Тёмный

YALIYOJIFICHA JUU YA KUTEKWA KWA KIJANA SATIVA WA TWITTER | AFRIKA HATUNA UHURU WA KUKOSOA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

27 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 152   
@Zenny89
@Zenny89 Месяц назад
Ukweli hauta kuja kupatikana Sababu waliofanya hivi wapo serikalini…na Polisi wametumika…Aliyempiga Risasi Tundu Lissu mpaka Leo hajulikani
@Taito-brand
@Taito-brand Месяц назад
Ww umemjua kam umemjua toa taarifa kak
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 Месяц назад
Wasiojulikana..​@@Taito-brand
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
​@@Taito-brand taalifa katoa mwenyewe mpigwaji lisasi kwani hizo taalifa hazikutoshi !kama hazikutoshi nenda hospital kamuulize tena
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
​@@Taito-brandyaani wewe ni mwanadamu kabisa wala sio mungu
@PendoMatemba
@PendoMatemba 20 дней назад
Na zile kamera zilikuwa kipofu
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Месяц назад
Acheni uchawa awamu ya 5 haifananishwi na chochote wa na huyo mama yenu asie tufaa watazania masikini anajali wazungu na matajili hafai kabisa musimufananishe na magufuli
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 Месяц назад
Kuna siku hiinchi itawaka waache wajione wananguvu sis wananchi ndotuna ngutu ilawatanzania tuache wonga tupambanie nchiyetu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад
KWANI MUKISHAMUAISHA KATIKA HOSPITAL ALAFU MKACHUKUA MAELEZO YAKE NI VIZURI ZAIDI KULIKO MTU KUFALIKI UKU MNAMUOJI UDUMA YA KWANZA IWE KWANZA MENGINE YAENDELEHE BADAE 😢😢😢
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs Месяц назад
Kabisa yani😢😢
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 28 дней назад
​@@AdelaideZacariasZacarias-hp8gsjambo zuri kabisa one African love
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Месяц назад
WANANCHI WA TANZANIA TUMEBEBA HASIRA NYINGI SANA MIOYONI MWETU...
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g Месяц назад
Hasira zenye uoga ndani yake
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Месяц назад
​@@user-zb2mj5nd5gtunapelekwa tu kama mambwa 😢tukiongea tunatekwa loooh tz amani hakuna
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
@@user-zb2mj5nd5g🤣🤣🤣
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Месяц назад
@@user-zb2mj5nd5g Siku Isiyo na Jina Utaisha....
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Месяц назад
True​@@user-zb2mj5nd5g
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
roho za wa kenya ituingie miyoyon mwetu watanzania amina
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw Месяц назад
Safe sana wasafi wambieni viongozi wa serikali ipoh siku tutagawana majumba
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 Месяц назад
Huyo Edo sijuwi kama sio Shoga, sasa unaleta mambo nyuma ipi hiyo, huyo mamaako amefanya nn la maana, serikali ya Magu mgemtupia lawama yeye, ila saivi yupo huyu mnamuekea maneno mdomon na kusafisha tawala yake, acheni chuki za kishoga hizo
@husseinc
@husseinc 24 дня назад
alishawai kutekwa dr ulimboka alieyekua anaogoza mgomo wa madaktari alipigwa vibaya sana kung'owewa meno alikuwa na hari mbaya akakimbizwa south afrika kwa matibabu yaharaka dr ulimboka alimtuhumu bwana mmoja aliekua ikulu huyo bwana siku anatwekwa alimpigia simu dr na kumuekeza dr wakutane sehemu fulani ndio alipotekewa, ilikuwa ni Awamu ya 4 jakaya mrisho kikwete huyo edo alijui hili,? vyombo vya habari si vya kuamimini unakuta washanunuliwa wanafanya kampeni kuuchafua utawala wa hawamu ya5.
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 26 дней назад
Edo bhana daaah,anazeeka vibaya sana
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 29 дней назад
KWANZA APELEKWE HOSPITAL SIO KUMHOJI MTU YUPO MAHUTUTI SAAANA
@PendoMatemba
@PendoMatemba 20 дней назад
Wanamchelewesha ili afe
@bossmolellsisiya4101
@bossmolellsisiya4101 Месяц назад
wapuuzi sana hao badala ya kumsaidia kwanza wana muhoji washamba sana haw
@anitajacob3641
@anitajacob3641 29 дней назад
Hii nchi yetu inaogopesha sana
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Месяц назад
Wachunguzwe vijana ccm ...maaana yule aliyeongea Bukoba atoe maelezo
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Месяц назад
Si ndo mama qnaupiga mwingi au😂😂😂😂😂 daah aya kesho kwa mungu uko kuna neno
@allytv1714
@allytv1714 Месяц назад
Hii nchi ni ngumu sana kwanza ina wananchi waoga pili ina vyombo vya habari vya kusifia tyuu kuliko kusema kweli tutazidi kufa cz tunaserikali ya magaidi lazima tubadilike watanzania
@nataemsuya
@nataemsuya 26 дней назад
Dah..ningeshauri km kuna sheria inaelekeza mgonjwa mahututi apelekwe kwanza polisi badala ya hospital jamani pengine kuna haja ya kuibadilisha sasa. Yani nchi km Norway 🇳🇴 afya kwanza😮unakimbizwa hospital kwanza kabla ya yooote. Hata km ni mwizi/ mlevi/ kahaba/vyovyote, afya ya Mtu ni muhimu sn kuliko kitu chochote. Sisi tunashindwa wapi😢😢
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 Месяц назад
Tumewachoka viongozi wenu wanafanya vitu vya ovyooo Sana..... Kiukweli kabisa binasi siwapendi vitu wanavyovifanya mm naumia Sana moyoni
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
Watanzania mjifunze kutoa huduma kwanza jamani mtu mna muona anahitaji huduma ya kupelekwa hospital kuliko mmuwahishe hospital mna muhoji sijui muite viongozi wamtaa sijui police 🚔 hivyo vyote vya nini!
@ms123ru
@ms123ru Месяц назад
Uwez msaidia mgonjwa Kama hauna taarifaa kaka
@thespaniardinme
@thespaniardinme Месяц назад
Watu wetu mambo ya first aid ni 0 kabisa. Mtu analalamika kabisa kichwa kinauma, mara mbili, wao wanamhoji juu ya waliomteka. Mpaka unajiuliza, wao polisi? Au wanataka content? Yani hawakufikiria kabisa kuwa analalamika maana hayupo vizuri. Jukumu lako ukimkuta ni kuita polisi au kumpeleka kupata huduma, baas.
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 Месяц назад
​​@@thespaniardinmesiyo kweli, kumfahamu jina na anakotoka kama anaweza kuongea ni muhimu kwani anaweza kufa ghafla na ikawa shida kwa uliyemuokota. Au hujwahi kusikia,mtu mshtakiwa kwa mauaji ambayo hakutenda. Lazima uchukue tahadhari bila kukurupuka
@thespaniardinme
@thespaniardinme Месяц назад
@@jumbeojaso5767 hiyo ni sheria au mazoea? Kama ni sheria, ni sheria ipi, maana labda mimi siifahamu lakini wewe unaifahamu. Na zaidi, ina faida gani kwako kama umejua jina halafu akakufia mikononi, then what? Nia ni yeye kuwa saved au wewe kujua jina lake? Na zaidi, inachukua muda wote huo wa video kujua jina lake tu? For real???
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 Месяц назад
Kwaio bora afe akiwa anahojiwa?​@@ms123ru
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Mungu kazini chezea mungu wew wasiojulikana wasiojulikana ndani ya nyumba kazi kwenu wakuu je wanakamatika hao au mwenda zake Tena ??? Tuacheni uchawa ukweli pekee ndio uhulu wetu pasipo ukweli utumwa juu yetu hakuna atakaetabili usalama wake hata uwe chawa mkuu kiasi gani nawe unaweza kukinywea kikombe hicho hicho unachokifannyia uchawa !!
@user-fh1vu5xk3j
@user-fh1vu5xk3j Месяц назад
Kwa umri wake na kazi zake, itakuwa ni kukosoa baadhi ya vitu, maana Tanzania ndo nchi pekee ukikosoa ni kosa kubwa sana
@Ambagaye
@Ambagaye 17 дней назад
Badala ya kuripoti habari kama habari nyine mnaweka uchawa mpaka kufikia kuhusisha mambo haya ya utekaji na serikali. Haya basi; leo hii JPM hayupo, je kawatuma hao watekaji kutokea kaburini mwake?
@Vuvuzelaz1
@Vuvuzelaz1 29 дней назад
Nani anamlinda hugo kijana huko hospitali ili watekaji wasiende kumdhulu au ndio masikini hana ulinzi ?!
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
kmsifu mama ndo nn mnaznguwa nanyie watangazaji
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 29 дней назад
Sasa mtu anahojiwa wakati ameumizwa , jamani wananchi tupewe thamani. Atibiwe kwanza kwanza
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Mnategemea maneno ya Daktari au Polisi ambae kasikia alipelekwa Polisi 😂
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Месяц назад
Tanzania bdo wako kwa ukoloni hwana uhuru wa kuongea democracy
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m Месяц назад
Dar dar inaumiza sana jamani mbaka tumbo limeniuma lauchungu Mungu msaidie kijana wawatu apone jamani
@lwakainaza
@lwakainaza 29 дней назад
Tumbo limekuuma la uchungu? Unamimba?
@user-ly9us4db3m
@user-ly9us4db3m 29 дней назад
@@lwakainaza utajuaje kama nina mimba au sina acha umbea
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
​@@lwakainaza kumbuka wewe ni mwanadamu kabisa wala sio mungu ipo siku utalijua hilo
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz Месяц назад
😮
@ahnafaykhan698
@ahnafaykhan698 Месяц назад
au tukiamshe km kenya au serekali mnajikuta nani??! GEN ZI hata tz tpo
@muthegreat3667
@muthegreat3667 Месяц назад
Wapeni taarifa ipo siku tutachoka t .
@ramadhanijawas3204
@ramadhanijawas3204 Месяц назад
Hata uko hospital wasije kwenda kummalizia au maigizo kutoka juu yakumuwekea sindano ya sumu daaaa Tanzagiza daaa watu wanateseka sana na sisi wanchi tukoo kimyaa daa mungu zidi ibariki Kenya
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Месяц назад
Tz watu hawapendi kukosokewa wanataka kusifiwa2
@boychidu
@boychidu Месяц назад
TANZANIA BUANAAA MUNGU WETU TULIPIZIE HILI MAANA SISI MASKINI WAKO HATUNA HATIA YOYOTE LAKINI TUNANYANYASWA NA WENYE UWEZO NAOMBA UPIGANE NAO WANAO PIGANA NA SISI 🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Месяц назад
Hawa vijana hayo mauvu wanayo pata wanabaiki na kinyongo moyoni siku wakiamua kutoa kinyongo moyoni sidhali kama watuzuiliwa na mtu yeyote.
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Ndugu Muandishi kuna kiongozi alidiriki kusema wataua watu na hakuchukuliwa hatua yeyote. Watu wanapotea nchi hii jamani tuacheni roho mbaya kila mtu atakufa hakuna atakaishi milele
@danielamosi6871
@danielamosi6871 27 дней назад
Badala mtu akatibiwe anahojiwa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Месяц назад
Huyu kijana anajuwa watu walimfanya hivyo ni WA chama chake na hii ni kuona akuna ishu yeyote kwenye chama Chao ,sasa wanafanya mazingaombwe ,upigwe risasi ya Taya upone nchi hii usanii mwingi sana
@alimohamed5757
@alimohamed5757 Месяц назад
si Tanzania dunia nzima
@AbduliKombania-ob8us
@AbduliKombania-ob8us 26 дней назад
Polisi ndio sababu ya yote ayo kwasababu kwa maerezo yake yeye alilazwa kituo cha polis ostabey je aliekuja kumchukuwa apo kituoni nani polisi ndio wajibu
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 Месяц назад
Sababu ya kutekwa nani ataitoa?? Maana Hadi Leo sijawahi sikia Moalipotekwa
@aiyaavibes7610
@aiyaavibes7610 Месяц назад
*INAUMIZA SANAAAAAAAA*
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 24 дня назад
Hapo mwanzo mlisema awam ya tano sasa mbona mnasema mara juz mtoto mara uyo jamaa vp na hapo ni awam ya tano
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Cha msingi hapo ni kumwahisha hosipital acheni ujinga akipona mtamhoji ndo nchi yeti ya Tanzania na jeshi la police sijui km Kuna kitakachofanyika maana sijaona wasiojulikana wakikamatwa Tanzania duh
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Viongozi wa upinzani walisema kuna kundi mkadharau yaani tutakoma
@Zenny89
@Zenny89 Месяц назад
Ila Polisi wa Tanzania…baada ya kumpeleka mtu hospitali kwanza mnaanza kumhoji hapo hapo wakati ameumia.
@abbeyngamilo
@abbeyngamilo Месяц назад
ajabu sana, halau wanataka kumpeleka polisi kwanza ndio hospitali
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 Месяц назад
huyo siyo polisi ni mkurugenzi wa halmashauri ndiye aliyeelekeza kupatiwa.matibabu baada ya kupata particular zake
@Taito-brand
@Taito-brand Месяц назад
@@shaurimtanda8285yan kak wananchi wa nchi hii bhn kitu ana uwakik nach analopoka tu ajui anaropoka ndio mana unakuta watu wanawalaumu polis ndio wanahusik lakin ajui chcht kisa kamsikia fulan kasem jamn kuwen makin aiseeh cause kitu una uwakik kaa kmy
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Tana inauma sana maana wangewahi kumpeleka bila mahojiana mambo yote yangemalizwa na madaktali kimwa kimwa dunia isingejua nini kinaendelea yaani kweli inasikitisha sana
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly Месяц назад
Kuna ben saa nane ad leo ajulikani alipo 😢😢
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats Месяц назад
Hawaku muacha hai walimuuwa ila Mungu alimuokoa. Hawakukusudia awe hai sema risasi ilipita maeneo ambapo Mungu alimuokoa. Yani Huyo ACP anaangaika kwamba kapigwa na kitu chenye ncha kali au sio. Hayo yanahusiana vipi. Kamata watekaji ng’ombe we
@ombeniefata2239
@ombeniefata2239 Месяц назад
Acheni unafiki watangazaji uhuru tanzania amna kuna uoga tu
@frankraphael7546
@frankraphael7546 Месяц назад
Osika unajibu kwakubabaika iyi nch niyetu utekaji ni mwingi tuliko Toka uyokijana amechukuliwa kituo Cha polis kwamaongezi yake polis inajua nawala upelelez auwez kufanyika
@ahnafaykhan698
@ahnafaykhan698 Месяц назад
inaonekana hao waliokuwa wanamhiji walitka afue hapo ili kupoteza ushahidi
@zefamange7281
@zefamange7281 28 дней назад
Mlisema huyu wa sasa hateki watu anaupiga mwingi, huo ndio mwingi.
@harunamtiko117
@harunamtiko117 28 дней назад
Polisi sio rafiki kwa wananchi tena, kinachotakiwa kila mtanzania achukue tahadhari na maisha yake, ikibid kila mt atembee na silaha yyte kwa ajili ya kujilinda binafsi, ikitokea mt anataka kukukamata bila kufata utaratibu bx unamalizana nae, n bora akuue pale pale kuliko akuteke apoteze ushahidi. Uoga haufai tena vngnevyo tutazd kuuwawa kila siku.
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Месяц назад
Nyie msaidie aende hospitali
@emmanuelrobert4757
@emmanuelrobert4757 Месяц назад
Kiukwel sio sawa aliyefanya hivi ipo siku itarud kwake real
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Месяц назад
Huyu jamaa waache mazingaombwe police awawezi kusema bila ya yy mwenyeewe kusema maana Hawa vijana hatari sana ,mm siamini na naendelea kutokuamini ,uwezi kupigwa risasi ya Taya uwe hivyo ,police fanyeni kazi yenu kiweledi huyo ataeleza ukweli
@user-uy5nx1bj5r
@user-uy5nx1bj5r 29 дней назад
Risasi kwenye Taya bila matibabu wala damu na anaongea haya
@khamisomary7428
@khamisomary7428 Месяц назад
Inashangaza sana nahapa kuna kitu hakipo sawa, watu wanaanza maneno kuliko uhai wake
@khamisomary7428
@khamisomary7428 Месяц назад
Tena wanarekodi jamani😢😢
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
​@@khamisomary7428mungu kazini kuyafichua maficho ya wasiojulikana
@ayubukedimundi3221
@ayubukedimundi3221 Месяц назад
Alafu apo Kuna wale wa haki za jamiii na binadamu na wamekaa kimya wakati wao matukio ya kipumbavu wanakuja kukemea......
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 29 дней назад
Atakuwa shoga haki za binadamu hata kutoka ulaya wangeshafika kutetea
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
Mama Samia tusaidie kwa hili kwann watu wanateka watu?
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 Месяц назад
mmm ok utasubiri sana si kawarudisha serikalini
@robertphilip385
@robertphilip385 Месяц назад
Kwani hajui
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Kweli atusaidie sana maana wenda yupo safali hajui kwamba wanatekwa asante sana kwa kumpa taalifa
@robertphilip385
@robertphilip385 24 дня назад
@@SmilingCityMap-xb9md kweli we ndo hamnazo eti huenda hajui anajua sana tu
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Месяц назад
Serikali serikaki serikali msipokemea haya mambo moto wa jehanamu unawaongoja Hakika Mtochomwa milele ,tumbo limeniuma Eee Mungu wangu
@omanoman2044
@omanoman2044 Месяц назад
Huyo kaka ake aseme vizur ndug yake alielekea wap ndug sai wamegeuka wanyam
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Месяц назад
..... nchi nyingi si huru kama watu wanavyofikiria. Hat nchi mnazoambiwa ni huru, siyo huru. Na hili siyo nchi za kiafrika tu..............nchi za magharibi hii kitu ni kubwa sana.
@Bushman000
@Bushman000 Месяц назад
Kwa hiyo unatetea hili tukio??
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 29 дней назад
@@Bushman000 Hapana sitetei hili suala hata kidogo ndiyo maana watanzania ni waoga, sababu mambo kama haya yanaleta hofu. Kuachwa kwa huyu kijana kwenye hifadhi ya taifa, ina maana walitaka aliwe na wanyama. Inatisha.
@husseinc
@husseinc 24 дня назад
ni kweli baadhi wanadhani kuna nchi ni huru ukija kwenye uhalisia sio huru
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Месяц назад
Uhuru wa kusifia sio kukosoa . Hakuna hatua yeyote. Awamu hii ni ya wawekezaji na matajiri. Sikiliza hotuba za wanasiasa kusikia neno watu maskini ni adimu sana. Siku hii ni wawekezaji ndio wana haki. Kwa sasa tuna philosophy ya kibebari trickle down effect ambao imefeli.
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Месяц назад
Tz ina uhuru wa kusifia ila siyo kuponda.hatuna viongozi serikali uozo tu
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 Месяц назад
Katavi porini ili aliwe na simba. Kweli wasiojulikana ni kiboko..
@zarabati1750
@zarabati1750 Месяц назад
Police ndo hutumika kufanya hivi sana sana wangapi walitekwa na hadi leo kimya
@Taito-brand
@Taito-brand Месяц назад
Unauwakik tuhuma hiz ndg zang unauhakik
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Месяц назад
Sio Mbezi Beach wewe,kuweni makini na habari zenu.
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 Месяц назад
Yani kamanda wa polisi anajibu kwa wepesi na mipasho kbsa, kana kwamba tunaongelea katoa single flani hivi na sio uhai na usalama wa watu.
@Taito-brand
@Taito-brand Месяц назад
Brow wew ulitaka aongeaj acha ujinga kwan yy ndio amehusika
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
​​@@Taito-brandngedele na mastaka ya nyani hebu tabili hiyo hukumu itasomekaje
@ndolimanaamani9106
@ndolimanaamani9106 Месяц назад
Oscar kuna muda huwa unajikakamua kuongea halafu unachanganya damu
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Месяц назад
CCM MAPINDUZI SIYO WATU
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Kwamala ya kwanza wasafi mmetisha siokila siku umeupiga mwingi
@Fgldesigns
@Fgldesigns Месяц назад
Huoni walivyonywea wameshindwa kukwepa wanaanza tusirudi hayo mambo yapo kila awamu waavhe kumchafua aliyepita maana woye wako hivyo hivyo
@Fgldesigns
@Fgldesigns Месяц назад
Huoni walivyonywea wameshindwa kukwepa wanaanza tusirudi hayo mambo yapo kila awamu waavhe kumchafua aliyepita maana woye wako hivyo hivyo
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 Месяц назад
Wameanza kujtambua
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Badae utrahoji hayajawakut
@user-tt1ze2dw4x
@user-tt1ze2dw4x Месяц назад
Sisi tuacheni tu na tukubali Tanzania Amani akuna kabisa pia Tanzania tunauoga mwingi Sana leo hii kwa ujinga uo uliofanyika watu waingie mtaani watafute haki aise mbona mnapata aki ndomna mm bongo mnisqau kabisa 😂 siji na adi uraia nishabadilisha zangu😂
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 27 дней назад
Umeongea vizulisana kaka Oscar we nimzalendosana unakitu kizuli Moyon kuhusu hiinch matukio yotehaya atusikii kauli ya rais sijui yukowap yaan nikama anajisahau uyumama nchi ipo pabayasana tenasana
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Yupo nyuma ya wanaoulikana kakaa hapo anaupiga mwingi
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Polis uzembe tibu mtu hali sinzur
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
Na huyo anayo muhoji ni fala sana kwa maswali mtu anamaumivu we mwasawali ya nini
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Inawezekana anaiga ufala wako
@user-ob8cd2zj1o
@user-ob8cd2zj1o Месяц назад
NYIE WOTE WAOGA#
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 Месяц назад
Machawa slow your words msisifie visivyo sifika.
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 29 дней назад
KWA NINI WANAMHOJI WAKATI ALITAKIWA APELEKWE HARAKA HOSPITAL
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Wewe sema ilitakiwa afe bila kutoa maelezo yoyote hapo utaeleweka
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw Месяц назад
Jeshi la polisi mkowapi fanyeni kazi msikumbatie chama tawala
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Police mbona wapo ostabei wanafanya kazi yao kwani wewe huwaoni ?
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Месяц назад
Xavi mtupu
@happymackjacob3480
@happymackjacob3480 Месяц назад
wame mpigia mnyakyusaaa
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Месяц назад
Waache tu tutakuja kuwakodi wakenya
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 28 дней назад
Kenya wanapigania nchi yao
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 24 дня назад
Edu wewe acha ujinga kwani ujui ata chadema walikuwa wanatekana wenyewe acha kumchafua mjombo
@JohnAdam-mv3ks
@JohnAdam-mv3ks Месяц назад
Nani alishakamatwa kwa kesi ya itekaji hapa bongo!?? Watu wengi wameshatekwa hajiawahi kujulikana mhusika mkuu wa haya matukio ila bongo dah hatareeee sana
@jumarchris
@jumarchris Месяц назад
wee nawe panya mbezi bichi ipo wilaya ya ubungo😁😁😁 achakujichanga ni mbezi ya kimara kwa msuguli
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 29 дней назад
Mmmm upandacho ndicho utavuna kwa wakati uliyefanya haya Mungu akulipe tena ulaaniwe. shetani wewe na hao mliofanya. Mungu amewachoka na atawaweka peupe, wote tutajua ibilisi wakubwa nyie. mtalipwa hapahapa dunian shetani nyie
@princemimi2090
@princemimi2090 28 дней назад
wachambuz wa mpira hawaa
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 28 дней назад
Pumbavu kabisa hii serikali
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 24 дня назад
Kakutwa na akili timamu kabisa kajieleza kaeleweka vizuli hapo wasiojulikana na machawa kazi mnayo mwalikikeni baba wa hila awasaidie kutunga hila ili msomeke na dunia
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 25 дней назад
Jamani hadi huruma hivi kweli hii inchi, MUNGU atawaona walio husika MTU anafanya kama ndege akatupwe porini?
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo 16 дней назад
Ila kwnn kusiwekwe mifumo mtu apelekwe kwanza Hospital afu taratibu za polisi zije baadae. Mkazidiwa nusu kufa anahitaj msaada wa haraka lkn mpka aende kwanza polis akifia huko kituon vp sasa
@Taito-brand
@Taito-brand Месяц назад
Kiukweli siamin kam Polis ndio wamehusik kuna mda unahukum mtu ambae hat una uwakik unasem tu kisa fulani kasema eet polis wamehusik unalipa tuhuma jeshi ukiitwa na kutoa taarifa utatoa acheni kufat mikumbo nawaambia ndg zangu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Месяц назад
Wapumbavu mnamuhoji tu sio mumuwahishe hospital kwanza
@blackyoungmaestro
@blackyoungmaestro Месяц назад
Vijana fanyeni kazi acheni kukesha mitandao ya kijamii. Mind your business
@saidsoudamiri4054
@saidsoudamiri4054 Месяц назад
MO DEWJI Hana kazi ya kufanya???
@paulmbonika2459
@paulmbonika2459 Месяц назад
You are such a fool. Sana.
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 Месяц назад
Hivi mo dewiji na tundu lisu hawakuwa na kazi yakufanya.
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx Месяц назад
​@@hassangasaba4565hapo chacha
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Месяц назад
Police watuambie simu zake zilikuwa jirani na simu za nani kipindi cha utekwaji wake na kwa sasa simu zake ziko wapi kimtandao.
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 29 дней назад
ILITAKIWA KWANZA APEWE HUDUMA SIO KUMHOJI SAAANA HUO SIO UBINADAMU
Далее
кукинг с Даниилом 🥸
01:00
Просмотров 243 тыс.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Просмотров 22 тыс.