад
Kamata na ning'iniza kwenye kamba hawa ndiyo wanastahili kuwekwa kizuizini zaidi ya hawa wanaotekwa na kupotezwa!! Fungeni camera hata kwenye vilima vyote morogoro, aidha jkt wapo wawekeni kwenye hii njia. Suala la kusifia mtu ni uchawa jitahidi kuiepuka fanya kazi kwa ajili ya watanzania ndiyo wanaohitaji maendeleo ni siyo mtu!
Далее
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43