Тёмный

VIDEO: RC MAKONDA ATANGAZA KUGHARAMIA HARUSI ZOTE ZITAKAZOFUNGIWA ARUSHA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo.
Makonda amesema hayo wakati akiongea na Wadau mbalimbali wa maendeleo Mkoani Arusha leo July 08,2024 ambapo amesema lengo ni kuvutia zaidi Wageni na Watalii kufika Mkoani Arusha ili kuwa chachu ya kukuza uchumi wa Mkoa huo.
“Lengo letu sisi ni hatutaki kuwa na high season au low season, tunataka kutengeneza shughuli na matukio mbalimbali kuhakikisha kuwa muda wote uchumi unakuwa na kuendelea ili Mama wa mboga, bodaboda na kila Mtu anufaike na ugeni unaofika hapa Arusha”

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@user-mg2uz6sj9k
@user-mg2uz6sj9k 12 дней назад
Ideas nzur ya kuingiza pesa nimekuelewa makonda
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 12 дней назад
Siasa safi sana walishituka wamasai uchaguzi wao utakuwaje 2025 ila makonda ni nyota ya taifa
@daudimichael7338
@daudimichael7338 12 дней назад
Very creative man, iwepo siku ya bodaboda kutalii, mambo safi kabisa.
@songeza
@songeza 12 дней назад
RC eeeh safi sana. Hizo akili uliopewa na Mungu itumie usiogope songs mbele
@section8ight174
@section8ight174 12 дней назад
PROTECT this LEGEND at all COSTS!!
@emmanuelmwambona3438
@emmanuelmwambona3438 11 дней назад
I support you 100%
@MarthaMollel-jc5kf
@MarthaMollel-jc5kf 12 дней назад
Saf bab wa Iman imekuj arush vzr
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 12 дней назад
Ukimtegemea Mungu anakuongezea na hekima na hekima huvuta roho za watu
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 12 дней назад
habari zasaizi mpendwa,vp upo kwa facebook ama whatsapp?
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 12 дней назад
@@JeanMuzaliwa-bs6qh nipo kwa WhatsApp
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g 12 дней назад
😂😂😂Makonda bwanaaa😂😂akili Kali sana
@NeemaJafeth
@NeemaJafeth 11 дней назад
Asante baba
@saimonsirikwa3141
@saimonsirikwa3141 12 дней назад
NO LOW SEASON ❤
@JohariNuru-qx7oe
@JohariNuru-qx7oe 12 дней назад
Akili kubwa
@goodluckndagile9381
@goodluckndagile9381 12 дней назад
Ubongo mwingi❤
@user-fn8lh3oi6x
@user-fn8lh3oi6x 11 дней назад
Una akili nyingi safi sana
@user-lx6ep1dn5k
@user-lx6ep1dn5k 12 дней назад
Proudly
@AminaKova-ig3mi
@AminaKova-ig3mi 12 дней назад
Mi shwaaaaaaaah aaah! From dodoma
@tukuyufm.
@tukuyufm. 10 дней назад
Sifa za kiongozi ndio hizi, mfikiriaji na mkadiliaji wa mipango chanya ya kiuchumi
@fredyswai
@fredyswai 12 дней назад
Makonda ni kiona mbali.bigup kijana
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e 12 дней назад
Umesomeka🙏🙏
@NepporSabith
@NepporSabith 12 дней назад
Huyu mwamba yuko vzr
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 12 дней назад
Akili mingi sana.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 12 дней назад
Matumizi mabaya ya kodi za wananchi huyo anae ghalamikiwa huwenda hata kodi halipi
@cmellengotila1803
@cmellengotila1803 11 дней назад
Kila kitu mnapinga tu hata kiwe kizuri kiasi gani. Acheni hizo bhana.
@emmanueljengo8103
@emmanueljengo8103 10 дней назад
Bado hujacma acha makonda apige kazi u
@samkoka3
@samkoka3 12 дней назад
Maombi yana washilishwa wap nipeleke chap maan niko ma mtoto wa mtu hapa sijaenda kwao
@devissyprian1526
@devissyprian1526 12 дней назад
Peleka.ofis ya makonda yenyewe
@joackimishengoma
@joackimishengoma 12 дней назад
Bonge la mku wa mkoa
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 12 дней назад
Genius 🙌🫵
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 7 дней назад
Wasiokupenda wachawi
@HGM_tz
@HGM_tz 12 дней назад
Asante baba
Далее
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 10 млн
Mkasi | S10E13 With Paul Makonda
29:47
Просмотров 13 тыс.
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46