Тёмный
No video :(

WAZIRI AWESO AFANYA KUFURU AMLIPIA MSTAAFU DENI LA MIL 3/ FUNDI BOMBA WA DAWASA KIKAANGONI 

Uhondo TV
Подписаться 592 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga Месяц назад
Omary ni shida sana
@kato_tz
@kato_tz Месяц назад
Ninachokiona hapo ni kwamba DAWASA hawana utaratibu mzuri, wao wameweka kipaumbele kwenye kukata maji kwa wasiolipa. DAWASA ni taasisi ambayo inahitaji customer care ya hali ya juu, wajifunze basi hata kwa Tanesco, tanesco ukiwapigia simu kwamba umeme umekatika wanashughulikia na wanakupigia simu wakati mwingine kujua kama tatizo limeshatatuliwa. Sasa DAWASA mtu unaenda halafu wao wanakupatia namba ya fundi kwamba umpigie mwenyewe wao hawamwambii kitu. Hili si tatizo aisee
@gwamakajohn7122
@gwamakajohn7122 Месяц назад
Dah
@godsonrwegasira4414
@godsonrwegasira4414 Месяц назад
Ila mwanza jamn awesu angalia watu wako, mkandarasi wa butimba hamalizagi mradii?
@user-oy2gp3nq4j
@user-oy2gp3nq4j Месяц назад
Punguzeni Gharama maji yanapita mlangoni kwako ukita kuvita maji unaambiwa 270000 ni wizi
@gililwise
@gililwise Месяц назад
Njoo morogoro mh AWeso morowasa wanawabambikia watu bili
@user-ev7rm8kd2w
@user-ev7rm8kd2w Месяц назад
idara hii have the worst service everywhere in Tz
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Месяц назад
KUMLIPIA DENI MTU NDIO KUFURU,..WAANDISHI WA HABARI HOVYO KABISA
@user-vh7ll3vp7w
@user-vh7ll3vp7w Месяц назад
😂😂😂😂
Далее