Тёмный

‘Nimekutoa kwenu Mpwapwa una njaa kibao’, mrembo amchana Jay Melody kwa madai amemsaliti 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 81 тыс.
50% 1

Авто/Мото

Опубликовано:

 

18 мар 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 252   
@emybebe4689
@emybebe4689 5 лет назад
kama unaona demu anajitia aibu kama ninavoona mm gonga like
@divinebernard1047
@divinebernard1047 3 года назад
Atari anazani anamchana kumbe anaji zalilisha
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 года назад
Kabisa
@sistersade9039
@sistersade9039 5 лет назад
Ah maskini jay melody! Pole sana mwanangu! Ndo kukuwa huko! Jifunze kwa yanayokupitia duniani! Wewe bado mdogo! Usijali mungu atasimama nawe Inshaalah ❤️
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 5 лет назад
weeeh dada nakushauri epukana na mihemko ya hasira ata km umevurugwa hakuna jibu. zuri kwa mjinga yeyote,km kumkalia kimya@huyo .alie kukosea mpe muda kidogo tu Dunia itamnyoosha.ata huyo alie kuchukulia bwana mjinga tu.kijana anawatoto wawili na msichana mwinginge wewe ukimchukua atakupeka wapi?mahuaiano ya kwanza yakikushinda ata ya 2 hutaweza.maisha ni kivumiliana na kuongea pindi mnapokosana.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 лет назад
Ulivomuhonga ulitumwaaaa Paka shumeeee weeee🤣🤣🤣🤣ya kwetu yatushnda ....
@rehemahussein748
@rehemahussein748 5 лет назад
Jamani sisi wenyewe kama wanawake ndoo twajidhalilisha! Haina haja kuyasema uloyafanya kwani tenda wema nanda zako..... Utamwacha mwanaume na maswali kama yote!
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 5 лет назад
Kwel sio lzm kusema ww ndio mwanamke mjinga kwann umuudumie mwanaume alafu usem mitndaoni dah mtian kweli amuache tu maisha yaende
@rehemahussein748
@rehemahussein748 5 лет назад
@@rehemashafi4809 kweli kabisa maana ukinyamaza atakuwa na wasiwasi mnoo
@chrissmichael7379
@chrissmichael7379 5 лет назад
Uyu dem.nimpumbavu sana yaani kama mmbwa vile!.
@naohzebronzo4410
@naohzebronzo4410 5 лет назад
Hahahaaaa we dada unayee soma habariiii unajuwaa hadi unakeraaa sasa big up sanaaaaa
@ashaali7154
@ashaali7154 5 лет назад
Wanawake hebu jiheshimuni ukivuliwa nguo chutama mbona unajidhalilisha mwenyewe? Shame on you.
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 лет назад
asha ali kwl kbs
@lovenesreuben6179
@lovenesreuben6179 5 лет назад
Hajielew huyo demu
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
judith paul 😂😂😂
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Pendo Reuben ddii
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
asha ali 😂😂😂
@hyasintakundy369
@hyasintakundy369 5 лет назад
Huyu demu atakaedate nae labla awe mpitaji tuu huyu siyo mwanamke wa kuoa ana utoto mwingi hata kama umemsaidia haina haja kuachana ndio umsemee
@pendomwenda6190
@pendomwenda6190 2 года назад
Kwel lkn 🤛
@haithamrubeabuhet2637
@haithamrubeabuhet2637 5 лет назад
Uyo demu mshamba tu mwanamke unaejielewa hawez kusema maneno ayo km kakushit mpotezee mambo ya kutukana yashapitw na wakat
@ashurausseinashuraussein7275
@ashurausseinashuraussein7275 5 лет назад
Kbs
@halimahomar3810
@halimahomar3810 5 лет назад
Haitham Rubea kweli hata sidhan kama atapata mume mwengine mana sio kwa mitusi na kumuazirisha waume watamuogopa mana akikosana nao siri zote azarani hupati mume ngooo
@africanoqueen9340
@africanoqueen9340 5 лет назад
Mkuki kwa nguruwe kwa vinadamu mchungu
@seledrawing6948
@seledrawing6948 5 лет назад
Haitham wengne wn tfuta Kiki tu
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 лет назад
Hapo kwenye Mpwapwa tu ndiyo kanigusa.
@neemangubesi3436
@neemangubesi3436 5 лет назад
Richard John kabisa
@salmamazengo85
@salmamazengo85 5 лет назад
Richard John kabisaa maana hata mm ndio home mshambaa dem
@neemamabiki6164
@neemamabiki6164 5 лет назад
Wewe dada mshamba kweli alipokuwa anakutomba vizuri ulikuwa unatuma mtandaoni mfyuuu unajitia aibu wewe dada.
@ommytamir2783
@ommytamir2783 5 лет назад
Sasa matusi yakusadie nini haya fanya hayo mengine uwone na ww utaishia nini pumbavu wewe
@saidiabaheya6801
@saidiabaheya6801 5 лет назад
Aaah that is loves
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 5 лет назад
Kubaya Jay wangu 😢
@lovenesreuben6179
@lovenesreuben6179 5 лет назад
Huyo demu Hana hata adabu, wakat mnatongozana mbn hamkuzalilishana Kama ivo acha ushamba
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 лет назад
watoa comment msimutukane hyu Dada anatoa sumu mwilini ,akinyamaza bila kusema anaweza pata presha kufunguka unamusaidia kupunguza hasira ,mwanaume anagaramiwa anauma.
@Sweerykiah23
@Sweerykiah23 2 месяца назад
Polee kaka ang jay melody maixh 2 haya nakupend ❤❤❤
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 5 лет назад
😂😂😂kulikua aina haja ya matusi aina haja ya kutangaza ulikomtoa ungenyamaza kimywa kama anaakili angekuja kukufuata na mkamaliza na mkaendelea na maisha maana hata iweje mwanaume lazima nnje atatoka shida ni kwamba kuna anaefanya siri na anayefanya adharani matusi umejitukana mwenyewe hapo hujamtukana huyo mwanaume
@juliusrogasian8645
@juliusrogasian8645 5 лет назад
Duh hawa watafuta kiki
@manalibaby4192
@manalibaby4192 5 лет назад
😁😁😁Mambo mengi mda mchache..ahsante baby sky kwa ubuyu.
@zennakailo8106
@zennakailo8106 5 лет назад
Duuuuuuuu,,,,,mamaaaaaaaa kavurugwaa 😂😂😂😂we kaka zima simu yako mda wa miezi 6 maaana huo mchambo syo wa nchi hii
@GlamourMJ
@GlamourMJ 8 месяцев назад
An anamatusii ya mwanaukomeee 🤣💔
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 5 лет назад
Mimi wote siwafahamu kwani hawa wanafanya kazi gn ni watanzania au ?
@naymaa2338
@naymaa2338 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣njo uchukue soda
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 лет назад
😆😆😕atar
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 5 лет назад
OG Joh haaaaaa haaaaaaa hata mm siwafahamu wanatafta.kiki
@fatmaone1152
@fatmaone1152 5 лет назад
OG Joh 😁😁😁
@shanimwakipesile3341
@shanimwakipesile3341 5 лет назад
OG Joh haha Hahahahah haha Hahahahah haha Hahahahah haha Hahahahah Daaaaaaaah nimechekaaa
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 лет назад
Hawa ndiyo wanawake wa taifa Mungu wasaidie mabinti zetu
@hkikajama6680
@hkikajama6680 5 лет назад
jamani wanawake mioyo yenu musiwape wasani na haswa wake waliyotoka kwenye familiya ya kimasikini ni pasuwakichwasana angaliyeni maishayenu wasanini watawafanya mujinyonge bule pole sana we dada kuchitiwa kunauma jalalibu kuvaa viatu vya uyo dada da naumiya sana
@raheemyusuph4414
@raheemyusuph4414 5 лет назад
Kumbe watu wa mpwapwa tunajulikana tuna njaaaaa mamAkeee huyu doll
@Blackie_blackie9327
@Blackie_blackie9327 5 лет назад
Hahaaaa
@raheemyusuph4414
@raheemyusuph4414 5 лет назад
blackie n .....mm kwetu mpwapwa ila huyu jamaa cmjuag ila kilichonikuna et kwetu kuna njaaaa daaaaah
@Blackie_blackie9327
@Blackie_blackie9327 5 лет назад
@@raheemyusuph4414 hahaaa mpwapwa vijijin alimtoa 😂😂
@tanzaniangirl1980
@tanzaniangirl1980 5 лет назад
Raheem Yusuph embu atuache siye kwan aliombwa
@raheemyusuph4414
@raheemyusuph4414 5 лет назад
blackie n huhuhuhuhh atajuaaa mwenyew ndo atajua wagogo tunanjaa kwel ila tukipata inabid tupewe heshima yetu
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 5 лет назад
Ukimnyanyua mtu hauwezi kumshusha **
@carenadam1890
@carenadam1890 5 лет назад
Kwani ulitumwa umpe si payo tu
@blesseddeebrownie7334
@blesseddeebrownie7334 5 лет назад
hasa cjui huyu sapna kafaidika nn.😂😂😂aya tumesikia mmalizane wenyew ya kwetu huku yanatushinda
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Blessed Dee Brownie 😂😂
@wessdj8753
@wessdj8753 5 лет назад
michepuko bana sio poa kabisa 😂😂😂😂imesha beba jay melod teali
@usenivicky8014
@usenivicky8014 3 года назад
Yaaaa
@zenamwashuya8896
@zenamwashuya8896 Год назад
Duuu we dada umejizalilishaaaa sana huku mtandaon jay hayupo tuma hiyo video ukalale jera kidogo ulifanya kwa ajili ya mapenz sasa hayapo tulia
@mandjoutoure7057
@mandjoutoure7057 5 лет назад
Nakufa kuzarilishwa tena?🤔 sisi wambea tupo tunasubiri tuu umbea 💃🤣
@oscarmwambonja
@oscarmwambonja 5 лет назад
Jamani hii mitandao,,, kumpost ndo kumkomesha?, Upungufu wa akili kwa huyo Dada na anaonekana punguani kabisaaaa....
@mustaphambwana7944
@mustaphambwana7944 5 лет назад
Nanyie mnafukunyuaga mambo hahaaaaa hodiiiiii
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 лет назад
Dahh sijui atanisemeje!.. ila wanawake wenzangu niwaambie kitu usipende kumvua nguo mvulana wako hadharan..hata km amekusaliti..
@sigifridyfranky8080
@sigifridyfranky8080 5 лет назад
duh jamani me nasubili comment zenu wadau wa sns
@dinamicheal5154
@dinamicheal5154 5 лет назад
Mmmmh, kujizalilisha tuu huku we mdada
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 лет назад
Dah dadangu si basi tena matusi km nyote kwa mtu moja tuu😗
@benjaminjoph1138
@benjaminjoph1138 5 лет назад
wew Dada ni msenge tyuuu nyie mlikuwa wapenzi kwanini kabla ya kumjuwa hukujua kama IPO siku atakusaliti kwani huyo nimtoto wako acha ufara wew kama umeamua kuachana nae hayo matusi yanini
@yustakipenyakipenya9117
@yustakipenyakipenya9117 5 лет назад
Dada sikulaumu funguka ya moyon to a sumu zote wanaume hawatabiliki usihonge tena
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
Kweli
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
Yangu macho
@wemakalam3233
@wemakalam3233 5 лет назад
Alieturoga katuachia black book wanawake mmmh makubwa madogo ni sawa ya bei ya pipi 📍📍📍
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 5 лет назад
Duh sasa yann ww km umemchoka achan nae sio lzm iwe ivyo jmn
@tintin0019
@tintin0019 2 месяца назад
HAYA DADA SEMA SASA KATI YAKO NA JAY NANI KAWA STAR
@HadijajumaSsalha
@HadijajumaSsalha 7 месяцев назад
Mmmmh atari
@touchingsmilemusic
@touchingsmilemusic 5 лет назад
Ya moto sana
@najma3268
@najma3268 5 лет назад
Mapensi ,mapensi mabaya , kujisemea Sarah wa Harmonize 🤣
@neemakaluwa5856
@neemakaluwa5856 5 лет назад
Najma 3😁😁😁😁😁😁
@estghermilton8910
@estghermilton8910 5 лет назад
Hahahahahaha umenichekesha nimecheka sana
@dhulkiflially4305
@dhulkiflially4305 21 день назад
Pole sana jay mamelod😢
@fatmaone1152
@fatmaone1152 5 лет назад
Nilikumiss baby sky
@DalhaFiya
@DalhaFiya Месяц назад
Kwakweli asante dada
@abdallahhadaika2131
@abdallahhadaika2131 5 лет назад
Hayo ndio mapenzi bana hayajawahi kumuacha mtu salama kwakweli aaaahaaahaa yakikuvuruga yanakuvuruga kweli hatareee
@joharjohn5095
@joharjohn5095 5 лет назад
Pole jay wanguee
@aminaharapah7516
@aminaharapah7516 5 лет назад
Kwle daaah
@divinebernard1047
@divinebernard1047 3 года назад
Mhhh Jay njooo kwangu bana
@mrsrachelkisaka2988
@mrsrachelkisaka2988 5 лет назад
yani nimependa hiyo komesha kabisà washenz sanaa
@peterjohn8745
@peterjohn8745 5 лет назад
my toa sumu mwilini kwani ukikaa kmy utaumwa sema hata hayo mengine ili moyo wako upate utulia mungu akupe amani ya moyo
@mariamjosef8452
@mariamjosef8452 3 года назад
Hili dada jingaa Sana
@jimmysalag3020
@jimmysalag3020 5 лет назад
duh
@maryamm7765
@maryamm7765 5 лет назад
Duh 🤔🤔🤔🤔
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 лет назад
Hatari sana
@patrickmyala9501
@patrickmyala9501 5 лет назад
Mpwapwa alienda lini j melody amesoma form one hadi four mwaka 2012-2015 dar es salaam sasa mwaka gani alimtoa mpwapwa uyo dem anapenda kiki
@choggysly3541
@choggysly3541 Год назад
Ila msomaji nae unavyokazia maneno mpaka noma
@barakadaudi7747
@barakadaudi7747 5 лет назад
uy dem n boyaaaaaaa kinomaaaa yn anisi uyooooo
@janniehenry9589
@janniehenry9589 5 лет назад
Mkitongozana mnatuambia...mshamba wew mfyuuuuuuu....
@ashamecky7772
@ashamecky7772 5 лет назад
Mbona weww mzur tu mnalea wanaume baada ya kuzaa mlee watoto wenu shezi
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Ngoja nipte tu maana slay queen kwavchambo hvyo 😎😎
@mariamangel1264
@mariamangel1264 5 лет назад
uyu dada anaakili looooo mwanaume schambwi
@sistersade9039
@sistersade9039 5 лет назад
hee mwanamke si kwa matusi hayo. ulimi wako ndio adui yako, inaweza kuwa ni sababu yakukutemwa, na mwenyewe ni mtu mpole, yeye keshajuulikana kwa kipaji chake, kwani wewe ni nani?
@roserisasi5441
@roserisasi5441 5 лет назад
Acha kumuzalilisha kaka etu hatukutuma umununulie vitu mi mwenyewe nimetoka mpwapwa sikupenda ulivofanya wifi punguza hasila
@oliviafaustin2809
@oliviafaustin2809 Год назад
Hatari kabisa 🙄
@nadyahassan7924
@nadyahassan7924 5 лет назад
hmm yangu macho2
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 лет назад
Kwann kwenye matusi msiwe mnaziba maana hata watto wanaskiza hata wakwako pia maan hapa mwanangu mdogo ananiuliza mama fala ni nn maana yake think about this sns one love
@angelherman5464
@angelherman5464 5 лет назад
badala mtukanane kwenye inbob zenu unaweka mtanadaoni wew mwenyew dada mshenzi jiheshim
@humphsagatwa8537
@humphsagatwa8537 5 лет назад
kumbe wakwetu mpwapwa hongera
@hamdanisalumu7344
@hamdanisalumu7344 5 лет назад
Huna ishu k wew
@rachellebahati7512
@rachellebahati7512 5 лет назад
Melody mpole
@salehrayesmukhashin887
@salehrayesmukhashin887 5 лет назад
Bado nampenda ndomaana imekuuma
@AAa-xv2mw
@AAa-xv2mw 5 лет назад
Uyu mwana mke mshenzi sanaa fala uyo nyoko.
@vinmilez5739
@vinmilez5739 5 лет назад
Nmepend hapo kwenye.. Kobe weeee
@robsondeus5587
@robsondeus5587 5 лет назад
Mpumbavuu tu huyo demu,,na yeye angetafuta mwingine kimya kimya wangemalizana kimya kimya kama walivyo tongozana...Sasa anakuja kuweka mambo yake wazi mbona wakat wanatongozana cc atukuwepo,,uyo mwanamke atakuwa anaugua uchizi kabisa......Kanipa hasira....
@beatricejoseph3537
@beatricejoseph3537 5 лет назад
Hasira za kumsaidia MTU mwisho analeta nyodo mchambe tuu ili awe na adab
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 лет назад
We mwenyew kahaba nyoooh
@jacquelineclement791
@jacquelineclement791 5 лет назад
😁😂😂😂😂 kuachwa bhana kubaya sana lkn haikusaidii dada kutoa matusi kama hayo 😂😂😂😂😂😂😂 kaka zangu wa mpwapwa wako vizuri bhana acha wachanganye wadada wamjini
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 5 лет назад
Mapenzii aya ☺☺☺☺
@sisterhala3916
@sisterhala3916 5 лет назад
namiye nitafutiye mwalimu😁😁😂😂
@eveanangisye1999
@eveanangisye1999 5 лет назад
Muwe mnawasoma kina Idd Makengo ....usitegemee umsaidie mwanaume kutoka chini kwenda juu afu abaki na wewe yani ni kitu hakipo...ila umempa ngazi yakuwafikiwa watu alokuwa nadreams nao..
@tusistumai6562
@tusistumai6562 5 лет назад
Demu mshamba sana tena ni msenge kabisa
@surujajwie4768
@surujajwie4768 2 года назад
niujiga 2 kwnn hawawezi kuyamaliza huko
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Mm husema siku zote hasira asara mm kununulia mwanaume guo hadi kumulipia nyumba eti mapenzi heri nijepe bata mweye bana eee
@avax5717
@avax5717 5 лет назад
Mmh sasa ukimzalilisha hivyo huyo Melody unapata nini?
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 10 месяцев назад
Analolote ya kujilalilishs yy sio jay
@bernardjustine6524
@bernardjustine6524 5 лет назад
duhhh insta watu wamechafukwa sio mchezo
@ashaali7154
@ashaali7154 5 лет назад
Ushamba badala ya kufanya maendeleo wanabaki kutukanana tu kweli kuwa na busara ni muhimu.
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад
madem wengine dah ,,,,atakulipa mungu ,,,,ahaaaaaaaa
@wemapingu8937
@wemapingu8937 5 лет назад
Hee kichambo cha mwaka
@angelamon7065
@angelamon7065 5 лет назад
dem msenge huyu baada ya kupata sifa umeonekana mshamba acha ushamba we dem
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Mwanamke mpuuz uyu sasa kapata faida gan kisa kaachwa wangp ameachwa n wapo kimya kwel mambo n meng mda mchache
@kendrickmicky7525
@kendrickmicky7525 5 лет назад
Jay melody mtoto wa tandale uyo
@MkuuKoi-pr7rt
@MkuuKoi-pr7rt 11 месяцев назад
Jay melod ni pole kuliko haja fanya poa sija muunga mkona
@alexnass7741
@alexnass7741 4 года назад
Hili pepo lishindwe na liregeee 😅😀😅😀
@zuwenahfloznat2654
@zuwenahfloznat2654 5 лет назад
Ndo wanaume hao.. Ukikosa kuwasaidia wainuke unaitwa mbaya…… ukiwasaidia wanainuka, later On Wanaku betral🙊🙊 I know how she feels #betralHurtsVeryBad#
@mrpingu4475
@mrpingu4475 5 лет назад
Nyege zako zilikuppnza nothing you have done
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 407 тыс.
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
Nimetoka familia ya kawaida sana ~ Jay Melody
9:01
Просмотров 8 тыс.
казахи сделали мустанг🤯❗️
0:26
Лучшие АВТО за 800 тыс.
0:46
Просмотров 603 тыс.
РЕЗКА РЕЗИНЫ ДЛЯ ШИН
0:40
Просмотров 4,9 млн