Тёмный

CCM YAUNGA MKONO WAFANYABISHARA KUGOMA KISA MADAI YA TRA KUWABAMBIKIZIA KODI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma kuanzia Jana May 29, 2021, walianza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao.
Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba waofisa waTatu wa TRA waliowataja majina na wanao waobambikizaji woondolewe Mara moja kasulu hawawataki kabisa.
Chama cha Mapinduzi Wilayani kasulu kupitia kwa mwenyekiti wa Chama Mbelwa Abdallah amesema Chama kinaunga Mkono wafanyabishara kwa kigoma kutofungua maduka kutokana na manyanyaso hayo ya TRA.
Ameyasema hayo mbele Mbunge wa Kasulu Mjini Prof. Joyce Ndalichako pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye wakati wa Mkutano na wafanyabishara waliogoma.

Опубликовано:

 

30 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@yaqoobalhinai3805
@yaqoobalhinai3805 3 года назад
Ccm oyeeeeeee
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 3 года назад
Mko sawa wameonewa kwako mda mrefu.
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 3 года назад
Mugisha? Eeeeeee eti waha siyo waelewa??? Atawajuwa mwaka huu kama ni waelewa ama la😂😂😂😂😂😂😂
@gracemima5234
@gracemima5234 3 года назад
Fanyeni mahesabu, toweni matumizi na mulipe kodi kwenye faida muliyopata. Serikali iwafunze wafanya biashara wadogo namna ya kupiga mahesabu na kulipa kodi kufuatana na faida waliopata badala ya kukadiliwa. Kauli za Rais Samia zimeleta uelewano mbaya kati ya wafanya biashara na TRA
@herryallymaneno8052
@herryallymaneno8052 3 года назад
Migomo chonde isiendekezwe itatufikisha pabaya
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 года назад
Kweli hayo yapo
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 года назад
Kufa kwa magufuri wafanya biashala wa dogo ndio tutapata tabu...wafanya biashala wa kubwa ndio wanao kingiwa kifua R.I.P. baba yetu kipenzi chetu maguful daima tutakukumbuka wanyanyasaji wa wanyonge washakua na pawa😭😭😭😭🇹🇿
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
MAGU ALIWAFUNGA MIDOMO MAMA KATOWA UHURU WA KUSEMA NDIO MANA WANASEMA SASA HUO UNYANYASI KUTOKA ZAMANI.
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 года назад
Haya sasa Rais samia na bado.
@bunzarisisa2831
@bunzarisisa2831 3 года назад
Tra nomaaa
@gracemima5234
@gracemima5234 3 года назад
Hakuna nchi inajengwa na inaendelea bila kodi.
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 3 года назад
Hela ngumu lk hawa watu kilio kilakona duu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 года назад
Lazima mkubari Kwa sababu hamna namna,tena,
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817 3 года назад
Tumia diplomasiana sio migomo. Migomo ni utoto
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Hawana jinsi. Diplomasia gani? Watanzania wanyonge that's the way foward ni protesting.
@saknajumapili8282
@saknajumapili8282 3 года назад
Mh
@wilsonmsenga6447
@wilsonmsenga6447 3 года назад
Kugoma sio utoto ni moja ya kufikisha ujumbe wao sehemu husika, usiseme utoto hajakukuta.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 года назад
Hayaja kukuta nini bado mwenzetu
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
HUO NI UWOZA WA SIKU NYINGI AHSANTE MAMA SAMIA KWA KUTUPA UHURU WA KUSEMA AMBAO TULINYIMWA MAMA KESHA SEMA HATAKI KODI ZA DHULUMA NCHI YETU TAJIRI
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 года назад
TRA wanasumbua nchi nzima
@wilbertmmary9076
@wilbertmmary9076 3 года назад
Ngoja nikoment harakaharaka kabla ya wale wazee wa R.I.P JPM.
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 года назад
Rip magufuli,watu wamepata upenyo wa kula sasa
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
@@issackjoseph6436 UPENYO WA KUSEMA SIO WA KULA HAO WALIKUWA WAMEZOWEYA ENZI YA MAGU KUNYANYASA WAFANYA BIASHARA MAMA SAMI HOYEEEEE SIRI ZINATOKA.
@neemajulius1256
@neemajulius1256 3 года назад
Kwani mama yetu mama Samia alikuwa Nani kipindi Cha Mzee wetu Magufuli
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 года назад
Wengi hamtaelewa nimemaanisha nini ila sasa kuna divergence ya revernue sana to individual destination
@annamwalwiba7080
@annamwalwiba7080 3 года назад
TRA nishida isio kuwa na dawa
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 года назад
Mberwa ni mfanya biasha lazima aunge mkono. Hiyo haina ubishi
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
NA WEWE MLA RUSHWA HUPENDI MAMA SAMIA HOYEEEEEE
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 3 года назад
TRA dawa yao wakutane na Watu waliosoma tu,wanaojua sheria🤣🤣
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 года назад
Yaani ukiwa unajua Sheria hawawezi kuzungumza n a wewe,unamkumbuka babu Rama wa kariakoo walicho mfanya,
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 года назад
Makufuli baba wewe umeindoka sasa matatizo yanazidi tu. Wanyonge wan wenye pesa tutakiona , ukifanya kazi matatizo ukiwa hufanyi kazi matatizo tanzania mbovu sasa ,TRA pesa zenyewe za kapewa bure manataka mchukue zote kama zao shida tu
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
MATATIZO HAYO KAYALETA MAGU SIO MAMA NDIO MANA KAWAPA WATU UHURU WA KUSEMA NA AKAWATUMA TRA WAJUWE NAMNA YA KUDAI KODI USIKURUKUPE TUTAONA MENGI TUTAONA MENGI HUO UHUNI WA KUDAI KODI OVYO MAMA KAUKATAA MAMA SAMIA OYEEEEE.
@msafimachuza3778
@msafimachuza3778 3 года назад
Piga kelele kwa manyweleeeeee
@gracemima5234
@gracemima5234 3 года назад
Fanyeni mahesabu, toweni matumizi na mulipe kodi kwenye faida muliyopata. Serikali iwafunze wafanya biashara wadogo namna ya kupiga mahesabu na kulipa kodi kufuatana na faida waliopata badala ya kukadiliwa. Kauli za Rais Samia zimeleta uelewano mbaya kati ya wafanya biashara na TRA
Далее
когда мучает жажда // Eva mash
00:58
Просмотров 331 тыс.
Tanzania: Philip Mpango sworn in as Vice President
0:58