Тёмный

🅻🅸🆅🅴 BODI YA SUKARI TANZANIA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU 

JAMBO TV
Подписаться 899 тыс.
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@isaacs3904
@isaacs3904 7 дней назад
Ukiona kitu kinatolewa maelezo mengi hivi ujue mengi hayasemwi...😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 дней назад
Mpina kaibu mambo muhimu .kwa mvurugano huu sasa wahusika wataenda kujirekebisha na watakoma kutuchezea akili sisi watanzania.Hongera sana Mpina kwa uzalendo wako.Watanzania tuko nyuma yako.
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri 7 дней назад
Tanzania hatuna waandishi wa habari tun a wapasha habari tu
@user-oy2ui7rj8v
@user-oy2ui7rj8v 6 дней назад
Luhaga Mpina yeye taarifa za utata wa sukari kwa ujumla alizotoa wapi?? hadi akachafua hali ya hewa Bungeni!!
@EliaoniTerry
@EliaoniTerry 7 дней назад
Iwe iwavyo, kama bodi ya sukari, na hiyo technical committee hamkuwajibika kuwachukulia hatua, wale ambao hawakuja kuchukua vibali, huku nyie mkijua sukari haipo.unachojaribu kueleza hapo ni kumkingia kifua waziri wa kilimo kwa uzembe wake wa kutowachukulia hatua makampuni wakati akijua ana mamlaka hayo. Na tena hayo makampuni mengine serikali ina hisa. Mpina yuko sahihi jana, Leo, na kesho. Bodi ya sukari mlikula mlingula na pengine na menejiment za viwanda kuchelewesha kwa makusudi uingizaji wa sukari.
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 7 дней назад
MPINA NI MPOTOSHAJI MKUBWA HUKU AKITUDANGANYA KUWA KAONEWA MIMI NILIMJUA MAPEMA KUWA ANA HASIRA YA KUKOSA UWAZIRI.SHIDA KWA MPINA NI UWAZIRI.APUUZWE.
@rejobu9723
@rejobu9723 7 дней назад
Mmh! changamoto ni kwamba mmesha cherewa kutoa hayo maelezo na wananchi mnao tuzarau tumesha chagua upande wa kwendanao👋👋
@user-oy2ui7rj8v
@user-oy2ui7rj8v 6 дней назад
Kumbe Luhaga Mpina alikurupuka, aombe msamaha tu akubali yaishe!!
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 7 дней назад
Nyie waandishi vp mbona hamjauliza kama Malawi sukari iko chini kwann waliagiza nje na ikauzwa bei kubwa kuliko ya Malawi?
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 7 дней назад
LAKINI UPOTOSHAJI WA MPINA KWAKO SIO ISHU SIO?MPOTOSHAJI KATIKA NCHI HUKU AKIPOTOSHA KAONEWA NI MTU HATARI.YULE JAMAA ANAHASIRA YA KUKOSA UWAZIRI.SHIDA NI UWAZIRI.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 7 дней назад
Tukubari agenda kubwa ktk hili Kuna watu wanahujumu uchumi,mseme wazi,tulishuhudia kipindi sukari inafungiwa katika maghara na serikali ilichukua hatua,Sasa jaribuni kuwa wakweli mabepari hutikisa uchumi wa nchi
@robertzingu9889
@robertzingu9889 7 дней назад
Mbona sukari mpaka sasa bei ni kubwa ikiwa kati ya 3,500 hadi 5,000 mahali pengine hususani vijijini bei ni kubwa zaidi kuliko hata kabla ya Sugar scandal hii ambapo bei ilikuwa kati ya 2,000 hadi 2,600?? Mbona mimi siielwi hii serikali? Hakuna bwana. Kuna shida mahali na kuna viongozi wa kisiasa walioko serikalini wameingiza siasa zao ili kujipatia fedha za uchaguzi mwaka huu na 2025!!
Далее
It works! #beatbox #tiktok
00:15
Просмотров 3,2 млн