Тёмный

WAZIRI MKUU AIAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA BWALO LA MIL.774 "YEYOTE ALIYEINGIA TUTAMCHUKUA HUKO HUKO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 3,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 14 дней назад
Wanyonge tunazidishiwa makodi na matozo kibao na wakubwa wanabugia mihela mungu awachome moto.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 14 дней назад
Kuna mkubwa alisema kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, RIP MAGUFULI
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 14 дней назад
Wafukuzwe wote wahusika hamna jinsi mijizi kwenye Serikali hii imejqa funga wote wataifishwe mali zao
@josephlorri431
@josephlorri431 15 дней назад
Mh Majaliwa ni mtekelezaji.. anaweza kuwachapa viboko
@festohaule9716
@festohaule9716 14 дней назад
Mkoa tunaviongozi wengi inakuwaje mpaka madawati aje akague Waziri Mkuu!!! Kazi ni uchawa tu kufanya kazi njema ahaaaa nyoko!!!
@Gamba81
@Gamba81 14 дней назад
Kila kitu hapo atasingiziwa marehemu 😢
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 15 дней назад
Wafukuzwe na Wafungwe miaka mia jela maana rushwa hata dini hazitaki
@DavidNdaha
@DavidNdaha 10 дней назад
Hivi serekali mpaka wamalize Pesa Bado ukaguzi kwanini Jamani!!
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 15 дней назад
Mkuu uko vizuri
@mazikub5272
@mazikub5272 15 дней назад
Urefu wa kamba
@Kabwela776
@Kabwela776 11 дней назад
Kwa nini hamuanzi wawe wanarudisha pesa na mnawanyonga
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 14 дней назад
Warudishe hiyo hela halafu wafungwe miaka 20 jela.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 15 дней назад
Dah milioni 774 kwa lipi
@radojembe7347
@radojembe7347 15 дней назад
Ni huzuni sanaa
@mwakimedia291
@mwakimedia291 14 дней назад
Daaa wanazipiga
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 15 дней назад
nyie hakunalolote wote niwaizi tu nyie hakunalolote
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 14 дней назад
Kazi za kupeana hizo
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile 14 дней назад
Tanzania ipitishe sheria kwamba kiongozi akiiba achinjwe kichwa ili ufisadi ukome pia atolewe macho.
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 14 дней назад
Kwan ww ulikuwa wap? Kpnd pesa hzo znapgwa? Ofs yako haizungukii mrida?
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 14 дней назад
Af we Fala jama Hauhuw Bora Utulie 😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 15 дней назад
Kwanza jengo lona onekana lime kosewa japo sio mtaalam wa ujenz mbona lina sura mbaya hivyo
@husseinmramba
@husseinmramba 15 дней назад
Acha kuongea vitu usiojua, haya ni mambo serious
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 14 дней назад
Mungu ndiye aliyekosea kumuumba akiwa na mdomo wa kuongea. Ajabu Mungu kajificha binadamu hatuwezi kukutana naye kumuhoji kwa nini aliumba mdomo wa fulani kuongea au kutoa maoni kwenye vitu serious. Mwenyewe mamlaka juu ya wenye mwili ni Mungu tu. Vyeo vyetu, utajiri wetu,uzuri wetu. Vyote ubatili chini ya jua. Tungekuwa serious kama vile, huo uzembe usinge tokea.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 14 дней назад
@@husseinmramba ila kwa kuwa nchi ni mali yao tuwaache wa endelee kufanya watakavyo
Далее
Ranking The Most Painful Crashes
00:19
Просмотров 3,3 млн
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 1,3 млн
Ranking The Most Painful Crashes
00:19
Просмотров 3,3 млн