Тёмный

ALIYETEKWA NA KUTESWA AFUNGUKA MAZITO 'WAMENIULIZA NANI ALIYENITUMA KUCHOMA VITENGE VYA RAIS SAMIA' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 248   
@JofreyZacharia-zz7dy
@JofreyZacharia-zz7dy 2 часа назад
Siungi mkono hilo tukio la kutekwa lakin pia swali nikwamba je kama mulikuwa hamvitaki hivyo vitenge kulikuwa hakuna ulazima wa kuvichukuwa naomba kuwasilisha🙏🙏🙏🙏
@PaullyPuyetrov
@PaullyPuyetrov 17 часов назад
Mie naomba sana, Chama kiwe kimoja Tanzania, mateso na ubaguzi uishe❤
@kigoratheson4676
@kigoratheson4676 15 часов назад
Wewe umesema aser
@youngstan1840
@youngstan1840 13 часов назад
Alafu mama alaikum anakuja kijijini kwetu😂😂😂😂
@youngstan1840
@youngstan1840 13 часов назад
Mimi pia naunga mkono maneno yako
@lailaoman3856
@lailaoman3856 6 часов назад
Kweli na mi ivo ivo kingee kuwa kimoja tu maana tusha choka mateso
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 6 часов назад
😢😢😢😢😢chichiemu ni walafi na mafisadi mnoooo
@Anza_tz
@Anza_tz 5 часов назад
Kumbe ulichoma vitenge mama yangu daah pole sana ,lakini siku ingine uache ukorofi kila jambo unalolifanya duniani hua lina malipo yake ,sasa siku ingine fanya siasa tuu kwa umakini achana na maswala yakuchoma vitenge vya watu,pole sana kwa tukio hilo la kutisha.
@florianhenry7198
@florianhenry7198 3 часа назад
Kama mna familia pambana kulea hizo familia achana na siasa wewe mama
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 7 часов назад
Kuchoma vtenge ndo sahihi? Ushamba tuuuu.Ukome
@herijaphet
@herijaphet 16 часов назад
Kumbe mlichoma vitenge vya mama. Basi umepata mshahara wa matendo yako. Nchi hii rais ni mmoja na hatutafurahia adhalilishwe na wanasiasa mnaotaka umaarufu wa udhalilishaji
@kamarhelo
@kamarhelo Час назад
Nikweri kabisa yani watu wanajitahid kuvunja amani pia wew ni mtoto wa kike hayo mambo huyawez mama angu
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 3 часа назад
Mwanakulifind umeliget hekima kitu cha bure ulichoma vyann
@kamarhelo
@kamarhelo Час назад
Ange vichoma akiwa peke ake sasa yeye kaleta zalau
@AhmedAbdallah-y6q
@AhmedAbdallah-y6q 20 часов назад
Mungu one day atalipa kwa hilii halita isha hivi hiv mungu ni wetu sotee ALLAH Wahukum wote wanayo fanya haya hapa duniyan
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 18 часов назад
Polisi mmezidi sana nchi sio yakwenu mjue Mungu hapendi mnatesa watu kiasi ichi 😭😭😭😭😭 Watanzania kwenye uchaguzi tufanye mabadiriko
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 22 минуты назад
@@devothaignatius5256 Tiwachague wanaovunja amani? Kichoma kitenge mlichopewa na raisi wetu tena kwa kashfa kabisa ni sawa? Mlitafuta kiki mnaipata KILENI CHUMA HICHO
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 4 часа назад
Acheni kujiteka chadema serikali Isha wastukia
@ZainabuAbdala-hl3jp
@ZainabuAbdala-hl3jp 16 часов назад
Bado hujasema nautasema
@LeonidasStephano
@LeonidasStephano Час назад
Drama FC, Mungu ibariki Tanzania
@kengeleloya9598
@kengeleloya9598 20 часов назад
Hata kama sijasoma but this is not real .we need our president SSH she is real at all
@irenemollel4363
@irenemollel4363 19 часов назад
Achana na uchawa kajifunze kiingereza kwanza 😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 2 часа назад
​@@irenemollel4363😂😂
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 22 часа назад
Huyu mama nyinyi police watanzania msipo kaanaye chini atawapaka matope maelezo yake yana walakini mkubwa kunakitu kinaendelea cha kukuchafueni😅
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 21 час назад
Huyo ni mama , mwanamke na binadamu ikifika kipindi mtu mwenye akili timamu anafanyiwa ubaya na ukaona ni uongo ni hatari sana
@SamiaMbada
@SamiaMbada 21 час назад
Wanachafua serekali na nimuomgo chadema sio chama
@HAWANassoro-o2j
@HAWANassoro-o2j 21 час назад
Kwanza anachokiongea anakisoma kwenye karatasi 😢
@abdiharuna2818
@abdiharuna2818 20 часов назад
Siku yakimtokea ndugu yako wa karibu ndio utajua hujui
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 19 часов назад
Huyu mama mtihani
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 5 часов назад
Kama itagundulika alijiteka , akajifunga pingu, akajitesa na ajajitupa Kibiti. Hatua stahiki inabidi zichukuliwe juu yake.
@mohdhussein3516
@mohdhussein3516 6 часов назад
Halafu watekaji wmepta muda wa kununua mpka chipsi 😂😂😂tanzania nchi comedy sana
@mkaliwacoast5476
@mkaliwacoast5476 4 часа назад
Allah akulinde mamaangu...STORI YAKO KAMA YANGU😢
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 18 часов назад
Polisi wakamteka, wakampiga na kumuliza nan kakutuma kuchoma vitenge vya Samia daah akili gan hii
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 17 часов назад
Izi ni siasa ndugu usishangae na wala usiangalie upande mmoja huyu mama aachane na siasa ni mda wakumrudia mola wake
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 17 минут назад
@@zainabzanzibar1518 mwana kuli-find mwana kuli get UNACHOMA MOTO ZAWADI ULIYOPEWA UKAIPOKEA KWA MIKONO MIWILI! Hata ningekuwa mimi nisingekubali
@RamaMbwambo-ru8ym
@RamaMbwambo-ru8ym 17 часов назад
KWANINI UCHOME NGUO...TUMIA AKILI YAKO VIZURI
@calvin6445
@calvin6445 Час назад
Nyie chomeni kanga za mama kisha mjiteke mkitaka kubadilisha fikra za watanzania juu chama tawala...Mtawapata wapumbavu ila wenyewe D 5 tumeshaelewa....strategy kali za kumpindua Raisi
@AlphaKabinga
@AlphaKabinga 4 часа назад
Umefungwa kitambaa machoni halafu ukajua kwamba muda ni saa 12 jioni ? Duh hatari sana.
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 21 час назад
From🇧🇮mimi naona tanzanian imekuwa uwanja wa vita sasa muje burundi kwanza majirani
@surusuru1994
@surusuru1994 19 часов назад
Raisi anajuwa wanao fanya hii unazani dugu mana wanajitabulisha palis tz kuna vima 3 ila vyama viwili vinaubizani mno wana ccm chatema wanao onewa nichadem
@FarajaElisha-h9n
@FarajaElisha-h9n 20 часов назад
Wameanza kujitengenezea matukio. 😮 hamna sera??
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 20 часов назад
Matako ya mama yako ayo pumbavu
@Furahinikatkabwana
@Furahinikatkabwana 19 часов назад
Nawewe jitengenezee tukuone huku
@irenemollel4363
@irenemollel4363 19 часов назад
Acha uchawa, mchawi mkubwa wewe
@binseif2216
@binseif2216 19 часов назад
​@@MmohamediSaidiChunga ulimi wako uislamu haufundishi kutukana
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 19 часов назад
Siku yamfike mamaako utajua hujui
@SelemanHusen
@SelemanHusen 18 часов назад
Mimi sio shabiki wa viongozi Ila nanyie acheni dharau kidogo kuchoma hivyo vitenge ndiyo nini Sasa hata ungelikua wewe uchomewe vitenge vyenye picha yako ingelikuaje ?
@jennet6484
@jennet6484 13 часов назад
Mbona kama unasoma hapo mezani??😂
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 15 часов назад
Mlikosea kuchoma vitenge
@esthermichael4653
@esthermichael4653 3 часа назад
Tanzania ishakuwa nchi ya hovyo kwa kweli inaskitisha sana
@HUSSEINALLY-b7f
@HUSSEINALLY-b7f 16 часов назад
Unachoma vitenge vimekukosea nn
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 7 часов назад
Tena vyenye picha ya raisi
@allykyelula9327
@allykyelula9327 13 часов назад
Ila wewe mama ni Matalan umefungwa macho Halafu unajua watu wanakula chips 😅
@azizimfaume9050
@azizimfaume9050 13 часов назад
Anavyongea tuu ni muongo
@mwlpierre
@mwlpierre 11 часов назад
Kwa chips hazina harufu
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 15 часов назад
Huenda nyege tu huyo, atekwe eti aachiwe? Wapo wapi waliotekwa kiukweli? Saanane yupo wapi kwani karudi??
@joelbussa6903
@joelbussa6903 3 часа назад
Polisi wanajiona mungu sana mamae
@FatumaMatanga
@FatumaMatanga 2 часа назад
Emng. Tulinde tunako elekea cko kisa vyama mbn kila mtu abaki na chama akipendacho??
@ip_header
@ip_header 14 часов назад
Uchunguzi huru ndio suluhisho , hapo huenda kuna genge la uhalifu linatumika ilikutoa taswira mbaya kwa serikali.
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 10 часов назад
Kweli kabisa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 8 часов назад
​@@YusuphMwangobolamnatafunwa nyie,kwahiyo polisi nayo inaichafua serekali yake!???
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola 8 часов назад
@@kassimrajabu7805 una uhakika gani kama polisi
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 7 часов назад
@@YusuphMwangobola umemaikiliza vizuri mama??!
@CopperBelt
@CopperBelt 18 часов назад
Tumeshtuka sasa 😂😂😂😂😂😂 kutengeneza mazingira flani
@Ajijji12
@Ajijji12 18 часов назад
Umeonae 😂😂😂
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 17 часов назад
Ni +MUNGU+ tu amemponya🙏🙌
@OfficialA83640
@OfficialA83640 7 часов назад
Nilisema mm hawa hili tukio la kuchoma kanga litawacost haya kz imeanza kwake Subhannallah mama wa watu mnaenda mpiga mtasema mwizi kisha kulazimisha awapende tu
@kamarhelo
@kamarhelo Час назад
Tatizo ni kwamba kaleta zalau kwani mtu kama hukuvitak angevichoma akiwa peke ake ila alijiaminisha
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Час назад
@@kamarhelo Ndy umteke km kafanya kosa c wanemkampeleka police wakampa kesi sasa nn kutaka kumtoa roho kisa kaka ya CCM acheni usenge wenu wakulazimisha watu ujinga
@kamarhelo
@kamarhelo Час назад
@@OfficialA83640 nikwamba hujanielewa jambo zito kama hilo yeye mtoto wa kike kalibu kalibeba la kazi gani kama sio Kutaka kuacha watoto wake wahangaike duniani angeuza zake mchicha ale ashibe alale lakin kujingiza kwenye siasa ni matayiz matup na akiona kilicho mpata yule kijana alie choma picha na yeye Tena kaenda kuchoma vitenge ili iweje
@MwapololoMc
@MwapololoMc 16 часов назад
mwana kulitafuta mwana kulipata mpumbavu uyo sindio walio choma nguo za rais samia acheni kutafuta uruma
@OstakiaCornely
@OstakiaCornely 2 часа назад
Ndio maana sihitaji mambo ya siasa ni ujinga tu ona walivyomzalilisha mama wa watu mungu awalaani
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 6 часов назад
JAMANI KWANN MLICHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA RAIS WA NCHI WETU?
@FatumaMatanga
@FatumaMatanga 2 часа назад
Uko vzr dada mana wanatak kuhum wao kama vile nawao hawatokfa.
@neemaisrael688
@neemaisrael688 20 часов назад
Mpe heshima Rais .mbuzi wewe.
@AishaOman-k6f
@AishaOman-k6f 19 часов назад
Subhannallaah politics.watz kwasasa nimajambazi
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 12 часов назад
Miongo hajatekwa huyo kafumaniwa
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr Час назад
Chadema wenyewe wanatekana kuiharibia CCM
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 Час назад
Siasa za Bongo zishakua za kidikteta... Ngoja tupambane tupate KATIBA MPYA.. NYI MAA SISI EMU MTAJUA KWANINI KUKU HAKOJOI
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 16 часов назад
Mama mkavu ata haugulii maumivu duuh
@SAVINPONSIAN
@SAVINPONSIAN 17 часов назад
Kipindi mnachoma vitenge mlikuw mnachekacheka tu
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 17 часов назад
Hapo hawezi kusema yote wamemfanyia kila kitu Allah akuponye na akuepushe na magonjwa
@abuuhamda6213
@abuuhamda6213 17 часов назад
😂😂😂😂 muongo huyu mama wakutekwa na kuwa Hoi awe hivi
@joharimohamed
@joharimohamed 17 часов назад
​@@abuuhamda6213angekua ni mama yako au ndugu jamaa usingefurahia km hivyo
@abuuhamda6213
@abuuhamda6213 17 часов назад
@@joharimohamed na haiwez ikatokea coz sio watu wa masiasa huyu kayataka acha apigwe tu
@rynesawaya7043
@rynesawaya7043 16 часов назад
​@@abuuhamda6213ok what goes around comes around usiongee sana bado safar ni ndefu,its good to be silent
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 5 часов назад
​@@abuuhamda6213😢😢kwakua c mamako ila angekua mamako usinge sema hvyo
@AholeLifilima
@AholeLifilima 18 часов назад
Uyu aliokotwa na boda kisarawe akaperekwa mwanyamala hospitali mbona mbali sana kisarawe ni wilaya ya ilala alitakiwa aende amana na alipokerewa vp hospital bila PF3 me aya mambo ya siasa apana siyataki kabsa
@ip_header
@ip_header 14 часов назад
Hapo kuna mchezo unaendelea, muda utaongea..!
@twahamitingi4028
@twahamitingi4028 19 часов назад
Bora kukaakimya😢
@HamidaSeif-c8u
@HamidaSeif-c8u 17 часов назад
Lakini uliongea na viongozi wako wa juu wakawaruhusi kuchoma hizo nguo? Mbona wapo kimya limekuwa lako tu!!!!? Inamaana ulijichukulia sheria mkononi
@MuniraGambere
@MuniraGambere 2 часа назад
Sasa vitenge tu ndo mumfanyie mama wa watu ujinga wakumvua nguo.....acheni ujinga polisi ama watu wengine wanaofanya unyama na nynyi pia mmeumbwa na mtapata matatizo pia...
@ChristopherK4
@ChristopherK4 16 часов назад
Kituo Cha daladala hakukuwa na mtu ? Sipendi kutekana ila ka Kuna uwongo flani hivi
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 7 часов назад
Emwenyezi mungu tuna kuomba liangalie hili tuko chini ya miguu Yako Tanzania Ina elekea wapi
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 20 часов назад
wanakutuma ufanye upuuzi kisha wanakuteka wenyewe ili baadae waseme serikali wamekuteka na bado tutaona mengi sana tu na viele ele vyenu hivo unaesabu idadi ya watu 6 unshindwa kuhifazi namba za gari
@Lyn712
@Lyn712 17 часов назад
Unauhakika acha kuongea upuuzi huyu mtu kateseka ujue
@estambuya3901
@estambuya3901 16 часов назад
Ubinafsi umekutawala.
@gwajetheentertainer363
@gwajetheentertainer363 Час назад
My Kantri😢
@rahema907
@rahema907 21 час назад
Ulicho pitia hadi usome mmmmh
@Rich-wo
@Rich-wo 6 часов назад
Tz ukiwa mpinzani tuu jiandae kipigo daah😢
@MariaMrinji
@MariaMrinji 21 час назад
MH ALOFUNGWA KITAMBAA LAKINI AKAPELEKWA POLIN NA AKAA KWENYE KISIKIMM SIO POLICE LAKIN UYU MM EMU WAMUHOJI VIZUR KWAKUA KAMA KUNA IGIZO FLANI HAPO
@salimusalim3610
@salimusalim3610 16 часов назад
Sasa mbona anasoma ufanyiwe tukio upate mda wakuandika stori yako na ukiangalia kwa haraka hii sura ya kupata mateso kweli
@goodmorningafrica6409
@goodmorningafrica6409 9 часов назад
Daah. Sasa uchunguz wa nini apo😢
@AyoubPapiy
@AyoubPapiy 45 минут назад
Wewe umechoma nguo wakati watu maskini wanazitafuta, unaona wamekuonyesha umuhimu wa nguo,Wamekuacha uchi ndio ujifunze sasa😅
@peterfania1005
@peterfania1005 6 часов назад
😢😢😢😢😢,ccm mnatia aibu
@roselambert6700
@roselambert6700 22 часа назад
Mbaya sana jamani Tanzania yangu
@SaidMwendabwillah-v3z
@SaidMwendabwillah-v3z 20 часов назад
Anatuzuga anatembea na mums wa mtu😂
@calvin6445
@calvin6445 Час назад
Pigania dini mama achana na siasa na mdomo mwingi...Mungu haijui siasa.Chadema mnauwana wennyewe mkisingizingizia CCM .Tunaelekea uchaguzi mkuu wapo watakaotumia mbinu ya aina yoyote hata ikiwezekana kuuwa kwa maslahi yao lengo likiwa ni kuwabadilisha watanzania mawazo na fikra waone chama tawala ni kibaya. Wajanja tumesanuka.Nyie chomeni kanga Za mama alafu jitekeni wenyewe ikiwezekana muuwane kabisaaa
@azizimtege
@azizimtege 17 часов назад
Aliyepigika hata anapoongea untamjua tu, but huyu mama anaongea kwa uchangamfu hivi mmmh ebu mwangalieni vizur then futa picha ya mtu mwenye maumivu inshort huyu mama anacheza filamu.
@MercyHamis
@MercyHamis 19 часов назад
Hv nyie mnaosema hy mama ni muongo inamaana hamuon hy madamu yalivyoivilia mwilin 😢 mtu mzima kama hy ajitengenezee tukio ili iweje inamaana kajipiga yeye hyo majeraha yote daaah 😭
@NoelaJohn-p5d
@NoelaJohn-p5d 5 часов назад
Kwa hiv jaman wanachadem achen hich cham kibak ccm tyu jaman mtakuf muach watot wenu jiweken pemben jaman 😢😢😢inaum mno basi tyu
@miriamamiri641
@miriamamiri641 17 часов назад
Ila chadema kwanini huwa inaonewa jamani dah mungu atawahukumu siku moja yaan watu wa chadema ndo wanao tekwa sana sasaiv
@jspenderhtv1333
@jspenderhtv1333 16 часов назад
Huyuu ndioo amepigwaa mpka wakajua wamemuua???leo tu anaongea ivii😂😂
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 7 часов назад
Kumbe mkiwa kwenye siasa mnazitambua dini zote mbili na mnatambua YESU KRISTO NI WA KUSIFIWA
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 5 часов назад
🤬🤬🤬🤬 acha uchochez na choko choko za kidini
@RANKMANTANZANIACOLTD
@RANKMANTANZANIACOLTD 27 минут назад
@@zenaycechanzinho6702 nani wa kuacha mimi au wanaojinafikisha kwenye salamu mbilimbili. KUMBE BWANA YESU NI WA KUSIFIWA HATA NA WAISLAM HWOYOOOOOOOO PIGA KELELEEEEEEEEE
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde 5 часов назад
Tumefikia pabaya,tutamwamini Nani?maana hata Police hatuwaamini tena, hivi tunaelekea wapi?kwa kuchoma picha Tu make kuua MTU?kwa nini mlikubali VYAMA VINGI? Rekebisheni basi tubaki na chama kimoja. Hii ni aibu kwa Taifa hili. Inasikitisha Sana.
@MosesFredy-f2z
@MosesFredy-f2z 47 минут назад
NIMELIA SANA WAKAKUNYIMA NA CHIPS JAPO ULIZISKIA
@Classic-i2e
@Classic-i2e 19 часов назад
Wanataka vyaman vingi wala hawaviwez😂
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 19 часов назад
Mafwele anapiga risasi uyu kama bi harusi😂😂
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 15 часов назад
😊
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 18 часов назад
Kwann hukupiga kelele na mchana wote huo ili wananchi wajae. Hii habari inaukakasi yani mama ulivyo na mdomo ww ukaacha kupiga kelele na hizo nguo usingeenda kulia porini ungevulia hapo mchana kweupe watu wajae au walikuloga
@esthermichael4653
@esthermichael4653 3 часа назад
Halijakukuta mpendwa ndo maana unamuongelea ivyo ila tambua dunia ni duara
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 часа назад
@@esthermichael4653 swala sio kunikuta huyu mama sio mshamba wa polisi na keshajua ukitekwa nn kinafata wenyewe ndo wanatwambia tusikubali kutekwa kijinga tupige kelele tujaze watu kwaiyo wanatujazaga ujinga au
@mohdhussein3516
@mohdhussein3516 6 часов назад
Hivi mtu aliepigwa akapigika ana nguvu ya kuzungumza kma ivo chadema hem kueni siriac bc😂😂😂😂😂mnatuektia sana
@ukweli255
@ukweli255 5 часов назад
Hayo unayoyaandika hayakusaidii kutoka kwenye huo umasikini ulionao achilia tu ujinga
@4karimu_
@4karimu_ 5 часов назад
Umuoni kavimba mpendwa
@LiquidMatejoe
@LiquidMatejoe 5 часов назад
Ujitambui wwe
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 4 часа назад
We nawe inaleta utani kwenye mambo serious just because it has not gotten to you
@Carinasadati
@Carinasadati 42 минуты назад
Tuseme tu ukweli walio mteka wamekosea ila ata yeye alikosea pia
@deobenedictakyoo3140
@deobenedictakyoo3140 21 час назад
Jmn ,km vp vyama vingi vifutwe, mambo Gani hyaaa, waiiii😢😢😢
@Classic-i2e
@Classic-i2e 19 часов назад
Kwakwel
@wahidabakar
@wahidabakar 22 часа назад
pole sana
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 13 часов назад
💔😭
@MosesFredy-f2z
@MosesFredy-f2z 57 минут назад
SASA NANI ALISEMA UCHOME UKOME
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 22 часа назад
pole mama jaman!
@selemankishema5780
@selemankishema5780 17 часов назад
Na weee kwanini ulichoma vitenge? Siungewapa hata masikini wakatumia choma tena tuone ujasiri wako 😂😂😂
@estambuya3901
@estambuya3901 16 часов назад
Ubinafsi umekutawala.
@LaurentMatigili
@LaurentMatigili 6 часов назад
Hao waandishi wa Habar mbona hawatulizi iyo mikono Yao kama sio maik
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 2 часа назад
Sasa yanin kuyachima matenge yatu jaman daah pole biaAisha
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in 15 часов назад
sasa hapo polisi watachunguza nini , hawaoni hata aibu. hayo ni matumizi mabaya sana ya fedha za wananchi, yaani mafuta yanayatokana na kodi yetu ndiyo wanayotumia kututekeya du ila wanatuona maboya kweli, lakini ipo siku yao kwani malipo ni hapa hapa, tuombe mungu
@SabastianRaymond
@SabastianRaymond 16 часов назад
MALIPO kwa Kila KAZI YANAKUJA ..... Mama pole
@Isack-b9k
@Isack-b9k 16 часов назад
Mm nashangaa chadema inawalindaje watu wake?
@MosesFredy-f2z
@MosesFredy-f2z 55 минут назад
SIPATI PICHA IZO KELELE WAKAT WA BAKORA😂😂😊
@kageclemence7096
@kageclemence7096 18 часов назад
Ipo siku yenu 😭😭😭
@OmanOman-t5p
@OmanOman-t5p 21 час назад
Atakaaje Uchi wengine mpakaleo hawajulikani walipo
@joojombi2341
@joojombi2341 3 часа назад
Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu bac hata cku moja. Msikilizeni Yona wa Chalinze atawapeni ukweli. Wacheni kupotosha umma bhana
@PatrinusSanga
@PatrinusSanga 19 часов назад
Omba yasikukute mapito wanayopitia chadema mungu anajua
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 19 часов назад
Wemetumwa
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 16 часов назад
tulijua tu
@abuuhamda6213
@abuuhamda6213 17 часов назад
Hivi wakupigwa hadi hajitambui anakua huy jmn hebu tushtuke hii ni sinema zetu yan yupo kama hakutekwa aah 😂😂😂
@Jamila96_juma
@Jamila96_juma 15 часов назад
Na anasoma story yake mwenyewe kwenye karatasi
@farisal-rawahi7533
@farisal-rawahi7533 16 часов назад
Muongo huyo mama mbona anasoma kwenye karatasi muongo sana
@irenemollel4363
@irenemollel4363 19 часов назад
Tunahitaji mabadiliko kwenye hii nchi yetu, jamani watanzania wenzangu mwaka ujao tusifanye makosa, tuhimize jamii zetu tuonyeshe jamii zetu uovu huu wanaofanyiwa wenzetu ili mwakani tusiupe nafasi tena, tuhimizane kupiga kura
Далее
Собираю Фигурку Из Лего! 🧩
0:52
Would you go on a Blind Date in Italy?
0:51
Просмотров 18 млн
Nyumba ya Mama Mjane Yapigwa Mnada Ndani ya Dakika 5
7:36